@RoseMayige-gn9qb yesu sio MUNGU..na kwa maana hyo hata kina yesu wako wengi mpaka wacheza mpira....yesu ni mwana wa MUNGU na sio MUNGU..kwahyo ww unahisi ameiimbia hyo miungu mingi?
Robert Kiyosaki kwenye kitabu chake cha rich dad poor dad anasema watu wengi bila kujua wamejikuta wakiwa watumwa wa pesa, usifanye kazi kwa ajiri ya pesa ila ifanye pesa ifanye kazi kwa ajiri yako. #pesa zangu usinigombanishe na Mungu Barikiwa Mama yangu
😊 exactly niheri nibaki na mungu kuliko pesa kuniletea mufaragano
Kweli usipoangalia pesa itakutenganisha na Mungu wako aliye hai ,Ulakoze chane
Indeed you are a servant of God.
Ubarikiwe Mama kweli pesa usinifanye nimkufuru Mungu
Wow! The message is on point ❤. God bless you 🙏
Duuh,vipaji vina wenyew!!!
Afadhali pesa iende nibaki na Yesu wangu.
Akh pesa nisikize 😊😊
wewe pesa tuelewane, usinifanye niache njia za Mungu, sawa??
Wakwanzaa weka like zangu hapaaa.
Umenitangulia hongera ndugu
Amen mama yangu nabarikiwa sana na huduma uliyonayo
Liked👍✔️
Commented💬✔️
Subscribed 🔔✔️
Loving ❤️✔️
Much love from Kenya 🇰🇪👏👏
❤❤
Amen
New sub!!!
Pesa zangu
Wimbo gani sasa huù jamani? Hatajwi YESU, ni pesa mwanzo mwisho....mmh!!
Ni kwel hujasikia MUNGU akitajwa? Dhambi zingine Acha zikupite dada rose.
@zabronerastus2359 Soma comment vizuri....nimeandika 'YESU' miungu ipo mingi tu, Mungu wa kweli ni YESU tu.
@RoseMayige-gn9qb yesu sio MUNGU..na kwa maana hyo hata kina yesu wako wengi mpaka wacheza mpira....yesu ni mwana wa MUNGU na sio MUNGU..kwahyo ww unahisi ameiimbia hyo miungu mingi?
@zabronerastus2359 Baki hapo hapo na kutokueleqa kwako##
Robert Kiyosaki kwenye kitabu chake cha rich dad poor dad anasema watu wengi bila kujua wamejikuta wakiwa watumwa wa pesa, usifanye kazi kwa ajiri ya pesa ila ifanye pesa ifanye kazi kwa ajiri yako.
#pesa zangu usinigombanishe na Mungu
Barikiwa Mama yangu
Hakika pesa zinajaribu waliosimama na hatimaye huanguka kama hawawi making,Mungu atulinde sana