Ebenezer Worship Session | Back to Eden season 9 (Swahili version of Ebenezer Spirit of Praise)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.ย. 2024
  • Ebenezer Worship session by Gideon David
    1SAM 7:12
    "Ndipo samuel akatwaa jiwe na kulisimamisha kati ya mispa na sheni akaliita jina lake "EBENEZERI" akisema hata sasa Bwana ametusaidia"
    Wakati mwingi ambapo tumekua tumedhoofika na kukataa tamaa , mwisho tunakuja kugundua kuwa Bwana Mungu wa majeshi ametusaidia sisi kushinda, katika maisha yetu ya Elimu, huduma na hata familia zetu.
    MUNGU ndiye msaada mkubwa sanaa hata sasa na hii ndio sababu ya kuimba kwamba yeye ni EBENEZER, tukifurahi sawa sawa na (WAFILIPI 4:4) maana ametutoaa mbali sanaa
    Wimbo huu tuliuimba katika Back to Eden Season 9, kudhihirisha kuwa MUNGU ndiye ametusaidia na kutuwesha kufurahi (REJOICE) maana pasipo yeye hatuwezi neno lolote (YOHANA 15:5b).
    Mbarikiwe
    Produced by MUFES IT COMMITTEE
    Sponsored By Grails Studio and Luminous Production

ความคิดเห็น • 5