Nilikuwa nasoma injili ya leo kutoka 1corithians 9 then I decided to read the whole book. After finishing chapter one nikaona link ya huu wimbo ndio nikaamua kuusikiliza. Imekuwa nikama wananiimbia hio chapter tena ....Ndio nikajua Mungu anaongea......
wimbo mzuri sana ukiusikiliza vizuri unapata chochote kile hasa katika ulimwengu wa sasa ulojaa matabaka...pongezi kwako mtunzi unafikiri mbali sana ungekuwa mgreek ningekuita Plato🙌
Bonge la mziki!! Siachi kuusikiza. Kazi nzuri hii. Napenda Rhythm ya wimbo huu. Mapigo yamejidhihirisha visawa sawa. Ujumbe nao ni mzito kwetu. Yaani muziki umeandaliwa. Hongereni sana wanaKMK. Mungu azidi kuwasaidia mnapoendeleza uinjilishaji kwa uimbaji wenu mzuri. Nimependezwa na shairi la tatu, hakika ni jambo la kutafakari kila tunapokusanyika katika madhabahu ya Mungu.
Asante mwalimu wangu Kwa hiyo observation. Nahisi kwamba wimbo huu umetolewa Kwa wakati mwafaka zaidi. Kipindi ambacho watu wanaacha majukumu na kazi za kumtumikia mwenyezi Mungu, sio Kwa sababu kuu, bali minong'ono, kujipiga kifua na mengineo. Swali ni je, tunapogawanyika kwa mambo yatutengayo na Kristo, tumebatizwa Kwa jina la mambo hayo? Watu na mambo hayo, vilisulubiwa kwa ajili yetu? Yaani tumuishie Kristo tu, tutende kazi zake bila kujali maneno ya watu
Thank you for leading us with beautiful hymns and worshipping of the Lord. Swahili is not my first language but I enjoy everything. I pray you come one day and animate during martyrs' day celebrations. Please start the process of making this happen. I see mama nyerere paying prigrimage to Namugongo every 3rd of June. We must have you one day and this is possible with you showing some interest. Gabriel from Uganda.
MT Kizito Makuburi I really love your songs even those of 8yrs back. You guys are really amazing. Watching 👀 from Kenya 🇰🇪 ❤❤
Mungu Awabariki kwa utume wenu wa uimbaji mnatugusa Sana ktk tafakari zenu.Amina
Wapi likes za KMK very nice song
Nilikuwa nasoma injili ya leo kutoka 1corithians 9 then I decided to read the whole book. After finishing chapter one nikaona link ya huu wimbo ndio nikaamua kuusikiliza. Imekuwa nikama wananiimbia hio chapter tena ....Ndio nikajua Mungu anaongea......
hatar sana
Mungu awabarki zaidi na zaidi mzid kueneza injili ya Kristo Ulimwenguni kotee!!!Nawapenda sana♥️♥️♥️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇪🇦🇪🇦🇪🇦
No1 Leo pongezeni
Mwalimu Mukasa and this choir you never fail. Hongera sana Mungu awabariki sana
Kmk ndio jiko la kupika mziki wa kikatoliki mwenye anakataa ainue mkono na ajue atakua.....
Wimbo mzuri sana honereni, ninaombi km mnaweza kutupa makala fupifupi ya kila mwimbaji wa kmk tuwafahamu hata kidogo
Tumekukumbuka Sana watu wa Buhongwa Baba... Tunakutakia utumee mwema .... Wimbo mzuri sanaa
The message in the song owe some, vocals joyous, video on point, pianist 👍, costume ❤ God bless family and members of this choir
Nice composition.. congratulations Bwana mukasa and KMK fraternity
Mngekuwa mnaweka na reference ya Biblia mlipoyatoa haya maneno ingekuwa inapendeza sana maana wengi hawajui ni waraka gani. Hongereni sana sana.
1 Wakorintho 1:13
Hongereni Sana kwaya ya mt. Kizito kwa uinjilishaji kupitia njia ya uimbaji, mungu aendelee kuwaongoza vema katika uimbaji wenu na kumtumikia
This one is a masterpiece. I like
Mmmm, ni mara nyingine tena. Pongezi KMK Makuburi kwa uinjilishaji huu
The song is really amazing it makes my heart feel like a majesty ❤ Much love from Kenya
You people you are so awasome
Mnaburudisha na mnafundishaa keep it up
Huu wimbo mmetisha hongereni Kwa ujumbe wa kutuweka wakristo katika jumuiya Moja ya BWANA mmoja yaani KRISTO🙏🙏🙏
wimbo mzuri sana ukiusikiliza vizuri unapata chochote kile hasa katika ulimwengu wa sasa ulojaa matabaka...pongezi kwako mtunzi unafikiri mbali sana ungekuwa mgreek ningekuita Plato🙌
KMK Hongereni sana. NICE SONG
Bonge la mziki!! Siachi kuusikiza. Kazi nzuri hii. Napenda Rhythm ya wimbo huu. Mapigo yamejidhihirisha visawa sawa. Ujumbe nao ni mzito kwetu. Yaani muziki umeandaliwa. Hongereni sana wanaKMK. Mungu azidi kuwasaidia mnapoendeleza uinjilishaji kwa uimbaji wenu mzuri. Nimependezwa na shairi la tatu, hakika ni jambo la kutafakari kila tunapokusanyika katika madhabahu ya Mungu.
Asante mwalimu wangu Kwa hiyo observation. Nahisi kwamba wimbo huu umetolewa Kwa wakati mwafaka zaidi. Kipindi ambacho watu wanaacha majukumu na kazi za kumtumikia mwenyezi Mungu, sio Kwa sababu kuu, bali minong'ono, kujipiga kifua na mengineo. Swali ni je, tunapogawanyika kwa mambo yatutengayo na Kristo, tumebatizwa Kwa jina la mambo hayo? Watu na mambo hayo, vilisulubiwa kwa ajili yetu? Yaani tumuishie Kristo tu, tutende kazi zake bila kujali maneno ya watu
wimbo nzuri sana hongera sana wana kwaya
Thank you for leading us with beautiful hymns and worshipping of the Lord. Swahili is not my first language but I enjoy everything.
I pray you come one day and animate during martyrs' day celebrations. Please start the process of making this happen. I see mama nyerere paying prigrimage to Namugongo every 3rd of June. We must have you one day and this is possible with you showing some interest.
Gabriel from Uganda.
Kwaya Ya kimataifa, Kwaya ya Kuigwa na Kwaya zingine zote hapa Tanzania 💪 Hongereni Kwa Kazi nzuri
Mfalme wa Amani atujalie Amani hiyo Sisi wakongomani
Hongereni sana Wanakizi nawapata Vizuri Nikiwa hapa Sumbawanga. Hakika Kristo hawezi kugawanyika
Nilijua tu mkija lazima mje na kitu kizito kama jina la kwaya lenyewe. Hongereni sana!
What a powerful message!......"maji ya ubatizo sio maji ya ukabila", so much applicable for us here in Kenya. Asanteni sana kwa huu ujumbe wenu
Nyinyi ni wa Baraka kwa kweli,,na mzidi kutubariki kwa nyimbo nzuri....
Hakika wimbo umebeba ujumbe wenye baraka nyingi za kumjua kristu hongereni kmk makuburi
❤❤❤ hongereni sana mungu azidi kutukunzwa milele na milele
Something about this song reminds me about songs I used to listen to on KBC in the 90s and early 2000
Ever top. My favorite choir congratulations. Love you from Kenya
Wimborne mzuri, hongera wanakwaya wa KMK
Congratulations kmk, tunawafwata kutoka DRC
Hongereni sna kwa kazi nzuri sna bioa kumsahau Vinny kwenye ubora wake kinanda
Hakika mmetupiga na kitu KIZITO Kama jina lenu ❤❤❤
The quality at its best🌷
🎉🎉🎉🎉
Wimbo mzuri sana kwa ajili ya umoja wa wakristo
Nyimbo nzuri💯💯
Hongera sana🎉 naona sura nyingi mpya
Big up wana kizito,
Barikiwa sana 🙏💪
Hakika Kristo ni yule yule Jana Leo na hata milele, na wema wake wadhihirika Kwa kila kiumbe. Hongereni sana Wana MKM
Siku zote kmk motoo
❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hongereni sana❤
Safi kabisaa 🥰
Kali sanaaa +254 twawapeda sana kwa utume wenuuuu
Great song
Kwa kweli mnatukosha sana.... hongereni sana kwaya ya Mtakatifu kizito Makuburi 🔥🔥🔥 Salamu nyingi kwa Juliana sendwa
Hongereni sana waimbaji, I like the song, kazi Mungu isonge mbele, kristu ni mmoja kwa ajili yetu sote,
Mmetisha kweli kweli
Anayejua anajua tu hongereni watu wa nyumbani
Nampongeza sana kwa mtunzi kwa utunzi wa hali ya juu na pia waimbaji kwa kuonyesha umahiri wenu kama kawaida, Mungu azidi kuwabariki
Mtunzi nadhani ni mtoto wa Benard Mukasa.
Mwenyezi Mungu Aendelee kuwabariki na sauti tamu. I really enjoy everything in the song ❤
❤❤❤ Amazing
Muziki mzuri wenye sauti tamu
Mungu awabariki sana ❤🎉👏🙏🏿
Beautiful amazing sounds. One day invite me to sing with you. I love this choir
Hongereni sana kwa kazi hii safi. Eric Mwaniki utunzi wa hali ya juu
Huu wimbo naupenda mpaka naupenda tena jamani
Lots of Congratulations for the good work.....Hakika Kazi ni nzuri✊✊✊✊
❤❤❤❤❤❤
Hongereni Kwa uinjilisti ,,, a powerful message na sauti tamu sana.
Hongera mtunzi pia ,,,,,
The soul I own, ❤ kmk
Some amkeni fukeni vibe kwa umbali! Soo nice
Kweli waulize amegawanyika mara ngapi jamani ubatizo mara mbili inatisha kweli
Big up makumburi choir, from Kenya be blessed
Lots and lots of Congratulations to you guys👌Wimbo mmeutendea haki 💯💯
Hongera sana KMK,Holy Trinity Studios na Divine Studios kwa kazi nzuri 🔥🔥🔥
Hongereni kwa utume mwema. Mbarikiwe sana KMK Makuburi
You are destined for greatness Erick. Continue soaring higher 🎉🎉
Wa kwaza kucomment from Kenya
Nawapendwa Sana Kwa nyumba zenyu mzidi kubarikiwa Sana💪
Jamani kmk ni moto kuliko pasi
This is the most interesting song. I really like it
Nice song. It gives me the Mhubiri Silvanus Ouko vibes❤
Nice song Mungu na awabariki sn muendelee kutuinjilisha
Hakika nyinyi mmetumwa kuuinjilisha ulimwengu ❤❤❤
Mungu azidi kuwabaki ktk uimbaji mwema🎉🎉🎉
Such an amazing song.. forever catholic ❤
❤❤❤
Nyie watu mnajua aiseeee
🥰🥰🥰🥰
Mko well organized #kizito# mnajua bhna❤❤❤❤❤
Mungu awabariki kazi nzuri sana
Mmetisha sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 👏👏👏👏
Kazi nzuri chama langu
Good song
Thank you so much. God bless you wanakizito.
KMK always you do the best,🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Kazi safi hii..... Mungu azidi kuwainua
Wimbo mzuri
Kazi nzuri mungu awabariki
Hongereni sana wimbo🔥🔥🔥
KMK, barikiweni sana jaman
Wimbo mzuri sana huu ❤
Hongereni
Kaz nzuri
Congratulations for a nice piece.
Hamna baya makuburi kwaya