Ee Mungu naomba nipate ndoa Naomba nipate fedha Naomba niinuke ki uchumi Baba naomba ukanilindie familia yangu watoto wangu wazazi wangu kwa jina la yesu Amen
Amen Napokea kwajina la Yesu Eeeh Mungu nipiganiye mambo yangu yafunguke.nipate watu sahihi wakunisaidia.🙏🙏watu walio bali na karibu nami nipate mtaji nileye watoto wangu 😭
Amen mtumishi wa mungu Mimi nikondoo aliye potea kwakusali ila narejea kwa hili neno umenilisha naomba mungu anijaliye hiyo neema yamaombi kupitia jina la yesu
Mm naomba mungu anitunzie kichanga changu tumboni kiwe salama mpaka muda ambao mungu atanibariki kukileta duniani aniondolee na maumivu,anipe afya njema see mungu naomba rehema zako ebwana,napokea nguvu zako ee mungu ,Unipe nguvu ee bwana nimeomba na kukuamini ebwana ameni
Tuma maombi 12 Kabla ya kuomba chochote Mshukuru Mungu na kwa ukuu wake na kuwa Amesha kujibu maombi yako na anakusikia na huwa anakusikia siku zote soma isaya 65:24 Baada ya shukrani. Yafaa ujioshe na kujitakasa kwa damu ya Yesu Kristo. Pia teka fikra zako zimtii kristo na kuruhusu elimu ya Mungu na Mapenzi yatawale maisha yako hapa duniani kama huko mbinguni. Anza kuwa msafi na Mtakatifu. Acha dhambi. Samehe wote waliokukosa na kukuloga, usiwahukumu. Omba rehema kwa Mungu kwa dhambi zako zote ulizotenda unazozijua na usizozijua na pia badilika kabisa na maanisha na hata waombee wote kwenu rehema kwa zaburi ya 51 na 103. Omba roho mtakatifu akusaidie kwa jina la Yesu. Mshukuru kwa zaburi ya 100, 113,117,150. Na funga mfungo wa siku 3 masaa 12. Ombea haya 1. Rehema 2.imani 3.mapenzi ya Mungu kwako yani mpe Mungu moyo wako. Ruhusu moyo wako upondeke na kuvunjika mbele ya Mungu. Na waombee maadui zako baraka mathayo 5:44 na mathayo 7:1 Ukimaliza maombi mshukuru Mungu kwa majibu na ukuu wake. Usio wa kawaida. Mungu akubariki sana. Lakini pia tuna vitabu vizuri sana sana vya kiroho, roho mtakatifu, vya ndoto, kujua kipawa chako, kukuza karama za kiroho, kujua kusudi la Mungu maishani mwako, na Kujijua wewe ni nani ili uwe mkuu na nyota duniani kirahisi, maombi na mfungo sahihi, kuharibu nguvu za giza, vya utajiri na mafanikio na vya mahusiano, ndoa, malezi watoto, kutatua migogoro ndani ya ndoa na kumrudisha mwenzi mloachana kirahisi. Usivikose vitakusaidia sana kukukomboa
Shalom Mtumishi wa Mungu, kupitia sala hii, nimepata baraka nyingi kutoka kwa Mungu. Sala hii ina nguvu sana. Sifa na Utukufu kwa Mungu kwa kukutumia Mtumishi wake. Amina
Naomba tuombeane , tatizo la ndoa kwangu lipo na tatizo la kifedha , Mungu nipendo ,nijaliye Amina Amina
Ee mungu kanifungulie financial freedom ili nikawe na wakati na familia yangu.naamini nimepokea Amen
Ee Mungu naomba nipate ndoa Naomba nipate fedha Naomba niinuke ki uchumi Baba naomba ukanilindie familia yangu watoto wangu wazazi wangu kwa jina la yesu Amen
Umep0kea yote kwa jina la Yesu Kristo
@@shiningstarheavenlyembassy Napokea kwa jina la yesu Amen 🙏 ahsante Sana mtumishi kwa maombii
Eemungu naomb nipate ndoa naomb nipate fendha niinuke kiuchumi naomb nipate kazi Kwa jina la yesu napokea sasa 🙏🏼
Nipo tayari kupokea muuziza wangu kutoka kwa mungu wangu mwenyezi , amen
Mtumishi wa MUNGU, nasema asante kwa maubiri ya kiswahili kwa maana atujasoma na sasa nafahamu neno la MUNGU kwa njia sahihi sana MUNGU akumbariki
Amen 🙏🙏🙏 mungu akutangulie na kukubariki Sana 🙏🙏🙏
Siku hizi mungu alikosa kazi juu binadamu wamekuwa wa kuhukumu Kila mutu God forgive us
Mungu atuhurumie
Ubarikiwe mutumishi wa mungu umenitiya matumaini nilikuwa nimekata tamanataka nambayako
Eee mungu unilinde juu ya watesi wangu mana wamekua wengi na bila wewe siwezi Amen
Amen Napokea kwajina la Yesu Eeeh Mungu nipiganiye mambo yangu yafunguke.nipate watu sahihi wakunisaidia.🙏🙏watu walio bali na karibu nami nipate mtaji nileye watoto wangu 😭
Amen and amen
Naomba Mungu anipendowa
Nzuli
Anireteye bwanamuzuli Amen
Amen kupitia maombi haya wacha huduma yangu ikafunguke kwa damu ya yesu 👏
Amen mtumishi wa mungu Mimi nikondoo aliye potea kwakusali ila narejea kwa hili neno umenilisha naomba mungu anijaliye hiyo neema yamaombi kupitia jina la yesu
Amina mimi mshindi, mimi mbarikiwa, mimi ni mteule wa Bwana, mimi ni moto kwa wachawi, warogi, naenda mbali katika Jina La Yesu
Amen asante mtumishi wa Mungu
Amina Amina Amina Asante Yesu Asante Mtu wa Mungu God bless you
Emen nimepokea na watoto wNgu kwajina Ra yesu emen❤🙏
Mm naomba mungu anitunzie kichanga changu tumboni kiwe salama mpaka muda ambao mungu atanibariki kukileta duniani aniondolee na maumivu,anipe afya njema see mungu naomba rehema zako ebwana,napokea nguvu zako ee mungu ,Unipe nguvu ee bwana nimeomba na kukuamini ebwana ameni
Amen *21 to this prayer.
MuNGu akubariki sana Nabii wa MuNGu tangu nianze kufuata your teaching naelewa bible .
God 🙏 bless you in Jesus Christ amen 🙏🙏🙏
Yes Jesus you are good
Amen amen namushu mungu
Mungu akubariki saana mtu wa Mungu kwa mafundisho yenye kutufungua vifungo tulivyofungwa au tunavyopambana navyo ktk maisha
Utukufu kwa mungu juu na amani duniani,namshukuru mungu nimefunuliwa,ahsante.ubarikiwe ewe mtumishi wa mungu...
naomba mungu anipe neema ya huduma
Uponyaji hekima kuongeza imani kusagisha nyota kuondoa kiburi maadui zangu waangamie amina
Amen, barikiwa sana Mtumishi wa Mungu.
Napokea kwa jina la yesu
AMEN
Naomba mungu umtoa roho chafu boss wangu.aniache niendealea kufanya kazi mpaka hapo mwezi wa.saba ndio niweze kusafiri kurudi nyumbani salama
Natuma moto wa mungu ikateketeze kila uchafu mwilin mwake kwa jina la YESU Amen
Mtumishi mungu akubariki kwa mafundisho yako tangu nilipokupata nikaanza kukusikiliza nimesaidika sana ,be blessed in Jesus name
MUNGU azidi KUKUINUA zaidi
Mungu akubariki ssana mtumishi kwajina Ra yesu emen
Mm mtumishi naomba mungu anipe kustawi kihuduma na kimaisha
Asatasana umbarikiwe mtumishi wamungu❤
Amen naomba mungu anifundishe na anikumbushe kuomba kila mara asubuhi na mchana Hadi ajibu maombi yangu Amen Amen Amen
Thank you so much mtumish.Still this message powerful mafundisho mazuri.As a Christian I never knew about this powerful prayer.God bless🙏
Amen Asante yesu
Amen MUNGU akubariki Sana mtumishii nimebarikiwa Sana
AMEN nimebarikiwa mtumishi GODBlessyou
Amen na napokea yote niliyoomba na yamekuwa yangu kwa jina la yesu
Amen and amen pastor and be blessed 🙌
Naomba uniombee ,moyo wangu unahofu sana na hali niliyonayo
Mujungaji niombee mungu anisaidie ni wese kumba .na kufunga..kwamaana nimerudi nyuma sana kwamaombi mbaka shetani amenianda paka nimetenda tambi. Niombee mungu anisamehe
Tuma maombi 12
Kabla ya kuomba chochote Mshukuru Mungu na kwa ukuu wake na kuwa Amesha kujibu maombi yako na anakusikia na huwa anakusikia siku zote soma isaya 65:24
Baada ya shukrani. Yafaa ujioshe na kujitakasa kwa damu ya Yesu Kristo.
Pia teka fikra zako zimtii kristo na kuruhusu elimu ya Mungu na Mapenzi yatawale maisha yako hapa duniani kama huko mbinguni.
Anza kuwa msafi na Mtakatifu. Acha dhambi. Samehe wote waliokukosa na kukuloga, usiwahukumu. Omba rehema kwa Mungu kwa dhambi zako zote ulizotenda unazozijua na usizozijua na pia badilika kabisa na maanisha na hata waombee wote kwenu rehema kwa zaburi ya 51 na 103.
Omba roho mtakatifu akusaidie kwa jina la Yesu. Mshukuru kwa zaburi ya 100, 113,117,150.
Na funga mfungo wa siku 3 masaa 12.
Ombea haya
1. Rehema
2.imani
3.mapenzi ya Mungu kwako yani mpe Mungu moyo wako. Ruhusu moyo wako upondeke na kuvunjika mbele ya Mungu.
Na waombee maadui zako baraka mathayo 5:44 na mathayo 7:1
Ukimaliza maombi mshukuru Mungu kwa majibu na ukuu wake. Usio wa kawaida.
Mungu akubariki sana.
Lakini pia tuna vitabu vizuri sana sana vya kiroho, roho mtakatifu, vya ndoto, kujua kipawa chako, kukuza karama za kiroho, kujua kusudi la Mungu maishani mwako, na Kujijua wewe ni nani ili uwe mkuu na nyota duniani kirahisi, maombi na mfungo sahihi, kuharibu nguvu za giza, vya utajiri na mafanikio na vya mahusiano, ndoa, malezi watoto, kutatua migogoro ndani ya ndoa na kumrudisha mwenzi mloachana kirahisi. Usivikose vitakusaidia sana kukukomboa
Kuna kitu nimesoma 🙏🙏🙏 naomba saa Tisa but siombagi hii sala ya Baba yetu🙏🙏barikiwa Sana mtumishi🙏
Amen ubarikiwe Sanaa Mtumishi wa Mungu Ameeen napenda sana hiyo sala asante
Mungu akubariki
Amina Amina Mtumishi nimebarikiwa sana na hii Sala ya Baba yetu
Naomba kufunguliwa vifungo vyote vilivyo nitesa kwa mda mrefu,Naamini vikifunuka hivo najua kila kitu kita kwenda sawa.Amina
pol
pol
Amen naomba mungu baba unipe kibali
Amina sana mtumishi
Amen,amen pastor,mungu akubariki zaidi mtumishi wa mungu
Amen naomba kibali cha maombi juu yangu
Shalom Mtumishi wa Mungu, kupitia sala hii, nimepata baraka nyingi kutoka kwa Mungu. Sala hii ina nguvu sana. Sifa na Utukufu kwa Mungu kwa kukutumia Mtumishi wake. Amina
Glory be to Jesus Christ amen 🙏🙏🙏
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu
Ameni 🙏🙏🙏 kipawa chako kikazidi kutufungua
Amina Familia Yangu Imepokea natumebarikiwa
🙏🙏🙏 Amen Amen Amen 🙏🙏🙏 powerful message 🔥🔥
Ameen shukran sana mungu akubariki
Napokea uponyaji wa kichwa changu na imani yangu iongezeke
Mtumishi Mungu akubariki ,sana.
Haleluyaaaa
Amen and Ameen pastor ubarikiwe tu sana kwa mafunzo mazuri
Amen and Amen ❤
Amen 🙏 new discovery I'm blessed. Thank you pastor
Amen Apostle, blessings
Amen
Haleluya
Amina amina mungu akubariki sana
Namini MUNGU atanijibu amen
Amen 🙌 mtumishi wa mungu azidi kkupigania amen 🙏 🙌 👏
Amen amen amen 🙏
Amen 🙏 Amen
Amen *21 to this prayer 24/7 forever in my life in Jesus Christ name.
Mungu akuongoze Sana namimi napenda ushawuli wako nikiwa Niko Burundi
God bless you 🙏 ❤️ 🙌
Ubarilikiwe sana Nabii wa mungu
Amen pastor. Asante
Asante sana ubarikiwe sana pastor 🙏🙌🙏
Ameni and ameni🙏🙏🙏 ubarikiwe mtumishi
Amen 🙏 pastor
Uponyaji ju ya mamangu
Amen
Alafu niulize ni saa Tisa asubuhi ama jioni tafadhali
Jioni
Understood
Amen 🙏 Amen ubarikiwe mutumishi
Amina 🙏🙏
Amen Amen 🙏
Amen 🙏 god bless you
Ameeeeen 🙏🙏🙌🙌🙌
Amen🙏🙏🙏ila mtumishi nina swali,Je inafaa tuombe sala la Bwana mara Tisa ama Mara saba?
WEWE utakavyo taka, MUNGU anaona Imani Yako kwake siyo SALA . Hata mara 12 sawa
@@shiningstarheavenlyembassy nimependa mafundisho yako,,Mungu akubariki🙏🇰🇪
amen pastor ukihota mutoto muchanga INA manisha nini
Amen Amen 🤲🤲🤲
Amina Baba Mungu akutunze
Ameeen ubarikiwe..mtumishi
Barikiwa mtumishi
haleluya
Shalom Asante sana 🙏
Amani papa Mungu awabariki
Ameeeen mtumishi
Amen Amen. Ubarikiwe sana pastor
Kusali unaboresha uhusiamo wako na mungu
Hongera mtu wa Mungu.
Ameen ubarikiwe
Nashukuru Mtumishi 🙏
Naomba baba nisaidi
Amen,amen 🙏🏿