zanaboralimted
zanaboralimted
  • 58
  • 27 058
PATA MKOPO WA ZANA ZA KISASA ZA KILIMO🌾🚜💰
MKOPO WA ZANA ZA KILIMO CHAP KWA HARAKA!, tunawaalika kuwaasiliana nasi ili tukusaidie kupata mikopo ya zana za kisasa za kilimo kupitia taasisi za kifedha kama vile CRDB BANK na NMB BANK ,Fursa hizi zitakuwezesha kupata zana bora za kilimo na kuinua uzalishaji wako. Usikose nafasi hii! 🌾🚜💰 hashtag#MikopoKwaWakulima hashtag#KilimoBora hashtag#CRDB hashtag#NMB hashtag#KilimoTanzania
มุมมอง: 40

วีดีโอ

🌟FANYA USAFI 🧼 KWENYE MFUMO WA HEWA WA INJINI | KUBOTA POWER TILLER ZT 140 PLUS.🔧
มุมมอง 15528 วันที่ผ่านมา
Wapendwa Wakulima , Zana Bora Limited Tukishirikiana na Kubota tunapenda tunawahimiza na kuwakumbusha kuhakikisha mnasafisha mfumo wa hewa wa injini ya dizeli ya Kubota mara kwa mara, haswa baada ya kila masaa 100 ya matumizi. Injini safi ni sawa na matokeo bora shambani! SIKILIZA VIDEO HII MPAKA MWISHO UPATE KUJIFUNZE🌾🔧💪 #KilimoBora #Kubota #WakulimaTanzania #InjiniImara #TeknolojiaYaKisasa #K...
🌾🔥 MASHINE YA KILIMO YA KISASA | KUBOTA POWER TILLER ZT 140 PLUS
มุมมอง 125หลายเดือนก่อน
HII INAKUHUSUI!, Wakulima, mnapaswa kujua kwamba Kubota Power Tiller 140 ZT Plus ni mashine bora zaidi kwa kilimo chenye ufanisi na ubora. Iwe ni kwa kilimo cha kati au kikubwa, mashine hii imeundwa kusaidia kuongeza mavuno yako! Manufaa: Uwezo mkubwa wa 14HP. Utendaji wa hali ya juu na wa kuaminika. Rahisi kutumia na kudumu kwa muda mrefu. Pata yako sasa na uone tofauti kwenye shamba lako! was...
KUBOTA POWER TILLER ZT 140 Plus, TOLEO JIPYA.
มุมมอง 9Kหลายเดือนก่อน
Nguvu Kubwa kwa Kilimo! Yenye 14HP inakuletea ufanisi mkubwa katika kilimo chako. Iwe ni kwa shamba kubwa au dogo, hii ni mashine ya kisasa inayokufaa. Tupigie kwa simu namba 0752331633, 0686170833 au 0658331633 kwa mawasiliano #KubotaPowerTillerZT140Plus #KilimoKisasa #TanzaniaAgriculture #ModernFarming
KAA TAYARI KWA OFA YA VST(TREKTA NA PAWA TILLA) | INAKUJA.............🎉🌾🚜
มุมมอง 742 หลายเดือนก่อน
Wakulima!!, tunayo habari njema kwenu! OFA KUBWA ya VST Shakti Viraaj Tractors na Power Tillers inakuja hivi karibuni! Jiandae kuboresha kilimo chako kwa mashine bora na zenye nguvu zaidi. Usikose fursa hii! #VSTShaktiViraaj #Tractors #PowerTillers #OFAKUBWA #KilimoBora #MashineZaKisasa #TeknolojiaYaKilimo #WakulimaTanzania #KilimoEndelevu #ZanaBora
KUBOTA POWER TILLER ZT 140 PLUS, NA WAZAWADI BWEREREEE🔥🔥⭐| PEKEE KUTOKA ZANA BORA LIMITED
มุมมอง 1.5K4 หลายเดือนก่อน
KUBOTA POWER TILLER ZT 140 PLUS, NA WAZAWADI BWEREREEE🔥🔥⭐| PEKEE KUTOKA ZANA BORA LIMITED
VST POWER REAPER , INAVUNA MPUNGA, NGANO SOYA N.K 🔥🌋🌟 | ZANA BORA LIMITED
มุมมอง 404 หลายเดือนก่อน
VST POWER REAPER , INAVUNA MPUNGA, NGANO SOYA N.K 🔥🌋🌟 | ZANA BORA LIMITED
TELA LA TANI 5 LA KUBEBA MIZIGO TUNALO SISI TU!!! | ZANA BORA LIMITED🔥🔥🔥⭐
มุมมอง 1395 หลายเดือนก่อน
TELA LA TANI 5 LA KUBEBA MIZIGO TUNALO SISI TU!!! | ZANA BORA LIMITED🔥🔥🔥⭐
DONGEFENG NI MFALME WA TEKNOLOGIA YA KILIMO🔥🔥⭐ | ZANA BORA LIMITED
มุมมอง 1.6K5 หลายเดือนก่อน
DONGEFENG NI MFALME WA TEKNOLOGIA YA KILIMO🔥🔥⭐ | ZANA BORA LIMITED
TOKOMEZA KILIMO DUNI 🚜💪🔥 | ZANA ZA KISASA KWA KILIMO BIASHARA | ZANA BORA LIMITED 🌾✨
มุมมอง 6736 หลายเดือนก่อน
TOKOMEZA KILIMO DUNI 🚜💪🔥 | ZANA ZA KISASA KWA KILIMO BIASHARA | ZANA BORA LIMITED 🌾✨
HUYU HAPA HUYU!! 🔥🔥, VST SHAKTI VRAAJ TREKTA & VST POWER TIILER | #ZanaZaKisasaKwailimobiashara
มุมมอง 5716 หลายเดือนก่อน
HUYU HAPA HUYU!! 🔥🔥, VST SHAKTI VRAAJ TREKTA & VST POWER TIILER | #ZanaZaKisasaKwailimobiashara
TNAPATIKANA CITY CENTER DAR ES SALAAM | ZANA BOREA LIMITED
มุมมอง 248 หลายเดือนก่อน
TNAPATIKANA CITY CENTER DAR ES SALAAM | ZANA BOREA LIMITED
VST SHAKTI POWER TILLER | ZANA BORA LIMITED
มุมมอง 2198 หลายเดือนก่อน
VST SHAKTI POWER TILLER | ZANA BORA LIMITED
MWAKA MPYA ZANA ZA KILIMO | ZANA BORA LIMITED
มุมมอง 3478 หลายเดือนก่อน
MWAKA MPYA ZANA ZA KILIMO | ZANA BORA LIMITED
MERRY CHRISTMAS | ZANA BORA LIMITED
มุมมอง 168 หลายเดือนก่อน
MERRY CHRISTMAS | ZANA BORA LIMITED
MASHINE YA KUPANDA VIAZI MVIRONGO | ZANA BORA LIMITED
มุมมอง 1278 หลายเดือนก่อน
MASHINE YA KUPANDA VIAZI MVIRONGO | ZANA BORA LIMITED
MULTI-CROP PLANTER, Mashine ya kupandia mbegu na kumwaga mbolea | ZANA BORA LIMITED
มุมมอง 839 หลายเดือนก่อน
MULTI-CROP PLANTER, Mashine ya kupandia mbegu na kumwaga mbolea | ZANA BORA LIMITED
VST SHAKTI 9054 | ZANA BORA LIMITED | ZANA ZA KISASA KWA KILIMO BIASHARA
มุมมอง 7989 หลายเดือนก่อน
VST SHAKTI 9054 | ZANA BORA LIMITED | ZANA ZA KISASA KWA KILIMO BIASHARA
MASSEY FURGUSON 385 KUTOKA ZANA BORA LIMITED
มุมมอง 2909 หลายเดือนก่อน
MASSEY FURGUSON 385 KUTOKA ZANA BORA LIMITED
VIDHATAPADDY THRESHER | MASHINE YA KUPIGA MPUNGA
มุมมอง 639 หลายเดือนก่อน
VIDHATAPADDY THRESHER | MASHINE YA KUPIGA MPUNGA
Kubota Power Tiller ni nguvu ya mkulima!
มุมมอง 2.8K11 หลายเดือนก่อน
Kubota Power Tiller ni nguvu ya mkulima!
HABARI NJEMA KWA WAKULIMA WOTE!, | ZANA BORA ZA KISASA KWA KILIMO | TOKOMEZA KILIMO DUNI
มุมมอง 1.3Kปีที่แล้ว
HABARI NJEMA KWA WAKULIMA WOTE!, | ZANA BORA ZA KISASA KWA KILIMO | TOKOMEZA KILIMO DUNI
TUMEKULETEA SILAGE MACHINE | TENGENEZA CHAKULA CHA MIFUGO KWA UFANISI
มุมมอง 113ปีที่แล้ว
TUMEKULETEA SILAGE MACHINE | TENGENEZA CHAKULA CHA MIFUGO KWA UFANISI
MAONESHO YA TEKNOLOJIA NA UBUNIFU PART 2 | ZANA BORA LIMITED
มุมมอง 579ปีที่แล้ว
MAONESHO YA TEKNOLOJIA NA UBUNIFU PART 2 | ZANA BORA LIMITED
MAONESHO YA TEKNOLOJIA NA UBUNIFU PART 1 | ZANA BORA LIMITED
มุมมอง 576ปีที่แล้ว
MAONESHO YA TEKNOLOJIA NA UBUNIFU PART 1 | ZANA BORA LIMITED
ZANA BORA | TOKOMEZA KILIMO DUNI
มุมมอง 482ปีที่แล้ว
ZANA BORA | TOKOMEZA KILIMO DUNI
ZANA BORA LIMITED | ZANA KISASA KWA KILIMO BIASHARA
มุมมอง 108ปีที่แล้ว
ZANA BORA LIMITED | ZANA KISASA KWA KILIMO BIASHARA
Zana Bora Ltd And Agents Seminar
มุมมอง 582 ปีที่แล้ว
Zana Bora Ltd And Agents Seminar
DENGU THRESHING
มุมมอง 222 ปีที่แล้ว
DENGU THRESHING

ความคิดเห็น

  • @ThomasMpembe
    @ThomasMpembe 19 วันที่ผ่านมา

    Kwakweli jaribu kuweka wazi swala laubora nabei

  • @ThomasMpembe
    @ThomasMpembe 19 วันที่ผ่านมา

    Mm niko manyara kwakweli bei Mnazo uza hizo pawatila nighali kulingana na hali ya uchumi wa manyara

  • @ThomasMpembe
    @ThomasMpembe 19 วันที่ผ่านมา

    Hizi pawatila mnauza beigani

  • @fredrickchisanyo6663
    @fredrickchisanyo6663 23 วันที่ผ่านมา

    Man mm nipo mtwara,,, nahitaj mkopo wa power tiller

  • @MasumbukoMbeshi
    @MasumbukoMbeshi 28 วันที่ผ่านมา

    Tuma namba zako naitaji kobota

  • @JamesMnyanga
    @JamesMnyanga 28 วันที่ผ่านมา

    bei gani

  • @JamesMnyanga
    @JamesMnyanga 28 วันที่ผ่านมา

    nahitaji hilo trecter

  • @maulidinambala501
    @maulidinambala501 หลายเดือนก่อน

    Hello office zipo wapi

  • @HamisPaul-j2r
    @HamisPaul-j2r หลายเดือนก่อน

    Kubota power tilla ni nei gan

    • @zanaboralimited1130
      @zanaboralimited1130 หลายเดือนก่อน

      Habari Hamisi, samahani hatuwezi kuweka bei hapa kwenye comments kwasababu za kibiashara zaidi, tunaomba utuwie Sana radhi lakini bado tunaweza kukusaidia maswali yako yote ukitupigia kwa simu namba 0752331633 au 0686170833 au 0658331633, Ahsante!

  • @FloraMashamba
    @FloraMashamba หลายเดือนก่อน

    Nahitaji nipigie nijue zaidi 0736679496

  • @JosephMarwa-m1j
    @JosephMarwa-m1j หลายเดือนก่อน

    Sema..bei.tunandoto..ya..kujua.bei

    • @OlaisMeyasi
      @OlaisMeyasi หลายเดือนก่อน

      Taja bei boss

    • @zanaboralimited1130
      @zanaboralimited1130 หลายเดือนก่อน

      Habari Mr Joseph, samahani hatuwezi kuweka bei hapa kwenye comments kwasababu za kibiashara zaidi, tunaomba utuwie Sana radhi lakini bado tunaweza kukusaidia maswali yako yote ukitupigia kwa simu namba 0752331633 au 0686170833 au 0658331633, Ahsante!

    • @zanaboralimited1130
      @zanaboralimited1130 หลายเดือนก่อน

      Habari Mr Olais, samahani hatuwezi kuweka bei hapa kwenye comments kwasababu za kibiashara zaidi, tunaomba utuwie Sana radhi lakini bado tunaweza kukusaidia maswali yako yote ukitupigia kwa simu namba 0752331633 au 0686170833 au 0658331633, Ahsante!

  • @gracensumba1295
    @gracensumba1295 หลายเดือนก่อน

    Bei tafazari

    • @zanaboralimited1130
      @zanaboralimited1130 หลายเดือนก่อน

      Habari Grace, samahani hatuwezi kuweka bei hapa kwenye comments kwasababu za kibiashara zaidi, tunaomba utuwie Sana radhi lakini bado tunaweza kukusaidia maswali yako yote ukitupigia kwa simu namba 0752331633 au 0686170833 au 0658331633, Ahsante!

  • @huchehhayaa598
    @huchehhayaa598 2 หลายเดือนก่อน

    Nishilingi ngap?

    • @zanaboralimited1130
      @zanaboralimited1130 หลายเดือนก่อน

      Habari Mr Huche, samahani hatuwezi kuweka bei hapa kwenye comments kwasababu za kibiashara zaidi, tunaomba utuwie Sana radhi lakini bado tunaweza kukusaidia maswali yako yote ukitupigia kwa simu namba 0752331633 au 0686170833 au 0658331633, Ahsante!

  • @user-pk3lr3ny5j
    @user-pk3lr3ny5j 2 หลายเดือนก่อน

    mko wapi

    • @zanaboralimited1130
      @zanaboralimited1130 หลายเดือนก่อน

      Tunapatikana barabara ya morogoro, posta mtaa wa indiria gadhi, dar es salaam, karibu na Hoteli ya tiffany diamond

  • @SeverineCharles-op5bu
    @SeverineCharles-op5bu 2 หลายเดือนก่อน

    Bei

    • @zanaboralimited1130
      @zanaboralimited1130 หลายเดือนก่อน

      Habari Mr Severine, samahani hatuwezi kuweka bei hapa kwenye comments kwasababu za kibiashara zaidi, tunaomba utuwie Sana radhi lakini bado tunaweza kukusaidia maswali yako yote ukitupigia kwa simu namba 0752331633 au 0686170833 au 0658331633, Ahsante!

  • @supersmartspaces1768
    @supersmartspaces1768 3 หลายเดือนก่อน

    Taja bei. mtawaudhi wanunuzi watarajiwa. Niangalie video zako, kisha tena niulize? Hili ni soko huria brother. Asiyetaja bei tunamshuku na tunamuacha. Inakuwa kama inatupotezea muda kubidi kuingia kwenye comments kusaka bei. Jiongezeni wapendwa zanabora.

    • @zanaboralimited1130
      @zanaboralimited1130 หลายเดือนก่อน

      Habari Mr Supersmartspace, samahani hatuwezi kuweka bei hapa kwenye comments kwasababu za kibiashara zaidi, tunaomba utuwie Sana radhi lakini bado tunaweza kukusaidia maswali yako yote ukitupigia kwa simu namba 0752331633 au 0686170833 au 0658331633, Ahsante!

    • @zanaboralimited1130
      @zanaboralimited1130 หลายเดือนก่อน

      Pia hakuna haja ya kusaka bei wala kuandika maswali kwenye comments, ukitupigia simu kwa namba zilizotajwa hapo juu , utahudumiwa kwa ukaribu zaidi na utapata majibu ya maswali yako yote ikiwemo na bei, Ahsante kwa kutumtumia meseji

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 4 หลายเดือนก่อน

    Mnapatikana wapi

    • @zanaboralimited1130
      @zanaboralimited1130 หลายเดือนก่อน

      Tunapatikana barabara ya morogoro, posta mtaa wa indiria gadhi, dar es salaam, karibu na Hoteli ya tiffany diamond

  • @ExecutiveHouseKeeperElewana
    @ExecutiveHouseKeeperElewana 4 หลายเดือนก่อน

    Mpo wapi na mawasilisno yenu tafadhali.

    • @zanaboralimited1130
      @zanaboralimited1130 หลายเดือนก่อน

      Tunapatikana barabara ya morogoro, posta mtaa wa indiria gadhi, dar es salaam, karibu na Hoteli ya tiffany diamond

  • @mponejanyahiti2295
    @mponejanyahiti2295 4 หลายเดือนก่อน

    Weka namba yako ya simu

    • @zanaboralimited1130
      @zanaboralimited1130 หลายเดือนก่อน

      Habari mr mpojena, samahani hatuwezi kuweka bei hapa kwenye comments kwasababu za kibiashara zaidi tunaomba utuwie Sana radhi lakini bado tunaweza kukusaidia maswali yako yote ukitupigia kwa simu namba 0752331633 au 0686170833 au 0658331633, Ahsante!

  • @shazirynambombe7735
    @shazirynambombe7735 5 หลายเดือนก่อน

    Bei gan mnauza trekta , usinipe namba nijbu hapa bei tufanye biashara

    • @zanaboralimited1130
      @zanaboralimited1130 หลายเดือนก่อน

      Mr Shazity bei hatuwezi kukuwekea hapa kwenye comments kwasababu za kibiashara, tutakupa huduma kwa ukaribu zaidi ukitupigia simu au ukitutumia meseji inbox, laikoinisio hapa kwenye comments tafadahli, Ahsante kwa kutufikia

  • @avax5717
    @avax5717 6 หลายเดือนก่อน

    Hamsemagi bei tatizo

    • @zanaboralimited1130
      @zanaboralimited1130 6 หลายเดือนก่อน

      Kwa mawasiliano zaidi ili kujua bei za bidhaa na jinsi inavofanya kazi naomba tuwasiliane 0624800543

  • @user-it3em8lf1g
    @user-it3em8lf1g 6 หลายเดือนก่อน

    Tupatie Bei tujipange

    • @zanaboralimited1130
      @zanaboralimited1130 6 หลายเดือนก่อน

      kwa mawasiliano zaidi ili kujua bei ya bidhaa na jinsi inavofanya kazi tuwasiliane 0624800543

    • @msamgunda7684
      @msamgunda7684 6 หลายเดือนก่อน

      Inaonekana bei zenu zinatofautiana kat ya mtu na mtu.weka bei halis usibabaishe watu.​@@zanaboralimited1130

  • @user-dy5tr4gb2y
    @user-dy5tr4gb2y 7 หลายเดือนก่อน

    Utaratibu ukoje kwa mitaji wa mkopo au mlipaji kesh?

    • @zanaboralimited1130
      @zanaboralimited1130 หลายเดือนก่อน

      utaratibu upo na ni mrahisi sana, unaweza kutupigia kwa simu namba 0752331633 au 0686170833 au 0658331633 kupata huduma kwa ukaribu na kwa ukamilifu, Ahsante kwa kutufikia

  • @user-zc8ir7ul9x
    @user-zc8ir7ul9x 7 หลายเดือนก่อน

    Mnauzeje tafadhari

    • @zanaboralimited1130
      @zanaboralimited1130 หลายเดือนก่อน

      Habari Mr @user-zc8ir7ul9x, samahani hatuwezi kuweka bei hapa kwenye comments kwasababu za kibiashara zaidi, tunaomba utuwie Sana radhi lakini bado tunaweza kukusaidia maswali yako yote ukitupigia kwa simu namba 0752331633 au 0686170833 au 0658331633, Ahsante!

  • @dkalhajijbmatatala9392
    @dkalhajijbmatatala9392 8 หลายเดือนก่อน

    Maa Sha Allah

    • @zanaboralimited1130
      @zanaboralimited1130 หลายเดือนก่อน

      Tunashukuru, na unaweza kutupigia kwa simu namba 0752331633 au 0686170833 au 0658331633 kupata huduma zetu, Ahsante!

  • @dkalhajijbmatatala9392
    @dkalhajijbmatatala9392 8 หลายเดือนก่อน

    Hakuna Mawasilianao... Zaidi mmeweka Tangazo Tu...

    • @zanaboralimited1130
      @zanaboralimited1130 หลายเดือนก่อน

      Tunashukuru kwa taarifa nzuri, lakini unaweza kutupigia kwa simu namba 0752331633 au 0686170833 au 0658331633 kupata huduma zetu, Ahsante!

  • @christophekabilamusenge1024
    @christophekabilamusenge1024 8 หลายเดือนก่อน

    Natakilia maulizo na beiyake

    • @zanaboralimited1130
      @zanaboralimited1130 หลายเดือนก่อน

      Habari Mr @christophekabilamusenge1024, samahani hatuwezi kuweka bei hapa kwenye comments kwasababu za kibiashara zaidi, tunaomba utuwie Sana radhi lakini bado tunaweza kukusaidia maswali yako yote ukitupigia au kututumia meseji kweneye simu namba 0752331633 au 0686170833 au 0658331633, Ahsante!

  • @davidjoshua5425
    @davidjoshua5425 9 หลายเดือนก่อน

    Ikiwa imebeba tani moja inaweza panda sehemu za muinuko ka mlima

    • @user-zc8ir7ul9x
      @user-zc8ir7ul9x 7 หลายเดือนก่อน

      Naombeni mawasiliano yenu

    • @zanaboralimited1130
      @zanaboralimited1130 หลายเดือนก่อน

      Tunashukuru, na unaweza kutupigia kwa simu namba 0752331633 au 0686170833 au 0658331633 kupata huduma zetu, Ahsante!

  • @saidmahaba1326
    @saidmahaba1326 ปีที่แล้ว

    Sisi wa mikoani tunataka sauti ya muhudumu ila picha vifaa ionyeshwe tafadhali

    • @zanaboralimited1130
      @zanaboralimited1130 ปีที่แล้ว

      Habari. Picha za vifaa zipo tafadhali nenda katika page yetu ya Instagram @zanaboralimited

  • @saidmahaba1326
    @saidmahaba1326 ปีที่แล้ว

    Tuma namba za simu

    • @zanaboralimited1130
      @zanaboralimited1130 หลายเดือนก่อน

      Tunashukuru kwa kutufikia, na unaweza kutupigia kwa simu namba 0752331633 au 0686170833 au 0658331633 kupata huduma zetu, Ahsante!

  • @gloryelly7621
    @gloryelly7621 ปีที่แล้ว

    Eng. Benson I see you😊🙏