EXCLUSIVE:

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 737

  • @bonnychidi849
    @bonnychidi849 3 ปีที่แล้ว +93

    Kama unakubaliana na MIMI kua ASLAY na Mboso walijiamini toka zamani gonga like👍 twende sawa💯💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @uriotz_
      @uriotz_ 2 ปีที่แล้ว

      Na ma antu pia alijiamini sana

  • @simbajoseph6348
    @simbajoseph6348 3 ปีที่แล้ว +169

    Tulio kutana 2021 twende like pmj 🔥🔥🔥

  • @ungwakalenga1556
    @ungwakalenga1556 3 ปีที่แล้ว +46

    Wangapi tunahangalia 2021

  • @yusrashabani2983
    @yusrashabani2983 4 ปีที่แล้ว +61

    😂😂😂😂😂😂mboso umeniuwa jamani watu tunatoka mbali eee Mungu asanteni wapendwa from USA 🇺🇸 tulizipenda sana nyimbo za yamoto band 🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @baysakeyce2061
    @baysakeyce2061 4 ปีที่แล้ว +287

    Tulio kutana huku 2020 gonga like hapa

    • @missmwayway4704
      @missmwayway4704 4 ปีที่แล้ว +2

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣haki kwakweli wengne tulichelewa

    • @cax1338
      @cax1338 3 ปีที่แล้ว

      2021

  • @swalehthefinest
    @swalehthefinest 4 ปีที่แล้ว +136

    Our Very Own Shirko 💯 kama unatoka mombasa nipe like

    • @KAY254
      @KAY254 4 ปีที่แล้ว +1

      Yeah namuona Shirko

    • @RuzoOwzy
      @RuzoOwzy 4 ปีที่แล้ว +1

      Alitamba sana enzi zake 2000s.

    • @captainnyotatv001
      @captainnyotatv001 3 ปีที่แล้ว +2

      Shirko kama Shirko

    • @vannyking9666
      @vannyking9666 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/Ywo75Oq07rQ/w-d-xo.html

  • @jeuneroutierjunioraime6787
    @jeuneroutierjunioraime6787 2 ปีที่แล้ว +3

    Vraiment moi je suis un ivoirien mais j'adore les chansons tanzanien... Bravo À Mbosso , beka , Aslay et Enok .. .. je vous suis depuis au groupe yamoto band

  • @pintocahill7186
    @pintocahill7186 4 ปีที่แล้ว +31

    That band was great...long live yamoto

  • @djbikokwach9901
    @djbikokwach9901 4 ปีที่แล้ว +24

    This group had very many talented guys.. who are in the next level today....
    Usidharau mwanzo mdogo..... Keep moving God knows your next move 🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @jimiewamanchester8731
    @jimiewamanchester8731 4 ปีที่แล้ว +23

    Watu hutoka mbali sanaaa yaaani #Shirko wewe ni mwalimu wa waalimu bro🙌

  • @innocentbanda3256
    @innocentbanda3256 4 ปีที่แล้ว +5

    Nimemuna bibi yangu..Bi.Cheka asee....Dah nakumbuka kitambo sana...Mkubwa Fella wewe Ni Great Papa...from TMK

  • @leahkitundulu7004
    @leahkitundulu7004 4 ปีที่แล้ว +43

    Kweli kila safari hatua, lazima uwe na ndoto kwenye maisha ili uweze kutimiza malengo/mafanikio. May Allah guide them 🙏

  • @gilbertpaul8298
    @gilbertpaul8298 3 ปีที่แล้ว +50

    I'll never be poor. If people can come from this far/scratch,,,,heeeey!

  • @fuguremalone
    @fuguremalone ปีที่แล้ว +3

    Tulio ludi kuangalia 2023 gonga like tujuane na tulio kua atujui kama uyo mdogo ni muuh mabantu like pia

  • @TIDAHUB
    @TIDAHUB 4 ปีที่แล้ว +49

    aliyemuona mbalamwezi wa THE MAFIK comment RIP

  • @marcruzolivares4470
    @marcruzolivares4470 4 ปีที่แล้ว +11

    Aiseee kitambo sana hiki 😂kipindi hiko mbala mwezi mungu amlaze mahar pema peponiiii amina🙏

  • @brucemukundi6717
    @brucemukundi6717 4 ปีที่แล้ว +16

    Aslay na Mbosso hawajaanza kuachia mizuka leoo 👑

  • @auntiemylee3157
    @auntiemylee3157 4 ปีที่แล้ว +50

    Mmetoka mbali guys n mtaenda mbali lnshallah

    • @monicahmwkali1209
      @monicahmwkali1209 4 ปีที่แล้ว +1

      Si mungu utoa watu bali musimusahau

    • @vannyking9666
      @vannyking9666 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/Ywo75Oq07rQ/w-d-xo.html

  • @chuchufplatnumz4888
    @chuchufplatnumz4888 4 ปีที่แล้ว +9

    Mkubwa Fella.... Big man.... Unawadai wengi sanaaaaaaa

  • @nate254
    @nate254 3 ปีที่แล้ว +28

    If these guys came this far together, their beefing makes me sad 😞 and angry 😒 at the same time

  • @kenyanboy7627
    @kenyanboy7627 3 ปีที่แล้ว +9

    Growing up together & then breaking up is the saddest thing,yamoto band was lit

  • @fatmarashidmusafatma5218
    @fatmarashidmusafatma5218 3 ปีที่แล้ว +4

    I love mbosoo and aslay💞 much love from kenya

  • @officialjumashile
    @officialjumashile 4 ปีที่แล้ว +7

    Kumbe watu huparara bila pesa hivi
    Kudos guys mumetoka mbali

    • @deemusique2426
      @deemusique2426 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wanaparara buda, bila pesa

  • @mosijuma8197
    @mosijuma8197 3 ปีที่แล้ว +4

    Walikiwa wazee hapo😂😂😂😂😂sikuiz ukiwaona wamekuwa vijanaaa😂😂😂😂😂👏👏👏👏👏

  • @samsawidi5648
    @samsawidi5648 3 ปีที่แล้ว +1

    Watu hutoka mbali very awesome mkubwa GOD HAS YOO GIFT U NATURED TALENTS

  • @dan_platnumz8790
    @dan_platnumz8790 3 ปีที่แล้ว +14

    Eish🤔🤔, watu hutoka mbali jamani, siamini kama.uyu ni yule mbosso wa sai na Aslay pia, safari uanza na hatua moja, sasa ivi ndio mastaa wa bongo, big up mkubwa fela

  • @ZainabAtuli
    @ZainabAtuli 4 ปีที่แล้ว +34

    🤣🤣🤣🤣 Nmecheka kwa saut, hata mbuyu ulianza ka mchicha allah mkubwa tulokuja 2020 gonga like

  • @elvismasinde5476
    @elvismasinde5476 ปีที่แล้ว +1

    Shirko from Kenya Mombasa 🔥🔥🇰🇪

  • @johnohando2390
    @johnohando2390 4 ปีที่แล้ว +21

    The Yamoto Band vibes, its LIT

  • @noblechild5652
    @noblechild5652 3 ปีที่แล้ว +7

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hii tbt imeweza,, rayvanny 😹 kweli pesa sabun ya Roho. Kumbe aslay alikuwa mtanashati hivo MashAllah 😍. Watu hutoka mbali aiseee🤣🤣🤣

  • @ngurumaboychannel9961
    @ngurumaboychannel9961 3 ปีที่แล้ว +3

    Teh teh teh 😂😂😂 nimecheka sura ya mboso ya enzi hizoo

  • @michaelAfrica1
    @michaelAfrica1 4 ปีที่แล้ว +16

    Humble beginnings... You can't take away the musical journey hence the glory now....

  • @muddymohammed9039
    @muddymohammed9039 4 ปีที่แล้ว +44

    Tulio mouna reyvan kwa mbal akiwa anatazama kama ndugu mtazamaj tugong like apaaaaa!

    • @mustyboymaalim2070
      @mustyboymaalim2070 3 ปีที่แล้ว

      Hayumo hapo

    • @thelastking5180
      @thelastking5180 3 ปีที่แล้ว

      Nimemuonaa

    • @mustyboymaalim2070
      @mustyboymaalim2070 3 ปีที่แล้ว

      @@thelastking5180 dakika ya ngapi ni cheky vizuri

    • @meckyjob2131
      @meckyjob2131 3 ปีที่แล้ว +2

      @@mustyboymaalim2070 hata kabla ujaiplay video angalia anaonekana kavaa kofia

    • @mustyboymaalim2070
      @mustyboymaalim2070 3 ปีที่แล้ว

      @@meckyjob2131 oooh yeaah kwely kabisa nmemuona

  • @aishal1953
    @aishal1953 4 ปีที่แล้ว +7

    Nimecheka kweli sura ya mbosso Khan 🤣🤣

  • @albanbros6705
    @albanbros6705 4 ปีที่แล้ว +63

    I see Mbalamwezi(The guitarist)~R.I.P

  • @rhodiumpalladium4095
    @rhodiumpalladium4095 7 หลายเดือนก่อน +1

    TEACHER SHIRKO...🔥🔥🔥

  • @simateitim4700
    @simateitim4700 4 ปีที่แล้ว +2

    Pesa ni nzuri kweli

  • @priscajoseph9202
    @priscajoseph9202 2 ปีที่แล้ว +1

    Tujuwane wenye tunaangalia2022 🔥🔥🔥

  • @milkamugomo218
    @milkamugomo218 4 ปีที่แล้ว +1

    Hawa watoto wametoka mbali kweli mungu awazidishie

  • @ommietrendz7175
    @ommietrendz7175 4 ปีที่แล้ว +9

    Shiriko, Mbalamwezi, Chambuso, Mario, mbosso, beka, enock bella, aslay, Rayvanny, mkubwa na wanawe 🙌🏽

  • @mkalijaribu870
    @mkalijaribu870 4 ปีที่แล้ว +11

    Nadhani muunganiko wa Fella na Shirko umechangia kuanguka kwa hawa vijana na kusambaratika maana kama Shirko na studio yake wangeendelea hapa hapa na kuendeleza mshikamano na fella huenda mpaka sasa Yamoto ingeendelea kubamiza

  • @swedish_james
    @swedish_james 3 ปีที่แล้ว +11

    Hakuna cha teke trust the process 🔥🔥🔥🔥😂

  • @noblechild5652
    @noblechild5652 3 ปีที่แล้ว +5

    Watanzania ntazidi kuwapenda🇰🇪❤️🇹🇿 Tamasha za mziki mwazifahamu kweli kweli bila ya kubahatisha🔥. 🤣🤣🤣This had made my night.

    • @antibiotic7238
      @antibiotic7238 3 ปีที่แล้ว +1

      Very true my sister..It has made my night too..Yani hii burudani nimeona leo basi tu...Nimeenjoy sana...From 🇰🇪 we love them

    • @antibiotic7238
      @antibiotic7238 3 ปีที่แล้ว

      Huyo mcheza guitar sahii ni Marehemu😭😭😭😭😭...May his soup rest In peace

  • @nellyflo9736
    @nellyflo9736 4 ปีที่แล้ว +19

    Aslay,Bekka,Enock. Na Mbosso mungu awape nguvu kwa kila jambo mumetoka faa

    • @cestjolie5574
      @cestjolie5574 3 ปีที่แล้ว

      What about Mmbosso🙄🙄🙄🤦🏿‍♀️🤦🏿‍♀️🤦🏿‍♀️🤦🏿‍♀️🤦🏿‍♀️?

    • @nellyflo9736
      @nellyflo9736 3 ปีที่แล้ว

      @@cestjolie5574 uoni hapo juu swry

  • @ramlamasika9664
    @ramlamasika9664 3 ปีที่แล้ว +6

    I was so disappointed coz of this group to disappear it was a home of many talented kidz

  • @jobwanjala9176
    @jobwanjala9176 4 ปีที่แล้ว +8

    Mbosso matata sana🙌🏾💥💥💥🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @bernatonny7549
    @bernatonny7549 3 ปีที่แล้ว +3

    God is great ...@Mbosso

  • @sebastianhaward5981
    @sebastianhaward5981 4 ปีที่แล้ว +3

    Usibeze mafanikio ya MTU wala usimuombee njaa sababu hujui wapi ameanza na ilikuwaje tatizo letu huwa tunaangalia mafanikio ya MTU hatuangalii process na mapito alopitia aslay ,beka, enock , mbosso keep up brothers tumetoka mbali sana katika kundi zima hilo lkn mpka sasa ni wanne tu ambao mmeonyesha effect na kumantain mpka sasa naheshimu safari yenu brothers

  • @JeminJackson
    @JeminJackson 5 หลายเดือนก่อน

    Muuh mabantu🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @tigerpatchely3994
    @tigerpatchely3994 4 ปีที่แล้ว +2

    Aise maisha niya Mungu🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @mwatsefumohamed7338
    @mwatsefumohamed7338 4 ปีที่แล้ว +30

    Aslay was always the leader

  • @Matiherbalist
    @Matiherbalist 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah keep up mumetoka mbali jamani mbona nimeacha Aki yaniuma . Ila aslay alikuwa handsome lakini huyo mbosso jamani 🙈🙈🙈😜😜😜🤗🤗😹😹🤸🤸🤸🤸 kweli pesa sabani ya roho 🤩🤩🤩🤩 mbosso sura personal kumbe 🤣🤣🤣🤣

  • @sitellamatni6878
    @sitellamatni6878 3 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂🤣🤣kweli mungu humtoa mtu chini nakumuweka juu 🙏🙏🙏

  • @mamaambaga6587
    @mamaambaga6587 3 ปีที่แล้ว

    Hongereni machaliii mmetoka mbali

  • @victordeekenya3539
    @victordeekenya3539 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sana, 🔥 🔥

  • @dotsanmpendi8785
    @dotsanmpendi8785 3 ปีที่แล้ว +1

    Mkubwa na wanawe to the world 🙏🙏🙏

  • @eliuthamangula1791
    @eliuthamangula1791 3 ปีที่แล้ว +4

    Watched it all.. Guys are so talented

  • @marcruzolivares4470
    @marcruzolivares4470 4 ปีที่แล้ว +11

    Aslay’ muuu mdogo wangu😂mbosso’ enock’ Becka my great super ruper getu

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbosso 😀😀😀kadogo
    Jamani wadogo 😄😄😃😃

  • @mackmtata8277
    @mackmtata8277 3 ปีที่แล้ว +1

    Iam I see you video year 2021

  • @monicaagapitybruno3863
    @monicaagapitybruno3863 3 ปีที่แล้ว

    Daaa mmetoka mbali msingevunja kundi lenu jamani kaaa mboso kama katoka kijijini leo duuu asaivi mpo juu 🥰🥰🥰🥰

  • @mcabby5037
    @mcabby5037 3 ปีที่แล้ว +2

    Trust the process , Mkubwa Fele ana uwezo mkubwa wa kuona vipaji

  • @stn4873
    @stn4873 3 ปีที่แล้ว +4

    Mbosso 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @patricktegea1430
    @patricktegea1430 4 ปีที่แล้ว +4

    Dah kwel mnaweza mnaikosha roho angu wote mpo vzuri

  • @zaynabyusuf4324
    @zaynabyusuf4324 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbosso khaaaa😲😂😂😂

  • @periseabwalaba2438
    @periseabwalaba2438 4 ปีที่แล้ว

    mbosso kiherehere ilikua mingi aaeshiiiii much 🤣🤣🤣🤣🤣💞💞💞🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @totobad357
    @totobad357 3 ปีที่แล้ว +2

    Watu wanatoka mbali😊

  • @yassirnanubai3914
    @yassirnanubai3914 3 ปีที่แล้ว +2

    You guys mmetoka mbali keep up

  • @sampaofficial2544
    @sampaofficial2544 3 ปีที่แล้ว +2

    Wooow nice one

  • @asiangassa1140
    @asiangassa1140 3 ปีที่แล้ว

    Mbosssssoooooooo jamani

  • @homkwetukikwe2kwe265
    @homkwetukikwe2kwe265 3 ปีที่แล้ว

    daaah kitambo sana aise
    15_06_2021
    from dodoma tanzania

  • @iconluyo4373
    @iconluyo4373 3 ปีที่แล้ว

    Tuliokuja kuitazama 2021 tujuane hapa harfu chekini huyo Dogo wa mabantu😂🎵😂

  • @joelkahuya8356
    @joelkahuya8356 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbosso, beka, kibesi hakika mmetoka mbali, tisha sana Gob blex him

  • @deejaywillyking254
    @deejaywillyking254 3 ปีที่แล้ว +1

    Truely its real inspiration

  • @emilytv9526
    @emilytv9526 4 ปีที่แล้ว +4

    Heshima kwa mkubwa Fella hakika umewatoa mbali sana hawa machaliii

  • @irambonaericwamakamba6659
    @irambonaericwamakamba6659 3 ปีที่แล้ว +3

    History is very most beautiful

  • @venturelugho9028
    @venturelugho9028 2 ปีที่แล้ว

    Mnajifanya hamumyoni Shirko Media💓💓💓💓

  • @EmanuelPastory-ur3hd
    @EmanuelPastory-ur3hd ปีที่แล้ว +2

    2024 njooni hapa tugonge like za kutoshaaaaaaaa

  • @mwigakatumpula9817
    @mwigakatumpula9817 3 ปีที่แล้ว +1

    Nikiangalia hii video nasikia Kuna sauti ina niambia ongeza juhudi mbona bado hujachelewa ndipo najuwa kuwa kila mtu ana muda wake wa kufanikiwa . never give up 💪💪💪💪💪🤣🤔

    • @roi2554
      @roi2554 3 ปีที่แล้ว +1

      Kumbe we ni kma mm ktk wazo hili

  • @orestehavyarimana5806
    @orestehavyarimana5806 4 ปีที่แล้ว +31

    Alafu leo hiyi Mnasem Mbosso mkali kuliko Aslay Hiv mnaakili nyinyi

    • @alphablondponera2367
      @alphablondponera2367 4 ปีที่แล้ว +4

      Sikiliza anavoingia mbosso na sauti yake utajua tu ukali wa mbosso ..mpaka key anayatumia

    • @erickpaul8983
      @erickpaul8983 4 ปีที่แล้ว +1

      Leo hi aslay Hana chake kwa mbosso

    • @b.o.bmnyamanextlevel
      @b.o.bmnyamanextlevel 4 ปีที่แล้ว

      Rey vanny
      👇
      th-cam.com/video/dYPD8SvZ_Zc/w-d-xo.html

    • @dublea4118
      @dublea4118 4 ปีที่แล้ว +3

      Aslay Ana ladha yake na Mbosso Ana ladha yake kila mtuu yupo nafasi yake

    • @allyfatma7359
      @allyfatma7359 4 ปีที่แล้ว

      Kuna nn Kwani?

  • @mwaruatsuma9802
    @mwaruatsuma9802 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbosso umetika mbali kweli

  • @dogoesa_official7890
    @dogoesa_official7890 3 ปีที่แล้ว +1

    Naona CEO wa Next Level music

  • @abdallahamad4682
    @abdallahamad4682 3 ปีที่แล้ว +3

    Aiseeee love goes oooonnnn

  • @joycechaz2840
    @joycechaz2840 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah aliempoteza aslay jaman Mungu amlaani na aliesababisha yamoto ife na yeye afe aiseee walikuaga poa sana

  • @morrymorry2159
    @morrymorry2159 4 ปีที่แล้ว +1

    Namuheshimu sana shirko bana,,barikiwa mjomba

  • @chocolatevivian830
    @chocolatevivian830 3 ปีที่แล้ว +1

    🔥 🔥 🔥 Walitoka mbali Ss

  • @collinsbaraza6140
    @collinsbaraza6140 4 ปีที่แล้ว +2

    Usiambiwe chochote...ghetto kuna talents nyingi sana 👌👌

    • @rushboyofficial
      @rushboyofficial 2 ปีที่แล้ว

      I like ur point of view bro!!
      Nimeipenda sana hii,
      Nowhere like Ghetto yeah!!

  • @richardveruligabriel3831
    @richardveruligabriel3831 3 ปีที่แล้ว +4

    Never give up !!

  • @farrynimmo4150
    @farrynimmo4150 4 ปีที่แล้ว +1

    Mmetoka mbali mungu awe na nyi 💋💋💋💋🙏

  • @dangotesam9845
    @dangotesam9845 4 ปีที่แล้ว +12

    Mkubwa na Wanawe 'live perfomance', Kipaji Hakiozi.

  • @naseebkhamis1058
    @naseebkhamis1058 4 ปีที่แล้ว +8

    R.i.p mbalamwez namuona gitaa

  • @jackso-k_oyaa
    @jackso-k_oyaa 3 ปีที่แล้ว +2

    Nomaa 🔥🔥🔥

  • @vinniechymall9801
    @vinniechymall9801 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu Atukuzwe siku zote . Watu hutoka mbali Aise.

  • @andersonmberi7672
    @andersonmberi7672 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂2021 ndo naona mbosso pesa ni tamu kweli

  • @martinmsigwa9066
    @martinmsigwa9066 4 ปีที่แล้ว +7

    Easy man 🤞

  • @shebymnutu7947
    @shebymnutu7947 2 ปีที่แล้ว

    Dahh kila hatua dua 🙏🙏🙏

  • @GlobalMic2
    @GlobalMic2 3 ปีที่แล้ว +21

    Aslay was and still a great leader

  • @yusrashabani2983
    @yusrashabani2983 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbona Beka alikuwa anaogopa sasa 😃😃😃😃😃

  • @mbondombwebwe6030
    @mbondombwebwe6030 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbali si mbali!!!

  • @amoury1481
    @amoury1481 4 ปีที่แล้ว +17

    These guys are talented