NAAMINI HAUTAJUTA KUTAZAMA NA KUSIKIA UJUMBE HUU... karibu sana mpendwa! Usiache kushare like... Pia weka coment Yako ya Baraka hapo ili tuipitie... Asante na Mungu akubariki sana 🙏🥰
Kweli Mungu hajaacha kumimina vipawa kwa wanawe. Hiki Sasa ni kipaji asili/original. Kumbe twaweza kosa kucopy wengine tukawa sisi na Mungu atukuzwe na watu wabatikiwe na alichotupa!! Mtumishi Chilolo Yona Barikiwa na uzidi kuinuliwa na Mungu
Kupitia huu wimbo please God niambie tu zamu yangu ni lini kama kuomba nimeomba nimefunga sikia tu nipanguze machozi tu haya machozi ya uchungu nimechoka kudharauliwa😪😪😪
Video nzuri kabisa naombea kila mmoja Mungu awabariki sana 🙏 hawa vijana wamecheza vizuri malaika wa ulinzi awe nao awaepushe na hiki kizazi wakati wa Mungu ukifika atawabariki endelea kumwamini sending love from Capital of Africa Kenya ❤
Wonderful big proud of you 🙏🙏🙏 tu nashukuru kwa ujumbe wenye mafundisho mazuri katika maisha ya kibinadamu,, kwa maana umenena ukweli, hasaa mambo haya kwenye maisha ya binadamu yapo, tu nashukuru kwa message send ✍️✍️✍️ Mungu Akubaliki 🤝🤝🤝🤝💐💐💐💐💐
Ujumbe 🔥🔥mwimbaji🔥🔥 studio🔥🔥 producer🔥🔥video🔥🔥 diractor 🔥🔥 dancer's 🔥🔥 GAIRO 🔥🔥🔥💥💥💥💥💥"msitunyanyase anaetoa ni mungu na wakati ukifika hazuiwi na mtu" hivi mnanielewa nyieee kina fulanii? my favorite song brother chilolo next level
NAAMINI HAUTAJUTA KUTAZAMA NA KUSIKIA UJUMBE HUU...
karibu sana mpendwa! Usiache kushare like... Pia weka coment Yako ya Baraka hapo ili tuipitie... Asante na Mungu akubariki sana 🙏🥰
Personally am blessed 🙌 😇 🙏🏼 keep pressing your turn is coming 🙏🏼 🙌 💪 sending love ❤️ from Capital of Africa
🙏
Kweli Mungu hajaacha kumimina vipawa kwa wanawe. Hiki Sasa ni kipaji asili/original. Kumbe twaweza kosa kucopy wengine tukawa sisi na Mungu atukuzwe na watu wabatikiwe na alichotupa!!
Mtumishi Chilolo Yona Barikiwa na uzidi kuinuliwa na Mungu
Halleluyaaa
Amen ❤❤❤
Gongaaaa like nyingi kama unamkubali chilolo
🙏🙏
Ujumbe mzuri Sana Mungu akubariki na kukutia nguvu mtumishi
Zamu yangu ni lini😭😭😭😭
Baada ya mawindo mbwa hana dhamani
Yas
Indeed ❤
Zamu zetu zitafik tuu mungu yupo nasii
Kupitia huu wimbo please God niambie tu zamu yangu ni lini kama kuomba nimeomba nimefunga sikia tu nipanguze machozi tu haya machozi ya uchungu nimechoka kudharauliwa😪😪😪
Ameen
Mungu Yuko
🙏🙏🙏🙏🙏🙏 baba nami zamu yangu ni lini
🙏🙏na mungu azidi kukubariki na kukuongezea kibali penda xna nyimbo zako
Ameen
Nmekutana na video yako tiktok nikapenda vile unavyo imba ....May God bless you ...favour favour as you go high ...blessings
Ameen
Kama umetoka Tiktok kuja huku nipitie na like 👍 ❤
Safi
Barkiwa
Babaa niambie na mimi zamu yangu ni lini?🙏🙏
🙏🙏🙏
Ameni nyimbo nzuri sana yenye ujumbe mzuri sana
Amen mtumishi
Barikiwa sana🙏
Wow nice song na ikona mafunzo
Ameen
Hiyo Kali sana mtumishi keep up brother yona hongera ❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏
Asante Sana
vizur
Aiseee huu umetissha hatari kipaji kikubwa sana sjui nitakupata wapi tuongee kidogo
Asante Sana 😊
Namkubali ata mbingu sinamgubali
Ameen
MUNGU AZIDI KUKUINUA🎉
Ameen
Fire mungu akubariki Kwa kazi nzuri
Ameen
Uko vizuri
Have been listening to your music,but huu ,nimekimbia u tube for subscription, keep up bro
#254 naomba likes zenu please,
The guy with true gospel
That's great song naupenda Sana Huu wimbo
Sure hacheni kutupa majina ya ajabu.
Mungu akubariki sana mkaguru wa maguha❤❤
Magubike sio maguha
Nyimbo nzuri praising from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ukovizuri Sana baba yangu Yona balikiwa mtumishi
Ameen
Kazi kubwa bro mungu akuinue zaidi🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Mungu amewezesha
Hakika
Kazi nzuri sana bro ni Msanii RAMLI MUKHWANA OFFICIAL
Naomba kolabo kaka.
Karibu
Unajua Kaka
This song iko na massage
Baba zamu yangu ni line nimechoka
Kazii kubwaaa Sana babaa🙏🙏🙏
Asante Sana
Akika mungu akupe umri mrefu
Ameen
Barikiwa,sana Una ujumbe mzuri
Good song
MUNGU wa mbinguni akuinue zaidi mtumishi wa MUNGU.. napenda sana wimbo uhu
Ubarikiwe sana nilikuwa nangoja vedio kwa hamu pokea🎉🎉🎉🎉
Ameen
Baba zamu yangu ni lini???
Unanibariki sana kak Mungu Aendele kukulinda tuko nyuma yako
Keep it up good job
From tiktok ❤❤
Kenya 🇰🇪tumekubali❤
Video nzuri kabisa naombea kila mmoja Mungu awabariki sana 🙏 hawa vijana wamecheza vizuri malaika wa ulinzi awe nao awaepushe na hiki kizazi wakati wa Mungu ukifika atawabariki endelea kumwamini sending love from Capital of Africa Kenya ❤
@KarenKetura. My Love to his song's i never get tired of listening to his song's, they all have a very strong msg,,,,,🙏🙏🙏❤❤❤
AMEEN AMEEN
@@janeatjaneat6599 ❤️❤️❤️much humble dear God's grace is sufficient we thank Him 🙏🙏♥️♥️ blessings queen ❤️❤️❤️❤️🌹
Napenda sana utunzi wako mtumishi wa Mungu. Lakini ni Mungu anayekuwezesha tu🙏
Mungu wangu zamu yangu ni lini🙏
Asante Sana
Kaka unajuwa kuimba, MUNGU akubariki sana ,
Ila JITAHIDI KUBORESHA VIDEO IWE NZURI ZAIDI🙏🙏
Mungu azidi kukuinua katika kulitangaza neno lake
Ameen
Song tamu sana MUNGU akubariki mtumishi wa MUNGU❤
Ameen
Kazi nzuri mtumshi Wa mungu ubalikiwe sana kaka
Ameen
Mungu akubariki kwa hizo nyimbo Safi amen
Amen
Kila ninapo sikiliza nyimbo zako I feel blessed 😇, BARIKIWA NDUGU😇😇😇
Ameen
❤❤❤❤Amen
Zidi kubarikiwa 🙏🙏🙏🙏
Hongera,,,, 👍👍👍 napenda sana👏👏👏 injili kamili kama ilivyo,,, Jina la jehovah litukuzwe 🙌🙌🙌🙌
Ameen
nyimbo zako za nibariki tu sana niko saudi ubarikiwe sana muibaji
Ameen
Mungu akubariki chilolo na azidi kukuinua nyimbo zako ziko na message poa sana nazipenda
Asante Sana
AMEEEN MUNGU AKUBARIKI sana bro na aendelee kukikusa kibawa chako.
Ameen
Wimbo una ni bariki nikiwa 🇸🇦 🙏🙏
Ameen
From Facebook watching from 🇰🇪
Anayetoa ni Mungu,na wakati ukifika hazuiwi na mtu. Amen🙏🏾
Yona wetu amevuka na ametufikia na ujumbe wa wakati.
ASHUKURIWE MWENYEZI MUNGU milele Amina
Ameen
Congratulations brother napenda nyimbo zako sana
Kazi Yako ni njema mtumishi
Mungu akupiganie ndugu
Ameen
Congratulations 👏 brother wapi likes za wakenya
Thanks
Amen
Mungu akubariki sana wimbo huu mzuri sana 🙏🙏🙏🎉🎉
Asante Sana
Powerful song, wangapi tumetoka tiktok
Mungu wangu na mim zamu yangu ni lini 😭😭😭😭😭😭
Itafika
🎉🎉🎉
Bloodline 🙌🏾 yani ndugu kabisa Mai yumwedu tumbo mbali mbali🤣 umetisha Sana MKULU
Kenya we love you❤
Thanks so much
Ni lini baba nimechoka kwa dhihaka za waliofanikiwa
Ameen
Alooooo huyu Munguu hajawahi kunyamaza tutapokea mara mua saba sabinii, Hongera mnoo mtumishii barikiwa kwa kazi nzurii
Asante Sana
Waaaah
Nice song mtumishi,be blessed
Wonderful big proud of you 🙏🙏🙏 tu nashukuru kwa ujumbe wenye mafundisho mazuri katika maisha ya kibinadamu,, kwa maana umenena ukweli, hasaa mambo haya kwenye maisha ya binadamu yapo, tu nashukuru kwa message send ✍️✍️✍️ Mungu Akubaliki 🤝🤝🤝🤝💐💐💐💐💐
Ameen
Ujumbe 🔥🔥mwimbaji🔥🔥 studio🔥🔥 producer🔥🔥video🔥🔥 diractor 🔥🔥 dancer's 🔥🔥 GAIRO 🔥🔥🔥💥💥💥💥💥"msitunyanyase anaetoa ni mungu na wakati ukifika hazuiwi na mtu" hivi mnanielewa nyieee kina fulanii? my favorite song brother chilolo next level
Ameen...Mungu akubariki sana
Hapo sasa my favourite song watching from 🇰🇪 Kenya more fire 🔥🔥 bro 💪💪
Kazi nzur sanaa Mungu akubariki sana kaka
Babaa na mimi zamu nilini nakugoja mungu wangu😴😴💘
Ameen
Mungu akubari sana kwa wimbo huu, kama NAMI vile nabarikiwa ❤❤❤🤲🤲🙏
Ameen
MUNGU wa mbinguni Akubariki kwa kazi nzuri , ujumbe mzuri hakika Umeutendea kazi dear huu wimbo na katika video pia ni nzuri💪🔥🔥🔥
Asante Sana
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nyimbo zako zinanibariki sana Mungu azidi kukuinua
AMEEN
Ameen
Zidi kubarikiwa kaka ,hakika nyimbo zako zanipa matuini makubwa,🎉🎉🎉🎉🎉Mungu akuinue zaidi
Ameen
@@yonachiloloofficial ,Ameen ,kaka uinuliwe
Kazi nzuri kakangu❤❤
Baba niambie na mm zamu yangu ni lini🙏🙏.
Ubarikiwe mtumishi kwa ujumbe mzuri
Ameen
KUNA WATU WANA JUHUDI SANA KULIKO WEWE, LAKINI HAWAJAPATA MATOKEO ULIYOPATA WANAPAMBANA.. Hakika mtumishi MUNGU ni mwema sana🙌
Ameen
❤❤❤amen,,, I love 💕😘 your songs broo 👌👌
Ameen
❤️❤️❤️❤️❤️ love song
Be blessed nice song
Wonderful ujumbe mnzuri Sana Zamu Yangu Ni lini mungu tusaidie .. mungu azidi kukuongoza Rohoni wimbaji wako mtumshi Chilolo ❤️🙏🔥💪
Ameen
Uko pamoja na mimi kwenye.ndoto za maisha ndugu yangu kaza mwendo Mungu yuko pamoja nasi
Baba nami naamini zamu yangu itakuja tu bado nasubiri🙏🙏
Kabisaa