Kwann shirka la nyumba msiwe mnaanzisha miji mfano kama magufuli city..Kama hapo Dar mnatafut eneo mnajenga mji wenye nyumba za design mbalimbal na za kuvutia hii kwang nahis itapendeza zaid na kuifanya miji iwe ya kisasa zaid hasa hizi za makaz na si kujenga moja moja labd pale penye uhitaji wa kufanya ivy...Sisi tuna maguful city ile ile ni utawala zaid...kenya wao wana konza city na lile ni mult-purpose...Bas na sisi tujenge miji hiy ambayo itakuwa na makazi, maduka, malls, hotel na mikahawa, viwanja vya michezo nk...Na hiy itakuz pia utalii wa ndan yan mtu anawez toka tu ngoj niend mfano Samia city...kile kitendo cha kutoka kuna nauli ya kipando au kuweka mafuta ktk kipando, atafik eneo hilo atakula labd na kula, atanunua mahitaj ya nyumban au vilivyomvutial nk..tyr keshakuz kipato cha mtanzania mmoja mmoja na mapato serikalin kupitia kodi...Hivy napend kushaur tusiwaz nyumba tu...tufikir zaid ya nyumba yan ata hao watalii mnawez mkabland hiy miji na wao wakawa wanaitembelea wanafurahia
Kazi nzuri 👏
Mbarikiwe saaana Shirika la nyumba la Taifa

wazo zuri saana natumai wahusika watalizingatia
akili hizo zipo sasa
Iyo tatu city akuna cha manaa
KWA KWELI YALE MAJENGOBYENU PALE FIRE YANACHAFUA MJI. BOMOENI MJENGE MAJENGO MAPYA
Hivi nyinyi NHC mnaona uchafu wenu pale fire kwanini msibomoe ile uchafu mjenge vitu vya maana
😂😂😂😂😂
Nyumba bado zipo