Hujambo, Munira! Tafadhali jaribu kutumia sahani vyombo vya jikoni badala ya gazeti. Gazeti lina "ink" na gazeti imepitia mikono chafu kabla kufika kwako nyumbani. Ni jambo ya afya. Mahamri safi sana. asante.
Asante kwa kutufundisha...maandazi laini na matamu....Ushauri.....nakuomba wakati una changanya hizo ing. Plz uvue pete...itapendeza sana ...kiafya zaidi. Asante.
Shukran sana Jaribu kuonyesha vipimo kwa vikombe na vijiko Mambo ya kukisia hayataleta results nzuri ni mambo ya kizamani ya trial & error tupe uhakika
Assalam Aleikum mambo mazuri mandazi Ok ila wewe unakwenda haraka sana tueleze step by step unga nusu kilo inatakiwa sukari vijiko vingapi, hamira, maziwa ndio vitu muhimu na je nikitumia nazi naweza kupata mandazi laini wewe unapenda mandazi yenye nyama ndani wengine hatupendi sababu nyama ikiwa nyingi tumboni sio nzuri tumbo linafura
Nimesoma comment zote lakini nimeona Munira kila alie comment anataka vipimo umechukia huku like....kama umejitolea kufunza watu lazima uwe tayari na maswali,anyway asante nimesoma kitu greetings from Sweden 🇸🇪
Hahahahaha sio hivo chasy wameomba vipimo na nikaweka kwenye description box lakini hawaangali. Nashkuru kuna wale wanaoona na kisha wananijibia inakua vizuri sana coz tunaelimishana.
Asante kwa elimu NZURI ila haujazingatia afya tu hapo kwa sababu unakanda unga huku mikono YOTE umevaa Pete na hizo pete zinausalama gani zinashika uchafu mwingi sana hivyo nivema next time unapotoa elimu Kwa jamiii uwe unazivua kwanza au vaa hata grvs.
I read nothing but haters and jealous people, mbona munashusha shukrani chini? Naskia hygiene, hygiene, mbona hamukuuguwa zama za bibi zenu ama mamazenu? Kweli utawala wa akili ZA mzungu bado zinatawala bongo za waafrika.
Hi Munira. When I make the smaller mandazi's, they come out well. But when I tried the bigger ones.. mahamri, they soaked in oil. What could be the problem?
Yea sukari itakolea. Ukitia sukari nyingi unga wako ukiumuka utakua majimaji. Naam unaweza kuweka madonge yaloumuka kwenye fridge bora uyafinike vizuri.
mmi sielewi mbona mwamkejeli eti hygiene atumie gloves wwe kwako nyumbani watumia gloves washamba tu nyinyi ila hyu dada kafanya kazi nzuri mashallah wanaomponda wabara wasioweza pika
Great art !!Yummy mandaziz
waoooo
Q
Hujambo, Munira! Tafadhali jaribu kutumia sahani vyombo vya jikoni badala ya gazeti. Gazeti lina "ink" na gazeti imepitia mikono chafu kabla kufika kwako nyumbani. Ni jambo ya afya. Mahamri safi sana. asante.
Kitu hicho nimekiona sana mombasa wanakifanza.... Asante
Asante kwa kutufundisha...maandazi laini na matamu....Ushauri.....nakuomba wakati una changanya hizo ing. Plz uvue pete...itapendeza sana ...kiafya zaidi. Asante.
Five years ago? Nicely done Tena tamu sana.
Kazi nzuri sana,Pete vua then gazeti pia sio nzuri kuweka chakula juu coz of chemicals...my opinion...but lesson nzuri sana..
Shukran sana Jaribu kuonyesha vipimo kwa vikombe na vijiko Mambo ya kukisia hayataleta results nzuri ni mambo ya kizamani ya trial & error tupe uhakika
🤲MASHAALLAH THABARAKALLAH Ukhthy! Mapishi yako, the best!👌😋😋😋👏👏👏
Hiv baking powder hawatii ehh
Tamu
Shukran kwa kuweka vipimo napenda mapishi yako mashaallah yame tulia 👍tafadhali tuna omba mkate wa sinia
it was almost tiresome lakini the results are good..l tried for my wife and she was happy...thanks...
I love there look yammy
❤❤❤mashaalah
Waaaw nice natengeneza Sasa hivi
Jaribu ustaarabu kidogo unapopanga mahamri yako tafadhali usitumie gazeti. Japo upishi waujua hongera dada
MashallAh dadangu hapo swa nacikia kuona kwetu kuna watu wajitokeza kwa mapishi, mombasa hoyee
Pete and gaseti hapo next time rekebisha dadagu
Great job well done
Aki dada nimejaribu vile umetuelekeza imetuka vizuri 😋😋asante sana👏👏👏
Mashaallah
Nimazur
Kazi nzuri dadangu. I'm just salivating n for that I've to make mine thru your method
Walai hi yako haina mambo mengi uko sawa dada👏👏👏
Maa Shaa Allaah
Ni vizuri upime unga ungepina kwa vikombe kufahamu zaidi
Aujui kuelekeza vizuri
Kama hukuelewa hii niko na nyengeni check it out
Upishi mzuri
Shukran habibty
Kweli haya màandaz yatakuwa matam kweliiii
Mashaa Allah
Yammy Ila vipimo ni bora zaidi hasa unga
Mh kweli unaweza maana kea muonekano was nje tuu nimepata jibu kazi nzuri dada.
Mashallah mahariya maziwa nitajaribu
Great stuff like the procedure dope
Thank you
Mafunzo bila vipimo unanichanganya dada...unamimina mimina vitu tuu bila kupimo...sijapenda
Dada maandazi hayapikwi hivo Bado mwanafunzi wa kupika maandazi
Uko sawa dada bat mm sina maziwa kama hiyo yako..maziwa niliku nayo hapa niya unga je inawezekana ama
Yawezekana
Assalam Aleikum mambo mazuri mandazi Ok ila wewe unakwenda haraka sana tueleze step by step unga nusu kilo inatakiwa sukari vijiko vingapi, hamira, maziwa ndio vitu muhimu na je nikitumia nazi naweza kupata mandazi laini wewe unapenda mandazi yenye nyama ndani wengine hatupendi sababu nyama ikiwa nyingi tumboni sio nzuri tumbo linafura
Good job .
Yummy... nicee mashallah...
Mazuri mashallah
I love you🥰😘jazzakalah kher aunt
Delicious sister
Tufanyie pilau mama
Pilau ipo my dear nishafanya🥰
Nimesoma comment zote lakini nimeona Munira kila alie comment anataka vipimo umechukia huku like....kama umejitolea kufunza watu lazima uwe tayari na maswali,anyway asante nimesoma kitu greetings from Sweden 🇸🇪
Hahahahaha sio hivo chasy wameomba vipimo na nikaweka kwenye description box lakini hawaangali. Nashkuru kuna wale wanaoona na kisha wananijibia inakua vizuri sana coz tunaelimishana.
MashAllah. Is there a recipe in English please?
Mahari mazuri sana.... Tumieni leso badala gazeti, wala hutahitaji kuweka unga
masha Allah looking awesome
Yummy 😋 mandazi Ina wenyewe costiindani mashAllah.
😂
lovely....will definitely prepare then in a weeks time...great work you are doing Ms. Munira
That's good, plz do n tell me the results
Asante kwa elimu NZURI ila haujazingatia afya tu hapo kwa sababu unakanda unga huku mikono YOTE umevaa Pete na hizo pete zinausalama gani zinashika uchafu mwingi sana hivyo nivema next time unapotoa elimu Kwa jamiii uwe unazivua kwanza au vaa hata grvs.
Mashaallah!
Yummy 😋,,baada ya kukata izo robo nne utauacha kwa muda gani uumuke ndio uchome?
Simple & delicious
Shukran
Kumbuka kuvua pete wakati wa kuandaa chakula
Mafunzo mazuri, muwe mnaweka unga kilo au nusu kilo,msiwe mnakisia kwa sababu ya kujua vipimo vya hamira nk acha kukisia unga
Thumbs up chef muniraaa
❤
Mashallah mazuri sana😍😍
Plz write ingredient in arsbic or english. Im from muscat.
wow! thanks alot
Ma shaa Allah
Asante Sana .👍👍👍👍
Yummy yummy yummy!!!
I read nothing but haters and jealous people, mbona munashusha shukrani chini? Naskia hygiene, hygiene, mbona hamukuuguwa zama za bibi zenu ama mamazenu? Kweli utawala wa akili ZA mzungu bado zinatawala bongo za waafrika.
Umenifurshisa kwa kweli, asante sana
Looks yummy ....needs a try
Hi Munira.
When I make the smaller mandazi's, they come out well.
But when I tried the bigger ones.. mahamri, they soaked in oil.
What could be the problem?
The oil was not hot enough most likely
Nice mazuri mama ahsante. But one thing ukipika kitu kama hicho ama ukichujia uvue pete kwa usafi na afya njema
Assalam Aleikum mambo mazuri kila kitu sawa ila tupe kipimo cha unga wa ngano kwa vikombe.
Inshaallah I will
Vipimo vnasaidia sana. ..pls jtahd
How much flour pls as not specified in cups pls
Mapishi yako vizuri Ila mpenzi unakandaje huku ukiwa umevaa Pete vidoleni?
😂😂😂😂😂😂😂
Dah kwel yan
Mashaa Allah
Ukipika tunaomba uweke vipimo tupate kufahamu...na lile tai ulikua ulivunje kabisa....sio ushagusa unga baadae unachukua yai kuvunja...mbaya
Uwe unavuwa Pete
Why there's no raising agent in your mandazis flour or did you use self raising flour
MashaAllah
Yummy 😋 najona niko msaaaaa 😭😭
very nice, mnaifanya inakaa rahisi kuanda we! lakini
Nirahisi kwa kweli
Nice. Wld u add the ingredients nd method in the subtitles
Ukikanda unga uvue pete haipendezi habibty kwan hukaa uchafu
Haya ndio mahamri haswa ninayo ya penda lakini kweli weka vipimo maana yaku kisia yameisha kila kitu ni accuracy.
Mazuri sana
👍👍👍
How much flour ...any measument?
ungevua hzo pete bas jmn wakat unachanganya unga vyuma siyo salama kwa afya
News paper not good to use for food!!!
Next time u towe Pete uki kandaa unga!
Shukran
Yaan kila nikitaka kupika maandazi lazima nitazame clip yako mamy .....yaaan mashallah
Masha Allah,
Mashaa allah mazuri maandazi kwamuonekano wake tuu yanaonyeshaa mazuri sio siri hongera dada
yapendeza
Salam no Munira
Asante na kipimo ya mahamri,Io sukari itakolea?
Unaweza kuweka kwa FREEZER?
Yea sukari itakolea. Ukitia sukari nyingi unga wako ukiumuka utakua majimaji. Naam unaweza kuweka madonge yaloumuka kwenye fridge bora uyafinike vizuri.
can you use butter instead of blue band magarine?
apocalypse thing pia mm nataka kujua
Yea unaweza
Unaweza
mmi sielewi mbona mwamkejeli eti hygiene atumie gloves wwe kwako nyumbani watumia gloves washamba tu nyinyi ila hyu dada kafanya kazi nzuri mashallah wanaomponda wabara wasioweza pika
😜
Nk
😋
Mashalla
Always having a hard time kiswahili si mdomo changu, himira ni yeast? Can I us baking?
Use yeast
yummy, but please avoid gazzeti.
Recipe rshisi.bali nauliza,hamira Ni kiasi gani please
Unga wa kilo moja weka hamira 11g
U have not written hamira in recipe. Pls write how much flour
Baking soda na bicabonate hauweki?
Sitii
The background noise is distracting.
👍👍👋👋
Akuna kuweka maji
Weka kiasi
You should first remove your rings before kneading ...
Kama Sina blueband what else can I use
Mafuta yoyote ya mgando