Mwangi_Kriss, mama anakuelezea yote mgumu aliyopitia, na wewe unakazana, 'oh ulimpenda'. Meaning bwanake. Unakua insensitive na km kupuuza yote anayokuambia. How jamani? Maybe ni vile unaonekana mtu maakini. So, ukifanya kinyume (but in a 'soft manner' kind of way, na vile deminor yako huonekana u muungwana. ... Inasikitisha. Infact, sijui nieleze vipi. But unaonekana huna plight or kusikia plight ya our people uarabuni rohoni. Sijui, labda ni mimi that I feel that way. Sijui km hawa wanawake na wasichana wetu, mmoja wao wa karibu Sana na wewe, yangempata, labda ungee feel, kidogo tu, how their shoes 'pinches' on your foot. Or hizi story zina ku bore mpaka unakua insensitive... au nini. But, okay😢
Hi mwangi Chris nikikam Kenya aki nitacome niletee watu hambali ya huku Saudi wee qalf sio lahisi hivo anasema ninapitia saa hii bt Mimi najikaza na naomba sana I have a big story ya huku aki wee nasiogopi cz najua chenye ilinilete so Sina pressure na Yale napitia Bora hawanitesi na hawajanirape na pesa nalipwa poa na wananitumia wao usisahau nko kemboi
Mwangi kris. On this channel you have 44.3 k followers. Would you consider doing a " go fund for this lady" kshs 100 only this amounts to 440,300. If you could raise even half of this give it to her for a good start. Thats all. Kamuingi koyaga ndiri. We can do it.
Jaribu Gulf mara tena mama pia sisi tunang"ang'ana tu na mashinda huku angalao tusomeshe watoto na mengine mengi. Give it another try you never know what tomorrow holds.. Ama vipi team strong?.
Haki gulf sio ya watu wote kuna watu huwa hawana favour kuna my friend alipitia labanon two years then akakuja huku Qatar tena alipata madama mbaya ata anashindwa kwani alifanya Mungu nini apitie mateso hi yote 😢
Pole sana dada, wewe ni hard working but uliangukia mkono mwa watu wabaya. Kwanza huyo mwanaume Mungu amsamehe tu, kama gulf imekushinda tafuta kazi ya nyumba hapa Kenya pata pesa yako kidogo na itakusaidia kuliko pesa mingi na hakuna kuna unafanya nao, tunashukuru Mungu watoto umelipia school fees, hata sisi tunafanya hapa Nairobi na watoto wanasoma na hii pesa tunapata
I agree with you... Imagine your first two years ati unataka uachieve everything... It doesnt work like that.. Acha waniite mean but pesa ya kwanza ni ya kulay my foundation after that then i can carry their burdens... Otherwise im not ready to let the cycle of poverty continue through me🫡
When men don't take the responsibility as the provider and depend on wife as the head of house things turn upside down. Not every woman is a ' strong black woman '. Some need support
Huyu mama ako naive sana. Unakubali kila kitu juu huna otherwise. No wonder her husband took advantage of her. Arudi tu gulf na afungue her own account.
Pole mama kwa yale yamekupata unaeza kam uku saudi tuchape kazi na usikue msoft sana kwa mwarabu kwanza kulia mbele yake ndio worst uku lazima ukue na ugaidi kiasi ndo usavirve
I've been listening to sp many stories from this channel and others about what they're going through......in most of these stories, these are things driven by 1. Desperation (ati hakuna kitu ningefanya) 2. Fear of unknown 3. The first impression you showed to that family 4. Ati 'but nikikumbuka shida ya nyumbani' 5. Not knowing and understanding your rights Please ladies, put desperation and fear aside. Know and understand your rights, be confident and lastly be very prayerful. Learn to speak up the very first time you experience the first problem to either÷ 1.The groups you're in with people in the same country 2. Inform the country's agency 3. Inform kenya's agency 4. Lastly, if all the above doesn't work, please involve the human resource and social development....esp wenye wako saudi
Pole sana my dea kwa hayo uliyapitia Mungu ata kuonekania... Huyo bwanako alikua mvivu from the word go even b4 uende gulf ungeachia dadako watoto atleast hungepata hio hasara yote😢
Yani unatrust mwanaume na pesa zako tena pesa za gulf 🙆🙆🙆 my dear rund tu gulf alafu fugua account yako sasa 🥰🥰🥰alafu story ya kuolewa ati juu uko desperate unataka kuogezea shida juu ya shida kweli🤔🤔 my dear sister rund gulf ata ss tuko gulf tunalipa bills zetu na tuna jiwekea pesa zetu kwa account zatu 💸💸💸 team strong muko wapi
Tuko hapa hoyeeee! I was in saudi for 7 yrs. Nilikuwanga kemboi na sikukaa nilitoroka na miezi tatu na nusu juu alikataa kunilipa mwezi wa kwanza , wa pili, watatu na wa nne ndio niliona hawa watu hawatanilipa nikawagombanisha wakakubali kulipa miezi mbili akasema hana pesa. Nikamshow sasa kama hatalipa then hamna shinda twendelee na yeye. I'd rather go home. Saa hio ndio alilipa zote
Pole sana mama, i can advise you to stay back with your kids, because they need you around so dearly and your absence in their lives will have an adverse implication on their future.
Am going through alot , bt nikiona ivi wee , mimi acha nibaki kenya tu. Naogopa sana . Adi mum hana nyumba bt nikimwambia niende uko anakataa. Acha nikae uku MUNGU atanionekania one day
She needs someone to remove ignorance from her. How does she sleep with an old man ati, she fears what he can do to her? Suppose she got pregnant or HIV? Even now she says she had reached a place where she will accept marriage from anyone, so sad. Let her leave men alone, they will take advantage of her since she's still naive
umejianika sana,hadi unaambia bwana unakulwa,hio ni mafikirio ya haina gani,then uko na watoi wakubwa watach hii mbona ujianike hivo jamaneni wueh,im not judging bt kuna vitu siezi roroa
Hawa Waarabu sijui kaa wataona mbinguni,wako na roho black hata kuliko shetani mwenyewe,but sio wote kuna wengine wako na utu but percentage mingi yao ni worse.
True ...but I wonder how some ladies are commenting negative here aki .hizi nyumba boss wako tofauti .mru akipata hai poa ashukuru God na kuombea these girls wanapata mateso😢😢😢
I understand what you mean. You mean well. Even I sometimes wish some presenters would use a language they are fluent in,then put subtitles in English.
Gulf inataka mtu ametulia especially ukijua uko hii age ya huyu mama.Wamama wamefunga midomo gulf wasomeshe watoto wao na wafanye maendeleo yao binafsi nyumbani.Ukiwa na hii kimbelembele gulf hutoboi.Afadhali tu kwenda marikiti uuze maembe😲🥺🥺
@@sylviahkinyangi9892 wanapenda.The problem ni kuwa hawafanani.Kuna wale hupenda mtu mature,kuna wale hupenda mdogo,kuna wale hupenda mtu kulingana na physical appearance,kuna wale hupenda mtu juu ya dini na kuna wale hupenda mtu mchapakazi hata kama anakaaje.They are funny
Sijui ni mimi tu naudhika na huyu mama, she is too naive😢, urepiwe na mwarabu, utafute pesa utumie bwana, urudi home upate shida na ako na wanawake, urudi saudi umtumie pesa bado na watoto wanateseka...aih.
I feel like first impression matters vitu zingine kataa from the very first moment zimetokea apana ogopa na usiseme huna otherwise there is always a way jameni eeeey
Sasa kwaambiwa umwage nguo zako chini itafanya ulie si Kenya pia watu ufanya hivyo then vitu kama mende haikosi kunguni utaeza leta but haziwezi ingia bedroom zao
Atleast hii stori naeza unga mkono.. Stori ya vijitoto ni ukweli kabisa hawana adabu😢alafu pia mm my first hse nilifanyiwa hio stori ya kutumia simu ya madam na kuambiwa nisiongee na anyone.. But thru it all.. Bado tupo tu hii gulf not giving up#teamstrong
38k was a lot mama nikupangia ulikosa kupangia ukainvest na mwanaume anawaste pesa yako Bure aki hio pesa angeweza kuimanage hungekosa kurudi ata na 200k despite majukumu ukitaka kurudi gulf Rudi na uwache umepanga watoi vizuri wajikalishe uwatumiange pesa warent single room karibu na huyo sistako yako awachunge
She never understand the which 8s written to the contract. You can't finish contract and go to office for another house....I m in Saudi Arabia's and I being paid 35 k and I manage 2 girĺs in secondary and ì am saving .matumizi yako Angalie.my kids are in boarding school.
You have tried my sis,wewe ni strong woman,be blessed,your future is bright,my advice don't get married right Now first stay with your kids and have bond with them❤❤❤
Pole Sana for what you went through in gulf mimi i have been in this gulf for 8 year's and I have never experienced anything like that but what I know is if you kam here don't be soft to them
True.. mm kama mwanaume hajitumi mbona alale na mm .. wanawake tunajidharau sana ... Mwanaume ata angechukua bucket azungushe melons wapate food.. sio kulala kwa nyumba.. alafu anaendelea kumzalia daaamn wanaume waamke waende kazi,, kama mwanaume hasomeshi watoto wake toka uende muachie watoto kalaa
Let's chanua pple here before entering kingdom 1st open ur own account 2nd it's you plus God ukingia make sure ur relationship with God it's tight 3rd mwarabu anakunyima Wi-fi ukingia tu hivi Hapo n red flag already you need to start immediately plan two 4th Not all Arab's a bad some Acha tuseme ni 50/50 5th warabu mostly hawapendi watu wanono hiyo kaa ukichua 6th watoto wa warabu most of them hawana respect 7th Food learn to steal food and make sure camera azikuoni peleka ata outside kulia huko inje 8th mwarabu kukuambia unanuka sio kitu kubwa na nyumba za warabu ni kubwa sana kazi n mingi 9th mwarabu killing u sio kitu ngumu kaa ukijua hiyo, 10th mwarabu anaeza kutesa kushidah mateso ya jangwani 😢😢 anyway hii ni rules za wenye wko Kwa contract 😮😮ongezeni ingine ziko mingi sana
Kausha kichwa na ufala ya kulia iishe kabsaaa... Zoea kuwa suspect kutengwa na kudiscriminatiwa kubebwa ndogo kutumiwa vibaya na kuchukiwa......muhimu #kazana pambana na ung'ang'ane mpaka ijipe hakuna mahali pazuri lkni waeza tengeneza ulipo... Vumilia mpaka ijipe na uzoee kumind your own business #God kila time na kutrust the process💪
@@Jeyjey-i7y Mungu alinionekania nyumba yenye niko sasa imagine ni mm mwenye nyumba, only shosh, members of family only visit Saturday's 4yrs now naenda vacation then back
Wangu aliniacha juu sikuwa namtumia pesa.hii kazi ngumu ya gulf,,nijipate nikimtumia. Pole mamy but hiyo story ya being raped si ungefinya kiasi juu uko na watoto watawatch?
Huyu mama ni mtu sio sharp saana.mwanaume alimtake advantage.i think mtoto wake first born was enough to manage the account.sio kutumia mwanaume pesa,how? Unalea mpango wa kando??? Ukitesekea saudi???? Me ningesema kama baya baya.no money
Sorry mama for this suffering you went through. Jesus Christ will open a financial door for you..From all you said and passed through I feel in my spirit you need deliverance from demonic chains so that when you start life afresh you may prosper...it is my opinion please.
Hi Family, you can pass your word or any support to HANNAH WANJIRU +254 720 568158..
This is slavery
So sad
Mwangi_Kriss, mama anakuelezea yote mgumu aliyopitia, na wewe unakazana, 'oh ulimpenda'. Meaning bwanake.
Unakua insensitive na km kupuuza yote anayokuambia. How jamani?
Maybe ni vile unaonekana mtu maakini. So, ukifanya kinyume (but in a 'soft manner' kind of way, na vile deminor yako huonekana u muungwana. ... Inasikitisha.
Infact, sijui nieleze vipi. But unaonekana huna plight or kusikia plight ya our people uarabuni rohoni.
Sijui, labda ni mimi that I feel that way.
Sijui km hawa wanawake na wasichana wetu, mmoja wao wa karibu Sana na wewe, yangempata, labda ungee feel, kidogo tu, how their shoes 'pinches' on your foot.
Or hizi story zina ku bore mpaka unakua insensitive... au nini.
But, okay😢
Pole sana mamaa😢
Hi mwangi Chris nikikam Kenya aki nitacome niletee watu hambali ya huku Saudi wee qalf sio lahisi hivo anasema ninapitia saa hii bt Mimi najikaza na naomba sana I have a big story ya huku aki wee nasiogopi cz najua chenye ilinilete so Sina pressure na Yale napitia Bora hawanitesi na hawajanirape na pesa nalipwa poa na wananitumia wao usisahau nko kemboi
Mwangi kris. On this channel you have 44.3 k followers. Would you consider doing a " go fund for this lady" kshs 100 only this amounts to 440,300. If you could raise even half of this give it to her for a good start. Thats all. Kamuingi koyaga ndiri. We can do it.
Good idea
I'm just impresses by how honest she is, that's a good woman.
Jaribu Gulf mara tena mama pia sisi tunang"ang'ana tu na mashinda huku angalao tusomeshe watoto na mengine mengi.
Give it another try you never know what tomorrow holds..
Ama vipi team strong?.
Haki gulf sio ya watu wote kuna watu huwa hawana favour kuna my friend alipitia labanon two years then akakuja huku Qatar tena alipata madama mbaya ata anashindwa kwani alifanya Mungu nini apitie mateso hi yote 😢
Pole sana dada, wewe ni hard working but uliangukia mkono mwa watu wabaya. Kwanza huyo mwanaume Mungu amsamehe tu, kama gulf imekushinda tafuta kazi ya nyumba hapa Kenya pata pesa yako kidogo na itakusaidia kuliko pesa mingi na hakuna kuna unafanya nao, tunashukuru Mungu watoto umelipia school fees, hata sisi tunafanya hapa Nairobi na watoto wanasoma na hii pesa tunapata
No.Shes lucky to be alive
Si unitafutue huko . Ulitumia agency gani my sister
Ungemuangalia macho mbaya
The people we send to Saudi are so , so....ati she is educating kids and also kujengea mamake nyumba! You don't earn enough to do both!
Hii ndio inafanya watu wanarudi nyumbani bila kitu.gulf salary is little.u can only manage to do one thing
Very true,hii pesa huwanga dogo sana
Lies!I have built my mum a nice house and my children are in schools!
Na hii mambo ya kujenga nyumba it's like a spirit inaingia watu wakienda gulf....
I agree with you... Imagine your first two years ati unataka uachieve everything... It doesnt work like that.. Acha waniite mean but pesa ya kwanza ni ya kulay my foundation after that then i can carry their burdens... Otherwise im not ready to let the cycle of poverty continue through me🫡
When men don't take the responsibility as the provider and depend on wife as the head of house things turn upside down. Not every woman is a ' strong black woman '. Some need support
Thank you 🙏
If we had a good government no one would go through this.
How i wish my partner could read this🤔
Ata uwa nasema tungeitwa wanaume , coz we are strong enough to do anything for our family
Huyu mama ako naive sana. Unakubali kila kitu juu huna otherwise. No wonder her husband took advantage of her. Arudi tu gulf na afungue her own account.
The common narrative across board is "sikuwa na otherwise "
Lakini pole sana kwa masaibu.
Hadi Ac ikiachwa imwzimwa huwezi washa aaaaiii
Pole mama kwa yale yamekupata unaeza kam uku saudi tuchape kazi na usikue msoft sana kwa mwarabu kwanza kulia mbele yake ndio worst uku lazima ukue na ugaidi kiasi ndo usavirve
Pole ulikua mwanamke mzuri lakini Bwana ni ovyo na mzembe , i pray that God provides you to stand with your children forever Amen.
I've been listening to sp many stories from this channel and others about what they're going through......in most of these stories, these are things driven by
1. Desperation (ati hakuna kitu ningefanya)
2. Fear of unknown
3. The first impression you showed to that family
4. Ati 'but nikikumbuka shida ya nyumbani'
5. Not knowing and understanding your rights
Please ladies, put desperation and fear aside. Know and understand your rights, be confident and lastly be very prayerful. Learn to speak up the very first time you experience the first problem to either÷
1.The groups you're in with people in the same country
2. Inform the country's agency
3. Inform kenya's agency
4. Lastly, if all the above doesn't work, please involve the human resource and social development....esp wenye wako saudi
No 2👍
Hope tungejuana ningekukemboisha. Am here in Bahrain for 7 years through God's favour 🙏
❤
Me too shiko uko Bahrain wapi tujuane
Open an account and save some money, pay school fees directly to the school, to avoid heartaches, jipange sawa sawa before you leave Kenya
Chris ukini intervew utadhani unarudia story vitu zingine huyu mama amepitia nimepitia same 💯
Pole dada
Tuko wengi @@linetgraciah4724
Pole sana my dea kwa hayo uliyapitia Mungu ata kuonekania... Huyo bwanako alikua mvivu from the word go even b4 uende gulf ungeachia dadako watoto atleast hungepata hio hasara yote😢
So sorry Mama for what you have gone through but next time,usipee mtu roho Yako yote... never trust anyone, trust only God..
Yani unatrust mwanaume na pesa zako tena pesa za gulf 🙆🙆🙆 my dear rund tu gulf alafu fugua account yako sasa 🥰🥰🥰alafu story ya kuolewa ati juu uko desperate unataka kuogezea shida juu ya shida kweli🤔🤔 my dear sister rund gulf ata ss tuko gulf tunalipa bills zetu na tuna jiwekea pesa zetu kwa account zatu 💸💸💸 team strong muko wapi
It's sad how they don't get it, trust no one 😢
Tuko hapa hoyeeee! I was in saudi for 7 yrs. Nilikuwanga kemboi na sikukaa nilitoroka na miezi tatu na nusu juu alikataa kunilipa mwezi wa kwanza , wa pili, watatu na wa nne ndio niliona hawa watu hawatanilipa nikawagombanisha wakakubali kulipa miezi mbili akasema hana pesa. Nikamshow sasa kama hatalipa then hamna shinda twendelee na yeye. I'd rather go home. Saa hio ndio alilipa zote
this lady is a hardworking type,bt she got a wrong husband who is not caring for his family
Ujinga pia ni mingi
True cnjui mlevi pia😢
Mama wangeci,namjua used to buy githeri from her,in wendani
Let me tell me and my temper can't allow me to be in Saudi.... siwezi maliza ata two months kama sijashikanisha mtu na wall🤦🙁
Pole sana mama, i can advise you to stay back with your kids, because they need you around so dearly and your absence in their lives will have an adverse implication on their future.
Ndugu pole shida haina adabu watoto wao hawapingwi malezi ya bata watoto bele mama nyuma
Pole my sister for what you went through in saudi
Rudi Saudi wacha kuomba bado passport iko sawa mama.tuko huku tunang'ang'ana huku peleka watoto ushago wakunywe uji 2 years usave kakitu.
Huyo ni wewe
Once ume kubali kufanya kazi za ndani be ready to entertain children,,, no matter what ni wewe uta ambia mtoto mahali asi kushike
Aki caren wewe.....😂😂washike wapi pazuri 😅
It's painful wat we go thro hii gulf buh stori zigine cio zakusema kwa social media.surely 😢
Kama gani sio ya kusemwa online 😮🤔😎🥴
Wacha aongee watu hawafanani pia nko murife bt sio lahisi huku inje wee mi nimeiona hapa nafanya
@@BethKiarie-lu8zh abia watu chenye wanafaa kujua.unaweza jiharibia bia for being vry honesty.
Eeeeh,hata huku nyumbani ukiwa kazi ya nyumba,lazima utashikwa shikwa
@@sylviahkinyangi9892 😁😁😁😁😁
This lady is so naive😢. She never learned even after coming back? Haki Mungu atusaidie😢
The tyme our girls will know its about them not the whole clan,they will take great care of the idea that took them to gulf.
Beautiful woman.Very open to your husband but the man you have as a husband does not deserve you.May the Lord God guide, protect and bless you.
Ebu jiweke kwa huyu mzee bibi anakuliwa gulf,,,huyu mama ndie mjiga,,,,Mimi kasimo yangu ikikuliwa sitawai abia bwana yangu😂😂
Am going through alot , bt nikiona ivi wee , mimi acha nibaki kenya tu. Naogopa sana . Adi mum hana nyumba bt nikimwambia niende uko anakataa. Acha nikae uku MUNGU atanionekania one day
Wah mimi siwezi enda Saudi cos mimi na hasira zangu nitarudi nikiwa maiti, mtoto anipige kama nimenyamaza 😲 😯
Saudi sio wote wabaya..nko kwa nyumba ya watoto 4 saudi n they are very respectful,,5yrs now.
@@SummerTime-v1s khai you are lucky
Hata mimi Niko na relatives huko,wanashindwa mbona sitaki kwenda huko,juu mimi hasira pia ninazo
Nataka kukuja huko Saudi unaweza nitumia Agent Number wako wa Kenya Aki ni process.
She needs someone to remove ignorance from her. How does she sleep with an old man ati, she fears what he can do to her?
Suppose she got pregnant or HIV?
Even now she says she had reached a place where she will accept marriage from anyone, so sad.
Let her leave men alone, they will take advantage of her since she's still naive
Ann needs to be empowered to stand up for herself hii upole ni mbaya leaen to shout say no.
Afadhali angekaa tu uko kwa mtoto anamshika matako,,juu mtoto ni unamkazia jicho anakuogopa..usichune mtoto wa mwarabu ata kidogo,,
Pole sana hizi pesa za warabu zinahitaji maombi!! Nika loan before umalize kulipa umechotwa Kila kitu hadi zenye ulikua nazo before,,
umejianika sana,hadi unaambia bwana unakulwa,hio ni mafikirio ya haina gani,then uko na watoi wakubwa watach hii mbona ujianike hivo jamaneni wueh,im not judging bt kuna vitu siezi roroa
Opening up is the healing process
Hyo mzee inaonekana alikuwa anakutomba vizuri coz huwezi kumrudia kila wakati na ako na wanawake wengi
Kweli huwezi jianika ivo na uko na watoto wakubwa wamama wengine nikama hawajielewi
Mambo ingine hangenyamaza tu,hii aibu yote mimi siezi sema vitu zengine
@@edithaeugeni9695Huyu mama huoni ni Kama fala,anajianika hapa sana
Yudi gulf mama,,,,,,,enda hapo oddy kuña ofisi watakizaidia bora ukuwe n exit
Truthful and honest just like RIG G. I guess they are related 😮
This is not the truth that can set some one free rather it can only land u into more troubles
Na ww ni mnzuri hugesave kwa mpesa,,,mm zangu over my dead body try another time Oman now,,,Kam tuchape wira
Hawa Waarabu sijui kaa wataona mbinguni,wako na roho black hata kuliko shetani mwenyewe,but sio wote kuna wengine wako na utu but percentage mingi yao ni worse.
True ...but I wonder how some ladies are commenting negative here aki .hizi nyumba boss wako tofauti .mru akipata hai poa ashukuru God na kuombea these girls wanapata mateso😢😢😢
4 good yrs in Bahrain I thank God for my life one day i will come to tel my story though hawa watu si wazuri
Chris correct her it's not Wi file aki asiishi kurudia all her life. Ni WiFi- Wireless Fidelity
Kuna watu huita hivo ata kwenye Niko we are using that name Y.......
@@ambudonicewangui1777 hehehe. But it's gd to correct
Waaah, Patricia 😂😂😂
You don't feel for this woman bro sometimes problem can cause that.
😂😂😂😂niue
Wi-Fi....waifairo🤷yote tisa..."sikuwa na otherwise"😢God saidia watu wako🙏
Hannah akh pole but hao watoto hakufunzwa na wazazi tabia kama wangu kuna kijana alikuwa 7yrs alikuwa kunushika vo nikiambia mama yao anawachapa
Imagine these issues are known to COTU....Shenzi sana.
Grace and strength
Please 🙏 siku ingine ndo mtu aeze kujieleza ,acha aongee lugha yenye ataeleza vizuri ,kama kikuyu
Na wenye hawajui kikuyu
I understand what you mean. You mean well. Even I sometimes wish some presenters would use a language they are fluent in,then put subtitles in English.
Gulf inataka mtu ametulia especially ukijua uko hii age ya huyu mama.Wamama wamefunga midomo gulf wasomeshe watoto wao na wafanye maendeleo yao binafsi nyumbani.Ukiwa na hii kimbelembele gulf hutoboi.Afadhali tu kwenda marikiti uuze maembe😲🥺🥺
Pia ni Kama hawapendi watu wamekomaa sana
Mimi hizi story nasikianga siezi enda uko, we need to learn to stay in our own Country
@@sylviahkinyangi9892 wanapenda.The problem ni kuwa hawafanani.Kuna wale hupenda mtu mature,kuna wale hupenda mdogo,kuna wale hupenda mtu kulingana na physical appearance,kuna wale hupenda mtu juu ya dini na kuna wale hupenda mtu mchapakazi hata kama anakaaje.They are funny
Stop lying,Mimi mbona nimekomaa@@sylviahkinyangi9892
Pole sana Mama.
Watoto wa waarabu wakikuchukia ni hivo na mama wao aki wanalelewa vibayA nakuelewa mum na uwezi waguza
Huyo mzee ni bure kabisa ..
Ni wale wanapenda kufugwa.
Sijui ni mimi tu naudhika na huyu mama, she is too naive😢, urepiwe na mwarabu, utafute pesa utumie bwana, urudi home upate shida na ako na wanawake, urudi saudi umtumie pesa bado na watoto wanateseka...aih.
I feel like first impression matters vitu zingine kataa from the very first moment zimetokea apana ogopa na usiseme huna otherwise there is always a way jameni eeeey
Sasa kwaambiwa umwage nguo zako chini itafanya ulie si Kenya pia watu ufanya hivyo then vitu kama mende haikosi kunguni utaeza leta but haziwezi ingia bedroom zao
i was looking for this comment😂😂😂
Atleast hii stori naeza unga mkono.. Stori ya vijitoto ni ukweli kabisa hawana adabu😢alafu pia mm my first hse nilifanyiwa hio stori ya kutumia simu ya madam na kuambiwa nisiongee na anyone.. But thru it all.. Bado tupo tu hii gulf not giving up#teamstrong
38k was a lot mama nikupangia ulikosa kupangia ukainvest na mwanaume anawaste pesa yako Bure aki hio pesa angeweza kuimanage hungekosa kurudi ata na 200k despite majukumu ukitaka kurudi gulf Rudi na uwache umepanga watoi vizuri wajikalishe uwatumiange pesa warent single room karibu na huyo sistako yako awachunge
She never understand the which 8s written to the contract. You can't finish contract and go to office for another house....I m in Saudi Arabia's and I being paid 35 k and I manage 2 girĺs in secondary and ì am saving .matumizi yako Angalie.my kids are in boarding school.
Am in a good family mm hata cjui niseme nn niko free I don't wear unform everything I need wao huninunulia kila kitu🙏🙏
Shukuru mungu dada
Ni mungu tu coz kuna watu upitia magumu wah
Hata Mimi nashukuru Mungu ila uniform lazim
Waaa..kuna mahali nimecheka but anyway,,tuedelee..hii interview iko sawa
Hapo kwa kumwaga out 🤔
@@pascalinamukui8400 hahaha,,,ako ka line kamenibamba🤣🤣🤣🤣🤣.imebidi mpaka nipause...na i tend to think hawakumwaga inje,ama wewe unaona aje??
Lakini kimama kinakuambis kinakurusha kwa mto..ungemwambia unaanguka nayeye..
Your innocent sioni umbaya wowote wa kuambia bwana yako but if I were you I wld never go back to those country
Hapa hakuna la kuambia bwana
You have tried my sis,wewe ni strong woman,be blessed,your future is bright,my advice don't get married right Now first stay with your kids and have bond with them❤❤❤
Bwanako ni shida tupu. Alikuwa anakutumia vibaya we ukihatarisha maisha yako. Jipende zaidi round hii ili pia yeye atie bidii.
Heri ungeambia watu wa afisi kuliko bwanako.
Naona ni wa area ya kwetu Endarasha
Mama I understand you you're honest , lakini inafaa uchanuke abanaleya mtu mzima .
Ungepeleka watoto shags wakae na shosh yao uwe unatuma 5k every month.Sahii ungekuwa na savings mob sana
How does a man lose such a beautiful and well mannered lady? Mama it shall be well.
May GOD bless you Kriss and Mamaa,
Pole Sana for what you went through in gulf mimi i have been in this gulf for 8 year's and I have never experienced anything like that but what I know is if you kam here don't be soft to them
Wamama tunapitia shida sana aki,
Ngai yesu akusaidie
Nikikuliwa siwexi sema ,,😂😂unaambia bwana umekuliwa igekuwa ni siri yangu juu kasusu ni yangu,,,
Si uko na passport kuja Saudi Arabia 😊
You were used by that man,he took advantage on you,he dont deserve to be your husband pole sana .
True.. mm kama mwanaume hajitumi mbona alale na mm .. wanawake tunajidharau sana ... Mwanaume ata angechukua bucket azungushe melons wapate food.. sio kulala kwa nyumba.. alafu anaendelea kumzalia daaamn wanaume waamke waende kazi,, kama mwanaume hasomeshi watoto wake toka uende muachie watoto kalaa
Kalas
Waifaelo na wosapu🤭😂😂😂😂 ww Mwangi c ata umkosoe madam yaani unangoja ujirudie tu😩😩
Nani atakosoa mwingine umeskia anaweza kuloga😂😂
@@beezyos2027 😹😹😹
Let's chanua pple here before entering kingdom 1st open ur own account 2nd it's you plus God ukingia make sure ur relationship with God it's tight 3rd mwarabu anakunyima Wi-fi ukingia tu hivi Hapo n red flag already you need to start immediately plan two 4th Not all Arab's a bad some Acha tuseme ni 50/50 5th warabu mostly hawapendi watu wanono hiyo kaa ukichua 6th watoto wa warabu most of them hawana respect 7th Food learn to steal food and make sure camera azikuoni peleka ata outside kulia huko inje 8th mwarabu kukuambia unanuka sio kitu kubwa na nyumba za warabu ni kubwa sana kazi n mingi 9th mwarabu killing u sio kitu ngumu kaa ukijua hiyo, 10th mwarabu anaeza kutesa kushidah mateso ya jangwani 😢😢 anyway hii ni rules za wenye wko Kwa contract 😮😮ongezeni ingine ziko mingi sana
Kausha kichwa na ufala ya kulia iishe kabsaaa... Zoea kuwa suspect kutengwa na kudiscriminatiwa kubebwa ndogo kutumiwa vibaya na kuchukiwa......muhimu #kazana pambana na ung'ang'ane mpaka ijipe hakuna mahali pazuri lkni waeza tengeneza ulipo... Vumilia mpaka ijipe na uzoee kumind your own business #God kila time na kutrust the process💪
Hawapendi watu wanono na wao wenyewe wengi wamenona kama nguruwe😅😅😅
Sijawai ona mama mjinga hana akili kama huyu! Hana akili inafaa apigwe mijeledi ya muarabu hata kuita wifi hajui
😅😅😅she is just naive
Pole sanaa mami but omba mungu upate kazi mungu atambariki kazi ya mikono yako
Ukipata kazi,bwana hakuna kazi,ni starehe na wanawake.Chanuka mama is unamwamini mwanamume sana
Wi what????
Wi-Filo
@@ErickOmosa-dm7wm weuh🤣🤣
Mimi mwanaume haleti kitu kwa nyumba hiyo ni red flag kunamahali anapeleka pesa
Rudi tu gulf Nautumikie experience yako vizuri.
Waarabu ni mashetani,mbingu ifunguke na iwameze
This people thinks they are angels, but they dont fear God they fear the devil kuomba kwao ni kujifanya tu pretenders
Mwangi nunu viti mvua iko karibu kunyesha
Karibu hiyo nyumba ifanane na ingine nilikaa 4 days only chenye niliona ni mungu tu anajua
Ati 4 days mamaaa😂 aki hii gulf itatuonyesha mambo
@@Jeyjey-i7y imagine no WiFi food unapewa za kipimo and its not fresh 😔 nilipitia mengi hizo 4 days
@@marykamau4447 but i hope sai ulipata place poa. Ata mi 1st house niliona moto ata singekaa nilitoka
@@Jeyjey-i7y Mungu alinionekania nyumba yenye niko sasa imagine ni mm mwenye nyumba, only shosh, members of family only visit Saturday's 4yrs now naenda vacation then back
@@marykamau4447Ilikua mjanja kutoka mapema, good for you my dear
Wangu aliniacha juu sikuwa namtumia pesa.hii kazi ngumu ya gulf,,nijipate nikimtumia.
Pole mamy but hiyo story ya being raped si ungefinya kiasi juu uko na watoto watawatch?
U were very wise
Good girl
Hata mimi siwrmezi hata iweje
Masomo ni muhimu sana!! Lets educate our girls.
According to mudavadi we have lost 300 kenyan lives since 2002 .but president have secured more jobs for kenyan youths.
Huyu hajui kujipanga hata akirudi gulf atarudi tena bila kitu
Huyu ni ngombe
Akiii huyu mama
Na Ako na watoto wakubwa hangesema hizo za kufanywa na kumwaga ndani
Mtu akushikirie miaka mbili watoto wamalize shule au upewe kazi?
Gen Z mpo?
Si mjitume huku Gulf mkawasalimie?
Rudi tu mummy ata sisi tuko uku❤❤❤
Si ungejanuka. Mara kwanza
Kama anaweza taka kurudi gulf anitafute nimconnect na agend wa house to house nipoah incase uteswe incase unaona unafinyiliwa unarudiwa kwa office
Saudi Arabia
Sasa,,,si you connect me please,,i hve all documents but no connection
Connect me too
connect me
Connect me joy plz
Kama kuna watu uku gulf huona mengi ni hao wanafanya house to house
😂😂😂😂aki please Wacha nicheke kizungu aki😊
Ukionyesha mwanaume pesa,ama unajiweza, not hivo nilichuna sikio
She even needs counseling. May God open a financial door for her