Wanahabari Nakuru waandamana kulalamikia dhuluma

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Waandishi wa habari jijini Nakuru chini ya muungano wao wameandamana hadi kwenye ofisi ya kamanda wa polisi wa nakuru wakitaka polisi aliyempiga risasi mwanahabari wa runinga na redio ya kameme catherine kariuki achukuliwe hatua.

ความคิดเห็น • 1

  • @phaustineokitwi7043
    @phaustineokitwi7043 หลายเดือนก่อน +1

    Inchi yetu ya kenya 🇰🇪 Ubinadamu haupo unyama umekita kambi... Mungu kumbuka Taifa letu uturehefu maana tumepungukiwa na utukufu wa mungu