Hawa wafugaji ni vema wakapewa maeneo mbali na hifadhi, vinginevyo baadae tutasaga meno kwa kujilaumu kuchukua hatua haraka.Tusijidanganye eti wanyama na binadamu kuishi pamoja ni vizuri.
Wewe naye haujui kitu ishu ya ngorongoro hauifahamu hata huyu kitenge? Toka amezaliwa ndio mara ya kwanza kwenda ngorongoro na anashangaa ? Na kuanza kuongea ujinga . Nasema kama hamjui ishu ya ngorongoro tuachieni sisi waishio huku tunajua na tunaishi na wanyama toka enzi na enzi msilete sera ambazo hamjui kaeni kimya
Watanzania tupendane! Kwetu mbeya wilaya ya mbalali tumehamishwa mara nyingi maeneo yetu tangu enzi za mababu bonde la usangu wamefanya hifadhi za taifa tumelia sanaa hadi chozi la damu haikusaidia vipi washindwe ngorongoro conservation!?? Mama samia suluhu Hassan maliza hii KERO kubwa waondoke haraka
Mm Nina solution tokea mwaka 1999 nlisema haya na nkaonekana mjinga..2005 nkaongea Sana nkapuuzwa..naitwa gphray ntafuteni nina solution yakudimu milele na buree Kabsaa ntasaidia..ni Rai's Hayati Magufuli pekee aliyeweza kuniskiliza na kuchukuwa hatua papohapo....jamana watanzania tuache unafiki na tuipende Tanzania kuliko chochote
Huyo ni mshamba wa ngorongoro toka azaliwe ndio mara ya kwanza.kwenda ngorongoro na anashangaaa kuona watu kuishi na wanyama? Kweli ? Sasa hivi ndio unashangaa ? Hata mzungu aliyopo marekani ? Au canada.? Anajua kabisa nikifika ngorongoro ntaona.wanyama na watu ambao ni wamasai? Sasa wewe upo hapa tanzania unashangaa unaleta hoja za uongo? Toka enzi na enzi mababu zetu walikuwa hapo wakati bado serikali haijatangaza kuwa hifadhi walikuwa humo na wananyama? Na ndio wanalinda majangili ? Hakuna majangili hifadhi ya ngorongoro ndio hifadhi inayolindwa vizuri kuliko hifadhi yoyote tanzania?? Na wanaolinda ? Ni wakazi wa humo humo ambao ni wamasai ?leo hii unasema eti waondoke ? uwatoe uwapeleke wapi ?.
Kama haujui,sisi wamasai tumezoea kuishi porini na wanyama,Simba hawezi kuua masai hata siku moja,tungesha hama huku,tatizo lako haujawahi kuishi kijijini!
Ila upande mwengine nao hawa ndugu zetu hua wanamifugo mingi hata awe hana chumvi ndani yupo tayari ale mboga bila chumvi ah sijui hio mifugo hua wanashindana kufuga
Wtz tufail wapi?mtu anaelezea uhalisia Jinsi hali ilivyo ,mwingine unakuja na negativity kuwa wanataka watu waondolewe ,kila binadamu ana haki ya kuishi na kupata huduma sawa na wtz wengine.
Kweli bit kuna ubishi mwingine hauna maana mimi nimekwenda ngorongoro kiukweli imeharibika sana mifugo kama ngombe imekuwa mingi sana na kweli unapopita watt wanawafuata na kuomba chakula
Huo Ni uongo na upotoshaji mkubwa wamasai wanaishi hapo miaka na miaka na wange kuwa Wana hitaji hayo unayo ya Seema SI wangeshasema? Wacha kupotosha katangaze magazeti na michezo hamjui historian ya hapo na hamjui maisha ya wamasai
Tatizo wanao hamia uko nakufanya miradi sio wa Masai, wafanya biashara wame vamia huko Masai mkimuondoa hapo siosuluhu, idadiyawatu inaongezeka kila kukicha, tutafute namna ya kuzuiya vitalu vya uwindaji, namasoko yapembezandovu, na matajiri wanao nunua pembe zafaru Kama tibaya nguvu zakiume, waliye pakia twiga kwenda katari sio wamasai, na Hoteli ya grend melia mbona tunasikia ni kituo chakusafirishia wanyama wetu?
Ndugu Tz ni kubwa mno mno. Kuna maeneo mengi tu yasiyohifadhi na ni empty. Kuishi humo kama wanyama wengine eti ni part ya ecosystem kwa kuwapotosha na kuwapa elimu na sifa za kijinga ni kuwanyima haki za kibinaadam. Pia kwakuwa wao ni binaadamu na sio kama wanyama wengine wamekuwa wakiendesha shughuli za kibinaadam means kujenga nyumba za kudumu na vinginevyo ambavyo hata hiyo ecosystem haivihitaji. Mnataka kusema kuwa wao kuliwa na simba ni sehemu ya ecosystem? Hapana kabisa.
Kitenge kwa kweli wewe ulijuaje wakati ukogo dar maji machafu hawajaanza kunywa saiv mbona wanaishi halafu unataka wapelekwe wapi kitenge kwa kweli sikuelewi angalia hao kondoo maana hawapo dar
@@ssaa7495 ndo maana ata huna jina la kueleweka, yani mnaweka mikakati ya watu kuumia ,kupoteza mali zao, siku likikukuta janga ndo utajua maumivu yake, hatupingi maana serekali inanguvu, kama kutunza mazingira mbona wameenda kukata miti kutengeneza bwawa la kuzalisha umeme kwenye hifadhi. Nyie fanyeni kazi yenu, wewe, kitenge, Oscar na wengine ndo kazi serekali inawalipa, ila mngebaki kwenye kuakikisha usalama wa nchi upo imara ingeleta maan ya ajira yenu
Acheni ushabiki hakuna aliyewalazimisha wamasai kuishi Ngorongoro, infact ni sehemu ya ecosystem... hamuwezi kuwa uproot kutoka kwenye hifadhi waende wapi?? Hii si kazi ya waandishi kuwasemea wamasai, kama hali yao ni mbaya, watahama, kama hawahami kuna kiyu wanapata... siku ya kwanza nimeenda kwenye manyata nilijisikia hivyo lakini approach ya pressure from outside kuwahamisha wamasai kutoka makazi yao haitawork. It has to come from them! Mnaleta mzozo mkubwa
Ndugu Tz ni kubwa mno mno. Kuna maeneo mengi tu yasiyohifadhi na ni empty. Kuishi humo kama wanyama wengine eti ni part ya ecosystem kwa kuwapotosha na kuwapa elimu na sifa za kijinga ni kuwanyima haki za kibinaadam. Pia kwakuwa wao ni binaadamu na sio kama wanyama wengine wamekuwa wakiendesha shughuli za kibinaadam means kujenga nyumba za kudumu na vinginevyo ambavyo hata hiyo ecosystem haivihitaji. Unataka kusema kuwa wao kuliwa na simba ni sehemu ya ecosystem? Hapana kabisa.
@@rubyring100 nenda wewe ukasome ecolojia na haki za kibinaadam uje useme hapa ni sehemu gani ya haki za kibinaadam inayomregad binadam kama mnyama yaani simba, faru, swala na sungura. Uje useme ni mahali gani ya haki za binaadam anasema binadam hatakiwi kujenga nyumba ya bati na simenti, kuwa na maji, kuwa na barabara na kuendesha shughuli za kibinaadam kama wengine.

@@alexjohn7361 Elewa huko ni kwenye hifadhi unaeza jenga shule na kupeleka umeme na barabara kwenye mbuga za wanyama???!!! Acha ushabiki...basi na simba aje mjini kuishi😆😆
Aliewatuma ameumbuka,yaani simba kwetu ni asili yetu,tunaua kama tunavyoua panya,Simba aache kula mbuzi,ng'ombe au kondoo aje ale Masai?ulishawahi kuona wapi?
Shida mnakurupuka kutoa taarifa bila kufanya reaseach,,sjui kama mnajua nini maana ya conservation au multipal land use,then ukishajua ivyo toa taarifa kamali,,shida mmefanya tour 2022 those years way bsck mliuwa wapi??🤷🏽🤷🏽🤷🏽,,mkiwa kama wasomi fanyeni research mzee.
@tito wasomi tunasema no research no right to speak!!!!jamaa hawajafanya utafiti wowote wakile wanachoongea kifupi siwaelewi kabisa nikama wametumwa flani ivii
Nikweli wamekua wengi hao jamaa apo hifadhini lakin mmkumbuke hawapo apo kienyeji mikataba ilisainiwa 1959 baina ya serekali ya Tanzania na serekali ya kijerumani so iyo taaruki yetu sidhani kama itafanya kazi kafanyeni utafiti ndio mje na taaruki ya kisomi adi nimemdharau kitenge daaah
Hongera kitenge na timu yako mmefanya kazi nzuri
Fact all true Mungu asaidie hatua ichukukuliwe
Tanzania ni kubwa. Wahame. Ngorongoro Crater ibaki ya wanyama, basi!
Nani alikuambia wanaishi crater?
Hawa wafugaji ni vema wakapewa maeneo mbali na hifadhi, vinginevyo baadae tutasaga meno kwa kujilaumu kuchukua hatua haraka.Tusijidanganye eti wanyama na binadamu kuishi pamoja ni vizuri.
Waondolewe tu
Wewe naye haujui kitu ishu ya ngorongoro hauifahamu hata huyu kitenge? Toka amezaliwa ndio mara ya kwanza kwenda ngorongoro na anashangaa ? Na kuanza kuongea ujinga . Nasema kama hamjui ishu ya ngorongoro tuachieni sisi waishio huku tunajua na tunaishi na wanyama toka enzi na enzi msilete sera ambazo hamjui kaeni kimya
Watanzania tupendane! Kwetu mbeya wilaya ya mbalali tumehamishwa mara nyingi maeneo yetu tangu enzi za mababu bonde la usangu wamefanya hifadhi za taifa tumelia sanaa hadi chozi la damu haikusaidia vipi washindwe ngorongoro conservation!?? Mama samia suluhu Hassan maliza hii KERO kubwa waondoke haraka
Pamoja Sana maulidi kitenge....serikali fanyia kazi iloooo..
We ni mjinga sana
Mm Nina solution tokea mwaka 1999 nlisema haya na nkaonekana mjinga..2005 nkaongea Sana nkapuuzwa..naitwa gphray ntafuteni nina solution yakudimu milele na buree Kabsaa ntasaidia..ni Rai's Hayati Magufuli pekee aliyeweza kuniskiliza na kuchukuwa hatua papohapo....jamana watanzania tuache unafiki na tuipende Tanzania kuliko chochote
Kaka tuwasiliane naomba namba zako
Maulid yuko smart sana natamn sana kaz yako nadhn ukisom comment hii utanielew
We mzee tulia.
Dah leo mzze baba kaogea vzuri san pore pore leo nimekuwerewa sana
Huyo ni mshamba wa ngorongoro toka azaliwe ndio mara ya kwanza.kwenda ngorongoro na anashangaaa kuona watu kuishi na wanyama? Kweli ? Sasa hivi ndio unashangaa ? Hata mzungu aliyopo marekani ? Au canada.? Anajua kabisa nikifika ngorongoro ntaona.wanyama na watu ambao ni wamasai? Sasa wewe upo hapa tanzania unashangaa unaleta hoja za uongo? Toka enzi na enzi mababu zetu walikuwa hapo wakati bado serikali haijatangaza kuwa hifadhi walikuwa humo na wananyama? Na ndio wanalinda majangili ? Hakuna majangili hifadhi ya ngorongoro ndio hifadhi inayolindwa vizuri kuliko hifadhi yoyote tanzania?? Na wanaolinda ? Ni wakazi wa humo humo ambao ni wamasai ?leo hii unasema eti waondoke ? uwatoe uwapeleke wapi ?.
Kweli kuondoka kwa magu kila mmoja mdomo umekuwa mrefu
😁😁😁😁Mbavu zangu alafu huyu maulidi kitenge anajifanyaga Kama mujuaji hivi
Kama haujui,sisi wamasai tumezoea kuishi porini na wanyama,Simba hawezi kuua masai hata siku moja,tungesha hama huku,tatizo lako haujawahi kuishi kijijini!
Alafu wanasahau kuwa humo ngolongolo mmeishi miaka kibao sana ndiyo waone leo
Wakiliwa na Simba ni sawa tu hakuna noma si waliambiwa wahame walileta kichwa ngumu simba chui kuleni tu hao wamasai wamalizenu wote
7
Kweli mkuu
Ushamba upo wa aina nyingi sana,ukipewa pesa upotoshe kwa makusudi unaumbuka,eti kondoo anakula hadi mchanga,Shame on you Kitenge.
Mmetumwa
Kuma san
Watoweni wamasai mbunga inakufa maana dhuluma imezidi sana.
Wanaelewa maana ya maasai kweli.? Huwez watoa hapo kirahis.
Ila upande mwengine nao hawa ndugu zetu hua wanamifugo mingi hata awe hana chumvi ndani yupo tayari ale mboga bila chumvi ah sijui hio mifugo hua wanashindana kufuga
Watoke huko nani kawapeleka?
Haongopi kujeheruliwa hao
Ww pasco na hao kina kitenge mikundu nyie
Maurid unafaa kua dc iseee nakukibali
Acheni hao watu waishi huko ni kwao wamezaliwa hapo
Hayo ni maisha Yao mjinga wewe msulidi acha upumbavu
Wamasai yaan huwa hawasikiagi!!! Waondoke eneo hili!!!
Mbona ata huku watu wauawa
Jamaaa anaongea ukweli ,sure you can imagine the pain he feel
Waondoke tu mbugani.Hali ngumu wanataka wenyewe.Acheni kutafuta kiki.
Hawa jamaa ni wajinga sana... Wamasai hawatakiwa kuhama hapo tena wanatakiwa kuongezewa square za aridhi.
Wasikilize kwa umakini umekurupuka
Swali ni Je Kwa waleWAFUGAJI waliotaifishiwa mifugo yao.,,kisa,,,,walikutwa wanachunga maeneo ya Hifadhi ya Taifa.hapo inakuwaje?🤔
Cc wamasai ndio tunapenda kuishi huko na tukidhindwa huwa tunaama wenyewe
Waondolewe huko
Umeongea bana kitenge
Wtz tufail wapi?mtu anaelezea uhalisia Jinsi hali ilivyo ,mwingine unakuja na negativity kuwa wanataka watu waondolewe ,kila binadamu ana haki ya kuishi na kupata huduma sawa na wtz wengine.
Kweli bit kuna ubishi mwingine hauna maana mimi nimekwenda ngorongoro kiukweli imeharibika sana mifugo kama ngombe imekuwa mingi sana na kweli unapopita watt wanawafuata na kuomba chakula
Jamii hii ya Wafugaji lazima waambie ukweli kwamba Ngorongoro sio yao peke yao ni ya Watanzania wote. Hakuna mtu ana Hati Miliki ya Ngorongoro.
Sawa kabisa,karibu tuishi wote ng'oro ng'oro.
@@moringelangas7276 . Ahsante sana na wewe karibu tuishi wote Lindi.
Huo Ni uongo na upotoshaji mkubwa wamasai wanaishi hapo miaka na miaka na wange kuwa Wana hitaji hayo unayo ya Seema SI wangeshasema? Wacha kupotosha katangaze magazeti na michezo hamjui historian ya hapo na hamjui maisha ya wamasai
Acha kuropoka ww watu wanaongea kutetea binadamu ww unasema wanapotosha wangekuwa ndugu zako wanaishi hapa ungesema haya maneno
Serikali niile ile ki usadia watu wake ngumu ila kusadia watu inja nirsisi
Wacha mdomo wewe kwasababu ukona pesa kwani wewe nimsafi
Tatizo wanao hamia uko nakufanya miradi sio wa Masai, wafanya biashara wame vamia huko Masai mkimuondoa hapo siosuluhu, idadiyawatu inaongezeka kila kukicha, tutafute namna ya kuzuiya vitalu vya uwindaji, namasoko yapembezandovu, na matajiri wanao nunua pembe zafaru Kama tibaya nguvu zakiume, waliye pakia twiga kwenda katari sio wamasai, na Hoteli ya grend melia mbona tunasikia ni kituo chakusafirishia wanyama wetu?
Ndugu Tz ni kubwa mno mno. Kuna maeneo mengi tu yasiyohifadhi na ni empty. Kuishi humo kama wanyama wengine eti ni part ya ecosystem kwa kuwapotosha na kuwapa elimu na sifa za kijinga ni kuwanyima haki za kibinaadam. Pia kwakuwa wao ni binaadamu na sio kama wanyama wengine wamekuwa wakiendesha shughuli za kibinaadam means kujenga nyumba za kudumu na vinginevyo ambavyo hata hiyo ecosystem haivihitaji. Mnataka kusema kuwa wao kuliwa na simba ni sehemu ya ecosystem? Hapana kabisa.
Kitenge kwa kweli wewe ulijuaje wakati ukogo dar maji machafu hawajaanza kunywa saiv mbona wanaishi halafu unataka wapelekwe wapi kitenge kwa kweli sikuelewi angalia hao kondoo maana hawapo dar
Wasenge hawa kina kitenge na oscar naona mmeshalipwa pesa na mwaarabu ili kupotosha umma kuma nyiee
Hawa wanatengeneza propaganda tu kama mnataka kusaidia wapeni wamasai fidia ya kutosha siyo mnaongea tu
Swalimnajua wamasai waliletwa lini hapo ?nyie pigeni porojo mrudi dareslama mnataka wahame wapi
Nyie mmetumwa kualalisha wamasai waondolewe kwenye eneo lao
Tumieni akili siyo kila kitu nipinga tu
@@ssaa7495 ndo maana ata huna jina la kueleweka, yani mnaweka mikakati ya watu kuumia ,kupoteza mali zao, siku likikukuta janga ndo utajua maumivu yake, hatupingi maana serekali inanguvu, kama kutunza mazingira mbona wameenda kukata miti kutengeneza bwawa la kuzalisha umeme kwenye hifadhi. Nyie fanyeni kazi yenu, wewe, kitenge, Oscar na wengine ndo kazi serekali inawalipa, ila mngebaki kwenye kuakikisha usalama wa nchi upo imara ingeleta maan ya ajira yenu
@@lazaroletion hongera wewe mwenye sura ya kueleweka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Acheni ushabiki hakuna aliyewalazimisha wamasai kuishi Ngorongoro, infact ni sehemu ya ecosystem... hamuwezi kuwa uproot kutoka kwenye hifadhi waende wapi?? Hii si kazi ya waandishi kuwasemea wamasai, kama hali yao ni mbaya, watahama, kama hawahami kuna kiyu wanapata... siku ya kwanza nimeenda kwenye manyata nilijisikia hivyo lakini approach ya pressure from outside kuwahamisha wamasai kutoka makazi yao haitawork. It has to come from them! Mnaleta mzozo mkubwa
Ndugu Tz ni kubwa mno mno. Kuna maeneo mengi tu yasiyohifadhi na ni empty. Kuishi humo kama wanyama wengine eti ni part ya ecosystem kwa kuwapotosha na kuwapa elimu na sifa za kijinga ni kuwanyima haki za kibinaadam. Pia kwakuwa wao ni binaadamu na sio kama wanyama wengine wamekuwa wakiendesha shughuli za kibinaadam means kujenga nyumba za kudumu na vinginevyo ambavyo hata hiyo ecosystem haivihitaji. Unataka kusema kuwa wao kuliwa na simba ni sehemu ya ecosystem? Hapana kabisa.
@@alexjohn7361 kajielimishe ndio urudi rafiki yangu
@@rubyring100 nenda wewe ukasome ecolojia na haki za kibinaadam uje useme hapa ni sehemu gani ya haki za kibinaadam inayomregad binadam kama mnyama yaani simba, faru, swala na sungura. Uje useme ni mahali gani ya haki za binaadam anasema binadam hatakiwi kujenga nyumba ya bati na simenti, kuwa na maji, kuwa na barabara na kuendesha shughuli za kibinaadam kama wengine.
@@rubyring100 nenda wewe ukasome ecolojia na haki za kibinaadam uje useme hapa ni sehemu gani ya haki za kibinaadam inayomregad binadam kama mnyama yaani simba, faru, swala na sungura. Uje useme ni mahali gani ya haki za binaadam anasema binadam hatakiwi kujenga nyumba ya bati na simenti, kuwa na maji, kuwa na barabara na kuendesha shughuli za kibinaadam kama wengine.
@@alexjohn7361 Elewa huko ni kwenye hifadhi unaeza jenga shule na kupeleka umeme na barabara kwenye mbuga za wanyama???!!! Acha ushabiki...basi na simba aje mjini kuishi😆😆
Aliewatuma ameumbuka,yaani simba kwetu ni asili yetu,tunaua kama tunavyoua panya,Simba aache kula mbuzi,ng'ombe au kondoo aje ale Masai?ulishawahi kuona wapi?
Shida mnakurupuka kutoa taarifa bila kufanya reaseach,,sjui kama mnajua nini maana ya conservation au multipal land use,then ukishajua ivyo toa taarifa kamali,,shida mmefanya tour 2022 those years way bsck mliuwa wapi??🤷🏽🤷🏽🤷🏽,,mkiwa kama wasomi fanyeni research mzee.
Sikiliza anssemaje acha kukurupuka
@tito wasomi tunasema no research no right to speak!!!!jamaa hawajafanya utafiti wowote wakile wanachoongea kifupi siwaelewi kabisa nikama wametumwa flani ivii
Hahahhaha unajua nyie mnatafuta kiki tu miaka yote mlikuwa wapi acheni kuwababaisha watu wawe wa kuhamahama tu
Nikweli wamekua wengi hao jamaa apo hifadhini lakin mmkumbuke hawapo apo kienyeji mikataba ilisainiwa 1959 baina ya serekali ya Tanzania na serekali ya kijerumani so iyo taaruki yetu sidhani kama itafanya kazi kafanyeni utafiti ndio mje na taaruki ya kisomi adi nimemdharau kitenge daaah
Wamasai WATOKE NCAA owe Wana mkataba au walipewa na mkoloni WATOKE TU tena wamebebwa Sana hawajiongezi kupungua makazi huko.