Our parents walikuwa very bitter 😢😢sijui kama ni juu walikuwa wanafail na life 😑 kama ujawahi kulelewa na toxic mother hakuna kitu unajua ,pole lakini sweetheart 😘
Some women should opt out on being mothers! This is tragic. You are a very bright and intelligent woman despite what you went through. Unaongea lugha vizuri na Mungu atakulipizia muda na maisha uliyopoteza.
That mother was /is just tooo bitter and gives her bitterness to the innocent kids 😢 specially firstborn girls and their moms 😢, sana sana single moms, they are so bitter, then too proud to even try to solve any issue 😢.. they don't even listen ... 😢😢😢
Nipo tu mwanzo kwa kipindi, nimefika pale jicho lilianguka chini. Na ukashtuka sana. Mimi pia nilipokua mdogo, sikujua kuna meno ya kubandika. Halafu, siku moja, mzee tuliekua tukijua, akatoa meno yake kuelekea nnje na ulimi. Wah!!! Nilishtuka SANA !!!!!. Na nikaogopa hata kupiga nduru. Na, sikuambia mtu, vile mimi nilithani huyo mzee, alikua Kitu Mbaya Sana, ambayo, hata sasa naogopa kuitaja. Waaa, watoto, b4 wajue mambo mengi, Hupitia. Pole sis, nakuelewa. I went through same experience. Na si nzuri.
35:30. Mama Msomali. Mimi Mombasa nilisaidia na mama msomali pia. Mkora mwengine akijaribu kuninyang'anya handbag by force. He was a relative wa mbali hivi, by marriage. It was Majengo area. I was in a matatu and the young man alikua ame grab my bag one side. Nami nang'ang'ana na the other end. Kwa hiyo bar, ilikua na sehemu, watu wanakaa nnje. - It was daytime, afternoon.// No one else helped me, isipokua huyo mama Msomali. Tafathali, wamama wa Ki-Somali, nashika moyo in Great Respect, nikiwashukuru SANA. Na huyo mama, akanipeleka, hadi kwa my cousin. Hapo, nikaingia same handbag, nikampa may Ksh.100 or maybe 200. Alipoenda, imagine, my cousin, alikasirika Sana ati nimempa pesa nyingi. But later nikajiondokea, nikaenda to my nephew. My cousin followed me later, nanilipo kua sioni, akaniibia nguo nzuri ya ya Coast (dera). Anyway, after going back majuu, both my cousin n the young man, both wakaaga. Jesu!. The boy or young man, was shot by Police later, sijui akijaribu kuiba or kuibia mtu, kwa bank. Na cousin akaaga na diabetes. Haki niliona, hio ilikua karma. // Niongeze kidogo, mkienda ma-home, jichungeni sana, hata na relatives. Infact, within the mix, there was an aunt, aliejaribu kunipokonya the rest of my money; kama wamefunga mlango, na kuficha fukuo. Tukang'ang'ana - Niki shout, Terrorists, terrorists... That's when they opened the door kwa uoga, cz that time, niwakati ule, huko kulikua na hizo shida. //Please, mkienda visit home, CHUNGENI SANA. Stay in a Very good hotel, the likes of Hilton. Heri u spend ur money on your safety, badala ya ati kwenda kugawia the so called relatives. The love of money, ndio ilifanya sijui Juda or Judas, kuuza Yesu. Please, chungeni maisha. Good luck.
For some people, siati wanapenda pombe Sana as u said. Wengine ni vile, wako na genes, ambayo hukua sana, wakitumia pombe, kuliko watu wengine, ambao, hawana gene hiyo. Au, hio gene, si strong sana. That's way umesema pia, ati watu wao wanapenda mapombe or pombe. Ukiona or kuthani kwenu kuna hio gene, kaa mbali na pombe. Na wakikuyu wanasema : 'Pombe haijengi'. Kuna watu, hata kanisani zile zinapea watu divai, hawanywi. Au Priest wao anawanywesha divai.
@ mtoto yule mlemavu; nani ashawahi sikia ati kua, saa ingine, mtoto mlemavu uarabuni, or mtoto wa kwanza mlemavu, that nikua ametolewa kafara? There are similar stories, kuhusu, mnyama wa nyumba - pet, km hivi paka or kuku or etc, huwa ni kafara imetolewa kupitia yeye? Anaejua, na atueleze please. Ni mambo ya kusikitisha if true. Huu or hii aina za kishirikina, ni tofauti tofauti, from place to place.
Haki mtoto ati alijing'oa macho? Pole. Experience Kali Sana. I wish mamayake alikua amekuambia mapema tu, ulipofika. I had a similar experience nijiwa mdogo. My experience ilikua mtu alieng'oa meno. Alikua ameanguka na pikipiki yake. Ni kweli, kitu km hiki kikitokea, bila wewe kufikiria or kujua, ni jambo la kuogopesha sana. Na labda, sijui, labda kwa mzazi, pia ningumu kuelezea mtu. But, heri kusema na mapema.
At beginning @9;40, Thank you baba kagiri kwa kusaidia hawa watoto, nyoka ilipoingia kwa nyumba ya hawa watoto. //As I move on watching, maybe their are others to thank. Asanteni nyoteni. Remember kuna watu u take advantage na kuthulumu watoto. So thank you. Thank you.
Ni mrembo,mama wa kubebana na kuishi kwenye wasichana wameolewa huyo ata ataeza lala na bwanako,alitoka akawaacha na anabebana anakuja kuishi kwako,pole waaa
Gosh this is sad,mother from hell,aki i thank God my son is a big boy now,ako form 3 na vile tumeangaika na yeye pia,naeza sugua hamam kwa amani aki Allahamdullilah 🤲🙏
Our parents walikuwa very bitter 😢😢sijui kama ni juu walikuwa wanafail na life 😑 kama ujawahi kulelewa na toxic mother hakuna kitu unajua ,pole lakini sweetheart 😘
Pole sana sister alfu ni vizuri uliamini mungu ata mambo yakiwa magumu
She is beautiful with brain and kind heart ❤
What a beautiful lady both physically and heart. May God come through for her
Sure she is very beautiful
Vitu zenye watu upitia huku nje kweli ni magumi. Tushukuru Mungu walai
Waaahhh 😢😢😢😢😢na vile nika supuu waiting for part 2 hio story inflow kaa movie 😢😢😢
This is so sad. 😢😢😢May God protect our children
Amen 🙏🙏🙏🙏
Woiye Mungu atulindie watoto wetu juu this's so sad aki
Some women should opt out on being mothers! This is tragic. You are a very bright and intelligent woman despite what you went through. Unaongea lugha vizuri na Mungu atakulipizia muda na maisha uliyopoteza.
😂😂😂😂Kwa macho ni nomaaaa
That mother was /is just tooo bitter and gives her bitterness to the innocent kids 😢 specially firstborn girls and their moms 😢, sana sana single moms, they are so bitter, then too proud to even try to solve any issue 😢.. they don't even listen ... 😢😢😢
Hiyo part two itafika lini
Waaa mama umepitia huyo mama yako alikua evil, but don't give up
Ngaaaaiiiii na vile mrembo,, waaaah na ati hakuwahi Ingia shule
Toxic mother Is so traumatizing..hugs mum
Nipo tu mwanzo kwa kipindi, nimefika pale jicho lilianguka chini. Na ukashtuka sana. Mimi pia nilipokua mdogo, sikujua kuna meno ya kubandika. Halafu, siku moja, mzee tuliekua tukijua, akatoa meno yake kuelekea nnje na ulimi. Wah!!! Nilishtuka SANA
!!!!!. Na nikaogopa hata kupiga nduru.
Na, sikuambia mtu, vile mimi nilithani huyo mzee, alikua Kitu Mbaya Sana, ambayo, hata sasa naogopa kuitaja.
Waaa, watoto, b4 wajue mambo mengi, Hupitia. Pole sis, nakuelewa. I went through same experience. Na si nzuri.
Mamako ni kama twin sister wa mamangu, nakumbuka nalia tu
Hugs dear we are dying inside keep pushing God is our protector
Hugs mummy
Hug's mum usijali Mungu ako
Pole Evelyn.
Hae Chris am your biggest fan plz connect me with a guy whom the mother left akamwachia mtoto kindly.
Kahawa ngani plz
Part 2 bana been waiting ..,
Beautiful girl
Binadamu tunapitia mitihani mingi sana, pole sana dada
Wah.. waiting for part2
35:30. Mama Msomali. Mimi Mombasa nilisaidia na mama msomali pia. Mkora mwengine akijaribu kuninyang'anya handbag by force. He was a relative wa mbali hivi, by marriage. It was Majengo area. I was in a matatu and the young man alikua ame grab my bag one side. Nami nang'ang'ana na the other end. Kwa hiyo bar, ilikua na sehemu, watu wanakaa nnje. - It was daytime, afternoon.// No one else helped me, isipokua huyo mama Msomali.
Tafathali, wamama wa Ki-Somali, nashika moyo in Great Respect, nikiwashukuru SANA.
Na huyo mama, akanipeleka, hadi kwa my cousin.
Hapo, nikaingia same handbag, nikampa may Ksh.100 or maybe 200.
Alipoenda, imagine, my cousin, alikasirika Sana ati nimempa pesa nyingi.
But later nikajiondokea, nikaenda to my nephew.
My cousin followed me later, nanilipo kua sioni, akaniibia nguo nzuri ya ya Coast (dera).
Anyway, after going back majuu, both my cousin n the young man, both wakaaga. Jesu!.
The boy or young man, was shot by Police later, sijui akijaribu kuiba or kuibia mtu, kwa bank. Na cousin akaaga na diabetes.
Haki niliona, hio ilikua karma.
// Niongeze kidogo, mkienda ma-home, jichungeni sana, hata na relatives. Infact, within the mix, there was an aunt, aliejaribu kunipokonya the rest of my money; kama wamefunga mlango, na kuficha fukuo.
Tukang'ang'ana - Niki shout, Terrorists, terrorists... That's when they opened the door kwa uoga, cz that time, niwakati ule, huko kulikua na hizo shida. //Please, mkienda visit home, CHUNGENI SANA. Stay in a Very good hotel, the likes of Hilton. Heri u spend ur money on your safety, badala ya ati kwenda kugawia the so called relatives.
The love of money, ndio ilifanya sijui Juda or Judas, kuuza Yesu. Please, chungeni maisha. Good luck.
Siwezi tuma doo kama siongei na watoi wangu ....laxima nisikie sauti ya mtoi wangu bla hapo nooo
Kahawa ya sukari au bila sukari au maziwa, ndio inasaidia?
Kahawa bila sukari wala maziwa...au chai ya black ijae majani...
Pole sana gal keep on praying it's shall be well
38:14. Sikujua gambrin ni nini. Kumbe ni gambling. But sisi na kabila zingine toufauti, hua tuna matamshi mengine, ni mazito.
For some people, siati wanapenda pombe Sana as u said. Wengine ni vile, wako na genes, ambayo hukua sana, wakitumia pombe, kuliko watu wengine, ambao, hawana gene hiyo. Au, hio gene, si strong sana.
That's way umesema pia, ati watu wao wanapenda mapombe or pombe.
Ukiona or kuthani kwenu kuna hio gene, kaa mbali na pombe.
Na wakikuyu wanasema : 'Pombe haijengi'. Kuna watu, hata kanisani zile zinapea watu divai, hawanywi. Au Priest wao anawanywesha divai.
@ mtoto yule mlemavu; nani ashawahi sikia ati kua, saa ingine, mtoto mlemavu uarabuni, or mtoto wa kwanza mlemavu, that nikua ametolewa kafara? There are similar stories, kuhusu, mnyama wa nyumba - pet, km hivi paka or kuku or etc, huwa ni kafara imetolewa kupitia yeye?
Anaejua, na atueleze please. Ni mambo ya kusikitisha if true. Huu or hii aina za kishirikina, ni tofauti tofauti, from place to place.
Haki mtoto ati alijing'oa macho? Pole. Experience Kali Sana. I wish mamayake alikua amekuambia mapema tu, ulipofika.
I had a similar experience nijiwa mdogo. My experience ilikua mtu alieng'oa meno. Alikua ameanguka na pikipiki yake.
Ni kweli, kitu km hiki kikitokea, bila wewe kufikiria or kujua, ni jambo la kuogopesha sana.
Na labda, sijui, labda kwa mzazi, pia ningumu kuelezea mtu.
But, heri kusema na mapema.
Part two iko wapi?
Painful story forgive your mum God bless you
At beginning @9;40, Thank you baba kagiri kwa kusaidia hawa watoto, nyoka ilipoingia kwa nyumba ya hawa watoto. //As I move on watching, maybe their are others to thank. Asanteni nyoteni.
Remember kuna watu u take advantage na kuthulumu watoto. So thank you. Thank you.
Ni mrembo,mama wa kubebana na kuishi kwenye wasichana wameolewa huyo ata ataeza lala na bwanako,alitoka akawaacha na anabebana anakuja kuishi kwako,pole waaa
Ooh God kwanini wazazi wengine wako hivo?
I will be waiting part 2
Waaa maishani ni ngumu
Hakii mwangi depending hii video una wash saa ngapi,, wakikuyu tulikozea wapi
Hizo apartments ni ngapi andika bei tutacall kama bei ni poa
Exactly. The name too
😭😭😭😭😭😭
Waiting for part2
Gosh this is sad,mother from hell,aki i thank God my son is a big boy now,ako form 3 na vile tumeangaika na yeye pia,naeza sugua hamam kwa amani aki Allahamdullilah 🤲🙏
Mungu aendelee kukufanyia mema. Na tuombee watesekao.
@@VeronicaDunbarAmen
Wicked mother
You are so beautiful 💕🙏.
Part 2 plz
Nangoja san part 2
What a wicked mother 😞😞... so evil 😢😢..i hope she repented before she died... otherwise straight to hell.... destroyed innocent lives 😞😞😞
It is wel sisto
I think your mom is my mother's twin
Now they are triplets with my mother
Guys tupitiane please
Dada mzuri huyu