AMINA ALIYETAKA NYUMBA YAKE IUZWE ARUDISHWE TANZANIA AFIA OMANI, BOSI WAKE ASUSIA MWILI, AACHA MTOTO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 565

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 ปีที่แล้ว +3

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

    • @fatimaal.3429
      @fatimaal.3429 2 ปีที่แล้ว

      Poreni.ndungu.wamareemu

    • @sherifaali7268
      @sherifaali7268 2 ปีที่แล้ว +2

      Wewe ulokuwa ukihoji uyo muongo mpumbavu wote hamjielewi acheni kuchonganisha mnawaharibia wengine kwa mabaya yenu

    • @khadijauvuruge9700
      @khadijauvuruge9700 2 ปีที่แล้ว

      Uyo dada muongo liongo hasa maboss zake wamemuuguza adi kifo chake na kazikwa kwa ruhusa ya wazazi wake uyo ayupo Oman anataka kuwaharibia wenzie mshenzi hasa

    • @fatmakhamis5044
      @fatmakhamis5044 2 ปีที่แล้ว

      Innalilah wainailaih rajiun allah ampe kauli thabit inshaallah

    • @omanwoman6713
      @omanwoman6713 2 ปีที่แล้ว

      @@khadijauvuruge9700 mm mwenyewe sikutaka tu kumpa makavu yake hajui lolote wala chochote

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 2 ปีที่แล้ว +14

    Mungu atulinde Sisi tuliebaki Huku. Mungu. Msamee Zambia zake

  • @munirasaga6494
    @munirasaga6494 2 ปีที่แล้ว +5

    Mungu anakuona ww Dada kwa umbea

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 2 ปีที่แล้ว +9

    Alhamdulilah kastirika alhamdulilah msiseme uongo wa omani ni watu wazuri msinge kuja kama watu wabaya

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว

      kwani kuna mty kasema wabaya au unakomenti bila kusikiliza

    • @MohammedAli-rh5si
      @MohammedAli-rh5si 2 ปีที่แล้ว +3

      Yaan huyo dada ni muongo tena mnafiki km kitu hakijui bora angenyamaza waandishi wakimpata huyo jirani ataumbuka masikini boss wake alikata ticket mara 3

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว

      kila mtu anajua 😄🤣😂😆😄🤣hapana chezea mtandao

    • @MohammedAli-rh5si
      @MohammedAli-rh5si 2 ปีที่แล้ว +1

      @@heyumi2340 ww ndio hujasikiza anachoongea mtoa taarifa kasema ndio waoman wabaya

    • @firdausqutty2067
      @firdausqutty2067 2 ปีที่แล้ว +1

      Watu hawajui tu, wakiona mtu mmoja mbaya basi wanajua wote, watu tumeishi Oman vizuri hadi mikataba inaisha na tunalinyuu tena, mbona hata Tz watu wabaya wapo? Kila kitu nikubahatisha ila wasijumlishe watu wote. Waarab wa Oman asilimia 65%ni waarabu waswahili wanautu sana. Ndio maana ukiwa unaumwa hawakupokei wanakurudisha. Watu hawajui tu. Wangekua wananyanyasa mbona tunaenda kila daily! Whay tusikomae na Tz yetu? Waache kuchafua watu. Na huyu dada ni muongo ubarozi wa Oman hauna saport mbona watu wanasaidiwa.

  • @al-mamarial-mamari5457
    @al-mamarial-mamari5457 2 ปีที่แล้ว +3

    Jamani oman mtu yeyote anayefariki basi kwenye masaa matano basi anakuwa ameshazikwa. Kwani hii ni haki ya maiti kustiriwa. Yeye ni Mtanzania lkn hata hao waoman wenyewe wanazikwa hivohivo. Isipokua kuwe na serikali inapoingilia juu ya maiti hio. Inna lillah Wainna Ilayhi Raajiuun. Allah amrehemu amlaze mahala pema peponi ameen. Poleni sana wafiwa wote.

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 ปีที่แล้ว +2

    Waislam tuna Imani ya kuwa unapofia hapo ndio mchanga wako umekuota huwenda wazazi wameridhia

  • @minbdul7177
    @minbdul7177 2 ปีที่แล้ว

    Innalillah Pumzka Kwa Aman Dada yangu Kipenzi Tulikupenda sana Umetuacha Kweny Majonz Mazito, Tunashkur umepumzishwa salam Huyu anatoa taarfa ambazo hana uhakika nazo Et Da Amina Amejenga Buza kitu ambacho sio cha Ukweli,,
    Familia Ubaloz pia Marafk zake wameshirikian nass ktk kumstir ndg yetu, Tunawashukuru wote na Tunawapenda sana, TUTAKUKUMBUKA MILELE MAMA K Viatu vyako ni vikubwa sana hakuna vitakavyomtosha😭😭😭😭😭😭

  • @رقيهالخصيبي
    @رقيهالخصيبي 2 ปีที่แล้ว +8

    Huyu dada yeye haujui ukweli unatoa habari ambazo una uhakika habari hii anatakiwa mtu kama Khaduja na watu walio karibu nae kipindi chote cha uzima , maradhi hadi umauti maana wao ndio wanaujuwa ukweli wote yote kwa yote tumuombee Mwenyeez Mungu ampunzishe kwa Aman ampe kauli thabit amsamehe dhambi zake amuepushe na adhabu ya kabir amuweke mbali na moto wa jehanam innallah wainaillah rajoon 😭😭😭

  • @tatundayikengurukiye683
    @tatundayikengurukiye683 2 ปีที่แล้ว +9

    Mungu tunusura tunao angaika katik izinchi zakiarabu🥰 Allah akurehem dada

  • @sein.208
    @sein.208 2 ปีที่แล้ว +7

    INNAH LILLAH WAINNAH ILEY RAJIOON 😭😭😭 .Allah amjaalie makaazi mema 🤲

    • @romiathumani9203
      @romiathumani9203 2 ปีที่แล้ว

      uyo dada ajui chochote bora angekaa kimya kuliko kuongopa uyo kazikwa na ubaroz wa tanzania na bos wake amemtibia vizur tu

  • @Ali-ui7qh
    @Ali-ui7qh 2 ปีที่แล้ว

    Allah akujalie maisha mema ya milele ndio Allah anasema haijui nasfi kitu gani itapata kesho na nafsi haijui wapi itakufa suratul luqman aya 34 oman ukifa lazima embassy iwepo ukizikwa maana lazima wanataka death certificate hapo makaburini kwa hiyo embassy ilikuwepo na alhamdulilah popote tu kuzikwa sio kuhangaishwa allah amjaalie pepo allahuma ghafil lahu Warham wajamii muslimin

  • @ashurakodd1589
    @ashurakodd1589 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ailaze Roho yake Mahalia pema

  • @joysekiza3944
    @joysekiza3944 2 ปีที่แล้ว

    Poleni ndugu na jamaa na malafiki pumzika kwa amani Amina

  • @arafahhh5574
    @arafahhh5574 2 ปีที่แล้ว +8

    Innallillah wainailah rajiun hapa ndipo mungu alimuandikia malazi kila kitu ni kalamu yake mwenyewe subhana wataalah pumzika kwa amani binti

  • @LearnwithMadamnaomi
    @LearnwithMadamnaomi 2 ปีที่แล้ว +1

    Duh polen MTOTO alie muacha amenitia simanz huruma sana, MUNGU AWAPE AMAN YAMOYO, RIP AMINA

  • @sabrahassan9419
    @sabrahassan9419 2 ปีที่แล้ว

    Poleni wazazi nafamilia inauma sana ila kazi yamungu haina makosa lililopangwa namungu yeyote hawezi pangua innalilah wainna lilaih rajiuni tunamuomba Allah ampe kauli thabit

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 2 ปีที่แล้ว

    Si haba keshahifadhiwa alhamdulilah hapo maiti hawekwi ni mazishi ya kiislamu na kila mtu amepangiwa udongo wake

  • @aysharashid1049
    @aysharashid1049 2 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi mungu hamlem hamuweke mahari pema peponi ameen

  • @lobnalobna2393
    @lobnalobna2393 2 ปีที่แล้ว +5

    Mungu atusaidie jaman tuliopo nje ya nchi yetu ,lkn yote ni mipango ya MUNGU tushukuru tu kwa yote , rest in peace mpambanaji mwenzetu nasi tunahitaji neema ya MUNGU

    • @rezegerezege691
      @rezegerezege691 2 ปีที่แล้ว +1

      Hakika Mungu tu Akusaidie ndugu yangu.

    • @Atb300
      @Atb300 2 ปีที่แล้ว +1

      Painful 😭

  • @omanwoman6713
    @omanwoman6713 2 ปีที่แล้ว +3

    Inauma San ewe mwenyezi Mungu muumba aridhi na mbingu tunakuomba umsamehe makosa yake iyilaze Roho yake Mahal pema mbele yetu nyuma yake INNALILLAHHI WAINNALLILAH RAJUHNA pumzika kwa amani

    • @fatemajohn3195
      @fatemajohn3195 2 ปีที่แล้ว

      😭😭😭😭 Pumzika kwa amani ndugu yetu

  • @omanmobile5746
    @omanmobile5746 2 ปีที่แล้ว +2

    Jmn acheni kuzusha uongo msipende kuongea Mambo ambayo hamyajui😭😭😭😭😭R.I.P AMINA

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb 2 ปีที่แล้ว

    Allah amlaze pema peponi amina Allah amuondolee adhabu ya kaburi amjaalie nuru kwenye kaburi lake😭😭😭aameen yarabbi

  • @khadijauvuruge9700
    @khadijauvuruge9700 2 ปีที่แล้ว +4

    Global kuweni makini uyooo dada muongo anaewapa taarifa liongo hasa

  • @hanjirahaji5043
    @hanjirahaji5043 2 ปีที่แล้ว

    Poleni familia ya AMINA kifo nindoto kila mwanadam ataitimiza

  • @aishaibrahim5607
    @aishaibrahim5607 2 ปีที่แล้ว +8

    Watu mnatfta umaarufu unaongea uwongo uyo dd ss km kitu hunauwakika unatoa VP ushaid?nyie ndo mnaofungwa kwaujinga wenu uyo dd mabos wake walikuwa watu wazur sana mama yke ndo alitoa kauli azikwe uku omani yn uyo dd mungu anakuona anaongea uwongo mtupu jitu lenyewe halina uwakika alafu linatoa ushaid tuh ovyo sana mnatuharibia sie wengne

    • @zainabwage4658
      @zainabwage4658 2 ปีที่แล้ว

      Good point

    • @asmahasanirashid5059
      @asmahasanirashid5059 2 ปีที่แล้ว

      Kikubwa tumuombee Dua mwenzetu hta tukisema nani kasema uongo au ukweli haisaidii kikubwa Dua Inaalillah waina illaih rajiuni

  • @nuruddin5074
    @nuruddin5074 2 ปีที่แล้ว +1

    POLENI SANA WANAFAMIRIA ALLAH AMJAALIE KATIKA WA JA WA PEPONI AMSAMEHEE MADHAMBI YAKE AMUEPUSHE NA ADHABU YA KABURI

  • @azizamohamed7692
    @azizamohamed7692 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu dd ajui chochote kuhusu Amina

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 2 ปีที่แล้ว +4

    Yaani boss kamsaidia maskini mtihani wallahi

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 ปีที่แล้ว +3

    Inalillahi wainailahi rajuun Allah Ampe kauli thabiti amjaali pepo 🤲

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 2 ปีที่แล้ว

    polen wafiwa Allaj Amkuze mtoto wa Narem Atupe mwisho mwema🤗😭😭😭

  • @khadijahkhalfan9683
    @khadijahkhalfan9683 2 ปีที่แล้ว +2

    Allahu aalamu Wallahi
    kwa hili Mwenyezi Mungu Amrehemu tu Insha Allah

  • @faudhatilugus4912
    @faudhatilugus4912 2 ปีที่แล้ว +3

    Innalillah wainnaillaih rajiun pumzika kwa amani Amina....ila watanzania🙌🙌

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 2 ปีที่แล้ว +1

    Innahlillah wainnah illah rajiun Allah amrehemu poleni sana ndugu na jamaa Allah awape subira katika kipindi hiki kigumu.

  • @laymashabani832
    @laymashabani832 2 ปีที่แล้ว +1

    Duh 😭😭💔 Pumzika kwa Amani Mwenzetu.

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu aliehojiwa ni muongo kwanni usiwaulizw wenzio ndio utoe taarifa jamani kwanni tunakuwa wachonganish eti tulimchanģia wakati qnaumwa mara wakati amefariki wala haeleweki kama wakat wakufariki 😭😭😭 tatizo letu watanzania hatupendi ushirikiano wenzetu wakenye wapo vizuri sana laiti tungekuwa na umoja taarafa wangetoa mapema na akachangiwa mtu wa kumsindikiza

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 2 ปีที่แล้ว

    INALILAH WAINA RAJIRUN WOTE WAJA WA ALLAH IKI SIKU KILA MMOJA ATALEJEA MSIPAMBANISHE MAMBO MSIO YAJUA UBALOZI UNASAIDIA ACHENI MAMBO YA UWONGO APA MTAZUSHA MENGI MUOGOPENI ALLAH

  • @ashajumapili7148
    @ashajumapili7148 2 ปีที่แล้ว

    Inalillah wainailah rajingun sis sot niwajawake na sote tutarejea ALLAAh amuhuhufadhi yarab

  • @husnaaliy1595
    @husnaaliy1595 2 ปีที่แล้ว +6

    Duuh nimekosa hata cha kusema ww dada hebu muongope mungu wako kwanza unauhakika na hayo unayo sema 😭😭

    • @zainabzain3434
      @zainabzain3434 2 ปีที่แล้ว

      Mpumbavu we dada tizama vizuri video za mazishi utaona uongozi wa ubalozi ingawa sio wote vp we ulitaka wafanye huna uhakika kwa nn useme ujinga wa faida gani hata kwa group hauko

  • @maimonamaimona1177
    @maimonamaimona1177 2 ปีที่แล้ว

    Pole kwafamilia😭😭😭😭

  • @ssaa7495
    @ssaa7495 2 ปีที่แล้ว

    Hongereni global hii Habari imefika mpaka huku 😭😭

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu dd hajui chochote juu ya huu mkasa maana anajikanyaga kanyaga tu mambo yakuongea vitu msivyovijua muachage ilikuwa hii inshu aongee rafik yake wakaribu aliekuwa nae ima boss wake. Huyu anatoa taarifa kupitia ile voice ya rafik inayotembea na inaonekana hayupo oman yuko hukohuko TZ Aaache uongo

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 2 ปีที่แล้ว

      Hlf anaongea kwa kusita sita, anasema haelewi kwann alikubali kuhojiwa.

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 2 ปีที่แล้ว +1

    Innallillah wainnaillah rajoon MUNGU ampunguzie adhabu ya kabr. Umaarufu utawaponza wa2 Kla k2 unahc huna uhakka.

  • @azizaaziza7996
    @azizaaziza7996 2 ปีที่แล้ว +1

    Poleeni wanafamilia kwakipindi hichi kigum na jua mnaumia ila mtoto ana umia zaidi inaumma sana 😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @KhalidKhalid-ox4pg
    @KhalidKhalid-ox4pg 2 ปีที่แล้ว

    AISHA OMAN 🇴🇲🤲😭INNA LILAHI WAINNA ILAIHIRAJIRUN MBELE YAKE NYUMA YETU AHLLA AMSAMEHE MAKOSA YAKE AMLAZE PEMA PEPONI AMIN AMIN 🤲🤲😭🇴🇲

  • @aminasaid7386
    @aminasaid7386 2 ปีที่แล้ว

    Habibt Allah akurehemu dg yt kipenz Allah akusamehe makosa yko😭😭😭

  • @danyhas8947
    @danyhas8947 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akurehemu mbele yako nyuma yetu

  • @bisadakhalidy7000
    @bisadakhalidy7000 2 ปีที่แล้ว +11

    Hongern mmepata views nyingi ila wwe dada mungu anakuona niher hata ungenyamaza tu astafirillah llah hakika hizo kalima utakwend kuzijibu siku ya kiyama

    • @asiatenga710
      @asiatenga710 2 ปีที่แล้ว +2

      Dada mwuongo sana mpaka anakera

    • @ashazuber6548
      @ashazuber6548 2 ปีที่แล้ว +2

      Yaan hata kuongea tu kama hana meno

    • @fathiyahmuzney7367
      @fathiyahmuzney7367 2 ปีที่แล้ว

      Kwel mengine kaongeza chumvi

    • @munnahbakari725
      @munnahbakari725 2 ปีที่แล้ว +1

      Huyu hajui hata naawajashangaa hata kumjua huyo mpendwa hamjui anaungaunga kwa kusikia tu mana inaonyesha hata kwenye umoja wa Association hayupo ndomana anaropoka tyu

  • @Princewaweru
    @Princewaweru 2 ปีที่แล้ว

    Sema mkienda hko mnaringa sana potelea pote ulale salama Amina

    • @arafaoman9504
      @arafaoman9504 2 ปีที่แล้ว +1

      wivu tu hadi kwa maremu subuanaallah njoo na we uringe unazang ndug yang

  • @hawaduda7593
    @hawaduda7593 2 ปีที่แล้ว +10

    Dada nasema uongo boc wake alimhudumia kwa lila kit mpaka dakika ya mwishoo na wala hakuhitajika mchango wa kumsafirisha famili imeamua azikiwe huku kwa sabab yeye ni mwisilam

  • @redmioman4371
    @redmioman4371 2 ปีที่แล้ว +4

    Innalillah wainna illahy rajiun 😭💔💔 Mungu amsamehe mwenzetu na sie tuliopo mbali ya nyumban yaa rabbi tunjaalie turudi salama nasikia tayari ameshazikwa huku huku Oman

    • @latifartygh4828
      @latifartygh4828 2 ปีที่แล้ว

      Ndio kaziķwa jana naleo tulikùwa kwenye duwa mabela

    • @redmioman4371
      @redmioman4371 2 ปีที่แล้ว +1

      Poleni sana jamani

    • @ashabakari1448
      @ashabakari1448 2 ปีที่แล้ว +1

      Ndio kazikwa hku hku mungu atujaalie turud nyumbani salama

  • @rehemahramadhani3428
    @rehemahramadhani3428 2 ปีที่แล้ว +4

    kama haujui hii habar bola ukae kimya tuu msiwachafue watu /amina mabos wake walikuwa ni watu wazur sana kumuuguza had kumstir

    • @ayshasaid1547
      @ayshasaid1547 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa ndugu

    • @aishachambo8663
      @aishachambo8663 2 ปีที่แล้ว

      Tujuze kipenzi

    • @mkmn4723
      @mkmn4723 2 ปีที่แล้ว

      Aisee Allah amrehemu

    • @Awatee
      @Awatee 2 ปีที่แล้ว +1

      Iyo kukaa miaka 5 tuu yaonesha waz walikua wazur mapungufu madogo yap hakuna mkamilifu ingekua wakorofi wiki tuu kashatoroka

  • @aishagsjjs5778
    @aishagsjjs5778 2 ปีที่แล้ว

    Moja tuu ndiyo kasema ukweli ubal 😄uko kweli msada hakuna ila mengine kabuma sisi wote tupo oman tunajuwa kila kitu 😷tushukulu mungu tuu jama au tuchangeni pesa tufukuwe maiti yetu tukazike kwetu ila kama hatuna uwo uwezo tunyamazeni tumuwachie mungu

  • @emanuelmasele1291
    @emanuelmasele1291 2 ปีที่แล้ว +3

    Pôle Sana wanafamilia wa Amin mohammed😭😭😭

  • @asnatymziwanda3734
    @asnatymziwanda3734 2 ปีที่แล้ว

    Poleni sana hakika mungu atulinde

  • @majomamajoma8776
    @majomamajoma8776 2 ปีที่แล้ว +5

    Sio kweli hawajashindwa eti sababu garama kubwa mama yake mzazi ndio katoa idhini mwanae azikwe huku

  • @dadamuebrania1539
    @dadamuebrania1539 2 ปีที่แล้ว

    Kuna wadada wengine hawajielewi, unatakaje kiki kwenye ISSUE kama hii?? Mlio karibu na huyu sijuwi sijuwi mwambie I ajifunze kunyamaza.Pole Kwa familia na ndg wa marehemu.

  • @asiashaban5809
    @asiashaban5809 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu turundishe kwetu salama RIP team strong mwenzetu sasa hawa wazee siwageuza hiyo nyumba na kiwanja na wachangiwe ili asafirishwe wazazi kweli walikuwa wanaagalia mali zake tu nawew dada hujui unacho kiongea nyamaza tu kwanza nanambooa

    • @asiahamis7893
      @asiahamis7893 2 ปีที่แล้ว

      Kumbuken ndug Zang maut hayana taarifa ss mkisema eti ingeuzwa malizake Ili arufishwe Tanzania kwanza haki ya muislam anapopatwa na mauti harak San afanyiwe mambo manne na NAAMIN Kwa Amina yote yametimia kwan yote ni ardhi ya Allah hiyo ndio inavyotakiwa hata mtume wetu Muhammad s a w ndio alivyotufubdisha

    • @asiahamis7893
      @asiahamis7893 2 ปีที่แล้ว +1

      Mm ni mmoja nawapongeza wazaz wa Amina kukubaliana na boss wa Amina kuzikwa nawaombewa m, mungu awape subra ktk mtihan huu na kpind hiki kigumu wamlee vizr mtoto wa Amina akikua wamkabiz Mali zake Kwan alitoka kutafuta kwajili ya mwanae m, mungu kampenda Zaid tumuombee Dua lkn sio tuminyane et kwann Mali hazijauzwa ili arudishwe Tanzania tusimpangie allah Kaz ya kufanya

  • @pilikhamis2924
    @pilikhamis2924 2 ปีที่แล้ว +3

    Innalilahiwanlarajinn mungu ampe kauli sabiti amsamehe makosa yake amin

  • @huseintaha5794
    @huseintaha5794 2 ปีที่แล้ว +8

    😢😢😢😢😢punzika kwa aman ndugu sote njia moja

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 2 ปีที่แล้ว +4

    sema huyu dd aliye hojiwa yani kira kitu ana uwakika nacho kwann alikubali kifanyiwa maojiano wakati una uwakika pia mm madam wangu mke mwenzie mfanyakazi wake kaanguka gafra kapalalaizi upande mmoja yeye msereranka sema yupo hospital maboss zake ndo wanamuhudumia na wataka wamarete mtt wake ili aje mchukua mama ake

  • @aminahamadi5973
    @aminahamadi5973 2 ปีที่แล้ว

    Poleni familia yote mungu ampe kauli dhabit kabrini 🙏🙏

  • @aminamatakamataka5870
    @aminamatakamataka5870 2 ปีที่แล้ว +4

    Innalilah wainalilah rajiun.😭😭

  • @mwanahamisindula
    @mwanahamisindula 2 ปีที่แล้ว +4

    Innalillah wainnaillah rajiuun yaalla mpe kauli thabit ndugu yetu Allah Turejeshe nyumban tukiwa salama

  • @fatmabhai2812
    @fatmabhai2812 2 ปีที่แล้ว

    Inna lilahi wainna ilayhi rajiuun. Ndg yng mungu akuswameh madhambi yako na akuweke mahali pema peponi. Nadi tulio hai mungu atupe khucni lkhatima inshaallah. AMYN YAA RABBY 🤲

  • @salmasaid1521
    @salmasaid1521 2 ปีที่แล้ว +5

    Innaillah wainnalillah rajiun mungu akusamehe makosa yako amina

  • @salasala9114
    @salasala9114 2 ปีที่แล้ว +3

    Mmmh uyo dada anayaweza haswaa

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 2 ปีที่แล้ว +1

    Oman ticket kama ghali basi rial 150 kipindi Cha corona ilifika 200 na ticket anarudishiwa pesa kama walimzuia kusafiri labda huyo boss wake ndio hakumrudishi pesa zake

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว +1

    Poleni sana wafiwa wote.

  • @neemamkemae2580
    @neemamkemae2580 2 ปีที่แล้ว +4

    Daaaaah huyu dada ameniuma mno😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @agnesslucas4744
    @agnesslucas4744 2 ปีที่แล้ว +1

    Jaman mungu tusaidie

  • @aminamachele6946
    @aminamachele6946 2 ปีที่แล้ว

    Poleni sana familia ya,Amina,! Pia tuzid kumwombea kwa Mungu wetu aliye hai

  • @azizamohamed7692
    @azizamohamed7692 2 ปีที่แล้ว

    Daaa inasikitisha Sana Mungu tustiri wote tunaofanyakazi ughaibuni

  • @hasinaalrahbi6681
    @hasinaalrahbi6681 2 ปีที่แล้ว

    Amena kaacha nyumba na kiwanja.allah atajalia kila lakheri

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 ปีที่แล้ว

    Mtihani hiyo ndiyo safari yetu sote mungu ampe kauli thabiti

  • @OmanOman-vb4uj
    @OmanOman-vb4uj 2 ปีที่แล้ว +1

    Inallillah wainailaih rajiuniii jmni Allah amjaalie mwish mwema

  • @zuwenaally6403
    @zuwenaally6403 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akurehemu 😢😢

  • @happyhousekeeper
    @happyhousekeeper 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ampokee mfanyakazi mwenzetu, Kifo ni Siri ya Mungu, jamani kazikwa huku jamani duh😢

  • @SamsungA-sq9pi
    @SamsungA-sq9pi 2 ปีที่แล้ว +3

    Innalillah wainna ilayh rajiun, mungu ampe kauli thabit,

    • @omaniph1235
      @omaniph1235 2 ปีที่แล้ว

      Inalilah wainalilah lajihun mbele yako mpambanaji mwezetu mbele yako

  • @aminakunja277
    @aminakunja277 2 ปีที่แล้ว

    Muongo uyo ubaloz unayo saport sana watu wasiosafirishwa wanasimamiwa na balozi na ata uyu amezikwa na ubaloz jaman na picha tunazo na mimi ilibaki kidogo tu kwenda kuzika

  • @mariamibrahim6738
    @mariamibrahim6738 2 ปีที่แล้ว

    Mm nilitoka Saudia salama alhamndulillah

  • @rosemaryjoseph2346
    @rosemaryjoseph2346 2 ปีที่แล้ว

    Apumzike kwa amani😭😭😭😭nimeumia jamani yoote Hy kwa ajili ya kujitafutia riziki

  • @fadhilamsagati1337
    @fadhilamsagati1337 2 ปีที่แล้ว

    huyu Dada muongo kaka mmja kaeleza vizuri sana

  • @husnasalim9614
    @husnasalim9614 2 ปีที่แล้ว

    Amiin Allah akulaze people mama Kila aliye kudhulumu Allah ato moacha Sala

  • @shamsakiobia6421
    @shamsakiobia6421 2 ปีที่แล้ว

    Allah awafanyie wepesi na mtihani huu

  • @rehemaathhmani357
    @rehemaathhmani357 2 ปีที่แล้ว +8

    Innalillah wainailaih rajiun 🤲🙏

  • @aishayosuf3531
    @aishayosuf3531 2 ปีที่แล้ว +1

    Ina lilah waina lilah lajiuni mwenyezi mungu ampe kauri thabiti ila kama mtu ujui na uwezi kueleza kwanin ukubali kuojiwa mhm midomo iyo itatutia motoni yy kila kitu aliambiwa kumbe sio mtu wake wa karibu

  • @TadioTV
    @TadioTV 2 ปีที่แล้ว +2

    Global TV mnatakiwa kuuliza kwa wahusika wenye taarifa zake kiuhakika.. Kuhoji tu wasichana wa vichochoroni kupata Habari za kwenye magrp ya what's app NaDhani sio sahihi na si katika Maadili ya kazi za Habari..

    • @sajabri2643
      @sajabri2643 2 ปีที่แล้ว

      Global TV. take care when you interview someone. Kwanza huyo mliomhoja hayupo Oman tena anaongea habari hana uhakika nazo

  • @فيصلالبادي-ح1غ
    @فيصلالبادي-ح1غ 2 ปีที่แล้ว

    Innallah waina rajiuni nashindwa niseme Nini jamani mpambanaji mwetu Leo umetangulia Allah akupe kauli thabiti kaburini 🤦🤦😭😭😭😭

  • @TadioTV
    @TadioTV 2 ปีที่แล้ว

    Kuna Ubalozi mungetafuta muhusika MSEMAJI wa Ubalozi akupeninTaarifa sahihi, NaDhani kama hauna contact person mungepata wahusika wa Ubalozi kupitia wizara yetu ya Mambo ya Nje, lakini pia mungeutafuta umoja wa Tanzania Diaspora in Oman pia ingekuwa ni vyema Sana..ili kupata Habari sahihi..
    Lakini pia Familia yake ipo Tanzania mungewaona Wana Familia mukajua kipi kimejiri na walichokubaliana Kati ya muajiri na Familia ya Marehemu..

  • @hadijajohn7434
    @hadijajohn7434 2 ปีที่แล้ว

    Innalillaah wa inna rojjounn shujaa umefia vitani AMINA

  • @tatoorashedi1787
    @tatoorashedi1787 2 ปีที่แล้ว

    Inallah wainallh lajnuni wakati wake sote njia yetu moja

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 2 ปีที่แล้ว +2

    Tumempunzisha dada wawatu,mungu atusimamie sisi tulio uku omani

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 2 ปีที่แล้ว +6

    😭😭😭😭😭😭😭Poleni Sana familia ya Amina

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 2 ปีที่แล้ว

      😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @salimashambi7047
    @salimashambi7047 2 ปีที่แล้ว

    Polen sana wafiwa Kazi ya mungu Haina makosa

  • @rezegerezege691
    @rezegerezege691 2 ปีที่แล้ว

    R.I.P shujaa umekufa unapambana DADA AMINA MOHAMMED. 😭😭😭

  • @Zainab-sq1tc
    @Zainab-sq1tc 2 ปีที่แล้ว

    Polen sana wazaz ndug jamaa na marfk... R. I. P mpambanaji mwenzetu

  • @mariamramadhani3860
    @mariamramadhani3860 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa unakuja kuongea usiona uhakika nayo Mungu anakuona wewe dada ubalozi upo kwa ajili ya kutusemea tujifunze kunyamaza Lala salama amina 😢 😭

    • @maryammaryam3937
      @maryammaryam3937 2 ปีที่แล้ว

      Mbea huyu kazusha kabisa

    • @leticiakagoro1544
      @leticiakagoro1544 2 ปีที่แล้ว

      Na kila swali haelewi, hana hakika hata mwandishi wa habar kazi yake sidhani kama anaifahamu anashindwa kutafuta Source ya uhakika anaenda kutafuta mtu mwingine. Mungu anamuona kwakweli

    • @maryammaryam3937
      @maryammaryam3937 2 ปีที่แล้ว

      Afute ni uzushi waache amina kashaliza yake

    • @AminaAmina-mv4ko
      @AminaAmina-mv4ko 2 ปีที่แล้ว

      @@leticiakagoro1544 Umeonaee maswali na majibu tofauti

  • @kairatiswahilli7024
    @kairatiswahilli7024 2 ปีที่แล้ว +1

    Yani sie tulipo Omani nchi za watu Tunapitia mengi Ila mungu yupo pamoja Nasi

  • @khadijaali4657
    @khadijaali4657 2 ปีที่แล้ว +1

    Innalillahi wainnalilehi rajiun pole sana dadangu mbele yako nyuma yetu 😭😭😭

  • @maryammr566
    @maryammr566 2 ปีที่แล้ว

    Tunaumia sana mwenzetu kutuacha😭😭😭😭😭😭😭😭