EARLY GRABBERS || 20.10.2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 4

  • @carolineg.3276
    @carolineg.3276 8 วันที่ผ่านมา +11

    Ezekiel 2:2
    Kumbukumbu 28:1
    Omba Mungu akusaidie uweze kupokea Upako kwenye ujumbe wowote unaoletwa kwenye maisha yako.
    Omba upokee upako unaposikia Neno la Mungu linapohubiriwa kwenye maisha yako
    Omba upokee Upako unapoona vitu unavyotakiwa kuviona au mambo ambayo Mungu anataka uyaone.
    Upako ambao utakupeleka sehemu ambazo Mungu amekusudia uende; Huko Mungu anakokupeleka ni sehemu ambayo itakupa faida, ni sehemu utapata matokeo chanya, ni sehemu ambayo kuna kusudi la Mungu kwa maisha yako.
    Ezekiel 3:22-24

  • @irenemwenda6374
    @irenemwenda6374 8 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @HellenDaudi-rt8ol
    @HellenDaudi-rt8ol 8 วันที่ผ่านมา

    Mungu nisaidie katika hili

  • @sophiangongi8309
    @sophiangongi8309 8 วันที่ผ่านมา

    Amen