DONGEFENG NI MFALME WA TEKNOLOGIA YA KILIMO🔥🔥⭐ | ZANA BORA LIMITED

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024
  • Pindua kilimo chako na trakta ya Dongfeng! Nguvu ya HP 90 na 95, na mfumo wa kisasa. Wakulima, jiandae kwa ufanisi Bora haijawahi tokea Tanzania! 🚜💪 #DongfengTractor #KilimoBora #UfanisiWakulima"
    ZANA ZA KISASA KWA KILIMO BIASHARA.

ความคิดเห็น • 9

  • @JamesMnyanga
    @JamesMnyanga หลายเดือนก่อน

    bei gani

  • @JosephMarwa-m1j
    @JosephMarwa-m1j 2 หลายเดือนก่อน

    Sema..bei.tunandoto..ya..kujua.bei

    • @OlaisMeyasi
      @OlaisMeyasi 2 หลายเดือนก่อน

      Taja bei boss

    • @zanaboralimited1130
      @zanaboralimited1130  หลายเดือนก่อน

      Habari Mr Joseph, samahani hatuwezi kuweka bei hapa kwenye comments kwasababu za kibiashara zaidi, tunaomba utuwie Sana radhi lakini bado tunaweza kukusaidia maswali yako yote ukitupigia kwa simu namba 0752331633 au 0686170833 au 0658331633, Ahsante!

    • @zanaboralimited1130
      @zanaboralimited1130  หลายเดือนก่อน

      Habari Mr Olais, samahani hatuwezi kuweka bei hapa kwenye comments kwasababu za kibiashara zaidi, tunaomba utuwie Sana radhi lakini bado tunaweza kukusaidia maswali yako yote ukitupigia kwa simu namba 0752331633 au 0686170833 au 0658331633, Ahsante!

  • @supersmartspaces1768
    @supersmartspaces1768 3 หลายเดือนก่อน +1

    Taja bei. mtawaudhi wanunuzi watarajiwa. Niangalie video zako, kisha tena niulize? Hili ni soko huria brother. Asiyetaja bei tunamshuku na tunamuacha. Inakuwa kama inatupotezea muda kubidi kuingia kwenye comments kusaka bei. Jiongezeni wapendwa zanabora.

    • @zanaboralimited1130
      @zanaboralimited1130  หลายเดือนก่อน

      Habari Mr Supersmartspace, samahani hatuwezi kuweka bei hapa kwenye comments kwasababu za kibiashara zaidi, tunaomba utuwie Sana radhi lakini bado tunaweza kukusaidia maswali yako yote ukitupigia kwa simu namba 0752331633 au 0686170833 au 0658331633, Ahsante!

    • @zanaboralimited1130
      @zanaboralimited1130  หลายเดือนก่อน

      Pia hakuna haja ya kusaka bei wala kuandika maswali kwenye comments, ukitupigia simu kwa namba zilizotajwa hapo juu , utahudumiwa kwa ukaribu zaidi na utapata majibu ya maswali yako yote ikiwemo na bei, Ahsante kwa kutumtumia meseji

  • @JamesMnyanga
    @JamesMnyanga หลายเดือนก่อน

    nahitaji hilo trecter