WAWILI WASILIMU KATIKA DA-WAA MITAANI KISUMU CITY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • DA-WAA NA USTADH YUSUF WAMBUGU, USTADH HUSSEIN MWENJA NA USTADH SAID MWIRIGI

ความคิดเห็น • 15

  • @josemu870
    @josemu870 18 วันที่ผ่านมา +1

    Allahamdhulla kwa neema ya uislamu barikiweni sana sana kwa mafundisho bora yenye utaratibu yani mawaidha ya Koran Allah amuongeze amuongeze nguvu amulide ampe afya dawa iendelee Allahamdhullah barikiweni

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 18 วันที่ผ่านมา +1

    Masha Allah Allah amuongoze ishallah

  • @bashirmahero7021
    @bashirmahero7021 18 วันที่ผ่านมา +1

    Nampenda sana mandugu zangu

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk 18 วันที่ผ่านมา +2

    Ya rabi wajaalie ndugu zetu wakristo wakiona haki waifuate

  • @hamisiwesonga2496
    @hamisiwesonga2496 18 วันที่ผ่านมา +1

    amiri yusufu kujeni kkmega,

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mtihan wakristoHawasomi

  • @bashirmahero7021
    @bashirmahero7021 18 วันที่ผ่านมา +1

    Saidi mwirigi 😂😂😂😂😂😂 hiyo nakataa sjai skia hiyo andiko😅😅😅

  • @bashirmahero7021
    @bashirmahero7021 18 วันที่ผ่านมา +1

    Ndacha wako wapi wajioneee nyota ya Muhammad mtume wetu

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 18 วันที่ผ่านมา +1

    Anaendakuleta BibiliaYake🤣🤣🤣🤣

  • @ufafanuzi4382
    @ufafanuzi4382 18 วันที่ผ่านมา

    Bana unaitwaje hassan na wewe mkristo. Hasaan ntumie namba yako gurbaa we need to talk

  • @hassangalgallo8496
    @hassangalgallo8496 18 วันที่ผ่านมา +1

    Kama sinagogi ni msikiti basi Quran ni uwongo Quran 22:40
    Yohana12:42-43
    Walakini hata katika wakuu walikuwamo wengi waliomwamini; lakini kwa sababu ya Mafarisayo hawakumkiri, wasije wakatengwa na sinagogi. 43 Kwa maana walipenda utukufu wa wanadamu kuliko utukufu wa Mungu.
    Yahudi-Sinagogi
    Wakristo -Kanisa
    Waislamu -Msikiti
    Yahudi ni dini sio kabila .
    Ole wenu waislamu mnaopotosha watu kama Yesu alivyosema katika
    Luka 17:1-2
    Akawaambia wanafunzi wake, Makwazo hayana budi kuja, lakini ole wake mtu yule ambaye yaja kwa sababu yake!
    2 Ingemfaa zaidi mtu huyo jiwe la kusagia lifungwe shingoni mwake, akatupwe baharini, kuliko kumkosesha mmojawapo wa wadogo hawa.

    • @Nora-v1m3p
      @Nora-v1m3p 18 วันที่ผ่านมา

      Ole wao wakirsto wanaokufuru kusema yesu n Mungu au mwana wa Mungu na kuabudu kupitia Nabii issa .nausimshirikishe Mungu nakitu chochote

    • @hassangalgallo8496
      @hassangalgallo8496 18 วันที่ผ่านมา

      @@Nora-v1m3p if only you knew the secret in Jesus Christ