Kuzima inatokea pale inapobadili kituo cha kupoza umeme kutoka kimoja kwenda kingine.. Na sehemu zote inayozima huwa ukitazama kwa nje kuna kituo cha umeme... Jambo la msingi ni kwamba hata umeme unapozima, treni bado inakuwa kwenye speed yake ile ile na pia uwo umeme unazima kwa kipindi kifupi sana.. Lengo kuu ni kurahisisha usafiri na lengo hili limetimia kwa asilimia 100.. Treni inafika kwa wakati, Inaondoka kwa wakati, Huduma ni nzuri, Mazingira ya vituo na treni yenyewe ni mazuri.. Pia bei ya nauli ni sawa kabisa na ya mabasi ambayo ni standard nzuri
KING JPM ❤❤❤❤❤❤❤❤ GOOD JOB I MISS YOU KING OF AFRICA❤❤❤❤❤
Acha bac kazi ya Magufuli hiyo usimpe sofa mwingine 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mmekutana
Hakika Magufuli tutakukumbuka Dodoma SGR
Safi sana Rais wetu Samia
DAH SAFI MASANJA MAZURI TUPONGEZE ,
mama anafanya mazuli tumpongeze jaman
Nyie mnajipendekeza lakini yeye ni mkweli , huwa anamtaja magufuli kila mara .
Good job
Nyie wapigaji wapa pigeni kelele hao wanaofa figisu za umeme wajulikane kama mtambo upo feki ijulikane nyie kelele tu😂🎉🎉🎉
IYO STAIN MBONA INAZIMAZIMA SANA NA BADO MPIA .
Tren yenyew inazima zima 😅
Wa kwanza like zangu
Mpaka kokoto ni mpyaa😂
Grateful for the progress.
Upumbav
Kuzima inatokea pale inapobadili kituo cha kupoza umeme kutoka kimoja kwenda kingine.. Na sehemu zote inayozima huwa ukitazama kwa nje kuna kituo cha umeme... Jambo la msingi ni kwamba hata umeme unapozima, treni bado inakuwa kwenye speed yake ile ile na pia uwo umeme unazima kwa kipindi kifupi sana.. Lengo kuu ni kurahisisha usafiri na lengo hili limetimia kwa asilimia 100.. Treni inafika kwa wakati, Inaondoka kwa wakati, Huduma ni nzuri, Mazingira ya vituo na treni yenyewe ni mazuri.. Pia bei ya nauli ni sawa kabisa na ya mabasi ambayo ni standard nzuri
@@cleverboy3812 Umeongea Vyema sana
😂😂😂