CHANGAMOTO ZA KU DATE MZUNGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Changamoto zinazopatikana sana kwenye mahusiano ya Mswahili na Mzungu.
    Utamaduni ni tofauti na hivyo changamoto zinakua ni nyingi sana.
    Lakini mbali na yote hayo, mazungumzo husaidia sana ku solve changamoto hii.
    www.oda.international
    Upcoming course
    Online Dating Mentorship will be in May
    Register now!

ความคิดเห็น • 60

  • @janeflorencesajjabi1545
    @janeflorencesajjabi1545 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU Akabariki Mrembo, Asante kwa kutufahamisha.Nakufatilia sana❤❤❤

  • @salamaisayas8281
    @salamaisayas8281 6 หลายเดือนก่อน

    Ni shida weupe huwa hawaeleweki kbsaaa HT ufanyeje ni wagumu tokana na maelezo ya toka kuzaliwa !! Japo Mungu anaweza kukujalia aliyezaliwa na wema Tu !

  • @Tncl-lg4kl
    @Tncl-lg4kl 6 หลายเดือนก่อน +2

    I appreciate 🎉

  • @BrilliantBrill
    @BrilliantBrill ปีที่แล้ว +6

    Dada mrembo na ana roho nzuriii sana,and your Brilliant,Mungu akubariki sana.

  • @MoleniElia
    @MoleniElia 6 หลายเดือนก่อน

    Shena Mungu akutagurie kwa kazi yako mimi dà mole Nipo kwa Sasà nimeturia vizuri asante

  • @isaacmusau5380
    @isaacmusau5380 3 หลายเดือนก่อน

    Hapo Kwa time ongezea sauti

  • @emelesianaluambano5900
    @emelesianaluambano5900 ปีที่แล้ว +1

    Unatufundisha sana

  • @eganngowi727
    @eganngowi727 ปีที่แล้ว +2

    Habari, nipenda maada zako

  • @fridammary7469
    @fridammary7469 ปีที่แล้ว +1

    thank you mrembo wetu

  • @magrethpeter6049
    @magrethpeter6049 ปีที่แล้ว +1

    Asante dear Kwa ujumbe

  • @edmundmmuniedmund1623
    @edmundmmuniedmund1623 10 หลายเดือนก่อน

    isee napenda sana hii chanel yako,
    vip maswala ya dini hao jamaa huwa wanaoneje hiyo kitu

  • @ENGAPUNEEMAACHANNEL
    @ENGAPUNEEMAACHANNEL ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana dada yetu

  • @shalibrutsch-vlog
    @shalibrutsch-vlog ปีที่แล้ว +2

    Hapo kwenye Ada. 😅 Asante Shena

  • @signaturewerber9399
    @signaturewerber9399 6 หลายเดือนก่อน

    Dada Sheinnah nawezaje kuwasiliana na wewe in person? Hopefully uta communicate. Thanks🙏🏾

  • @ewetes254
    @ewetes254 ปีที่แล้ว +1

    So cute...

  • @enezael217
    @enezael217 ปีที่แล้ว +1

    Asante dear ❤

  • @natashaplatin5818
    @natashaplatin5818 ปีที่แล้ว +3

    Mrs sheena habari yako.mie naitwa mariham please.mbona nimejitaidi kupambana.... nimeomba usadizi kutoka kwako kuhusu hali ya kudeti.... na naweza kupataje mzungu...nina watoto 2. Bado naona upendi kunispoti nini?mahelezo yako ni mtu wa huruma... rakini nahona unanikwepa.... samahani sana.naomba nifikirie? Kama uko serious__&

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว

      Karibu Natasha, kwanini nikukwepe kipenzi ?

    • @natashaplatin5818
      @natashaplatin5818 ปีที่แล้ว

      Za kwako sheena.habari ya uko mpz wangu 🤝 ni mimi mariham.....ninaeomba unitafutie mzungu wakudeti nae..... ninahuitaji please

  • @VeronicaJulius-e5q
    @VeronicaJulius-e5q หลายเดือนก่อน

    Dada naomba no yako utuelekeze

  • @GgGg-ol4lh
    @GgGg-ol4lh 6 หลายเดือนก่อน

    Vipi

  • @burundishallsmile1day109
    @burundishallsmile1day109 4 หลายเดือนก่อน +1

    😊😊

  • @Joshua-n5l
    @Joshua-n5l ปีที่แล้ว +1

    Shkamo dad etu samahani mm nikijaribu kujiunga lakini inaniambia please choose a username between 3_20 characters using Latin letters minus sign and underscore can also be used

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว

      Maana yake
      Uweke jina lako unalotaka kutumia

    • @Joshua-n5l
      @Joshua-n5l ปีที่แล้ว

      Sawa dada nimejaribu but sijaweza kukutano na yeyote au it's till I pay

    • @Joshua-n5l
      @Joshua-n5l ปีที่แล้ว

      Dahhhh dada me nimekua kama msumbufu inabidi tu nikubali kwamba nimeshindwa

  • @zengeummu9575
    @zengeummu9575 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza kitu kikubwaa Hadi nawaza

  • @Omarionsaidi-fl9gs
    @Omarionsaidi-fl9gs 6 หลายเดือนก่อน +1

    Changamoto kwa kila binadam sio wazungu kwa wot

  • @arushamedia6812
    @arushamedia6812 ปีที่แล้ว +1

    Sister hivi kama hujui kingereza utaweza kupata mchumba wa ughahibun kwel?

  • @emilyanamnyakongo4378
    @emilyanamnyakongo4378 11 หลายเดือนก่อน

    naomba namba yako tafadhali

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 ปีที่แล้ว

    Sasa mnawapendea nini???mi siwezi bhana!

  • @honoremummba944
    @honoremummba944 ปีที่แล้ว

    Mimi niko Norway naomba namba ya huyo Dada yangu

  • @Joshua-n5l
    @Joshua-n5l ปีที่แล้ว +1

    Samahani dada Mimi najaribu kujiunga ila nashindwa

  • @sheisgodorait5721
    @sheisgodorait5721 4 หลายเดือนก่อน

    Nitabu tu

  • @sedjotshomba4867
    @sedjotshomba4867 ปีที่แล้ว +2

    Thank you so much sister I'm originally from DRCONGO, what can I do to date a white woman 🤔🤔

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว

      Hallo Sedjo,
      I am having a private and group training.. you can see all information through my website www.Oda.international

  • @Sophia-b3k
    @Sophia-b3k 11 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Fimale-kz9ji
    @Fimale-kz9ji ปีที่แล้ว +1

    Na Mimi nataka kujiunga nifanyeje

  • @Joshua-n5l
    @Joshua-n5l ปีที่แล้ว +1

    Samahani naomba unielekezee jinsi ya kujiunga

  • @hildajoel5
    @hildajoel5 ปีที่แล้ว +1

    Hadi nimecheka maana kwa mama yangu sometimes watu tunafika hadi 12 😂😂😂na time management sasa woiiiii😅

  • @ewetes254
    @ewetes254 ปีที่แล้ว

    I don't think kama wewe hunyamba...