Yani ihi nyimbo tungekuwa WAbembe tuna pendana sana ihi nyimbo tungeipa tunzo tuna penda nyimbo kama izi sio nyimbo zenu za sasa mungu Awabariki wana music wakwetu mmeniongezea kitu kwenye akili yangu mungu Awabariki
Ujumbe mzuri kwetu waliopo nje, umetujenga kiuzalendo zaidi ila na sisi tunakuomba utufikishie ujumbe kwa viongozi wa serekali kuhusu: 1] Bei ya kuuza viwanja ipo juu kuzidi mikoa mingi nchini kwetu, hiyo inatokana na nini? 2] Taxes tarafani kwetu zipo nyingi sana, hiyo inatokana na nini? 3] Mitamba, barrieres zipo nyingi nazo zinatokana na nini? Sasa wao kama vile serekali wanaweza kumzuia yule anaepanga kununuwa kiwanja TZ,Burundi na kwenginepo asinunue huko akanunulie kwetu?? Alipanga kufunguwa duka Tz ao Burundi aache na haje kufunguwa duka lake kwetu kwakuofia ma taxes??
jambo habari gani mzima nime kusikia uko saii hiyo ndo tabiya ya ndugu zetu ila ni kwetu sote tu pambane tu ipo siku tuta fanikisha tu mungu aku bariki sana kwa ujumbe wako nzuri. nita jikaza kufikisha ujumbe wako seemu usika
Nimekubaliana na wewe vitu ni vingi kwetu vya kunyonya mwananchi , viwanja bei juu kuliko nchi jirani hata mahari ya kuoa iko juu saaana , ila ipo siku nitarudi nyumbani
namuitaji sana uyu jama mbembe mwenzangu jamani Nina mengi juu yake ikiwa unafuatilia comment tafadhali nijibu na ukitaka number nitakupa kwa mawasiliano zaidi mwimbaji mwenzangu.
Muko sawa nakumbali iyo wimbo wa kibebe tùlè hamo
Nzuri sana na kweli kabisa
Nyimbo nzuri inatujenga sisi tulio inje n'a kwetu fizi
Ebembe to the World 💪💪 une chanson qui donnent autant de frissons 😢😢
Ni kweli tusikimbiye kwetu muje wote tujenge nyumbani pamoja
Kazi nzuri
Kazi nzuri hongeraa
ombe-eto dunia. mimi chenye kinanipa burudani ni BITI pekee
😊😊😊
Betù Bana mwakoleeeeeeeee
The legends of bembe music keep up the good works my brothers
Hii ngoma ipo vizur sana nimekumbuka mbali sana kwaniaba ya #stafa_entertainment niseme hongeren sana kwa kazi hii ni yetu sote
Très touchant le message 😭
Merci pour cette bonne chanson d'éveil de conscience pour tout le peuple babembe de partout où il se retrouve 🙏🙏🙏
Byangene manga oncle wane
Wimbo mzuri unao amsha zamiri za wabembe ili tujenge Fizi yetu
Yani ihi nyimbo tungekuwa WAbembe tuna pendana sana ihi nyimbo tungeipa tunzo tuna penda nyimbo kama izi sio nyimbo zenu za sasa mungu Awabariki wana music wakwetu mmeniongezea kitu kwenye akili yangu mungu Awabariki
Itete leto ikila etú... émotionnée! Félicitations
Bana ba Fizi en forme 🇨🇩🇨🇩 courage wabembe
Siku moja nitarudi nyumbani nakupokelewa kama mwana maendeleo sio mwanasiasa
EBU WAAMBIENI WABEMBE WAFUTISHE HARAKATI ZAO ZAKUISHI KAMBINI KWA TAMAA ZAKWENDA ULAYA. MDA WAPO KAMBINI, BUBEMBE INABAKI NYUMA NAWAKATI WAMEENDA ULAYA FIZI NZIMA MNA IACHIA WANYARWANDA.
j'aime vraiment mon pote
Wimbo mzuri sana. I’m so proud of u sadi baba& eto dunia ❤️❤️❤️
Hongera sana kwa kazi kubwa uliyo hifanya kwa Nyimbo nzuri hizi Asante kwa tufurahisha sisi watoto wa Fizi Ubembe ❤
Muwe munajitahidi kuimba bobembe baadala ya kuimba Fizi yetu pengine wale wa Fizi Centre au Alembelembe wanaweza fikiria kwamba munasifu hule mji wao
Nyimbo zinaguza hizi 🤦♂️😭😭😭 ama kweli nina deni kubwa ya kujenga nyumbani Bubembe japo sipafahamu 🙏🏾
Wimbo umenigusa tatizo ndugu zangu mnatubowa
Ujumbe mzuri kwetu waliopo nje, umetujenga kiuzalendo zaidi ila na sisi tunakuomba utufikishie ujumbe kwa viongozi wa serekali kuhusu:
1] Bei ya kuuza viwanja ipo juu kuzidi mikoa mingi nchini kwetu, hiyo inatokana na nini?
2] Taxes tarafani kwetu zipo nyingi sana, hiyo inatokana na nini?
3] Mitamba, barrieres zipo nyingi nazo zinatokana na nini?
Sasa wao kama vile serekali wanaweza kumzuia yule anaepanga kununuwa kiwanja TZ,Burundi na kwenginepo asinunue huko akanunulie kwetu??
Alipanga kufunguwa duka Tz ao Burundi aache na haje kufunguwa duka lake kwetu kwakuofia ma taxes??
jambo habari gani mzima nime kusikia uko saii hiyo ndo tabiya ya ndugu zetu ila ni kwetu sote tu pambane tu ipo siku tuta fanikisha tu mungu aku bariki sana kwa ujumbe wako nzuri. nita jikaza kufikisha ujumbe wako seemu usika
Nimekubaliana na wewe vitu ni vingi kwetu vya kunyonya mwananchi , viwanja bei juu kuliko nchi jirani hata mahari ya kuoa iko juu saaana , ila ipo siku nitarudi nyumbani
Kila msomi wa fizi anataka kuwa mwanasiasa na hiyo ni tatizo lingine
Your songs are very good ,l need the all album please
🔥🔥🔥🔥🔥yoooo
Good amen ❤
ETO DUNIA BETON😎👍
Tokooos Yaya
Wenyu mwana mzalisa na baônda manga bandôgo chane
Asante sana kaka yangu mubarikiwe sana
Hooo Eto DUNIA nakanya tata.
Somo❤❤❤❤❤wow tuko pamoja sana wa toto wetu
good projet 💞✍✍ .........
iyo ni kweli na sisi waliopo uku inchi za kingeni ajingi nyumbani tena tuna jenga inchi zingine
Makobola on air
Félicitations vraiment
Mwakole manga batu bana
Zibenga wetùmwana ekoko
Hongera sana kwa kazi iyo, go ahead
Good job Mtema wanee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Papa
Butamu sana baba BETON
Proud of you vijana wetu ❤. Akim Ayamba from Bukavu
Vema kabisa
Mwakole manga ❤
🎉🎉❤❤❤
Naona mambo sio mabaya🔥
Wimbo wakuelemisha
Safi sana koko ni koko, you are the best!
J'aime trop ma tradition❤❤
safi sana kwa kanzi kama na hii ya kuimazina
Ujumbe umefika bilashida babondo amkeni
See by meldo classic
Kazi nzuri sana, proud to be Mbembe
❤❤❤❤❤
❤❤❤
naomba number ya sadi baba
red snack apa mwana Kentucky luvo
Good 🎉🎉
namuitaji sana uyu jama mbembe mwenzangu jamani Nina mengi juu yake ikiwa unafuatilia comment tafadhali nijibu na ukitaka number nitakupa kwa mawasiliano zaidi mwimbaji mwenzangu.
eto.zibe@yahoo.fr
niandikie maoni yako
Félicitations à tous wa Toto wa fizi
Kazi Nzuri❤❤❤❤😂
😂😂😂 to pain full
Well done guys msg sent and received
Good job prezo
Good
❤❤🎉
Sadi baba
✊🙌✊
😊
3:32
See by Mjur
hit song
👋📲👋😂😊😊
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤