MZEE MCHAWI EPISODE 4

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 179

  • @Jay_Y_Charles
    @Jay_Y_Charles หลายเดือนก่อน +25

    Naona kabisa mganga wa taifa, ameanzaa kutupa vitu vilivo tulia saa, kama alivo na ubora wa kipaji chakee.... 💯

  • @AllyMora-lf5gh
    @AllyMora-lf5gh หลายเดือนก่อน +26

    mwakatobe noma anae mkubali gong like ap

  • @Kashindijohn
    @Kashindijohn หลายเดือนก่อน +17

    Napenda sana unavyo achia movie siyo wengine mpaka mwezi nakubali sana kubwa mwakatobe 🎉🎉🎉🎉

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed หลายเดือนก่อน +14

    Pashambe Unajua kuekti Michezo ya Kichawi Wewe ❤❤

  • @FrankLuhaha-dt5sh
    @FrankLuhaha-dt5sh หลายเดือนก่อน +16

    Wanaomkubaliii mwakatobeee gonga like hapa ❤❤❤❤❤❤😂😂

  • @user-ih9fw2fv1t
    @user-ih9fw2fv1t หลายเดือนก่อน +17

    ila mwakatobee ndio unasifa kuachia asubuhi yote hii😂😂😂

  • @FredClaus-ql3vb
    @FredClaus-ql3vb หลายเดือนก่อน +8

    Ila mwakatobe unejua Sana kutufurahisha mashabiki zako Yani unaachia kazi Kwa wakati aisee pongezi zikufikie popote ulipo.❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @GilbertsKaingu
    @GilbertsKaingu หลายเดือนก่อน +10

    Kweli yni amemaliza tuh kudwali jamaa akatuzingatia, dh yni kweli mwakato anaijali kazi yke

  • @Pox_media
    @Pox_media หลายเดือนก่อน +9

    Wewe fabililaiii😂😂😂😂😂
    Weeee niambie komaaa😂😂😂😂😂
    Misemo inayonifurahisha kwa mwakatobe kwenye movie hiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @petromatola5426
    @petromatola5426 หลายเดือนก่อน +10

    Mzee wa taifa alipoa sana

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed หลายเดือนก่อน +5

    Pashambe Wewe na Mwakatobe❤❤❤

  • @piasonNicholas-us1wh
    @piasonNicholas-us1wh หลายเดือนก่อน +8

    ila pashambe nakukubali sana una kipaji kibwa sana

  • @MoTalentTz
    @MoTalentTz หลายเดือนก่อน +1

    Mganga wa taifa 🇹🇿 mwakatobe 🙏🙏💪🏻💪🏻💪🏻

  • @user-qq4zr3sk2g
    @user-qq4zr3sk2g หลายเดือนก่อน +4

    Mwakatobe umezidi kanzu kuvaa mlegezo jamani🙌🙌 😂😂😂😂baba una kitafunio 😂

  • @FranciscoCalistoAntónio
    @FranciscoCalistoAntónio หลายเดือนก่อน +7

    Bom sucesso tio mwakatobe🇲🇿🇲🇿

  • @RivaTata
    @RivaTata หลายเดือนก่อน +1

    Suis au Congo DRC courage na musala mayo vraiment mwakatobe❤❤❤

  • @user-zy6vq6lz7z
    @user-zy6vq6lz7z หลายเดือนก่อน +4

    Huyu jamaa sasa atapelekewa moto mpaka ajute

  • @mohamedmwinjuma
    @mohamedmwinjuma หลายเดือนก่อน +8

    Mwakatobe anaupiga mwingi

  • @hamdunslimofficail4150
    @hamdunslimofficail4150 หลายเดือนก่อน +1

    Acha umarioo wangapi tumejifunza kuusu ii movie tulijua comedy kumbe elimu kbsa dash HATARI🔥🔥🔥🔥

  • @raiswamaraishalisi8426
    @raiswamaraishalisi8426 24 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂 Mzee wangu an roho nzuri sana amemsameeh kwa masharti madogo sana 😂😂😂 mi penda sana MWAKATOBE

  • @CathelineMaaruful
    @CathelineMaaruful หลายเดือนก่อน

    Ila mwakatobe weeh ni mwamba sana chukua maua yako🎉🎉🎉🎉

  • @aganzeroger
    @aganzeroger หลายเดือนก่อน +1

    Yani iyi movie nikali mwakatobe🎉🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @mosimndeme9618
    @mosimndeme9618 หลายเดือนก่อน +5

    Nimekua wakwanza kutoka Zambia naombeni like zangu😂

  • @DjumaLawi
    @DjumaLawi หลายเดือนก่อน +2

    Mwakatobe I like the way you are playing very nice comedy 😂South Africa Nipo akufatilia

  • @user-vh7gw3we5z
    @user-vh7gw3we5z หลายเดือนก่อน +6

    apo kwanza ncheke kabak na kitumbua😂😂😂cha mganga 🎉🎉😂😂😅

  • @ARONPaul-bz3ws
    @ARONPaul-bz3ws หลายเดือนก่อน +1

    Utafinywa na mwakatobeee kama ulivooo mfinyaaaa. Mwanae😊

  • @user-ej1rz1cv5e
    @user-ej1rz1cv5e หลายเดือนก่อน +3

    Yaani hawa watoto mama Yao anajuwa watoto wapo shule kumbe vibaka mtaani

  • @Puchuanitz
    @Puchuanitz หลายเดือนก่อน +18

    🎉Naombeni hata like kumi jaman

  • @EmmanuelKunzugala
    @EmmanuelKunzugala หลายเดือนก่อน +6

    nakubal sana @MWAKATOBE 🤣😅

  • @sharifushabani3906
    @sharifushabani3906 หลายเดือนก่อน

    Duh mwakatobe we noma jicho konzi duu

  • @user-zu8yr7mh4h
    @user-zu8yr7mh4h หลายเดือนก่อน +6

    Like kwajili ya mwakatobe jamani naombeni tafadhali

  • @user-su1nb7yy1i
    @user-su1nb7yy1i หลายเดือนก่อน

    Ila mwakatobe anayaweza kweli jamani nacheka kweli kweli 😅😅😅😅❤❤❤

  • @boniphaceLyaka
    @boniphaceLyaka หลายเดือนก่อน +1

    Ila mwakatobe😅😅😅we noma angalia wasikufinye wachawi wa himaya U tube😅😅🔥🔥

  • @Ibrahimlundenga
    @Ibrahimlundenga หลายเดือนก่อน +3

    Mtu una mke arafu unapenda wanafunzi!!,mshonee mke nguo za shule avae😂😂😂😂😂wewe mzima mzee? ningekua nimekufa ningeongea?😂😂mwakatobe🔥🔥🔥💪

  • @SelemaniIddy-nc1nf
    @SelemaniIddy-nc1nf หลายเดือนก่อน

    Oy mwakatobe nimechelewa nilikuwa msibani ila move zako bila kuziangalia siliziki nitakupelekea moto 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @SaidAlly-u4i
    @SaidAlly-u4i หลายเดือนก่อน +2

    Hhhhhh JICHWA kweny KOBA hhhhh pashambe hyo ndo mahaba MPENZ

  • @mercymwendo2990
    @mercymwendo2990 หลายเดือนก่อน +3

    Ila mwakatobe unajua 🎉🎉😂😂😂😂😂😂khaa unajua kunifurahisha

  • @user-iw4ym5lt4s
    @user-iw4ym5lt4s หลายเดือนก่อน

    Haahaaa muache na kitumbua chake wahuni wakamshone wakamkamieee😂😂😂😂😂😅😅 mwakatobe mwehukwl uyu jamaaa

  • @yuzzomanboy
    @yuzzomanboy หลายเดือนก่อน

    Daah mwakatobe unaniacha Hoi sana

  • @user-bi9pl4eu2o
    @user-bi9pl4eu2o หลายเดือนก่อน

    Big up sana mwakatobe kazi nzuri sana 😂

  • @saidimkwinzu9106
    @saidimkwinzu9106 หลายเดือนก่อน +3

    Kwan mwakatobe ni mpare?
    Mwashinjiadhe
    Jahako
    Nrejedi
    Jauko
    Salamu za kipare izo😂😂

  • @RACHIDDOG-SINATAS666
    @RACHIDDOG-SINATAS666 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi wa kwanza toka Dr Congo 🇨🇩 nipe liké yangu djameni

  • @AbdullhamidHaji-ld7yt
    @AbdullhamidHaji-ld7yt หลายเดือนก่อน +1

    Mwakatobe ukienda km hv tutakupa mauwa yko 👏👏mzee baba yn tusipoe wala usibowe 😂😂

  • @user-mb7vv8lw8e
    @user-mb7vv8lw8e หลายเดือนก่อน

    Mwakatobe mmmm noma sana ❤from malawi

  • @user-lu1by6yp4t
    @user-lu1by6yp4t หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂 mgaga kaenda na nanii ya mwenzie hauna namna na wewe ubaki na ,,,, yako😂😂😂

  • @SaidAlly-u4i
    @SaidAlly-u4i หลายเดือนก่อน +2

    Huyu kijana kama ni Mimi huyo batuli maisha y ngu simuachi mchezo na kutolewa TUMBUA hhhhh

  • @MARCEL_BOY9
    @MARCEL_BOY9 หลายเดือนก่อน +3

    Duh❤
    Mganga amefariki

  • @user-gl2bn6ot8e
    @user-gl2bn6ot8e หลายเดือนก่อน +3

    Mwakatobe jaman ety kitumbua😂😂😂😂🙌

  • @SamwelBenard
    @SamwelBenard หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤big up mwakatobe

  • @user-mi8lu8jn1x
    @user-mi8lu8jn1x หลายเดือนก่อน +3

    Much ❤❤❤❤❤❤from Kenya

  • @AnnaMallya-on2qj
    @AnnaMallya-on2qj หลายเดือนก่อน

    Mwakatobe nakukubali ❤

  • @manexking
    @manexking หลายเดือนก่อน +3

    Mganga wangu pendwa😂😂😂 mwakatobe

  • @shukurundume8181
    @shukurundume8181 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri sana Mwakatobe

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 หลายเดือนก่อน

    Mwakatobe ni mlinzi tosha na pale ipooo😂😂😂 🙌

  • @PoliiKinhoii
    @PoliiKinhoii หลายเดือนก่อน +2

    Mwakatobe na huo mdomo jmn hivi haukuumi khaa😂😂

  • @SaidAlly-u4i
    @SaidAlly-u4i หลายเดือนก่อน +2

    Mchezo na kushonwa hhhh ati ZIPO mzee wangu ZIPo

  • @FredrickNdyamkama
    @FredrickNdyamkama หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kaka mwakatobe. Unajua sana kuigiza Kila aina ya uhusika

    • @FredrickNdyamkama
      @FredrickNdyamkama หลายเดือนก่อน

      Nimecheka sana kwenye kibeg Kuna kichwa Cha mwakatobe 😅😅😂😂

  • @user-bi9pl4eu2o
    @user-bi9pl4eu2o หลายเดือนก่อน

    Mwakatobe asantaaaa 😂😂😂😂 pilau iliwe hiyo 😅😅😅

  • @AmaniNangerembe
    @AmaniNangerembe หลายเดือนก่อน

    Mwakatobe ban ni 🔥🔥

  • @sadakombo-li7yi
    @sadakombo-li7yi หลายเดือนก่อน +2

    Hongera mwakatobe na wenzio ❤❤ from pemba

  • @SimbaMajaslee
    @SimbaMajaslee หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤ mwakatobe

  • @user-nc7mx6hl3q
    @user-nc7mx6hl3q หลายเดือนก่อน +3

    Mwakatobe umetisha snaa

  • @NurdinAthuman-lw7yc
    @NurdinAthuman-lw7yc หลายเดือนก่อน +2

    Waooooo nimewahi Leo kamamae 😂😂😂

  • @user-oe5ze5uq8m
    @user-oe5ze5uq8m หลายเดือนก่อน +1

    Mwakatobe champion 🇨🇩

  • @WiliamTomas-oo9kb
    @WiliamTomas-oo9kb หลายเดือนก่อน

    😅😅😅 ndomana mm sina pengine nafata muvi zidi ya kampuni ii

  • @IreneShoma
    @IreneShoma หลายเดือนก่อน +2

    Naku❤ mwakatobe

  • @rahmaabuu2829
    @rahmaabuu2829 หลายเดือนก่อน

    Pashambe kanichekexha eti mim naoxh zngu vyombo ximwangalii mtu usoni😂😂😂😂

  • @mussamatambo9108
    @mussamatambo9108 หลายเดือนก่อน +2

    UNGEMUACHA NA KITUMBUA TU WAMKAMIE KWA MUDA KWANZA😂😂

  • @ShabanMadobe
    @ShabanMadobe หลายเดือนก่อน +2

    Good mwakatobe

  • @user-il1ht3of5c
    @user-il1ht3of5c หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 ila mwakatobe eti nikuache nakitumbua chako uvae dera wahun wakushone 😂

  • @user-lu1by6yp4t
    @user-lu1by6yp4t หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂fanya mpango nipate sahani moja bwege weweee nimecheka kwa sautii😂😂

  • @nickojamsen5149
    @nickojamsen5149 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂
    Nahapa ipo

  • @KhamisAli-fj3rz
    @KhamisAli-fj3rz หลายเดือนก่อน +2

    piga keleeleee kwa mwakatobe

  • @emanueljoshua6228
    @emanueljoshua6228 หลายเดือนก่อน

    Sasa ww Mzee washinjaze nrejedi havachee. Mizimu ya kipare

  • @husseinasiadmmbaga2683
    @husseinasiadmmbaga2683 หลายเดือนก่อน

    Mwakatobe nataka kujua we ni mpare au😂

  • @DeejayDijoMisondo
    @DeejayDijoMisondo หลายเดือนก่อน

    noma Uyu jamaa

  • @Kevworx
    @Kevworx 28 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂 Mwakatobe utazivunja mbavu zangu bwege ww

  • @LissaDavid
    @LissaDavid หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 ety kaaaa na kitumbua chako 😂😂

  • @OnWe-x8u
    @OnWe-x8u หลายเดือนก่อน

    Ila mwakatobe ukistajab yamusa et filauni ndo yeye

  • @ARONPaul-bz3ws
    @ARONPaul-bz3ws หลายเดือนก่อน

    Wamekutanaa na kichwaaa cha mwakatobeeeee 😅

  • @MashaMwakindangi
    @MashaMwakindangi หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 ungemwacha wahuni wakampakuaa na yy

  • @HoscarMwirigi
    @HoscarMwirigi หลายเดือนก่อน +1

    kazi nzuri mwakatobe

  • @hemedfaraji9710
    @hemedfaraji9710 หลายเดือนก่อน +2

    mwache na kitumbua 😅

  • @user-cn2pl5mp5k
    @user-cn2pl5mp5k 25 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂 ngoja nijenge namimi kumbe wenyenyumba ndio wanafaidi ivyoo

  • @NathanaelVundwe
    @NathanaelVundwe หลายเดือนก่อน

    Hilo fundisho kwa wote,

  • @robertcheruiyot318
    @robertcheruiyot318 หลายเดือนก่อน

    Oooh umepaki Na pushaat broo😂😂😂😂

  • @mwinyishomary4510
    @mwinyishomary4510 หลายเดือนก่อน

    Mwakatobe ni mwamba San

  • @wangaichrisantus184
    @wangaichrisantus184 หลายเดือนก่อน +2

    Wakushone😂😂

  • @EstherAdorwa
    @EstherAdorwa หลายเดือนก่อน +1

    Kitumbua😅😅😅

  • @Joyce-qf5px
    @Joyce-qf5px หลายเดือนก่อน +2

    Pashambeee 😅😅😅😅

  • @RukiaKhamis-pu9zv
    @RukiaKhamis-pu9zv หลายเดือนก่อน

    Mwaka tobe hatak kupangisha wanaume

  • @pogo946
    @pogo946 หลายเดือนก่อน +1

    Mwakatobe yuko na bima ya afya mfukoni..

  • @MwajabuIssa-rl5bz
    @MwajabuIssa-rl5bz หลายเดือนก่อน +1

    Wapareee😅😅😅

  • @LissaDavid
    @LissaDavid หลายเดือนก่อน

    😂😂 asa ni ngekua nime kufaa ninge hongea 😂😂

  • @DaniBoeeTz
    @DaniBoeeTz หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂 doma ka pochi

  • @LulendaDotto
    @LulendaDotto หลายเดือนก่อน

    Dada kateleza fyaaa

  • @studyhamisiamilmihambo
    @studyhamisiamilmihambo หลายเดือนก่อน

    naona mganga jau ameanza kukiwasha

  • @user-lu1by6yp4t
    @user-lu1by6yp4t หลายเดือนก่อน

    Unajiendekez hatakodi haujui inaisha lini😂😂😂😂

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤

  • @MussaIbrahim-xz8mr
    @MussaIbrahim-xz8mr หลายเดือนก่อน +5

    Naomba like zk mwakabe