INALLILLAH WAINALLILLAH RANJUN Hv hyo ni Qaswida au RnB mbna tunamkufuru mungu jmn wanawake wameacha vichwa wazi yan daaah mungu tusamehe sisi wajawako hatujui tulitendalo 😢😢
Kweli kati ya waislam hao hapo kwenye video hakuna asiye jua atendalo? Mtoto mdogo au mtu mzima aliye taahira pekee ndio wasio jua watendalo. Walio baki wanafanya wapendavyo!
mungu atunusuri, watu/waislamu wanazaa watoto wa nje ya ndoa na wanashangiliwa na hiyo madrasa uloalikwa kusherehesha haijielewe mungu tusamehe makosa yetu
aiiiih inalilah wainaliah raajiuun watu wamependeza na kanzu zao kusherekea mtoto wa zinaa hakika huu ndo umsiba ugongao moyo alio usema mwenyezimungu dalili zote za dunia kuisha zimedhihirika
mwana mulunji kweli nimependa sana Diamond alivo mkumbatia mtoto kwani kuna ile tabia ya mtoto mnawachia watu wanambeba beba wengine wana mikono si salama jicho pia akimchukua mkononi mwake lakini mashallah mme mshika moja kwa moja mkononi mwenu mfanye hivo kila kwenye hadhara hizo sawa zingatieni kwani ibilisi yupo miongoni myenu
Kama kawaa simba bado tunawakimbiza na wanazidii kutuelewaa japo kimoyo moyoo .... ..ilaaa hiyo mibuku tanoo hapo kati wanangu mnatiaaa nikifikilia jasho linàvyonitokaga kuanzia saa kumi n mbili asubuhi naongea n tofali begani mbk saa mbili usiku ndo napata faru wawili wanangu nyiii mnawamwag faruuu km woteee daaah safiiiii lakini ..... .....hapy 40 days kwa prince nillan
hakika mulipendeza sana ,ila najiuliza le26 muliferi sana kwa tanasha .diamond unajitaidi kurudiliya mabo ila wapi kaka zari ata baki kuwa zari niyeye kawafudisha yooo na jana karudiliya yale yale pole sana tanasha kula makombo
Munatuhoneaha mambo mazuri merio yafanya arafu mnatengana mungu apendi kuachana vumiriheni hata kwenye raha na yote mnatuhuzuniaha sana daimo na zari tiari mko na watoto
SOFY OMARY umesema kweli #SOFY OMARY wabongo xx tunapenda vya kuiga hatuna utamaduni wetu tunaiga saana mara India mara Nigeria kwann wasinge vaa lubeka vazi la kimasai ndio vazi letu la asili.lkn hadi Mastar wetu wanainga nje. Je xx tutaigwa lini?
Who's still watching on 3oth /Nov/2019 Nillan 40 was better than Naseeb JR
😂bala kisha kesho hawako pamoja shetani naye
Me too
@@byeganjeolivia8990 👍👍
blessed.... yawah.... 😍😍😍Lovely...
happy day nimeipenda haki! from kenya
INALLILLAH WAINALLILLAH RANJUN
Hv hyo ni Qaswida au RnB mbna tunamkufuru mungu jmn wanawake wameacha vichwa wazi yan daaah mungu tusamehe sisi wajawako hatujui tulitendalo 😢😢
Kweli kati ya waislam hao hapo kwenye video hakuna asiye jua atendalo? Mtoto mdogo au mtu mzima aliye taahira pekee ndio wasio jua watendalo. Walio baki wanafanya wapendavyo!
hongera sana mwenyezi mungu akukuzie wanao ushauli wangu usisahau kumsujudia Allah, aliye kupa uhai.
well organized. ...congratulations guys
raha ya kuzaa all the best chibus family
they look lovely
mungu atunusuri, watu/waislamu wanazaa watoto wa nje ya ndoa na wanashangiliwa na hiyo madrasa uloalikwa kusherehesha haijielewe
mungu tusamehe makosa yetu
Madrasa, wala mtoto hawana makosa. Wenyewe walio kiuka Amri ya Allah ndo wenye makosa. Ingawa hata uimbaji pia ni makosa!
Hassan Boi kumbe nibkosa eeeeh kaka
Ndiyo mzee! Kuzaa nje ya ndoa maana yake ni uzinifu. Na uzinifu ume katazwa ndani ya Uislam! Mwenyezi Mungu atongoze kwenye kutenda ayatakayo. Ameen!
Metal Combat inapendeza sana kijana maisha familiar ndio mpango mzima
Sawa kabisa, ila inapendeza zaidi kama tukimtii aliye tuumba na tukawa na akili ba nguvu ya kuwaza na kupata familia hiyo. Siyo?
Dah laiti ingeendelea hii family we acha tu naipenda sna
Masha Allah prince nillan
This couple was the best
Hahahahaha eti siyapendi mpenzi ayo siyakinaijeria izo nguo ni zakihindi nzuri sana
إن شاءالله بيت مال وعيال يا دايموند بلاتنومز أخوك من السودان
omg also this boy looks like a father
Yaan hii ya tanasha imepoa sana mpk nimefika huku kujiliwaza😁😁😁
Afu watu wanasema eti hawa watoto wanafanana,imagine hawafanani
aiiiih inalilah wainaliah raajiuun watu wamependeza na kanzu zao kusherekea mtoto wa zinaa hakika huu ndo umsiba ugongao moyo alio usema mwenyezimungu dalili zote za dunia kuisha zimedhihirika
Lovey mom like Zari lovey bb girl
Subhaana Llah(Ametakadika Mwenyezi Mungu)!
congratulation diamond and zari
is good to support
wow mamaaaa zari wa ukweli umependeza sana
makubwa hiyoo qaswida za siku hizii nishidaaa tupuuuu Jaamaani
salma masoud, kwani hii ni kasida? mimi nilifikiria mduara wa kitoto 😂 😂 😂 😂
salma masoud umeonae hahahaaa hata mkinunabule kaswida hiyo
Hongera
mashallah Prince nillan tumeona sura
mwana mulunji kweli nimependa sana Diamond alivo mkumbatia mtoto kwani kuna ile tabia ya mtoto mnawachia watu wanambeba beba wengine wana mikono si salama jicho pia akimchukua mkononi mwake lakini mashallah mme mshika moja kwa moja mkononi mwenu mfanye hivo kila kwenye hadhara hizo sawa zingatieni kwani ibilisi yupo miongoni myenu
hadi raha jameni kama umeipenda piga like😍😍😍
Kadzo
nice family
Salama Kadzo tupige kelele kwa mtoto wa zinaaa
Salehe Kaniki soma vizuri comment yangu piga like sio piga kelele alafu mambo ya mtoto hayanihusu wazinaa ww je mwanaharamu mbona hujisemi
Salehe Kaniki wacha wivu pigia wako wa halali in fact know one invited you here mind you own business
Mashallah Allah wamependeza sanaa
ulianza vizuri Ku stick kwenye ukweli ukhty now unasifia tena
hongereni sana
Allah awakuzie makuzi mwema inshaallah
I like their video
mh!! kila m2 camera.....😂😂😂 hiz simu bwana
mashallah wasanii mmependeza sana mmevaa vizuri sana nimependa hiyo
Rehema Ramadhani
mungu amlinde mtoto
sub hana llah...mbona kafanana na mtt wa natasha wa sasa hiv
Nzuri sana japo ubinafs kwambaaali
nakubaliiiiii sannaaa
Kama kawaa simba bado tunawakimbiza na wanazidii kutuelewaa japo kimoyo moyoo ....
..ilaaa hiyo mibuku tanoo hapo kati wanangu mnatiaaa nikifikilia jasho linàvyonitokaga kuanzia saa kumi n mbili asubuhi naongea n tofali begani mbk saa mbili usiku ndo napata faru wawili wanangu nyiii mnawamwag faruuu km woteee daaah safiiiii lakini .....
.....hapy 40 days kwa prince nillan
Chidy mzaramo Og wenzio hawazipati kwa jashoo, hilo unalolitumia ww, na ndo mana, hawaziskilii uchungu.
Chidy mzaramo Og sijui kama watafa waziwache pesa zenyewe waaah
sisemi kitu jamani tabasamu tu kama diamond
Wow mashallah nice moment
Jane Wacera muwawace wafurai jamani
Jane Wacera mimi nawapenda sana diamonde pamoja nazari
Il est trop mignon le bébé
ni shidaaa
jamani daimond watoto hakufanani ...Wala hawafanani mamayao au wamefanana kwa wajomba
Anafanana na Ivan Don 😂😂😂😂zari hapo umetucheza cha ukweli.Diamond kaka etu funguka macho👀👀👀
mash Allah
mashaalaha
rukia
Hassan boi # umeona pesa ndio kila kilakitu
hakika mulipendeza sana ,ila najiuliza le26 muliferi sana kwa tanasha .diamond unajitaidi kurudiliya mabo ila wapi kaka zari ata baki kuwa zari niyeye kawafudisha yooo na jana karudiliya yale yale pole sana tanasha kula makombo
Hhhhh arab and indian traditional dress how about your traditional dress guys be happy about your traditional
why grand father yani baba ya diamond wacheni hizo get more blessing of grand ba eish
Dr Mwaka ilala Bungoni Matokeo Utakayo yapata Namini utanipenda
me encanta
wow nice
Mambo mazuri duniani ni watoto bila watoto we sio mtu kweri zari anapendwa mpaka na mungu
safi sana
Nzur jman
plz music name
mimi nimemuona giggy money safi sana
maskin malaika wa mungu haelew chochote kinachoendelea unashangaa tu
Munatuhoneaha mambo mazuri merio yafanya arafu mnatengana mungu apendi kuachana vumiriheni hata kwenye raha na yote mnatuhuzuniaha sana daimo na zari tiari mko na watoto
that man putting money on the infants face.....jameni he should know better...theres a tray for that purpose make it rain there ...smh
iyo kasda au mipasho mnaacha kumtukuza mtume mnaleta mambo ya mipasho
Kumsifu Mtume. Allah pekee ndo anatukuzwa!
Zari amekupatia heshima kweri. Uwo ngo mke wa ndani
plat Ongera kwa kumpata mtoto nillan
Nilan and his uncle harmonize
This video so much
safi sana mondi
Rajabu Mapunda wivu unawasumbu lol
madude haya siyapendi haya manguo ya kinageria kama madera bana sijui wanayapendea nn
SOFY OMARY hahahaha yana raha yake
SOFY OMARY wewe 👉😂😂😂😂
SOFY OMARY umesema kweli #SOFY OMARY wabongo xx tunapenda vya kuiga hatuna utamaduni wetu tunaiga saana mara India mara Nigeria kwann wasinge vaa lubeka vazi la kimasai ndio vazi letu la asili.lkn hadi Mastar wetu wanainga nje. Je xx tutaigwa lini?
yanaboa
Hussein Omari
Badala ya kufanya dua 'HAKIKA' wanafanya sherehe za kikafiri ama kweli neema aliokupa mungu unaichezea
😷😷😷😷atamkinuna wenyewe wameamua😂😂😂😂😂
Mariam Hadija Hilo nalo neno
Mariam Hadija 😂😂😂😂😂mbavu zangu mie
astaghifr Allah jamani dini yetu yakislam imetuamrusha aghlag. nakwann tukashifiana ikiwa mungu kamstit wewe ndio unakashif
Mariam Hadija true
Wish i can undrstand yo language lol
Simbaaaaaa+254
Mungu awalinde
40 ya mtto ckivyo jmni tunapoteza maan 40 ya kiislam Allah hatusamehe maana hayo si mafundisho ya mtume wetu inna lilalaih wainnalilaih rajuhunni
mungu awakuzie
safi sana n
Jaman esma dini siunaijuw ww au dunia imekubeba sn
Nice
Mushaowana Ama Bado mnazini part kubwa Haisaidi muhimu mufanye mambo ya Hulali.
wenye wivu wajinyonge kweli a
Tifa ujui Ata shida ya kunywa uji wa bila sukari
Mariana Gud
Ok
Diamond platinum fire
No English comments ishhhh
Jamaniiii kama mrudiane vile
Sikuizi Zari kawa adui yenu mmesahau yote
woiye c poa Diamond reconcile na zari..
mashallah
mapovu haaahaa, wamenuna haoo
Hapo hamisa na wema Walikuwa wanaroga
mlivyojipodoa sana mpk sura zatisha
guka ako wapi
Yaani mama diamond kama kibinti
ahhh sio mbaya ila mzur ya kutosha
wawooooh
what language they are speaking?
Swahili language
imekuwa ibada ya sanamu
munamwabudu shetani bila kujuwa nyie.
Mimi niko mwanza nahumia sana nikiona mambo yenumazuri het leo
Mh hz.....pesa axeeee Ztawafnyg cku 1 muwasujudie wa2 aceee duuuh!!
Subhaana Llah!
wema hajatokea,,anaanzaje kwa mfano x wako yuko na familia nzima
kingine mtt mwenyew hawaelewi elewi mna jichezesha chezesha mbel yake 🤗 anawashangaa
umeona ehhh
Luv UUUUUUu
SOFY OMAR mwenyez mungu atamfanya wepesi ameshindwa kuhalalisha
Sammy Sambo
Sammy Sambo nitafute kwa namba 0764142283, Unaweza kuwa ndugu yangu, naitwa, Engineer Zacky Sambo.
kula malimao hujalazimishwa kuangalia
Namuona Harmorapa kwa mbali.
katarina william acha xako wewe😂😂😂😂😂
Wewe ujuetu konk anakuona