Waja mnajua kufupisha vitu kisa anafuraha hapo kwenye interview huwezi jua huenda alipoingia apo a siku hiyo alipata dili la pesa ndefu kwann asiwe na furaha 😂
I like the way Diamond responds when it gets to music, hope all of you have seen the dance and the way he made Zari get up and give respect to music. Go D limit is the sky.
MashaAllah 💖 MashaAllah 💖💖 MashaAllah 💖💖💖 Allah Awalinde na Husda za Watu, Allah Awajaalie mfunge Ndoa Ndugu zangu Zari and Naseeb Nawatakia kila la kheri Na Baraka Allah Awazidishie zaidi na zaidi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kwakweli simba umefanya vizuri kumupokea zari hafu simba fanya umuowe kabisa umri wenu unaenda nimda sasa wa kukaa na familia ili wakuwe katika malezi ya baba na mama i love all hafu simba nitumie namba yako aise
Zari was truly more than a wife to Diamond...She was a friend,a mother and a supportive companion.Diamond needs to style up and know that celebrity status is not an achievement but a character that he needs to change and become more responsible man...Breaking women's hearts does not help.
i just love how diamond smiles and laughs, and not forgetting vile anaongea na vile anavyo imba ooh my God it doesn't matter what people say he is hot.
am proud to you zari to dance traditional music ure so gooooooooooooood wooooooooooooow but mmetokelezea ure so looking wonderful your looking so mwaaaaaaaaaaa
July 2020. Kama na we uliona wakati ikiwa live kwamba mapenzi yao ni ya uongo tujuane. Kwanza alivyo sema zari harusi yao itakua kubwa Kati ya Africa mashariki na Kati and kisha kumtoatoa mivitu usoni na chibu anamcheki tu
nanimwengine anaangariya
2020
Kweli diamond hawezi kupata mwanamke kama huyu
Me
Me
Me
Mim
Wallah diamond alikuwa mtu wa furaha sana kipind yupo na Zari
Sanaa
Waja mnajua kufupisha vitu kisa anafuraha hapo kwenye interview huwezi jua huenda alipoingia apo a siku hiyo alipata dili la pesa ndefu kwann asiwe na furaha 😂
Zari alikuwa anajua kutengeneza simba alikuwa anaonekana poa
diamond upo free sana ... kwenye interview salute kaka full cofidence
Who is here 2020, itwaz a power couple
Kama na wewe uko hapa kama mimi Leo gonga like loved this two
B
Sf
I have this strong feelings that this people are dating chini ya maji
clauds hongereni sana kwa vipi vyenu.salam zangu kwa hawa wapenzi wawili zari na diamond .mwenyezi mungu ape safari ndefu wao na watoto zao wote.amina
Am a Sierra Leonean but really i really love the appearance of this lady call zari lady,keep it up my sister
U see how protective he was to her. Please re unite
I like the way Diamond responds when it gets to music, hope all of you have seen the dance and the way he made Zari get up and give respect to music. Go D limit is the sky.
Nani anaye angalia saivi kama mm 2020
mimi aPa
Uyu ap
MashaAllah 💖
MashaAllah 💖💖
MashaAllah 💖💖💖
Allah Awalinde na
Husda za Watu,
Allah Awajaalie mfunge
Ndoa Ndugu zangu
Zari and Naseeb
Nawatakia kila la kheri
Na Baraka Allah Awazidishie zaidi na zaidi
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Studio mli shout sana! Hamuangalii sound level?!!!mna mgeni muhimu lakini mnapiga kelele badala ya kufanya cool interview...
hawa wawili nawapenda mpaka naumwa..i like to see yu two guys happy😍😘
Jahkey thomas sub
Jahkey thomas wow
vb
Jahkey thomas 😂😂😂😂
Jackie
Natamani beefu la mond na clouds liishe! Mungu naomba upokee dua yangu insha allah
Yaan sijui.kwanini napenda sana hii couple irudiane,nahs ni kwakua nawapenda sana wote wawili.
This is the woman Nasib should be with, sio vitoto vina tafuta maisha bado
Mondiiii mrudie tuu mama tee itapendezaaa zaidiiii 2020 nimeichek teynaaa
Diomond mrudie zari bro!
This woman is great... I salute
Diamond platinum AKA simba mrudie uyu zari yu ni bibi anae jua kupanga
Moyo kweli kichaka yani hapa diamond ameshampa mimba hamisa na zari anavyojiona yupo peke yake ni hatareeee fire
Kwakweli simba umefanya vizuri kumupokea zari hafu simba fanya umuowe kabisa umri wenu unaenda nimda sasa wa kukaa na familia ili wakuwe katika malezi ya baba na mama i love all hafu simba nitumie namba yako aise
Duh mungu wangu amefikia kuvaa cheni ya msalaba
Juma Jay Umeona plus unasema msalaba Hahah
Tofautish kk kati ya mstalaba na jumlisha
kiukweli Interview zote anazofanyiwa Diamond platnumz, watangazaji wanakuwa huru kumwambia diamond afanye wanachohitaji nawala havungi Mtoto Wa watu, Nastudio nzima inachangamka hadi Rahaaaa
nisiwe mnafik kwakweli daimond mzazi mwenzio zari mama tifa nimzuri mno,
First time am hearing Zari speak...I can listen to her all day
C. I bb
Zari was truly more than a wife to Diamond...She was a friend,a mother and a supportive companion.Diamond needs to style up and know that celebrity status is not an achievement but a character that he needs to change and become more responsible man...Breaking women's hearts does not help.
I miss my zari❤️❤️❤️
Maturity, wisdom, respect and understanding is key in the relationship ... congratulations guys .
love diamond and zari sooo badly.....love from dubai
i just love how diamond smiles and laughs, and not forgetting vile anaongea na vile anavyo imba ooh my God it doesn't matter what people say he is hot.
2020, naangalia
Tuna subiri murudiane maman tee na mond Bali mulikuwa vizuri sna 👌👌👌
Kama unaomba Hawa wawili warudiane gonga like hapa
Kurudiana imo mwisho mara tatu
Yes
Zari miss you dear
Mwisho watarudiana tu
kabisa naomba warudiane
nawapenda Hawa watu buree mungu awape maisha marefuuuuu
the best couple ive seen in africa so far
Come together again in Jesus name somebody hit like!!
😀😀😀😀
Amiin
Amen
Ameen
Wageni wazuri,studio nzuri,watangazaji wazuri pia lakini utangazaji wenyewe ...wote mnang'ang'ania kuongea at the same time!!!
I wish one day Diamond arudi kukaa apo tena.
Kama na wewe unatamani hii couple ya Zari na Mondi irudi gonga like na comment neno moja kwao😍
Mimi nataka wa get married. ❤️🇬🇧
Imesharudi
My lovely couple
Kale wama Zari nze ndaba mwali mwesana❤️
Walla mange bwendaba
True
Dah! Mbarikiwe saaana yaan nimependa hyo cheza ya Zari Haraha kweli boss lady.
I'm proud of Diamond and Zali! Yaani wewe zali huna makuu
You guys jmn si murudiane jmn nawamiss sana
Waoooo watu wangu wa nguvu.... Mungu fundi jamani huyu mm tee kapewa dongo zuri.... Manshallah
Halima
umenenaaaa vyemaa
Yap yap
👍👍🔥🔥🔥💯
Halima Mbwego noma
Huhuhu kiasi chake
Miss this couple....feel so bad about the breakup.
Zari we nimnzuli sanaaa. Mungu awabaliki sanaa nawapenda mpaka najisahawu 💕💕💕💕zari nimependa ulivyo jibu unajuwa ku jibu keli much 💏
Merci Je
zari n mwanamke ana heshima zake💕💕
Am proud to own Bugandan blood coz they are strongest women I know.best of luck in ur relationship kakangu n dadangu.
mill ad ayo
LEDI DII you're right bby 😍😍😍😍😍
LEDI DII True
Naipenda sana familia ya daimondi,I love tifa and her dd/mm
you guys looks so fantastic, keep it up!
My bestest couple in my era....nawalavu kwa sanaaa!!!
my diamond couple...tjo and the way I'm in love with this marry you track eish................yeaaaaaaa
love
Mambo ingine uwezi amini life life....sasa ni tanasha bt we love you so much zari
Na penda cofindence yake uyu Mama. Ana onekana amesota sana🙌
Mganda wa kizungu kawa mzaramo Kiswahili swafiiii
Wanaoangalia 2020 tujuane jaman kwa kugonga like hapa
Kiukweli leo nime furahi Sana yani huyu diamond huyu nachoamini kila mtu kipo kinacho mfaa nami naami diamond kinacho mfaa ni Zar
She is so proud of her husband. .always showing love to him.
Bravo zari simple mais chic
Zari you look nice with diamond...I don't know why ulimkataa diamond..ungevumilia tu coz pia kuoleka Mara Mbili ukitoka sio poa pia
Nawapenda sana zari na mondiiiii
Jaman mond hapa mpaka anaona aibu maneno . Ya zar yamemchoma
2021 sichoki kbx
J'aime ça vraiment
Daimondi umejisau kabisa km uko studio kwa goma la kizalamu😀
Tunaomba mungu afanye awezae hawa watu waridiane tu
Jamani Mondi natamani arudi tu kwa Zari.nawapenda nyie wawil mpaka naumwa daaah!
Najivunia kuwa na mwimbaji wmenye HISIA kali kama Diamond >>>>>>endelea hvo #diamond
Woow so beautiful ❤️💯
i really admire dis couple may God lead u simba and zari u are loved by many
MPAKA DIAMOND MWEYEWE ANAINAMIA TU SHINI ANAONA AIBU KUKA HAPO NA BIMKUBUA !!!!!!!!!
Jamal Juma Ukikua utaacha kiroporopo tangu lini zari akawa bimkubwa wako????? huyoo bimkubwa wako humjui aliko?
Jamal Juma
mapenzi hayaangalii umri wewe nafikiri Muslim angalia mfa wa mtume na khadija
una wivu wewe
Mond mrudie zari bana nampenda sana huy Dada❤❤❤😘😘😘
Anayeangalia 2020 2juane apaa
diamond unapaswa kushukuru kwa kila hatua na sio kuwaona clouds kama maadui duniani kila mtu ana mapungufu
am proud to you zari to dance traditional music ure so gooooooooooooood wooooooooooooow but mmetokelezea ure so looking wonderful your looking so mwaaaaaaaaaaa
That's the power lady from pearl of africa
YOU MAKE ME SING...CANT WAIT TO MARRY YOU MARIAM
waw! Leo nmekubali wakenya namark register
Maryam Andayi amna mkenya apo
mungu abariki mapenz yenu muishi miaka 10000000000 nawapenda mmmm sisemisana
nice zari congrats for speaking kiswahili
July 2020. Kama na we uliona wakati ikiwa live kwamba mapenzi yao ni ya uongo tujuane. Kwanza alivyo sema zari harusi yao itakua kubwa Kati ya Africa mashariki na Kati and kisha kumtoatoa mivitu usoni na chibu anamcheki tu
mob love zari💖💖💖💖wewe ni mutumia gatha👌👌👌
😘😘😘😘😘😘nimeipenda nikiwa.qatar
Mwanacity Allu hujaulizwa uko wapi😅😅😅😅
bwahahaha hahahahahah uuuuwiiiii 😂😂😂😂😂😂
Mwanacity Allu hahahaha
Abdalla Rashid wacheka nini Abdhallah tulia km moja
Abdalla Rashid 😝😝😝😝😝😝
Kama umerudi hapa Kuitazama hii video Tena huu mwaka wa 2020 gonga like hapa #Diamond & #Zari❤️❤️❤️
Kusema kweli kakangu huyu ndio mwanamke ako machua sana...
uyu ndio mwanamke anakufaa kabisa
love you two zari and diamond
Love this couple
Capo ilkua powa sana kaka chibu 2020 naludia tena🌅
nawakubali kinoma one loveeeeeee zari mond na diamond
diamond was nomaaa unampenda sana zariiii
Jamani hii couples inapendeza sana jitahidini muirudishe jamani
Vp uyo jamah
Tamaa mbaya mond ungekaaga na zari jamani mlikua mnapendeza Sana
Love you all M/Mungu awalinde kwa kila jambo
I think Diamond and Zari should talk it out once and for all
Wakati wa huu mahojiano....mobetto naye mjamzito. Ashatiwa mimba.
who else watching this in 2017?😂😂😂
Georgina shi hpa
not me!
Haha!
Georgina shi 😅😅😅😅
Hahaha