MY DESTINY EP 25 | love story 💕 || House Boy

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
  • #housegirl #busatitv #bongomovies

ความคิดเห็น • 63

  • @skmovies-m8f
    @skmovies-m8f 3 หลายเดือนก่อน +13

    kama umecheki house girl ,penzi la mtoto wa boss .dunia nipe like tujuane

  • @PhilbertHabonimana-o1z
    @PhilbertHabonimana-o1z 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kwel kabisa hawa walevi wanahalibu movi kabisa wawatowe hawanakazi Ila tunawapenda sana❤❤❤

  • @AmaniChihande
    @AmaniChihande 3 หลายเดือนก่อน +6

    Leo nimekuwa wakwanza naomba like zenu 🎉

  • @AshuraAman-f3k
    @AshuraAman-f3k 3 หลายเดือนก่อน +7

    Hawa walev wamealibu movie wanao kubaliana na hili gonga

  • @DivineIngabire-lj3sr
    @DivineIngabire-lj3sr 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kazi nzuri lakini walevi jama.i mutoe kwenye movie hawana kazi

  • @AminaAlo-fq8vt
    @AminaAlo-fq8vt 3 หลายเดือนก่อน +4

    Leo nmekuwa wa tano nipeni like zangu jaman

  • @MwajabuHaji-kg9yq
    @MwajabuHaji-kg9yq 3 หลายเดือนก่อน +4

    Yan hii move hata huyu lami hakutakiwa ndo awe house boy mana haendani kbs ni bora wangetafuta mkaka mkubwa kdg mana anaonekana yy na sania mkubwa sania kinaonekana kitoto kbs haina mvuto kbs halaf et ndo aliekua anagombanawa

  • @fayojarso3777
    @fayojarso3777 3 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu mama mwenye nyumba ako na laana kubwa sana, huyu mama anatesa zu na kijana ya kazi,hi filamu ni mzuri sana, huyu mama kila siku atesa hawa watoto wawili kila siku, mimi nimechukia hi tamthilia kwa ajili ya huyu mama,hata siwezi weka like yangu,hata siwezi angalia hi tamthilia, kwaheri kabisa,

    • @MwiraqKuncelly-k6j
      @MwiraqKuncelly-k6j 3 หลายเดือนก่อน

      Una fkra za mbal San 😂😂😂

    • @CRChristian-p1z
      @CRChristian-p1z 3 หลายเดือนก่อน

      Saw baadae bas

    • @FatumaBahatihassan
      @FatumaBahatihassan 3 หลายเดือนก่อน

      Sania kuampole basi tunajua kuwakwenu munapesa ilakumbuka kuapesa hazinunui upendowadhath kwahio usjeukamuba baishakijana mwenyema lengoyake hujuikeshoyake itakuwaaje

  • @ZZawadi-s5v
    @ZZawadi-s5v 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sania😢😢😢😂😂😂🎉❤😮😊

  • @UmaziMdzomba
    @UmaziMdzomba 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni sna kwa kazi nzuri

  • @pendochacha1326
    @pendochacha1326 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa walevi jmn 😢😢😢wapewe sekunde 5 tuu sio mda mrefi wanaboa mnoo

  • @NeemaStephano-z3e
    @NeemaStephano-z3e 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ila sania hauna machozi kama zuu, ueunajikamulia vitunguu vingi machon ili upate machoz bhna🤣🤣

  • @Divinefjjhretjhxg-n8k
    @Divinefjjhretjhxg-n8k 3 หลายเดือนก่อน +2

    Leo nimekuwa wa tato like zango

  • @RobertMalay
    @RobertMalay 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wakwanzaa like zang jaman

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nice movie ❤❤❤

  • @VeronicaIbrahim-wv4dg
    @VeronicaIbrahim-wv4dg 3 หลายเดือนก่อน +5

    Jamani naombeni like nimekua wa sita leo🎉🎉😂

  • @KiPidogang
    @KiPidogang 3 หลายเดือนก่อน +2

    My destin

  • @sifamaureen2792
    @sifamaureen2792 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa walevi watoeni Kwa hii my destiny hawaingiliani kabisaaaa😮

  • @JoelSitati-f6k
    @JoelSitati-f6k 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nko Kenya natazama movie zenu ila msichukue mda sana kwenye walevi tunataka matukio Sania na lami

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba mutuwekeye uyo muziki naupenda sana mu uposti wenyewe

  • @ramrathjuma1631
    @ramrathjuma1631 3 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani huyu mama ana roho mbaya huyu mh

  • @JesloveOfficial-t6l
    @JesloveOfficial-t6l 3 หลายเดือนก่อน +2

    Leo nimekuwa wa 18 naombeni like 😅😅😢❤

  • @LicienneNondo-w1c
    @LicienneNondo-w1c 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nawapenda sana

  • @EdgarKajana
    @EdgarKajana 2 หลายเดือนก่อน

    kaz nzuri ila walevi wapew dakika chache za kuzungumza wanaboa

  • @DomitilaEmily
    @DomitilaEmily 2 หลายเดือนก่อน

    Hawa walevi wameharibu movie

  • @Bintabubakar-id2so
    @Bintabubakar-id2so 3 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda mnoo ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @TumainiMbati
    @TumainiMbati 3 หลายเดือนก่อน

    Hii move inazidi kuwa mbaya Haina mvuto kabisa

  • @ErastoMsemwa
    @ErastoMsemwa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Pole zuu yatakwisha

  • @HabibuHaruna-p1t
    @HabibuHaruna-p1t 3 หลายเดือนก่อน +1

    Am here from UK

  • @janekanini
    @janekanini 3 หลายเดือนก่อน +1

    Awa walevi wana faida ganj Kwa kipindi

  • @officialmamutz26
    @officialmamutz26 3 หลายเดือนก่อน +1

    Chakununa sania

  • @SmilingDriftwood-up8lb
    @SmilingDriftwood-up8lb 3 หลายเดือนก่อน

    Kipande kizima walaev ndo mnawapa mda sana hatuwataki hata hawaleti maana waondoeni kabisa

  • @ChimammyMummy
    @ChimammyMummy 3 หลายเดือนก่อน +1

    Next

  • @NeemaEli-wl1dz
    @NeemaEli-wl1dz 3 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda naombeni laki

  • @elizabethmwanuke7454
    @elizabethmwanuke7454 3 หลายเดือนก่อน

    Jamn hii tamthilia isha anza kuchosha kipande kimoja cha maongezi na wanywa pombe mnaonesha mpaka movie inaisha aah jamn badilisheni mfumo basi tutaacha kufwatilia khaaa mnaboa sasa tunatumia bando na sio mafuta apa.

  • @YusraNeema
    @YusraNeema 3 หลายเดือนก่อน +3

    ❤🎉

  • @FarhhFarhh
    @FarhhFarhh 3 หลายเดือนก่อน

    Nawabaemnoo❤❤❤❤❤

  • @EzekiaMsemwa-sk7ow
    @EzekiaMsemwa-sk7ow 3 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo walio tekwa hawawezi kurudi mjini😅

  • @FatumaBahatihassan
    @FatumaBahatihassan 3 หลายเดือนก่อน

    Sania wewe kila Movie yeye nimwenye kusumbu lianama penzi ninisasa gundu amaa
    Unasema kwenu munahela sasa kitugani kinasa babisha musiolewe namatajili wenzenu munakalia kusumbua wafanya kaziwandani

  • @ZainabuKakozi
    @ZainabuKakozi 3 หลายเดือนก่อน

    Nimewahi leo😂😂

  • @Furaha-d4g
    @Furaha-d4g 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mnaboesha watu na hili lifilamu lenu na hii Milevi yenu kama hamta punguza hizi mizahazenu mashabiki zenyu walilalamika mpaka wameeka mikono,,,kama hata hizi mtakosa mashabiki na mtaanza kulalamika,, na mtakuja kuikumbuka hii comment

    • @elizabethmwanuke7454
      @elizabethmwanuke7454 3 หลายเดือนก่อน

      Kabisa wanaboa sana mi ikifika sehem ya walevi na wanaongea sana napeleka mbele si paangalii kitakachofwata sasa ni kuacha kuifwatilia inakera

  • @fayojarso3777
    @fayojarso3777 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi kutoka kenya

  • @ShakillahOdinga
    @ShakillahOdinga 3 หลายเดือนก่อน

    Mnamalizia mda kwa hawa walevi jamani

  • @CRChristian-p1z
    @CRChristian-p1z 3 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Magi-vz4vz
    @Magi-vz4vz 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Nasmah-w6g
    @Nasmah-w6g 2 หลายเดือนก่อน

    Mmh

  • @nyamvulafatuma5383
    @nyamvulafatuma5383 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @StephanoCharles-d3v
    @StephanoCharles-d3v 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤🎉🎉

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @johactor
    @johactor 3 หลายเดือนก่อน +1

    TUNAOTAKA MLEVI ATOKE TUGONGE LIKE APA

  • @shaabanmakame9162
    @shaabanmakame9162 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤🎉🎉

  • @عائشةال-ل6ص
    @عائشةال-ل6ص 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤

  • @MasokaAsange
    @MasokaAsange 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @MichaelLutonja-i3g
    @MichaelLutonja-i3g 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @YafitaHasna
    @YafitaHasna 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @VéroniqueNSANGO
    @VéroniqueNSANGO หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤