Dakika 28 za MC Eliud Atakavyokuchekesha Mpaka Uishiwe Stress|"Mama Alinipiga Nikajifanya Nimezimia"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 พ.ค. 2024
  • #MCELIUD
    Dakika 28 za Vichekesho na Story za Kuvunja mbavu kutoka kwa Mchekeshaji MC Eliud Samweli akiwa mkoani Iringa kwenye hafla ya ugawaji tuzo wa Usiku wa UoI-SO Awards 2024.
  • ตลก

ความคิดเห็น • 6

  • @joanneskamanzi9666
    @joanneskamanzi9666 หลายเดือนก่อน +6

    Kwa mara ya kwanza uoi mnapata views 2k kwenye Post Moja🙏🙏hii inamaana itawabidi muandae content pendwa ili mpate views wakuzidi.Honestly I'm proud of what your doing n I wish hii digital platform iwe kubwa zaidi among other universities coz you can do it.I ONCE being the student there.

  • @HassanMkina
    @HassanMkina หลายเดือนก่อน +6

    Tunakupenda eleud ila unazingua

  • @EpiphanDidace
    @EpiphanDidace หลายเดือนก่อน +2

    Jamaa wanarudia sana content

  • @festusbokoro1615
    @festusbokoro1615 หลายเดือนก่อน +1

    Nilikua nadhani eliudi harudii kumbe naee pia anarudia,,,,

  • @EpiphanDidace
    @EpiphanDidace หลายเดือนก่อน +2

    Hawa jamaa wanarudia sana content hawajui kama wanapost Kila shoo na tunazifatilia zote😅😅😅 wanazngua

    • @georgestephen1596
      @georgestephen1596 หลายเดือนก่อน

      Mbona na wewe unarudia Kucomment