Wala sikupingi coz nilipita siku moja kabla ya hili tukio kutokea nikakuta kingo moja imeharibiwa na imeachwa wala sijaona aliyetoa taarifa wakati ktk hilo daraja wanapita watu wa aina tofauti nahisi hata viongozi pia wanapita
hawajielewi itakua walikua speed wenzao wote wenye madaraja km hayo mwendo mdogo ma uangalifu wa hari ya juu sisi wabongo waharibifu.mno wapigwe faini ya kutosha km wazima,
Mchelewa Jitaidini ndani ya dakika 3 tu, muwe eneo la tukio. Zimamoto na Jeshi la Police ndani ya dakika 3 ni muhimu muwe eneo la tukio. Wazo la Kizalendo
Wenye vyombo vya moto siku zote ndo huwa waaribifu wa miundo mbinu ya Serikali sasa utaendeshaje gari kwa kasi sasa nani anaenda kutengeneza hilo daraja?
@@kennethbenjamin275halafu kuna sababu nyingi unakuta mtu anaendesha gari kwa kasi huku anaangalia pembeni kashika simu anajichukua video ili apost insta ,fb na whatsapp
Hawa ndio magufuli alikuwa anawataka kwenye daraja la kigamboni.Maana alisema asitokee mtu yoyote akalikwangua wala kuliharibu.Pole yao hao majeruhi maana ajali ni kwa yoyote ila naamini chanzo kitakuwa ni ulevi.....
Yani umenikumbusha mbali kdg hata mimi naikumbuka kauli ya hayati magufuli nahisi angekuwepo hawa watu wangesimamiwa wapone halafu watoe maelezo ya kuharibu miundombinu
Yani umenikumbusha mbali kdg hata mimi naikumbuka kauli ya hayati magufuli nahisi angekuwepo hawa watu wasingeachwa hivi hivi wangesimamiwa wapone halafu watoe maelezo ya kuharibu miundombinu
Limeshagongwa kama mara nne , watanzania wenzangu tuheshimu miundo mbinu , tuache kukimbiza magari kama hatuna uzoefu, naona waweke malipo itasaidia au lifungwe kuanzia saa nne usiku mpaka saa kumi na mbili asubuhi, walevi wapite salender
@@LouisianaRiri zinatakiwa kingo za zege kama walivojenga pale kwenye daraja la ubungo pale hata lory ligonge haziteteleki, kaz ya kingo ni kizuia magar yasiingie mton pale yanapopata emergence au ajal
Huwez kula nyama hata siku moja ety kwasabu hali yako ya kiuchum sio rafiki?? Utapenda kila siku ule bamia maharage na mchunga??? Jmniiiiiii mara mojamoja kula samaki sio lazima uwe tajir take time to think critically. 😂😂😂
Watanzania wenzangu poleni sana. kwa ajali hiyo. Mungu awaponye . majeraha yote mliyopatat.
Asante nawe pia tuungane kuwaombea
Mwenyezi Mungu awajaliye wapone haraka. Poleni wahanga
Kumbe walitoka ibada, MUNGU ni mwema sana 🙏🏾🙏🏾 ndiyo maana wame weza kutoka hai
👏👏👏🙏🙏🙏
kifo hakikwepeki uwe umetoka kwenye ibada au starehe siku ikifika imefika
Ukitoka kanjsani ndo ukimbize gari kama umepakia malaika sio
madereva wa bongo huwa wanakimbia sana likitokea tatizo tunamsingizia mungu sasa mungu anazidi kutuongeza adhabu make tunamsingizia
Poleni sana,sehemu ya ibada!!
Poleni sana kwa. Mtihani
Tusipende kuhukumu mapema wengi wanaza ni POMBE ndio chanzo ila mashuhuda Wanasema walikuwa wanatoka ibadani tuwaombee sana Kwa Mungu
Na mimi niliwaza pombe! Nashukuru kwa ufahamu🙏
Nakubaliana na wewe usiku Dar watu wanaendesha magari walevi .Hiyo nimeshuhudia kabisa usiku mara nyingi
Hata mwendo kasi uliokithiri ni kosa!
@@leokamil6284😅
Kwani wakitoka ibadani hawawezi kupitia wavuvi wakapiga kinywaji?? Location ya alikotokea sio ishu.
Hiyo barabara usiku inakuwa 💥💥 watuhuwa wakuwa speed san
Mungu awasaidie majeruhu waendele salama
Hongera madereva wa kibongo. Ajali haina kinga tumezoea kusema
Polen sana mliofikwa na ajali hii pamoja nawatanzania wooote
Pole zao jamani Mungu awaponye,
madereva muwe mnakagua magari kabla ya kuanza safari polen sana kwa tatizo hilo
apo utakuta ilo daraja ndio halitapigwa service tena, bongo kupiga service miundombinu ni ndoto za alinacha
Una akili wewe ??
@@badmanno.1650 where's the lie?
Wala sikupingi coz nilipita siku moja kabla ya hili tukio kutokea nikakuta kingo moja imeharibiwa na imeachwa wala sijaona aliyetoa taarifa wakati ktk hilo daraja wanapita watu wa aina tofauti nahisi hata viongozi pia wanapita
Pole zao. Tujitahidi kuwa makini zaidi. Serikali ifikirie cha kufanya pia kwa wanaogonga alama za barabaraji.
Duh hatari sana, poleni sana
hawajielewi itakua walikua speed wenzao wote wenye madaraja km hayo mwendo mdogo ma uangalifu wa hari ya juu sisi wabongo waharibifu.mno wapigwe faini ya kutosha km wazima,
Hakuna jina Linaitwa Mkaguzi Msaidizi falani Hila unaweza itwa Labda Vaileth ni mkaguzi Msaidizi Msiwe mnatia Aibu kwenye kujitambulisha
Kikaz unajitambulisha ivyo Man
Kwel kabisa kunitambulish gang huk
Wabongo ni
Ila kuna watu wanakimbiza magari kama wanakimbizwa
R.I.P gari 😢
Hahahahaaaaa RIP gari
🤣
Pombe yetu haihusiki na lolote, mshaambiwa walitokea ibadan, tafteni content zingine ila Pombe haihusiki na lolote hapo!
Hawo walikuw speed, walipotk wanajuw wawo muhimu maboreshe hapo walipo haribu
Mchelewa
Jitaidini ndani ya dakika 3 tu, muwe eneo la tukio.
Zimamoto na Jeshi la Police ndani ya dakika 3 ni muhimu muwe eneo la tukio. Wazo la Kizalendo
Wenye vyombo vya moto siku zote ndo huwa waaribifu wa miundo mbinu ya Serikali sasa utaendeshaje gari kwa kasi sasa nani anaenda kutengeneza hilo daraja?
Uzembe
Dereva apewe medali ya kuangusha gari akiwa ametoka Ibada saa 6:30 usiku (Tarehe nyingine).
🤣🤣😂😂
Wasenge hao walipie uharibifu waharibifu sio wa kuwachekea hata kidogo
Watakuwa wamelewa mbwiiii
Mkaguzi msaidizi😂😂😂
Mkoa waillala 😂😂
Wapumbavu hao walipie matengenezo ya uharibifu wa daraja Mbwa hao
Speeding
Mungu nimwema
They never learn: SPEED KILLS!
Hpo watu wanaend3sha speed kutaka sifa
@@kennethbenjamin275halafu kuna sababu nyingi unakuta mtu anaendesha gari kwa kasi huku anaangalia pembeni kashika simu anajichukua video ili apost insta ,fb na whatsapp
Wengi hukimbia zaidi usiku
Polen san
Ni bahati mbaya sidhan kama walilewa
Waeza pata waliona vibwengo 😢 usiku huwa una mambo wah
Kabisa Tena mazingira ayo we😢
Madereva wanakimbia sana hapo
Nadhani ni usingizi jamani!
Sijui kwanini hamna record za magari kugundua most dangerous car, izi gari zinachangamoto ya cross joint kuoza aisee...
Mkoa wa Ilala
An expected event
Hawa watakuwa ni walevi tu walikuwa wanatoka kwenye starehe lazima walipe miundombinu waliyo iharibu
Hiyo sehem gari zinatembea sans Kph120
basi kingo zao ni fupi zilikuwa ziwe ndefu kidogo ambapo gari zikigonga zisiweze kuruka juu ya kingo
Speed ya gari ni ishu nyingine linaweza kuruka juu kama ndege kwenye itirafu, nimewai shuhudia Prado ikiruka mti mrefu muembe kwa macho yangu
Dereva mwenye ujuzi hawezi kufanya makosa hayo.Zaidi ys hapo ni uchovu pia
Ilala ni mkoa kipolisi ndiyo.
Ilala ni mkoa😁🙄
NI MKOA WA KIPOLISI
Kafara za Samia
Nimecheka kifala kweli😂
@@ELLYJ24 😃😃😃
POLISI HUYO DEREVA MFUNGIENI LESENI JAMAN
Ukikua utaacha
We kweli mbumbumbu
LAZIMA TUWE MAKINI@WATU WAACHE KULEWA NA KUENDESHA!!
POMBE SI MAJI!!
Mmeshaambiwa wametoka ibadani
Hawana licence ya Ukweli.Dereva hana license ya Ukweli.Shortcuts are never good.Kuhonga balaa 😢
Ulevi tu unasabisha hizo hasara!!
Mkoa wa Ilala! Kwani Ilala saizi ni mkoa mpya?
Mkoa wa kipolisi
Selikali jitaidi Gali inayo. Vita ziwage nauzima
Dereva itakua alilewa hyo
Walipe daraja
Unagongwa
Na ndo maana tunahimizwa tuendelee kulipa kodi, litajengwa kwa kodi yako
jana watu walilewa sana
😂😂😂😂😂😂
Bila shaka alilewa 😢😢
Alienda kunywa pombe kanisani kumbe
@@nancyg8664 Woiii ndo maana lakin kama wako salama n jambo la kumushukur Allah
Walirekebishe wenyewe
Prado imekata kingo,hawa wajenzi wa daraja walijua litapita toys ama niaje,uzembe wa maiko
Waweke police saa 24walevi ni wengi sna wameisha anza kugonga kigo za daraja wanakimbia mno hasa ucku
Acha kuwa ujahukumu haraka hawakuwa walevi
Mwendo kasi acheni hizo
Mwendokasi pombe, gharama zauharibifu nilazima walipe. Wazembe hao
Labda usukani umefeli
Washa libomoa wabongo hawana utunzaji wa miundo mbinu
Kweli yaani limeshangongwa mno mara 5 wanalibomoa mno
😂😂dah cjui nacheka nn
Hiyo yote ni kwasababu mama anaupiga mwingi inchi haina usimamizi mzur
Hawa ndio magufuli alikuwa anawataka kwenye daraja la kigamboni.Maana alisema asitokee mtu yoyote akalikwangua wala kuliharibu.Pole yao hao majeruhi maana ajali ni kwa yoyote ila naamini chanzo kitakuwa ni ulevi.....
Yani umenikumbusha mbali kdg hata mimi naikumbuka kauli ya hayati magufuli nahisi angekuwepo hawa watu wangesimamiwa wapone halafu watoe maelezo ya kuharibu miundombinu
Yani umenikumbusha mbali kdg hata mimi naikumbuka kauli ya hayati magufuli nahisi angekuwepo hawa watu wasingeachwa hivi hivi wangesimamiwa wapone halafu watoe maelezo ya kuharibu miundombinu
Mwendo kasi unaua jamani
Hilo daraja wataliaribu washaaribu miundombinu
Limeshagongwa kama mara nne , watanzania wenzangu tuheshimu miundo mbinu , tuache kukimbiza magari kama hatuna uzoefu, naona waweke malipo itasaidia au lifungwe kuanzia saa nne usiku mpaka saa kumi na mbili asubuhi, walevi wapite salender
Mkoa wa ilala?
Mkoa wa ilala ndio kipolisi
Huo ni mkoa wa kipolisi
@@bashirushaban2116 sawasawa
@@saidkipalo4427 kumbe polisi wana mikoa yao
Waweke Kingo ngumu na ndegu Mita Saba
Mbongo hata umuweke kingo ya chuma bado pasua, uendeshaji wa watu hapo ni wa ovyo sana
Ustaarabu ndio shida yetu, hatujitambui, usiku unakimbia nini kama sio mzoefu na hiyo njia shida ndiyo hiyo
Pombe + , kama umelewa acha kupita huko darajani
si wanatoka ibada 😂
Hiyo ibada ya kumwagilia moyo hiyo saa sita usiku ibada 🤔 ila huyu jamaa wa kampun ya ulinzi sauti yake kama mchungaji Hananja 😢
😠😠
Jaman hivi Kuna mkoa wa ilala
Ndiyo DSM yetu ilivyo
Mkoa wa ilsla wa kipolice
Mkoa wa Kipolice😂😂😂.
Kuna mikoa ya kipolisi ni tofauti na mikoa yetu hii
Pumzika
Poleni majeruhi, poleni Sana... Ila daraja letu dah!
kaz ya kingo ya daraja ni nin muongozo
Unagonga kwa speed unategemea nini , iyo wamewekewa watembea kwa miguu
@@LouisianaRiri zinatakiwa kingo za zege kama walivojenga pale kwenye daraja la ubungo pale hata lory ligonge haziteteleki, kaz ya kingo ni kizuia magar yasiingie mton pale yanapopata emergence au ajal
Pigeni fine kali ili iendane na kile kilicho bomoka
Kazi ya Bima hiyo ila inategemea ni ya aina gani wanayo
WATANZANIA MUACHE USHIRIKINA WA KUTOANA MAKAFARA KISA MALI !!!++ MUNGU AWALAANI WASHIRIKINA,WACHAWI NA WASHIRIKA WAO MBWA WAKUBWA HAO !!!!😢😢😢😢😢
Breakdown kweche haina 4wheel drive 🙄
Hiyo ndio Tanzania yetu ,hatuna vitendea kazi vya majanga ya dharura ila tunanunua Mandege na Mav8
@@leokamil6284 fakhari
@@leokamil6284 sasa v8 hata wewe ukiwa na pesa nunua kwani umekatazwa
3+2=4
😂😂
Hao ni walevi wategeneze daraja letu wajinga hao
Matumizi mabaya ya Pesa ndogo tuliyonayo,mnaenda kujenga barabara baharini wakati zile za nchi kavu zimetushinda,hovyo kabisa.
Duu sijaelewa kabisa😮😮😮
Maendeleo huko mitaan mtajijua😂😂😂
Huwez kula nyama hata siku moja ety kwasabu hali yako ya kiuchum sio rafiki?? Utapenda kila siku ule bamia maharage na mchunga??? Jmniiiiiii mara mojamoja kula samaki sio lazima uwe tajir take time to think critically. 😂😂😂
We jamaa unajielewa kweli??
Ww unayeuliza uliyecomment cdhan kam upo sawa kiakili yaan ndo mawazo yako kweli ??