Padre Dkt Kamugisha: Ulichonacho anza/ Usiridhike katika maisha fanya kitu/ Jaribu tena na tena

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • Ni mfululizo wa Mafundisho ya kila Juma kutoka kwa Paroko wa Parokia ya Mt Yohana Muzeyi Minziro Jimbo Katoliki la Bukoba Padre Dkt Faustine Kamugisha , mafundisho haya hutolewa kila juma katika kanisa kuu la Bukoba Jimbo Katoliki la Bukoba. Karibu ufuatilie sehemu hii ya Mada inayohusu ''JARIBU TENA NA TENA''.
    www.radiombiu.co.tz
    #RmSautiYaFaraja

ความคิดเห็น • 17