Efatha Ministry Mass choir - Bwana u mwema

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
  • Description

ความคิดเห็น • 32

  • @farajamsigwa1304
    @farajamsigwa1304 2 ปีที่แล้ว +1

    Eee Mungu wabariki hawa wimbaji na PROTOCOL Y A EFATHA, HUU NI MKESHA WA TAREHE 31-12-2012. NILIKESHA KWA MARA YA KWANZA BAADA TU YA KUOKA NA NDO SIKU HIYOHIYO NILIPOKEA UPONYAJI KWELI NIMEMINI MUNGU ANAKAA KATIKA SIFA NAMRUDISHIA YEYE UTUKUFU 🙇🏼‍♀️🙇🏼‍♀️🙇🏼‍♀️🙇🏼‍♀️🙏🏽

  • @Reginajohnson-1988
    @Reginajohnson-1988 5 หลายเดือนก่อน

    YESU NI BWANA HALELUYA AMEN

  • @jeremiahmungele
    @jeremiahmungele 9 หลายเดือนก่อน

    Mwaka huu lazima nikuone 🙏

  • @frolaselemani9243
    @frolaselemani9243 4 ปีที่แล้ว

    Wao efatha Mzuri jamani,Penda baba!yangu mungu akuinue na mama!nawapenda wazazi wangu,kiroho,wao amina,

  • @samwelwansse5134
    @samwelwansse5134 8 ปีที่แล้ว +1

    mungu wa Efatha endelea kutufanya tuzidi kuuona wema wako

  • @traciousoctavian223
    @traciousoctavian223 6 ปีที่แล้ว +1

    Hakika Mungu wa Efatha ananishangaza kwa matendo yake makuu, ninampenda

  • @archadbaltazar5358
    @archadbaltazar5358 5 ปีที่แล้ว

    My brothers and sisters in Christ Jesus... Congrats

  • @vestinavicent6538
    @vestinavicent6538 9 ปีที่แล้ว

    Kweli huu wimbo unanibariki sana mbarikiwe na Mungu wa Efatha

  • @judithfred2828
    @judithfred2828 8 ปีที่แล้ว

    Judith Mwakasege mungu wa efatha muweza katika maisha yangu sijui nimpe nini huyu mungu wangu

  • @ConsalvaKessy
    @ConsalvaKessy 9 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo Kali

  • @bahatialoyce6396
    @bahatialoyce6396 9 ปีที่แล้ว

    Hakika Mungu ni mwema sana jamani, ninabarikiwa sana!!

  • @janeisaac4530
    @janeisaac4530 10 ปีที่แล้ว

    mungu awazidishie kipawa cha kuimba.

  • @rhinaregina5806
    @rhinaregina5806 8 ปีที่แล้ว +2

    Amen God bless you Mass choir

  • @arabisaidy1083
    @arabisaidy1083 3 ปีที่แล้ว

    Najua upo

  • @shirazizaidi9036
    @shirazizaidi9036 2 ปีที่แล้ว

    Hakika ni mwema

  • @deborajoseph395
    @deborajoseph395 3 ปีที่แล้ว

    Umwema Bwana

  • @janethmramba989
    @janethmramba989 8 ปีที่แล้ว +4

    Hakika Bwana ni mwema

  • @rg6826
    @rg6826 6 ปีที่แล้ว

    Mwema sana sinajakusema ila nimeuona wema wko

  • @aminamwashambwa6846
    @aminamwashambwa6846 8 ปีที่แล้ว

    haleluya nabarikiwa sanaa

  • @faithnalitolela834
    @faithnalitolela834 6 ปีที่แล้ว

    Nawapenda 😘😘

  • @andersonaudax88
    @andersonaudax88 2 ปีที่แล้ว

    Ibanda za efatha 2022

  • @kissahsamson719
    @kissahsamson719 7 ปีที่แล้ว

    Love you Anna Komba. servant of God .

  • @marthazawadinakupenda6660
    @marthazawadinakupenda6660 4 ปีที่แล้ว

    💖💖❤❤efatha

  • @sirablea.k5682
    @sirablea.k5682 9 ปีที่แล้ว +1

    jamani Mungu wa Efatha nimwema kila siku

  • @tulizobahati6085
    @tulizobahati6085 5 ปีที่แล้ว

    AMEN AMEN.

  • @gloryqueen6296
    @gloryqueen6296 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @robertduyi420
    @robertduyi420 8 ปีที่แล้ว +1

    Hakika matendo ya Bwana yapendeza