Sugu feat Mr Paul & Afande Sele Ahsante Mungu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 24

  • @RamadhaniMwanakijiji
    @RamadhaniMwanakijiji 9 หลายเดือนก่อน +2

    2024 sugu na kijana wake Afande

  • @cathbertpk1987
    @cathbertpk1987 4 ปีที่แล้ว +9

    Sometimes najiuliza ni kitu gani Sugu hakuimba kuhusu maisha na naishia kujijibu mwenyewe kuwa HAKUNA. True Legend to the game.

  • @JumaBileku
    @JumaBileku 11 วันที่ผ่านมา

    Watu wangu wa kitambo tujuane

  • @theinsider6462
    @theinsider6462 ปีที่แล้ว +3

    Niko zangu Mamtoni, USA ngoma hii hunirudisha nyuma Miaka zaidi ya 20 nikikumbuka maisha niliyokulia Miaka ya 90 na 2000, umaskini ulio kithiri. Nikijiangalia nilipo sasa hivi Sina la kusema zaidi ya ASANTE MUNGU 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @francis-chukwuchiduo8337
    @francis-chukwuchiduo8337 3 หลายเดือนก่อน

    Best vocals by Mr Paul

  • @mosesbushiri442
    @mosesbushiri442 หลายเดือนก่อน

    Bongo hip hop zile enzi zetu bado tupo wa dogo

  • @honmaka6200
    @honmaka6200 2 ปีที่แล้ว +2

    hii ni Gospel kabisa bro ulishaonesha umekuzwa kiimani sana proud of mby President

  • @Mtukula
    @Mtukula 4 ปีที่แล้ว +6

    Huyu jamaa sometimes naona yupo underrated. He deserves more

  • @georgeburchard4872
    @georgeburchard4872 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwa Sasa Uhuru wa kutoa mawazo yako bila kukamatwa ndani ya nchi yako hayapo! Maisha yamebadilika Sana na umepitia tabu nyingi na misuko suko mingi mno Muheshimiwa! Hakika unastahili kutambulika Kama baba wa muziki huu wa kizazi kipya! Hakuna ambacho hujawahi kuimba! Ubarikiwe!

  • @danlexkalinga1553
    @danlexkalinga1553 3 ปีที่แล้ว +4

    Wanaofanya sasa hivi ni marudio tu sugu Kama nyereree

  • @izackriwa7621
    @izackriwa7621 หลายเดือนก่อน

    2proud aka Mr 2 aka sugu aka jongwe majina yote yake😅😅

  • @douglasndeki8346
    @douglasndeki8346 ปีที่แล้ว

    April 2023

  • @salvatoreignazio1701
    @salvatoreignazio1701 4 ปีที่แล้ว +2

    Maridadi kamanda sugu napenda msg zako zanipa hasira kutafuta life...nasikiza mziki kenya

  • @Deepac1000
    @Deepac1000 4 ปีที่แล้ว +7

    Huu ndio wimbo wa Mheshimiwa sugu nilijifunzia Ku rap nikiwa shuleni, nakumbuka Deputy headteacher akisema ninavuta Bhangi. Upload ule unaitwa Haki.

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 4 ปีที่แล้ว +1

      Deepac Braxx Heavyweight Mc mwaka gani

  • @ropedwai7499
    @ropedwai7499 2 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante Mungu 2022

  • @ramadhanally3964
    @ramadhanally3964 4 ปีที่แล้ว +2

    Dah izo siku izo

  • @emeldakazumba2487
    @emeldakazumba2487 3 ปีที่แล้ว +1

    Jongwee

  • @gratia-romeoasingya3009
    @gratia-romeoasingya3009 2 ปีที่แล้ว +1

    Nice !

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 2 ปีที่แล้ว

    Miziki ya zamani zilikuwa na full msg ...positive vibe

  • @ericmaheshe340
    @ericmaheshe340 3 ปีที่แล้ว

    Sugu 💪🏾💪🏾💪🏾I grew up with this song 🎧.when music was music 🎶

  • @hashimmtailand7658
    @hashimmtailand7658 4 ปีที่แล้ว +1

    Good

  • @ramdhanichasigwe4473
    @ramdhanichasigwe4473 3 ปีที่แล้ว

    asante mungu