Tatizo la elimu bure tayari Mh rais juzi amelishalifanyia kazi.Nikweli Mh Sumaye umenena kweli.Na Mh Rais amelifanyia kazi uyu ndiye Rais tuliyemtaka na viongozi kama kina Sumaye ndio tunaowataka.Michango kwisha sasa Waziri wa tamisemi Mh Seleman jaffo na pH j.ndalichako wameshapewa majukuma na Mh rais.
Mzee Sumaye hapo umedanganya,mbona walipokuja wazee wa makinikiya walijadili ndani. Then wakawa na press nje ya mlango wa ikulu.....sio kila neno ni siri na mengine ni brief tu.
Mh. Sumaye wewe ulikuwa wazili mkuu kwa nini hukuwa mshauri mzuri wakati huo ccm? na lingine kuhusu ccm kwa kufanya mikutano ni sawaswa kwa sababu ccm ndio mtawala. nikuulize? Baba mwenye nyumba na mpangaji ni sawa? Na kuhusu manaosema uhuru wa kuongea swali ; wewe mtoto wako awe wa kiume au wa kike akwambie wewe baba yangu malaya utakubali? basi ikibidi hivyo mruhusu isia moja kama wazungu tunao wakubari ya hayo wanaotaka basi
Yani katika watu ambao wanatakiwa wasiseme lolote kuhusu serikali ya CCM na pale Tanzania ilipofikia ni huyu jamaa, kama angekuwa na uchungu na mkweli kwa anachokisema angejiuzulu wakati alikuwa waziri mkuu akala miaka 10 ndio saa hizi utudanganye hapa
Kama wewe ni mtu umejiunga na upinzani kama umeitwa ni bora ushirikishe wenzio kabla ya kwenda ili uone kama uko sawa chama ndo kitatoa uamuzi wa kukuruhusu uende na mtu akusindikize ili kutoa hafu nini kilichozungumzwa ila mzee alivoenda kimya na kuonana na rais na kusema tuliongea haya nani mwenye uhakika mzee lowasa ni mtu wa kuchanganya upinzani ila kama utasema kafanya sawa unaumwa mi ni ccm ila mtu anavunja upinzani simpendi
Mikutano kiholela kwa fikra zangu mimi ninaungana na la kila mtu ashughulike au afanye mihadhara yake sehemu yake. Kwa sbb zifuatazo :-1)Wananchi wangekosa muda wa kufanya kazi zao vizuri. 2)uhuru ulio kithiri ungeifanya nchi isitawalike,vuruguvurugu zingekuwa nyingi, mf. Maandamano yasiyo na maana kutokana na misukumo ya wanasiasa. Ila sasa kosa ni lile la ccm wenyewe kufanya mkutano hiyo, hata kama Rais yuko chama tawala. Kimantiki tulikuwa tunaenda vibaya huko nyuma, kulianza kutokea vuruguvurugu za kukosa nidhamu. Mh.Magu mimi naona yuko sahihi tu, wabunge wawatumikie wananchi wao huko huko, inapofika wakati wa chaguzi zozote wafanye.
Margareth Solomon mhe.Magu yupo sahihi kwa mujibu na tafsiri ya katiba kuzuia mikutano na mikusanyiko ya kisiasa? Na kama kigezo kufanya kazi...Je,muda wote ambao hakuna mikutano yoyote ya viongozi wa kisiasa na watu kufanya kazi.Je,kuna utofauti au unafuu katika maisha ya mtanzania wa kawaida? Je,Mhe.Magu anapofanya live coverage ya matukio ya Ikulu ya km kupokea ripoti pacha za makinikia,mkutano mkuu wa chama;mapokezi wa marais wanaotembelea na watu kuacha shughuli zao na kuangalia runinga.Sio kupoteza muda wa kufanya kazi na shughuli za kujipatia kipato.Je,rais hatembelei kile alichokiongea kwa kuhamasisha kazi huku shughuli zake zinaingilia muda wa kazi kwa kurusha mubashara shughuli zake za ikulu.
faraja mhagama Hayo ndio mawazo na maoni yangu. Mkutano wa kutoa taarifa Ikulu ni tofauti na hiyo mihadhara. Mikutano mikuu ya vyama sijawahi kusikia ikizuiliwa kwani hufanyika ktk kumbi maalumu na vyama hufanya. Nchi hii wakati wa Mh. JK ilitishia na kuonekana na viashiria vyote vya kutokutawalika. Mihemuko ilizidi, na uhuru wwte usio na mpaka huleta uhovyo, ukosefu wa nidhamu. Angalia hata ndani ya familia za watu wenye uhuru wa aina hiyo, utakuta ni majanga na vituko vya ajabu ajabu. Ndio maana hadi leo watu wanathubutu kutukana Rais hadharani, je kungeachwa sagala kungekuwa na hali gani. Mbunge, diwani, balozi,wafanye mikutano yao sehemu zao na kutafuta wanachama kwenye maeneo yao mbona wanaruhusiwa!. Ndio maana kuna wakati wa kampeni za chaguzi maalumu na vyama vinaruhusiwa sio kila wakati mamihadhara ovyoovyo. Lkn pia mkuu wa nchi ana fulsa hiyo kama mkuu wa nchi, huwezi kuwalinganisha na wengine. Baba ni kawaida awe na hadhi tofauti, kinyume cha hapo kila mtu atajiona ni baba matokeo yake ni uhovyo. Yuko vizuri Magu, acha amalize muda wake na huo ndio utaratibu wake. Katiba inaruhusu mikusanyiko, mihadhara lkn iwe na taratibu na wanaruhusiwa. Sijasikia mbunge jimboni kwake kuzuiliwa mkutano, sijaona mbunge, diwani, kiongozi wa chama kuzuiliwa kuita vyombo vya habari na kuongea atakavyo.(mbaya wasema ovyo na watukanao, hao wakishikiliwa kuhojiwa ni fresh tu.) Ni maoni yangu mimi.
Margareth Solomon Magareth,hauko sahihi!Miaka ya nyuma vyama vya upinzani hasa chadema walikuwa na Sera ya utawala was majimbo, kama nchi za ulaya,Nigeria,Kenya, lakini watu walipiga kelele wakiongozwa na ccm kuwa italeta ukabila na ukanda, he hii ya wabunge kufanya siasa majimboni kwao si ujabila na ukanda? Halafu rais aliapa kulinda na kutumikia katiba(mawazo ta watz)huku akiwa ameshika biblia,je huoni kuwa ni dhambi kutoishi ulichoapa kwa Jina LA Mungu wetu?Umewahi kutafakari kibiblia ukaona no kwa nini hali inazidi kuwa mbaya kwa taifa hili?bunge halionyeshwi kwa sababu hizohizo za kijinga,lakini mbona ufukara ndo unaongezeka?
Ipyana Nsamuly lakini wanasiasa ndo waoongoza kila idara,elimu afya,kilimo ,miundombinu,kwa hiyo siasa sio uongo tena ungekuwa uongo tusingechagua viongozi wa hizo sekta.
Sumaye ww ni konki master nakupongeza sn unapoint sana mzee
Thanks mh Sumaye umechambua vizuri
Mh. Sumaye Kumbe na we ulimpa kura yako mzee Magu safi sana baba. 3:55.
Much respect to you hon Sumaye,you are real. Unaongea Ukweli na uwezi hufichi kitu. You are a real Gentleman. Big up. Sio Kama L, useless kabisa
kwann ilkuwa siri?
Sumaye you have a good logic. You reason logically. You analyse issues with no bias and with examples.
Mh. Sumay hongera sana
Ni kweli suti ni vazi la heshima lakini si kila mwenye kuvaa suti ni mwenye kujiheshimu.
#Njaa_ya_kuingia_ikulu.
Kumbe tanzania haina uhuru kwa mujibu wa mstaafu
Iv naomb kujua chadema uwa wanapanga cha kuzungmz kwa pamoj?Nina mashaka ,sumaye kupongeza sio kosa Bali nikuonyesha uchanya wa jambo lililofanyika
Anamponda mwenzie ili iweje?
We muuulizaji plus x prime minister ni Mamluki course hamjui mnacchokiongea
Frederick T sumaye, busara na hekima
AZAM TV kweli ninyi ni haki kwa wote sijutii kuwa na king'amuzi chenu
hapo xawa baba mwambie asiceme kuna elimu bure haipo kabisaaa
Sumaye we we na ROWASA mlitoka CCM jioni ucku umeteuliwa kuwa viongozi wa juu Ukawa unashangaaje Mtulia?.
maskini kula yangu bora ningempa Hashim rungwe nijue moja
hahahahaha
Huyu mzee akitaka kula mafao yake vzr aseme na habari yake yeye na mkapa kuhusu private sector, hawa ni wezi watuambie hela zetu wamepeleka wapi?
Wewe mr ziro tu
Huyu ndiyo raisi baada ya magufuri.
Sumaye upo vizuri
Sumaye
Upo sahihi sumaye.
Tatizo la elimu bure tayari Mh rais juzi amelishalifanyia kazi.Nikweli Mh Sumaye umenena kweli.Na Mh Rais amelifanyia kazi uyu ndiye Rais tuliyemtaka na viongozi kama kina Sumaye ndio tunaowataka.Michango kwisha sasa Waziri wa tamisemi Mh Seleman jaffo na pH j.ndalichako wameshapewa majukuma na Mh rais.
Rowasa ni mwanasiasa really, inborn politician!!! ana political torelance na tusimchukulie jujuuu.
Sumay nimekubali omeogea point
Mzee Sumaye hapo umedanganya,mbona walipokuja wazee wa makinikiya walijadili ndani. Then wakawa na press nje ya mlango wa ikulu.....sio kila neno ni siri na mengine ni brief tu.
Kitu kimechacha ndio kama huyu kwani hata yy amenyimwa kwenda kusema hamna lolote..,jipya tuendelee kumwombea lisu afya izidi kuimarika.
Hehehee!! Mr. Zero kumbe upo, umeisoma ee
Babu ulimpigia kura Unco kumbe ..... .
Hawezi kuomba na hata akiomba hatopewa ikulu ni mahala patakatifu hakuna biashara yoyote na hakuna urafiki pale ni sehemu ya kazi tu
Edger uko makini sn
Uyu sumaye yuko vzli kujieleza
Mtangazaji mbona unachekacheka?
Mtangazaji jaribu kuwa na uelewa mkubwa sasa wewe ieleweshe jamii ikuli no kaya ya nani
sumae umeeleweka sana
Mh. Sumaye wewe ulikuwa wazili mkuu kwa nini hukuwa mshauri mzuri wakati huo ccm? na lingine kuhusu ccm kwa kufanya mikutano ni sawaswa kwa sababu ccm ndio mtawala. nikuulize? Baba mwenye nyumba na mpangaji ni sawa? Na kuhusu manaosema uhuru wa kuongea swali ; wewe mtoto wako awe wa kiume au wa kike akwambie wewe baba yangu malaya utakubali? basi ikibidi hivyo mruhusu isia moja kama wazungu tunao wakubari ya hayo wanaotaka basi
Hayo ni mawazo yake Bwana Summaye. MTU anashauriwa kabla hajatekeleza sio baada ya utekelezaji.
Huo ni ukomavu Wa kisiasa
Nikweli mheshimiwa sumae, nakumbuka nilisoma na hiyo fees wakati ukiwa waziri mkuu.
Hakika mumenena vema
Yani katika watu ambao wanatakiwa wasiseme lolote kuhusu serikali ya CCM na pale Tanzania ilipofikia ni huyu jamaa, kama angekuwa na uchungu na mkweli kwa anachokisema angejiuzulu wakati alikuwa waziri mkuu akala miaka 10 ndio saa hizi utudanganye hapa
mh mungu akulinde
acha kudanganya wewe kama sumaye hujamchagua Maghufuli tunajua
Uko vizur
We ulikuwa waziri mkuu ulifabya nini?Wanasiasa wa bongo wengi waongo siyo wa upinzabi wala chama tawala,wengi waongo!
busara za uongozi siyo kuropoka bali ni hekima lowassa lazima aonyeshe hekima busara
Kama wewe ni mtu umejiunga na upinzani kama umeitwa ni bora ushirikishe wenzio kabla ya kwenda ili uone kama uko sawa chama ndo kitatoa uamuzi wa kukuruhusu uende na mtu akusindikize ili kutoa hafu nini kilichozungumzwa ila mzee alivoenda kimya na kuonana na rais na kusema tuliongea haya nani mwenye uhakika mzee lowasa ni mtu wa kuchanganya upinzani ila kama utasema kafanya sawa unaumwa mi ni ccm ila mtu anavunja upinzani simpendi
sumaye wewe ni mwanasiasa uliyeiva.
Sumaye acha uongo na desturi za ajabu mbna kila mgeni anaetoka ikulu mbona wanatoa neno baada ya mazungumzo na rais
Safi sumaye maamuzi ni jumuishi
Inamaana mtu akifanya kazi hata kama ni wajibu wake mtu huwezi kumpongeza?
thanx sumaye
Shamba umefanyaje wewe kipindi uko waziri mkuu
Shamba la magereza ulilochukuwa liko wapi kipindi wazr mkuu
Sumaye kwa hapo umekengeuka maana maelezo yako na Usoni mwako haviendani
Sumaye ulikaa madarakani miaka 10 kama waziri mkuu ulitufanyia nn watanzania?
kwani majaaliwa anafanya nnia?bashite anampita majaliwa
Sumaye hongera
Mikutano kiholela kwa fikra zangu mimi ninaungana na la kila mtu ashughulike au afanye mihadhara yake sehemu yake. Kwa sbb zifuatazo :-1)Wananchi wangekosa muda wa kufanya kazi zao vizuri. 2)uhuru ulio kithiri ungeifanya nchi isitawalike,vuruguvurugu zingekuwa nyingi, mf. Maandamano yasiyo na maana kutokana na misukumo ya wanasiasa. Ila sasa kosa ni lile la ccm wenyewe kufanya mkutano hiyo, hata kama Rais yuko chama tawala. Kimantiki tulikuwa tunaenda vibaya huko nyuma, kulianza kutokea vuruguvurugu za kukosa nidhamu. Mh.Magu mimi naona yuko sahihi tu, wabunge wawatumikie wananchi wao huko huko, inapofika wakati wa chaguzi zozote wafanye.
Margareth Solomon mhe.Magu yupo sahihi kwa mujibu na tafsiri ya katiba kuzuia mikutano na mikusanyiko ya kisiasa?
Na kama kigezo kufanya kazi...Je,muda wote ambao hakuna mikutano yoyote ya viongozi wa kisiasa na watu kufanya kazi.Je,kuna utofauti au unafuu katika maisha ya mtanzania wa kawaida?
Je,Mhe.Magu anapofanya live coverage ya matukio ya Ikulu ya km kupokea ripoti pacha za makinikia,mkutano mkuu wa chama;mapokezi wa marais wanaotembelea na watu kuacha shughuli zao na kuangalia runinga.Sio kupoteza muda wa kufanya kazi na shughuli za kujipatia kipato.Je,rais hatembelei kile alichokiongea kwa kuhamasisha kazi huku shughuli zake zinaingilia muda wa kazi kwa kurusha mubashara shughuli zake za ikulu.
faraja mhagama Hayo ndio mawazo na maoni yangu. Mkutano wa kutoa taarifa Ikulu ni tofauti na hiyo mihadhara. Mikutano mikuu ya vyama sijawahi kusikia ikizuiliwa kwani hufanyika ktk kumbi maalumu na vyama hufanya. Nchi hii wakati wa Mh. JK ilitishia na kuonekana na viashiria vyote vya kutokutawalika. Mihemuko ilizidi, na uhuru wwte usio na mpaka huleta uhovyo, ukosefu wa nidhamu. Angalia hata ndani ya familia za watu wenye uhuru wa aina hiyo, utakuta ni majanga na vituko vya ajabu ajabu. Ndio maana hadi leo watu wanathubutu kutukana Rais hadharani, je kungeachwa sagala kungekuwa na hali gani. Mbunge, diwani, balozi,wafanye mikutano yao sehemu zao na kutafuta wanachama kwenye maeneo yao mbona wanaruhusiwa!. Ndio maana kuna wakati wa kampeni za chaguzi maalumu na vyama vinaruhusiwa sio kila wakati mamihadhara ovyoovyo. Lkn pia mkuu wa nchi ana fulsa hiyo kama mkuu wa nchi, huwezi kuwalinganisha na wengine. Baba ni kawaida awe na hadhi tofauti, kinyume cha hapo kila mtu atajiona ni baba matokeo yake ni uhovyo. Yuko vizuri Magu, acha amalize muda wake na huo ndio utaratibu wake. Katiba inaruhusu mikusanyiko, mihadhara lkn iwe na taratibu na wanaruhusiwa. Sijasikia mbunge jimboni kwake kuzuiliwa mkutano, sijaona mbunge, diwani, kiongozi wa chama kuzuiliwa kuita vyombo vya habari na kuongea atakavyo.(mbaya wasema ovyo na watukanao, hao wakishikiliwa kuhojiwa ni fresh tu.) Ni maoni yangu mimi.
Margareth Solomon Magareth,hauko sahihi!Miaka ya nyuma vyama vya upinzani hasa chadema walikuwa na Sera ya utawala was majimbo, kama nchi za ulaya,Nigeria,Kenya, lakini watu walipiga kelele wakiongozwa na ccm kuwa italeta ukabila na ukanda, he hii ya wabunge kufanya siasa majimboni kwao si ujabila na ukanda?
Halafu rais aliapa kulinda na kutumikia katiba(mawazo ta watz)huku akiwa ameshika biblia,je huoni kuwa ni dhambi kutoishi ulichoapa kwa Jina LA Mungu wetu?Umewahi kutafakari kibiblia ukaona no kwa nini hali inazidi kuwa mbaya kwa taifa hili?bunge halionyeshwi kwa sababu hizohizo za kijinga,lakini mbona ufukara ndo unaongezeka?
Margareth Solomon Jitahidi kutoka nje ya box
Nashukuru umesema hayo ni mawazo yako, ila umejifungia mno ndani ya box ondoa matongotongo kwenye macho yako utaujua ukweli karaghabhaho.
Nikukumbushe sumaye ushwwahi kusema upinnzani sio chama upinzani ni mtu
Sadick D_knuckle ukitaka kuona utamu wa ngoma ingia ucheze, alipoingia cdm ndio amejua kua cdm nitaasisi sio mtu, sawa ww
Cha msingi ni je lowassa aliitwa au aliombaa aonane na mh rais???na piah mambo walio ongeah wao ni siri haziwez wekwaa wazi!!!
mbona mbowe alimtukana mwanzoni sumaye wewe MTU mzima acha uongo Lea wajukuu zako achana na siasa mzeee
Marium Chima
Itabidi uchukue nafasi yake wewe😀
Mwandemane mbona hueleweki au unaogopa wasio julikana?????
Marium Chima ###£#£"£
Marium Chima Kwani tatizo liko wapi
lucky sabasaba i
Siasa mchezo mchafu
Ipyana Nsamuly kwa mtazamo wako.
Elia Jimmy kwenye siasa uongo mwingi.
Ipyana Nsamuly lakini wanasiasa ndo waoongoza kila idara,elimu afya,kilimo ,miundombinu,kwa hiyo siasa sio uongo tena ungekuwa uongo tusingechagua viongozi wa hizo sekta.
Azam kuweni makini magufuri atawafungia
aaaa!!!!wapi!