ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Me nafurahi kwa sababu wapenzi wengi wanadanganyana Sana sanaaaaaaa Bora waachane kuliko kuendelea kudanganywa tu
Point🤙
Kweli kabisa upendo wakinafki
Mapenzi Ulaya Bongo Biashara kila Mpenzi Ana Mpenzi Wake.! 😂😂
Kipenz cha wanachuo, big up San kak
Kweli bro kaskazini hatokagi fara
Nimekupenda sana...Mangi keep it up....
Kiredio proud of u💯 utafika mbali 🤌🏾🤌🏾🤌🏾 keep going
Kiredio ni kijana wa hovyo yaani anasema kuwa na mpenzi imempunguzia kuwa na wanawake wengi it means anao ila sio wengi😂😂😂
Hahahaha haka kajamaa kajanja kajanja sanaa😂
Kiredio ...ashaanza presha.....angekukataa sijui ingekuwaje?
Unawasiliana vip na x wako labda mkutane njian salam sawa ila sio mawasiliano ya simu
bongo mapenzi biashara tu kila mtu yupo kibiashara
Kiredio we atar
Kiredio namie nataka nikupe no za shem wako nijue kama mie nk peke yang
Kiredio huku rombo je
Kiredio umeongea mm pia siwez kurudian na X
😂😂😂
Me siwezi rudiana na x ata siku moja
Itategemeana