SIMBA WATAKA MABORESHO KWENYE JEZI/ WAMNG'OA SANDALAND KAMA MDHABINU WA JEZI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV
Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz
Katika taasisi kama mkataba ulisiniwa 2 years, ukiisha hamuongezi tu lazima ufanye tender ili kupata competitive environment. Huwezi ongeza tu mkataba kiholela kwa kuwa Simba ni taasisi ya Umma
Tuliwambia sanda amna kitu yeye anachkua milangi tu anapachika sema na neno sanda limekaa vibaya😂😂
Mkataba ukiisha tenda inatangazwa upya ndo kanuni za procurement so sandland akishinda ataendelea ila akishindwa competition mwingine anachukua. Kungazwa tender haimanishi hawamtak sand ila ndo kanuni zinatakahivyo km kitu hamjui ulizen wataalamu
Hilo lipo lakini kwa hali ya kawaida ni wazi kuna siasa ila kumpa tena si rahisi,Ngowi na Yanga wana muda gani? Unaona tu jinsi anavyofanya kazi yake.
Acheni Ukuda.Sandaland anayofursa ya kuomba Tena na iwapo atakidhi vigezo atapewa mkataba mpya.
Sandaland mbabaishaji, jezi zilikuwa hazipatikani kwa wakati.Anataka auze yeye jumla na rejareja.Bora aende
Sandaland alikuwa na quality mbovu sana.
Kwenda sandaland anayokwalit ilahawajakubaliana acheniujinga
Mchambuzi mjinga hakuna jezi ya kike au yakiume jezijezi2
Vunja bei alikua na quality nzuri kuliko Sandaland
Ni tenda imewekwa wazi.Atakayeshinda ni kwa mujibu wa tenda.
Simba walifanya kazi na Umbro.
Kumbe alichukulia serious lile swali la Ali kamwe... Unakuta km utani ivi kumbe ngoma kweli
Tukiongea mnasema ooooooh yanga wanazingua wakati sisi wenyewe SANDA sio pwh
Gsm wanatengeneza nguo? Zipi? Au magodoro kwako ni nguo?
Kuzungumzia jambo usilo na hakika nalo si weledi. Mngeweza kuwasiliana na wahusika ili msikie kutoka kwao! Kutangaza tenda ni suala la utaratibu ktk masuala ya tenda. Hakuna mzabuni wa kudumu! Mzabuni aliyepo bado ana nafasi ya kuomba tena km muda wake umemalizika na kuingia ktk mchujo!
100% Exactly bro.. iyo ni tender na hata huyo sandaland anaweza pia ku bid juu ya tender hiyo pia haijampa limitation
Kabisaaaa!
Kumbe kutangaza ten̈da ni dhambi
Uhalisia apo nikuwa brand kila siku inakua hivyo hata pesa inahitajika kuongezeka