Mwalimu wako wa kiswahili hakukufundisha umoja na wingi? nimi nitoe kwenye huo upuuzi eti tunamtaka sara na nani? jifunze kuongelea nafsi yako sio nafsi za watu wengine watu wengine
H ello.Zuchu anatakiwa sababu ya usanii na business siyo mapenzi .Hakuna Mapenzi yoyote .Ni biashara Zuchu ajue kuwa bila usanii Mondi atamtupilia mbali.Zuchu kazana na muziki na siyo mapenzi😮wewe siyo zaidi ya Tanasha😮
Kwani alikuwa ameolewa ? Ajabu daimond anaanzaje kueshi namwanamke tangu lini . Kawaida ya mond nikupita akimaliza maana kakuchoka basi vituko vinaanza
lakini zuchu siku akiamua kuachana na diamond wala hatasema ataondoka kimya kimya...jifunZe kunyamaza zuchu. omba ushauri zuchu na utulie unasema tumeachana wakati unajua wazi unampenda tulia
Wasafi wanajua kucheza na akili za watanzani.na watanzania hawasomi hili...ni watu wasahaulifu mno ..kuanzia m9ndi zuchu sara juma esma dida hao wote wapo kwenye mipango yao..kila siku watawachezew maana watz wanapenda uzinifu..na wasafi wanajua hivo.
Juma unafiki sijui utaacha lini yaani clip inaonyesha kabisa km Sara kawekwa pale kwa ajili yakupanda jukwaani haya huyo mama Dangote pale alikaa wapi na Sara kahojiwa kasema kapigiwa cm aje na mara nyingi anampigia ahudhulie show zake lkn Sara huwa haendi sana punguza unafiki ww upinde
😂😂😂😂😂 Mtangazaji huoni aibu wewe kumuuliza Juma maswali ya kikhanithi kama hayo Zuchu kafunga virago eti….Suali kwani Diamond 💎 kamuoa Zuhura . ????? Au mnafanya zinaa ni sifa hapo Bongo kwa Watangazaji.
Ni kweli zuchu ni msani na simba ni msani tena simba ni mtu ambay anapendwa na kila mwana mke❤ so zuchu kama anampenda simba avumiliy kila hali yani kwasimba afunge masikiyo afunge macho mana anajipa presh buree🎉🎉❤
@@mohammadoman8963 hapan so hayingekuwa hizo pesa hatunge mfahamu simba vile vile sara karudi ila kasema hawez rudiyana naye kwasabb yuko kwenye mahusiyano yake
Na nimeshinda nikisema Sarah sio chanzo cha Zuuh kutoka..... Hao waligombana tu. Hamkumbuki Diamond akiwa show akisema hajui kama ashaachwa tena awekwe kwa maombi 😅
Juma lokole muongo mbona zari aliombwa msamaha huyo bab tii alitak apige magoti huku akiomba msamaha mpaka south africa ushauri wangu kwako zuchu huyo mond sio mwanaum sahih kwako wazir wangapi wameacha je ww uzur wako. Wa mwisho umeamuwa usirud nyuma acha ujinga jifikirie
Huyu sister mwandishi wa habari anajuwa sana namkubali sana kazi yake anaijuwa na anaipenda.
Utafika mbali sana dada angu mungu akubaliki sanaaaa
Hakuna Ndoa walikuwa Wanazini
Kwani walifunga ndoa mpaka waachane nyie nae zinaa axitowaacha salama
I love you so much Juma lokole ♥️♥️♥️
Hii family ya diamond wanafiki wengi wao waovu
Mtangazaji nafurahi kukuona unavyojistiri uendelee hivyo hivyo In sha Allah
Wewe Lokole muongo saana. Ulisema mmeshakwenda Znz kutoa posa.
Juma mwanangu umekuwa sana, kwa majibu ya leo
zuchu atuliye tuna mtaka sara ❤❤❤
Wajinga tu ninyi zuchu enjoy na life yako na huyo sara pesa tu itampeleka mapenzi hamna njaa tu inamsumbuwa
Wewe na nani?
@@mauwaishara7351na mimi
Mwalimu wako wa kiswahili hakukufundisha umoja na wingi? nimi nitoe kwenye huo upuuzi eti tunamtaka sara na nani? jifunze kuongelea nafsi yako sio nafsi za watu wengine watu wengine
Mmmh ilikuwa Kiki tu hamna chochote
Mnamuogopa bi Kopa ngija awachambe
Waooogooo akuna kitu hapo
Wifi analeta pesa kwenye company lazma abembelezwe.
Upuuz mmoja
Juma hapo umesema❤❤❤
Yuko kazini Sarah amefanya nini kwenye back stage . First love
Zuchu njo anawakulisha nyinyi WCB
Waoooongo nyinyi
Kengere 😮😮
Anakupenda hawezi kukudhalilisha
Puguzeni uzinifu mwamkasirisha mungu jamani mwaona kila kukicha twapigwa zichapo mara mafuriko njaa turudini kwa Allah .
H ello.Zuchu anatakiwa sababu ya usanii na business siyo mapenzi .Hakuna
Mapenzi yoyote .Ni biashara Zuchu ajue kuwa bila usanii Mondi atamtupilia mbali.Zuchu kazana na muziki na siyo mapenzi😮wewe siyo zaidi ya Tanasha😮
Kila mtu hajakosa mtu wa historia ktk maisha yake ya uhusiano.DIAMOND yupo sawa.
Km kuna mtu hana historia yoyote,,amshauri zuchu😅😅
Zuchu mabegi umekosea sn ucnge beba mabeg😂😂😂
Mwenye pesa hatishiwi nyau.alafu wa kumuvu one yuko wap hapo pyuujj
Hapo hamna mapenzi msitudanganye
Diamond ataoa kweli,watoto wake wote walizaliwa nje ya ndoa
Kwani alikuwa ameolewa ? Ajabu daimond anaanzaje kueshi namwanamke tangu lini . Kawaida ya mond nikupita akimaliza maana kakuchoka basi vituko vinaanza
Sijawah ona zanzibar alilia kuzini kama huyo😊😊😊
lakini zuchu siku akiamua kuachana na diamond wala hatasema ataondoka kimya kimya...jifunZe kunyamaza zuchu. omba ushauri zuchu na utulie unasema tumeachana wakati unajua wazi unampenda tulia
Kuongea San juma mpaka unakosea zuchu anatongozwa na wanawakewengi😂😂😂😂
Zuchu usije kujiroga ukaingia ndoa na Madi mdog wng utajuataa utakuja kufanya maamuzinusio yatarajiq mdog wng ...Fata moyo unakwambia usifate watu wanataka nn
Na Zuchu hajaona wanaume wote hapo Bongo ila Diamond 😂😂😂 kweli hana kazi.
Huyu si fatma !!!?
Wasafi wanajua kucheza na akili za watanzani.na watanzania hawasomi hili...ni watu wasahaulifu mno ..kuanzia m9ndi zuchu sara juma esma dida hao wote wapo kwenye mipango yao..kila siku watawachezew maana watz wanapenda uzinifu..na wasafi wanajua hivo.
Jamani Zuu na Dai waacheni hao wanajuana❤❤❤ watawashitukiza wako pamoja
Niongo juma unamutetea ila ukipenda razima uwe unavumiriya mpenzii
Waowane tena mda umeenda jamani magomvi hayana neno
Ww msenge tu wote hao hawaja olewa ajekuolewa yeye
Uyu mdada naitwa nani🇰🇪?
Zuchu atarudi kwa diamond ataenda wapi mange alishasema Kinga’nga
Yuafungasha tena yuajiregesha cz zuchu haezi bila mond
Mmmmmh
Jamani jamani juma mmbeya ww kha😅
Utakuja kuumia zaidi ya hivi ..ukiingia ndan ya ndoa hapo ndo utakuja kupingwa tukio
Kawaida ya kudhalilishwa???huyo Zuchu akili ndio amekosa
Bana apo. Unsmjua tabia yake. Kubali matokeyo.
Mashemeji na mawifi daah 😂😂😂😂😂
Zuchu anatumika tu,na anatumika sababu ya talent yake na pesa analetea wasafi
Kiki tuu hizo kuna kitu kinakuja ata huyo Sara alipangwaa afike pale akumbatiwe basi mambo yaende wafanye vitu vyao
Swadakta ilikuwa Kiki tu
Naeende tuu anataka Cha peke yke kikowap labda kabur hhhh
Samsung galaxy s9, old model
Lokole Leo anatengeneza na jana walikua Wanacheka huko Mashamsham😏
Achen upumbavu mapenz gani ushoga tu
😂😂😂😂😂 Eee mvunjiani vunjiane Tv😂😂😂
Jameni mwatuchanganya bila kiki wasafi hamtoboi ng'o
mbadilishie na hilo pochi yupo kama uzamafuta ya mawese
😅😅😅
Kwa sasa hamna nyota. Mnamtumia Zuchu anawaingizia pesa.
Mnampa ujinga tuu azidi kutumika had bandama limtoke
Juma juma 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Juma😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Juma unafiki sijui utaacha lini yaani clip inaonyesha kabisa km Sara kawekwa pale kwa ajili yakupanda jukwaani haya huyo mama Dangote pale alikaa wapi na Sara kahojiwa kasema kapigiwa cm aje na mara nyingi anampigia ahudhulie show zake lkn Sara huwa haendi sana punguza unafiki ww upinde
Fala zuchu lazima kwa diamond kwani zuchu hajuwi simba ni womaniser
Huyu amezoea kudanga hawezi kuka na mume moja hilo wote walijua akisha jazwa mimba ya haramu ndio ataenda kwao kutulia
😂😂😂😂😂😂ludisha mabegi zuchu
Kazi yenu n hiyo t y ujinga kila siku mwaongea kila siku mmb yasio elewek tumechoka ssi wakenya
😂😂😂😂😂
Kama umechoka soma simu ulale!!
😂😂😂kama kalazimishwa@@BarbaraPatience-qt9cc
@@BarbaraPatience-qt9cc nawewe nikati ya wazinzi😏😏😏
@@fatmafatu1128unajuwaje wanaongelea uzinzi kama hauwasikilize? Unajuwa sababu wewe musikilizaji wao na watu kama wewe ndio wanataka wasikilizaji
Zuchu we mi rofa zaidi
Zuchu amesema Wasafi ina entertain ma Ex, maanake nini Juma?
Bongo kwa upuuzi hamjambo
Kumbe huyu mtangazaji mpemba
Washenzi nyie kazi kuongelea uzinzi kila siku hamna vitu vya msingi
😂😂😂😂😂😂
Hawa ni ma umbwa sana wametuharibia sana nchi wana maswali mbele ya Allah
Kabisa
Umeolewa
Uzinzi hq2a ndo wanaosababisha mvua na mafuriko
😂😂😂😂😂 Mtangazaji huoni aibu wewe kumuuliza Juma maswali ya kikhanithi kama hayo Zuchu kafunga virago eti….Suali kwani Diamond 💎 kamuoa Zuhura . ????? Au mnafanya zinaa ni sifa hapo Bongo kwa Watangazaji.
Anaingiza pesa nyingi WCB acha abembelezwe
Sana anatumika sana zuchu
Juma lokole nipe namba ya nadibu
Ndoa hakuna
Diamond bado hajapata mke wote siwo .
Kwani yeye ndio? Au hana kasoro zake?
Ni kweli zuchu ni msani na simba ni msani tena simba ni mtu ambay anapendwa na kila mwana mke❤ so zuchu kama anampenda simba avumiliy kila hali yani kwasimba afunge masikiyo afunge macho mana anajipa presh buree🎉🎉❤
Mtihani mnampendea pesa tu ninyi wanawake
Angekuwa hana pesa msingempenda na ndio maana ulimuona sara alisepa lkn kaona anapesa anajirudisha
@@mohammadoman8963 hapan so hayingekuwa hizo pesa hatunge mfahamu simba vile vile sara karudi ila kasema hawez rudiyana naye kwasabb yuko kwenye mahusiyano yake
Yani juma nakupend ebu nitafut yani nakupend kwa maneno yak
Na nimeshinda nikisema Sarah sio chanzo cha Zuuh kutoka..... Hao waligombana tu.
Hamkumbuki Diamond akiwa show akisema hajui kama ashaachwa tena awekwe kwa maombi 😅
Juma lzm uisfie hio familia. Ht km ni uongo. Sbb ndio maboss wako. Unaogopea ugali wako. Kubwa jinga wewe.
Kutetea wazinzi tuuuuu.Dunia kuchnei
Hahha wampenda upumbavu kusaport hi Dunia sijui Ina elekea wap
Bila Zuchu hamtaishi. Mimi kama Kadidja mtoto wangu hawezi rudi baada ya kuolewa. Mnamchezea saana. Anawatunza nyinyi wote.
Juma lokole muongo mbona zari aliombwa msamaha huyo bab tii alitak apige magoti huku akiomba msamaha mpaka south africa ushauri wangu kwako zuchu huyo mond sio mwanaum sahih kwako wazir wangapi wameacha je ww uzur wako. Wa mwisho umeamuwa usirud nyuma acha ujinga jifikirie
Uyo zuchu yey sa hihi au 😂nawote wazinifu