HALIMA MDEE 'AMTWANGA' WAZIRI JENISTA MHAGAMA HOJA NZITO - "NATAKA UNIJIBU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 82

  • @samsonsamwel9708
    @samsonsamwel9708 2 ปีที่แล้ว +1

    Upo vizuri sana na nimekuwa nakupenda mno kwa muda mrefu kosa lako ni usaliti tu ww ni zaidi ya Mawaziri hao na Mwanasiasa bora Afrika. Omba msamaha saidia Taifa saidia CHADEMA

  • @dijahkipe7370
    @dijahkipe7370 2 ปีที่แล้ว

    Kiukweli nakupenda sana mh.halima mdee maana umekua unaongelea haki na ukweli bila kuogopa
    May god bless you

  • @EmanuelKiroshi
    @EmanuelKiroshi ปีที่แล้ว

    Halima mdee kweli wew nimwanake jasiri sana endelea ivo ivo mama yetu kwa kukututetea sis wengine tuko nyuma yako😃😃😃😃

  • @nailaty
    @nailaty 2 ปีที่แล้ว +4

    🥰🥰halima mdee, gwajima, msukuma🥰🥰too much love❤

    • @esterjemes1076
      @esterjemes1076 2 ปีที่แล้ว

      Sawa sawa waeshimiwa ukwer na uwazi akuna kuogopa mtu

  • @JK-uq1tv
    @JK-uq1tv 2 ปีที่แล้ว +2

    Yaani huyu ndio Halima Mdee bonge la mbunge ahsante mama kwa kututetea watumishi wa umma

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 ปีที่แล้ว

    Mwanamke mwenzetu uko vizuri sana

  • @Ramso01-s5q
    @Ramso01-s5q ปีที่แล้ว

    Halima mdee Nampa maua yake❤❤❤❤

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 2 ปีที่แล้ว +1

    Halima jaman upo vizuri saaaana yaan unaongea vitu maana kila sk,safi sana super woman Mungu akubariki sana

  • @jackjohn1684
    @jackjohn1684 2 ปีที่แล้ว

    Dada hongera San kungekuwa na mwanamke mwingine kama wew nchi hii

  • @kurthumjabir7399
    @kurthumjabir7399 2 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante Mh. Halima Mdee.. hii ndio raha ya Bunge.

    • @meryshekoloa961
      @meryshekoloa961 2 ปีที่แล้ว

      Hatuko tayari kukikosa hiki chuma aisee.

  • @najiremwankunda5630
    @najiremwankunda5630 2 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli halima we kweli unauchungu na wananchi wako

  • @jonesgeorgekapipo7595
    @jonesgeorgekapipo7595 2 ปีที่แล้ว +4

    Kiukweli chadema watakuwa wamepoteza vifaa ebu warudisheni,na pia wasameheni,nawapenda sana hawa ndio majembee,

  • @bernardsamizi7289
    @bernardsamizi7289 2 ปีที่แล้ว

    Mh. Nape tarehe 23/4/21 akiwa bungeni ,aliishauri serikali kuunda TUME ili kufuatilia haki za WATUMISHI (WALIMU) waliodhurumiwa na serikali madaraja yao tangu 2015 ambapo wengi wamestaafu na kupata mafao kiduchu Mbo'na hiyo TUME haijafik a (KIBON DO).

  • @sarahmgaya4870
    @sarahmgaya4870 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana Dada halima

  • @makubothomas7806
    @makubothomas7806 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtetezi ni mtetez2 big up my sister

  • @aminimushi6945
    @aminimushi6945 2 ปีที่แล้ว

    Kuna watu wastaafu wana miaka zaidi minne hawajalipwa mafao yao,watumishi wengi wa halmashauri za wilaya wanadai hela za uhamisho,hela za kufungasha mizigo baada ya kustaafu,ukidai unaambiwa hakuna fedha,mtumishi akifarki unaambiwa hakuna hela za mazishi,msubiri,ukitaka kwenda mahakamani uombe kibali na utajibiwa baada ya miezi 3,utawala bora uko wapi?nchi inakwenda vibaya,Mungu tuhurumie.

  • @meshackkazungu1948
    @meshackkazungu1948 2 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizuri Rudi chadema acha njaa bado tunakupenda

  • @elidangoti752
    @elidangoti752 2 ปีที่แล้ว +9

    Hawa ndio wabunge wazuri unajisikia Raha kumsikiliza, sio mwingine akiaza kuongea inamsifia mtuuu mpaka inapitiliza ...........

  • @nathanielshauri5135
    @nathanielshauri5135 2 ปีที่แล้ว

    Halima mdee Uko vizuri sana big up..

  • @rinaldaoman7892
    @rinaldaoman7892 2 ปีที่แล้ว

    Huwa sichoki kukusikiza Halima Mdee na wenzako

  • @rahmarahma920
    @rahmarahma920 2 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana Dada yangu

  • @christianmwashala9760
    @christianmwashala9760 2 ปีที่แล้ว +3

    Jembe langu halima ❤️❤️❤️❤️

  • @shabanihussein6134
    @shabanihussein6134 2 ปีที่แล้ว

    Tafadhali jamn mwny namba ya harima jaman nampenda huyu dada

  • @P0l23
    @P0l23 ปีที่แล้ว

    I like the way she debates

  • @barakakimambo4528
    @barakakimambo4528 2 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizur sana sana

  • @flavianwilliams2888
    @flavianwilliams2888 2 ปีที่แล้ว

    Wasafi nao mmekuwa hovyo kichwa Cha habari

  • @samwelsamwelyomo4712
    @samwelsamwelyomo4712 2 ปีที่แล้ว

    Hongera Mheshimiwa kwa hoja

    • @musamollel6311
      @musamollel6311 2 ปีที่แล้ว

      Uko vizuri dada Halima katika sera

  • @bakarikiavia5759
    @bakarikiavia5759 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana

  • @malopemaliyamungu5243
    @malopemaliyamungu5243 2 ปีที่แล้ว

    Energy ya kutosha... Gawaneni Wizara na hoja za kudeal nazo.. mnatosha.
    Mh. Halima Mdee, Mh. Esther Bulaya, Mh. Ester Matiku, Mh. Salome Makamba, Mh. Jesca Kishoa et al.
    Kama mnakosa wachambuzi mniajiri mm

    • @fauziakimath7446
      @fauziakimath7446 2 ปีที่แล้ว

      HongerasarĺĺnaHMdeeekwakazinz7 lĺĺ

  • @joymsupagladysijeya8384
    @joymsupagladysijeya8384 2 ปีที่แล้ว +1

    Halima mdee she's beautiful

  • @cleopajackson9934
    @cleopajackson9934 2 ปีที่แล้ว

    Mdee Unawanapiga na vitu vizito vichwan😅😅

  • @abelsabibi8836
    @abelsabibi8836 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana mdee,vyama pembeni,maslahi ya taifa mbele

  • @jamesponeca8912
    @jamesponeca8912 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo ni siasa,Serkari wanajua namna ya kuwaripa Wastafu,Yeye anapinga maendeleo kwa vigezo,wakifata mawazo yake,Ahadi walizoahidi kwa wanainchi watakwama,na watakuja kuwageuka kwenye uchaguzi kuwa waliahidi uongo kwa Wana nchi.

  • @mathayoanney8432
    @mathayoanney8432 2 ปีที่แล้ว

    Hawatatolewa,kwa sababu chadema ilishasema hikuhusika kuwapeleka mbungeni,na lengo la mbunge ni kujenga tz siyo vyama tu,hao nao ni watanzania pia wanafaa kupigania maendeleo ya nchi yao

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 ปีที่แล้ว

    Hivi vichwa vikikosa bungeni dunia itasimams

  • @petermangowi
    @petermangowi 2 ปีที่แล้ว

    Miaka yote nilikuwa najiandikishia kupiga kura kawe ili nimpigie huyu Kifaru.... Anajielewa na 2025 ana kura yangu asubuhi mapema sanaaa

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 2 ปีที่แล้ว

    Huyu Mbunge hata akishindwa rufaa Mkutano Mkuu itabidi tukate tena Mahakamani.

  • @jumamnumbwa9483
    @jumamnumbwa9483 2 ปีที่แล้ว +1

    Wabunge wa chama Chenye itkadi ya kijamaa kinaishauri serikali inayofuata itikadi ya kibepari ,ccm inatumika kama pawn party/tool,chama Cha mapinduzi hakina serikali ila hakijijui,

  • @loganpoul
    @loganpoul 2 ปีที่แล้ว +1

    Muheshimiwa halima mdee ana sauti nzuri kitandani walai,ashaolewa kweli huyu?

    • @welcometoeat165
      @welcometoeat165 2 ปีที่แล้ว

      Uliwah kuona kavaa gaun?!

    • @loganpoul
      @loganpoul 2 ปีที่แล้ว

      @@welcometoeat165 bado jamani

    • @welcometoeat165
      @welcometoeat165 2 ปีที่แล้ว

      @@loganpoul Sasa siku ukiona kavaa gaun ama amevaa kama girls ndo umuulize kama kashaolewa ama bado ili ukamtolee mahali then ukabdhiwe jiko 😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @loganpoul
      @loganpoul 2 ปีที่แล้ว

      @@welcometoeat165 walai huyu mama sauti yake yuanimaliza sana

    • @welcometoeat165
      @welcometoeat165 2 ปีที่แล้ว

      @@loganpoul 😅😅😅😅😅😅😅😅 ita waandish wakusaidie usibk na dukuduku weka hisia zako wazi broh

  • @arbogastemiykimario2721
    @arbogastemiykimario2721 2 ปีที่แล้ว

    A man in her

  • @saumsaum1916
    @saumsaum1916 2 ปีที่แล้ว

    Huyu dd halima ni mtu wa kigoma?nauliza mn kuna dd kafanana naye sn

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu anaongea kila siku

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 2 ปีที่แล้ว +1

      Ulitaka uongee wewe?Acha makasiriko

  • @victorsanga2229
    @victorsanga2229 2 ปีที่แล้ว +2

    CCM nchi ilishiwashinda sema Kuna wasenge fulani hamnazo hawaelewi

  • @sshabanngayonga1330
    @sshabanngayonga1330 2 ปีที่แล้ว

    Mh uyu atakuwa mchaga tu 😂😂 maana mh au bas

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 2 ปีที่แล้ว

    Utarudi tu kawe 2025 Inshaallah

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 2 ปีที่แล้ว

    Sawa

  • @antonibairo5415
    @antonibairo5415 2 ปีที่แล้ว

    >>Hhahahahhah, bungeni patamu sana; 🤣🤣

    • @bnm4723
      @bnm4723 2 ปีที่แล้ว

      Usiombe ukabanwa ww na uyo halima ni shedaaa

  • @salummbonde6149
    @salummbonde6149 2 ปีที่แล้ว

    kwani huyu karudishwa Bungeni au

  • @meddydoubledi1675
    @meddydoubledi1675 2 ปีที่แล้ว

    Sauti mbaya Sana, ila ukopow

    • @magdalenapeter419
      @magdalenapeter419 2 ปีที่แล้ว

      Ya kwako nzuri? Muumbe upya basi tuiskie utayomuumbia wewe

    • @meddydoubledi1675
      @meddydoubledi1675 2 ปีที่แล้ว

      @@magdalenapeter419 Nampenda xna madam mdee anahoja za akili but anywe mayai itakuwa POA tyu ila sio Kwa ubaya bint Peter

  • @mohdswahili7219
    @mohdswahili7219 2 ปีที่แล้ว

    Waziri huyo hafai

  • @oscarjeckonia-9757
    @oscarjeckonia-9757 2 ปีที่แล้ว

    Huyu angekuwa Yupo ungepandishwa cheo👇👇👇👇
    th-cam.com/video/ZSlsLanqAdw/w-d-xo.html

  • @fleddypatsonn9644
    @fleddypatsonn9644 2 ปีที่แล้ว

    Danirod

  • @komborashidi7727
    @komborashidi7727 2 ปีที่แล้ว

    Ha

  • @maishakisunzu3907
    @maishakisunzu3907 2 ปีที่แล้ว

    Duuuu!!! Sema tu basi!!!, dada anaongea hoja za msingi ila sasa hana namna!!

    • @teddyhenry2579
      @teddyhenry2579 2 ปีที่แล้ว

      Hivi ni mbuge wa chama gani vile 🤣

    • @maishakisunzu3907
      @maishakisunzu3907 2 ปีที่แล้ว

      @@teddyhenry2579 hahahaaa, chama cha kujitegemea!!!

  • @psuccess9624
    @psuccess9624 2 ปีที่แล้ว

    Dodoma Bungeni👉👉👉👉👉👉👉👉👉👉👉👉tazama
    th-cam.com/video/2rKtgjxtdko/w-d-xo.html

  • @makubothomas7806
    @makubothomas7806 2 ปีที่แล้ว

    Mtetezi ni mtetez2 big up my sister