kilimo cha matikiti hatua ya pili mkuranga kangeta kilimo(pruning watermelon)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024
  • +255717274387/+255759417639
    info@kangetakilimo.co.tz
    www.kangetakilimo.co.tz

ความคิดเห็น • 35

  • @asaas7619
    @asaas7619 5 ปีที่แล้ว +3

    Habari Kangeta Kilimo
    Kwanza nashkuru sana kwa kazi yenu bora ya kutuelimisha
    Pili nauliza ulipofanya pruning ulilikata tunda je ni kwanini usingelikata tawi lote na kukabaki tawi moja lenye matunda mawili
    Nini madhara ya kukata tawi lote

    • @kangetakilimo6268
      @kangetakilimo6268  4 ปีที่แล้ว

      Kuacha matunda matatu kwa mche

    • @kangetakilimo6268
      @kangetakilimo6268  4 ปีที่แล้ว

      Kwa ajili ya kuruhusu matunda machache

    • @wishitwinzi8067
      @wishitwinzi8067 2 ปีที่แล้ว

      Kikweli namm nilitamani wakate tawi moja kwa moja ili kubakiwa na lile tawi tu linalolea matunda naona Kama hajajibu kwa jinsi ulivyouliza

  • @khadijaahmadi7873
    @khadijaahmadi7873 ปีที่แล้ว

    Ninauza mbolea nzuri sana inaitwa super gro inakuza inazalisha p inatunza unyevunyevu shamban kwako pia inarudusha mmea ktk uwasilia wake na kujitengenezea chakula chake chenyew

  • @TEACHER.CLEOPHAS
    @TEACHER.CLEOPHAS 3 ปีที่แล้ว

    Great job. A learning experience for the water melon farming.

  • @ezekiambwambo4969
    @ezekiambwambo4969 2 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri kijibu na txt za watu kabsa hakika wew ni bora

  • @PetroMnyeti
    @PetroMnyeti หลายเดือนก่อน

    Amen sana

  • @PetroMasumbuko-gz4xx
    @PetroMasumbuko-gz4xx 6 หลายเดือนก่อน

    Sawa kipimo shimo kwa shimo ikoje

  • @aswilekibona9861
    @aswilekibona9861 11 หลายเดือนก่อน

    Je,Kuna kiwango maalum Cha kuruhusu matunda ktk shin Moja?

  • @tingbatuuka7278
    @tingbatuuka7278 5 ปีที่แล้ว

    Umeeleweka vizuri hapa

  • @raphaelbruno2743
    @raphaelbruno2743 5 ปีที่แล้ว

    Kangeta kilimo,kangeta kilimo!asante sana kwa pindi zako bro mungu akubariki!!ntakutafuta whts up!!

  • @shebbyelphonce8514
    @shebbyelphonce8514 3 ปีที่แล้ว

    Brother unajua sana

  • @gloriasilayo9945
    @gloriasilayo9945 3 ปีที่แล้ว

    Wew katika kuprune umeacha matunda mawili, je mimi nikiprune nikaacha matunda matatu ni sahihi? yatakuwa makubwa na mazuri?

    • @kangetakilimo6268
      @kangetakilimo6268  3 ปีที่แล้ว

      Unaweza acha matatu Hadi manne ila hakikisha kabla ya kuprune unaweka mitego kuzibit FRUITFLY (manyigu)

    • @gloriasilayo9945
      @gloriasilayo9945 3 ปีที่แล้ว

      @@kangetakilimo6268 alafu wakati matunda yanatoka yakiwa bado madogo mengine unakuta yametobolewa na wadudu yanaweka kama vidoti vyeusi, ukipasua ndani unakuta limeoza alafu kuna wadudu wale weupe finyo finyo... unawezaje kuondoa hilo tatizo?

    • @kangetakilimo6268
      @kangetakilimo6268  3 ปีที่แล้ว

      0717274387

    • @kangetakilimo6268
      @kangetakilimo6268  3 ปีที่แล้ว

      Matunda unayoyaona machanga yamedonolewa hiyo Ni tatizo la nzi wa matunda fruitfly kwaiyo weka mitego +255717274387 WhatsApp

  • @allymahita5880
    @allymahita5880 ปีที่แล้ว

    Mfano umepiga dawa alafu baada ya nusu saa ikanyesha mvua untakiwa ufnye nn

  • @asaas7619
    @asaas7619 5 ปีที่แล้ว

    Habari za saa hii
    Mbona nkmeuliza na sikujibiwa?

    • @kiyumbiyuga5005
      @kiyumbiyuga5005 5 ปีที่แล้ว +1

      Unaweza kukata lote kama halina tunda. Kama lina tunda una proune mwishoni tu

    • @wazamani
      @wazamani 5 ปีที่แล้ว +1

      Mmea huhitaj majani ili kujitengenezea chakula chake kwa kupitia mwanga wa jua kitaalaam photosynthesis ,so kadri unavoounguza majani ndo chakula unavokipunguza kwa mmea ndoo maana katoa tunda kabakisha majani

  • @petersaidi7035
    @petersaidi7035 5 ปีที่แล้ว

    Kwahyo matikiti maj yanachukua miezi mingap tangu kupanda hadi Kuvuna?

  • @alphoncemichael5798
    @alphoncemichael5798 4 ปีที่แล้ว

    Hamna group la Wasap?

  • @geofreymwakasitu7658
    @geofreymwakasitu7658 3 ปีที่แล้ว

    Naomb namb yko ya cm bro!

  • @ashirafabdallah325
    @ashirafabdallah325 3 ปีที่แล้ว

    Kwa hiyo matawi nitayaacha vote ila nitayatolea matunda?

  • @gloriasilayo9945
    @gloriasilayo9945 3 ปีที่แล้ว

    Na wanasemaga eti kama unahitaji matikiti ya size moja unaondoa tunda la kwanza kabisa kuchipua, unabaki na tunda kwanzia la pili... je ni kweli hiyo statement?

    • @kangetakilimo6268
      @kangetakilimo6268  3 ปีที่แล้ว

      Hapana unaitaji kulinda tunda la Kwanza pili ndio grade one