NIPE ZAWADI ZANGU NINGALI HAI Official Video by GOBA SDA CHOIR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Mara nyingi katika Maisha ni vigumu mtu kupewa sifa akiwa hai. Tumeshuhudia katika risala mbalimbali za Misiba watu wakipewa sifa kemkemu wakati hawasikii lolote,hivyo ni vema kumwambia mtu kwa yale mema anayofanya akiwa hai ili aendelee kuongeza juhudi katika kutumika. Barikiwa unaposikia ujumbe huu kutoka Kwaya ya Waadventista wa Sabato Goba, Dar es Salaam - Tanzania.

ความคิดเห็น • 70

  • @RobertOkoth-tq5by
    @RobertOkoth-tq5by 19 วันที่ผ่านมา

    Amina watumishi mbakiweni sana,,,Mungu azidi kuwapa Nguvu ya kumtumikia

  • @DaviesKipesha
    @DaviesKipesha 3 หลายเดือนก่อน

    Hii video itafika more than one million views in Jesus name Amen🙏

  • @omotekennedy9110
    @omotekennedy9110 11 หลายเดือนก่อน

    Wimbo nzuri kweli. Mungu awabariki sana waimbaji wa Goba

  • @CarolineNyamoita-eg6zf
    @CarolineNyamoita-eg6zf 24 วันที่ผ่านมา

    Wow beautiful song ,,from kariobangi sda church,well cm back again you guys❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @stephenriwa6035
    @stephenriwa6035 ปีที่แล้ว +1

    Amina .Nimebarikiwa na Choir hii

  • @duniakema1170
    @duniakema1170 ปีที่แล้ว +1

    Bonge la wimbo, ujumbe mzuri sana sauti zimepangika safi kabisa, nabarikiwa mno na napata somo zuri sana

  • @reministermbise8884
    @reministermbise8884 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe huu wimbo Huwa ni alarm kwangu

  • @agnesleon3057
    @agnesleon3057 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongereni sana nyimbo nzuri ujumbe mzuri.Amina

  • @edaamos1479
    @edaamos1479 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki kwa wimbo mzuri sana

  • @d.m453
    @d.m453 ปีที่แล้ว +1

    Ameen! Ameen,wimbo mzuri wenye kufundisha,mbarikiwe sana Goba

  • @jaliwakope1949
    @jaliwakope1949 3 ปีที่แล้ว +2

    Ujumbe mzuri. Ahsante kwa kunibariki nanyi mbarikiwe na Mungu awatie nguvu katika kazi ya injili kwa njia ya uimbaji!.

  • @aishasaid6143
    @aishasaid6143 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe sana wimbo mzuri sanaa

  • @nancyabura7316
    @nancyabura7316 9 หลายเดือนก่อน +3

    Who is here because of songambele choir version ❤❤NIPE ZAWADI

  • @Markdonvillagehotel
    @Markdonvillagehotel ปีที่แล้ว +2

    Mr. Tabasamu ndani ya dodomA this song blessed me a lot ❤😢😢

  • @ezihakawema1192
    @ezihakawema1192 2 ปีที่แล้ว +1

    Choir Mungu awakumbuke kupitia utume mlioitiwa,,

  • @gloryjacob9478
    @gloryjacob9478 ปีที่แล้ว +1

    wimbo huu mzr sana na sauti pia nzr hakika inapendeza Mungu awabariki

  • @stanyfordemanuel8448
    @stanyfordemanuel8448 2 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mzuri sana wenye ujumbe ndani yake....mzidi kubarikiwa waimbaji wa Goba....nimefurahi pia kumuona shemeji yangu Minah akimtukuza MUNGU

  • @moseshandstalker
    @moseshandstalker 2 ปีที่แล้ว

    Nimeipendaaa❤️💕💓💕💓💕💕💖💓💕💖💕

  • @jamesselemani4562
    @jamesselemani4562 3 ปีที่แล้ว +2

    Mbarikiwe Sana wimbo mzuri sana umenigusa sana

  • @rozaliamagige2109
    @rozaliamagige2109 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni Wana wa Mungu kazi yenu ni njema sana

  • @bhadija5549
    @bhadija5549 ปีที่แล้ว

    Nikweli watu tumejikit kwenye mambo ya duniani nawapenda saaana

  • @salmasamats6497
    @salmasamats6497 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki nimewamisi

  • @daviesskipesha1351
    @daviesskipesha1351 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Sana, nimeguswa Sana na huo wimbo.

  • @omotekennedy9110
    @omotekennedy9110 ปีที่แล้ว +1

    Powerful song. Mungu awabariki

  • @davidasiagi9062
    @davidasiagi9062 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimebarikiwa Amina Kwa wimbo mzuri

  • @beatricemasoli
    @beatricemasoli 2 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana majirani zangu

  • @betianamdessa6526
    @betianamdessa6526 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo wenye ujumbu mzito

  • @japhetthobias6748
    @japhetthobias6748 ปีที่แล้ว +1

    Amen, God bless you all 🙏

  • @mafurufrancis9150
    @mafurufrancis9150 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakumbuka huu wimbo uliimbwa hapa BOKO SDA church siku ya sabato ya wageni. Ni wimbo mzuri na unabariki sana.

  • @dainajeckonia198
    @dainajeckonia198 2 ปีที่แล้ว

    Nice song

  • @priscaaugustino5803
    @priscaaugustino5803 ปีที่แล้ว

    BWANA awabarki sana

  • @benjaminmunuo9544
    @benjaminmunuo9544 3 ปีที่แล้ว

    Hot song, barikiweni wapendwa katika utumishi, eze keep it up bro........
    Hii message ina ukweli wenyewe

  • @edaamos1479
    @edaamos1479 3 หลายเดือนก่อน

    Nazidi kubarikiwa

  • @ruthjohns6593
    @ruthjohns6593 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi Sanaa,Amen.

  • @meckywadya3891
    @meckywadya3891 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @gloriousnp
    @gloriousnp 3 ปีที่แล้ว +2

    What a message, binafsi nimeguswa 🥲🥲
    Mbarikiwe sana Goba SDA choir 👍🇹🇿🙏🏿

  • @sadikiothiniel7859
    @sadikiothiniel7859 3 ปีที่แล้ว +2

    Always better......Love Goba choir

  • @aldenkitori9596
    @aldenkitori9596 3 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU awabariki mnapoendelea kutubariki Kwa njia hii ujumbe mzito

  • @paulkipkoechkoskei6018
    @paulkipkoechkoskei6018 2 ปีที่แล้ว

    Ukweli mtupu!

  • @sheridagumbo7596
    @sheridagumbo7596 6 หลายเดือนก่อน

    Very strong message ❤️🤏🏼

  • @agapemwakitosi8331
    @agapemwakitosi8331 2 ปีที่แล้ว +1

    NIPE ZAWADI ZANGU NA SIFA NINGALI HAI

  • @carolineatieno5118
    @carolineatieno5118 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera 🙏🙏

  • @omotekennedy9110
    @omotekennedy9110 11 หลายเดือนก่อน +1

    Keep listening to this piece. Learning from the song

  • @shanitusmagoti2558
    @shanitusmagoti2558 9 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @petermuganda7322
    @petermuganda7322 2 ปีที่แล้ว

    Ujumbe mzito sana barikiweni goba

  • @mr.tabasamumedia9740
    @mr.tabasamumedia9740 ปีที่แล้ว +1

    ❤️❤️❤️💯

  • @richardsimon6683
    @richardsimon6683 3 ปีที่แล้ว +2

    Kaz nzur

  • @juddymboya6883
    @juddymboya6883 ปีที่แล้ว

    Dudeee

  • @Apostleboaznyambune
    @Apostleboaznyambune 3 ปีที่แล้ว +1

    Great choir

  • @daviesskipesha1351
    @daviesskipesha1351 2 ปีที่แล้ว +3

    Siamini huu wimbo hauna over one million views, wimbo mzuri sana, please share huu wimbo kwa ndugu jamaa na marafiki .

    • @duniakema1170
      @duniakema1170 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa ni moja ya wimbo mkubwa sana kwa ujumbe wake huu inabidi tuupe support ya kutosha

    • @xuzaalihoo
      @xuzaalihoo ปีที่แล้ว

      Share kwa watu wengi zaid utafikaa kaka

    • @DaviesKipesha
      @DaviesKipesha 3 หลายเดือนก่อน

      Amen

  • @rabanphotostudionyakanazi_4115
    @rabanphotostudionyakanazi_4115 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa kwa ujumbe

  • @gervaspeter691
    @gervaspeter691 3 ปีที่แล้ว +3

    Always am blessed with this song

  • @shedomumbere2044
    @shedomumbere2044 ปีที่แล้ว

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ezekilymmbaga3853
    @ezekilymmbaga3853 3 ปีที่แล้ว +1

    nakubali

  • @hezbornotieno7173
    @hezbornotieno7173 3 ปีที่แล้ว

    Bwana Yesu asifiwe!

  • @mvl6827
    @mvl6827 3 ปีที่แล้ว +2

    Wonderful song. Is for a funeral?

  • @yuscobeatmaker2820
    @yuscobeatmaker2820 3 ปีที่แล้ว +1

    amen

    • @ezekielw.ezekiel9558
      @ezekielw.ezekiel9558 3 ปีที่แล้ว

      Nakubali

    • @hasanmtao5606
      @hasanmtao5606 3 ปีที่แล้ว

      Nimeupenda sana huu wimbo Mungu awabariki sana Goba SDA choir🙌

    • @georgefungo815
      @georgefungo815 3 ปีที่แล้ว

      Hakika wimbo mkali niambie sifa zangu ningali hai

  • @remnantkikiwa3488
    @remnantkikiwa3488 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @petermuganda7322
    @petermuganda7322 2 ปีที่แล้ว

    Amen