Ninamshukuru Mungu sana KUFUATA mafundisho yako . Yananibariki ni ya ukweli unaeleza mambo ya msingi kabisaaaaa. Kweli kuna makabila yanakum buka sana nyumbani walikozaliwa hasa WACHAGA, WAMEJENGA MIJINI NA MASHAMBANI MIJENGO YA KUELEWEKA, NYUMBA NI CHOO ,MAJI NA UMEME PIA. KWANI KUSOMA SI KUELIMIKA,.WACHA WIVU, UCHAWI, NANUONGO . CHARITY STARTS FROM HOMES.
Asante sana mtumishi umenisaidia Kwa upande wa kuweka nadhiri barikiwa sana Mungu akufunulie ufunuo uzidi kunena nasi katika jina la yesu christo
Nakubali Pastor
Mch. D. Mgogo nakuelewa sana baba yangu kipenzi. Unanipa raha sana
Amen,neno la baraka limenibariki sana
Asantee mchungaji kwa neno limeningusa kiukweli ndo maana naona mabadiliko .
Asante mtumishi
Ninamshukuru Mungu sana KUFUATA mafundisho yako . Yananibariki ni ya ukweli unaeleza mambo ya msingi kabisaaaaa. Kweli kuna makabila yanakum buka sana nyumbani walikozaliwa hasa WACHAGA, WAMEJENGA MIJINI NA MASHAMBANI MIJENGO YA KUELEWEKA, NYUMBA NI CHOO ,MAJI NA UMEME PIA. KWANI KUSOMA SI KUELIMIKA,.WACHA WIVU, UCHAWI, NANUONGO . CHARITY STARTS FROM HOMES.
Mungu azidi kukutia Nguvu Mtumishi wa Mungu
Amen mchungaji ! Kuhusu Mahouse girl hapo umepatia kabisa
Mungu Akubariki
Ahsante mtumishi, nabarikiwa Sana.
Mchungaji nabarikiwa sana nikiwa Kenya bungoma county
Napenda sermon yako zaidi ,endelea kutubariki na neno
Barikiwa baba neno la uzima
Amen mchungaji nimebalikiwa na somo lako umenifungua kwakweli kwa upande wa nazili
Umenifunza kitu hapa
Kilimanjaro oyeeeee barikiwa mtumishi
Napenda huu ujumbe mchungaji
Asante Sana muchungaji.kwa mafundisho haya yana tusaidiya saaana mungu aku funulie zaidi.ameeeeeeeen
Asante sana kwa mafundisho yako mungu akulinde nakuelewa sana.
Mungu akubaliki sana sana sana sana
Mungu nisaidie
Jamani karibu Moshi Mchungaji
Mungu akubark Sana, 🙋🙋🙋🙋🙋.
Wataama kabisa
kawaida swafi Baba barikiwa sana 🙏🙏
Dawa Yao ita police kamata weka ndani🙏🙏
A man of God be blessed
Wape dose 😂 amen
MCH UMESAHAU KAGERA MIJENGO YA KUELEWEKA MIGOMBANI.
Ameen
Amen
Hahahaaa uwiii nimecheka hapo wa ukoo wa sadaka
Makabila Mengine Yanasumbuliwa na Ubinafsi, na Uchawi Ukijenga Kijijini Wanakuua mfano Wasukuma na Wajita!
ni kweli sio kwamba hatupendi kujenga nyumba zuri kijijini ila ukijenga tu unarogwa😔😔
Mchungaji Sasa ni namna gani tunaondoa hiyo nadhiri endapo htunakua tumeshindwa kutimiza?
Very good message from the Bible thank you pastor Mgogo
AMEN 🙏 true gospel.
Amina baba sema tupone!;!!!!
Ameen
Pastor Mungu azidi kukupa maono napona
YAANI MCH UNA MANENO KWELI KWELI YENYE UKWELI NDANI YAKE.
Sema tupone ! Ni kweli kabisa
😊
Amen 🙏🙏
Hakuna kuchezea taasis
Bwana abariki mifupa yako L🤣L Mungu atusaidie jamani.
Amen Amen
Amina
amen
Amen
Amen
Amen