ASKARI ASHINDWA KUJIZUIA TUNDU LISSU AKIWAPA KICHAPO CCM | AMSHUGHULIKIA MBUNGE KINGU JIMBONI KWAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 30

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 3 หลายเดือนก่อน +2

    TRA watuambie wamekusanya tsh ngapi kwenye hizo pkpk? Like twende sambamba

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kuwaondoa mafisi bila tume huru I tawezekanaje maandamano yaendelee

  • @AbdiRahmanIsmail-t3s
    @AbdiRahmanIsmail-t3s 3 หลายเดือนก่อน +3

    Lissu big up

  • @JohnS.mwafubo
    @JohnS.mwafubo 3 หลายเดือนก่อน

    Makonda mtetezi wa haki za wanyoge.

  • @NathanielRajab
    @NathanielRajab 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli kiongozi wetu tutalinda kurazetu

  • @maryfranknamkumba9182
    @maryfranknamkumba9182 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa nini hawamjibu Lissu hela za pikipiki Samia katoa kwa Waarabu. SIMPLE AND CLEAR

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nina mashaka na hiso pikpk labda hata Kodi hazijalipiwa

  • @hemedmselem4889
    @hemedmselem4889 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani nyie mlipata wapi hela za kukodi machopa kwenye mikutano
    Si ni huo huo ufisadi tu ?
    Hapo hakuna msafi kila mmoja ana uchafu wake
    We shukuru umekombolewa kutoka utumwani huko kwa mashoga ukarufishwa nyumbani
    Ukakombolewa toka kifungoni ukaachawa huru
    Ukapewa uhakika wa kua huru bila kesi kama alivyotaka kukushtaki magu
    Ukapewa na mafao yako bado unamtukana aliekuhurumia
    Mwanasiasa wa nyoko kweli

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wanaipenda CHADEMA matajili wanajitolea kutokana na madhira wanayopitia kodi za nguvu mabavu watu wanajitolea tu kuiangamiza ccm kwa namna nyingi mwenye hela gari mafuta watu wanajitolea tu

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 3 หลายเดือนก่อน +1

      Usidanganye watu LISU hajapewa mafao yake usibebe dhambi isio na lazima wala msingi ameliongelea swala la mafao yake na malipo mengi ikiwemo matibabu ni haki yake hakuna hata malipo aliopewa LISU kama wanasema wamelipa wajitokeze waseme waonyeshe kidhibitisho

    • @JohnS.mwafubo
      @JohnS.mwafubo 3 หลายเดือนก่อน

      Huyo anayesema lisu kapewa mafao ni mlevi acha naye mpuuzi.

    • @hemedmselem4889
      @hemedmselem4889 3 หลายเดือนก่อน

      Sio mafao tu na uhuru wa kuropoka kapewa
      Enzi za mjomba alikimbilia kwa mashoga huko
      Hakuthubutu kusema nyoko

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 3 หลายเดือนก่อน

    Watanzania tumeingia mkenge kinoma kumpitisha huyu mwanamke Ikulu. Kumuondoa ni shida sana kama hatutaungana wote na ccm wenyewe wamkatae kwanza asigombee kbs

  • @YassinRajabu
    @YassinRajabu 3 หลายเดือนก่อน

    wakulima EFD ina wasubili na nyinyi mtoe lisiti 😂😂😂😂

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 3 หลายเดือนก่อน

    Fisiyemu mtupishe tunamuelewa mbeba maono dunia ya jana siyo ya leo

  • @lupakisyoassa1579
    @lupakisyoassa1579 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuongoze
    Ubarikiwe sana.

  • @ramadhanishabani807
    @ramadhanishabani807 3 หลายเดือนก่อน

    Tanzania inabd tufany km french walivomtoa mfalme lous

    • @lymondmande4422
      @lymondmande4422 3 หลายเดือนก่อน

      Then ukishafanya kama french hio nchi umpatie nan unamkubal atakuwa mzalendo???. Kwa nchi tulionayo ili tupate haki na maendeleo halali lazima tuwe na kuongoz kama Magufuri mwenye nia ya kwel na msimamo asieyumbishwa na upepo wa kisurisuri.

  • @anastazialushika
    @anastazialushika 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe c unataka madaraka tyu wala hakuna kingne njaa hizo acha kutupoteza cc

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 3 หลายเดือนก่อน +1

      Waloko madarakani walitaka Nini ?

    • @jakalwambemanyalla6287
      @jakalwambemanyalla6287 3 หลายเดือนก่อน +2

      Wewe usie na njaa Ongera zako
      Lisu amekuzidi kila kitu ktk Maisha yako Kuanzia Kiumri
      Kielimu Kiumaharufu Kujulikana Kieshima Kifedha Kutembea Nk adi Zambii

    • @JohnMwansile
      @JohnMwansile 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe hujui ulitendalo ko tunakusamehe tu lissu sio saizi yako

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 3 หลายเดือนก่อน

      Hayo maoni ni ya kibaraka. Mwenye kuijua historia yake huchutama !

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 3 หลายเดือนก่อน +1

      Umesahau sio mlitaka kumnunua huyu mmeshindwa mkaona mumuundie mpango wa kumtanguliza mbele za haki waliomuundia wametangulia wao yeye bado Mungu amemtunza ana kazi nae maalum upo uliejaa bendera ya ccm?