🔴LIVE: WAZEE WA YANGA WACHACHAMAA/MAGOMA MTOTO MDOGO/KAMA KASHINDA KESI AJE MAKAO MAKUU YA KLABU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Leo July 17,2024 Mpenja TV Tumefika Makao Makuu ya Yanga Jangwani na tumezungumza na baadhi ya Wazee waliopo kwenye Baraza la Wazee wa klabu hiyo, Kuhusu kile kinachoendelea ndani ya klabu hiyo mara baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutoa uamuzi wa uongozi uliopo Madarakani, ukiongozwa na Eng Hersi Said ung'atuke madarakani.

ความคิดเห็น • 166