RUSHA MAWE HAYA 9 KWA EX WAKO AKUKUMBUKE MAISHA YAKE YOTE- Johaness John

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 53

  • @abubakarrashid426
    @abubakarrashid426 ปีที่แล้ว +1

    Kwl kabisa mm yalinisaidia sana ayo mawe sai nmenawiri nlikua nmekonda sai nko na furaha

  • @DorikasMazengo-kn7qu
    @DorikasMazengo-kn7qu ปีที่แล้ว +1

    Nimekuelewa Sanaa mtumishi nimeachwa mpaka nikawa nimejikatia tamaa lakini kwasasa nimeruhusu naamini lilikua funzo kwangu Mungu ameluhusu na mpaka sasa ninafulaha kwakweli barikiwa sana Mungu azidi kukupa mafunuo zaidi

  • @SaliminiOmary
    @SaliminiOmary ปีที่แล้ว

    Unajua sana broo unaushauri mzur sanaaa

  • @ummulkheirmashjary1579
    @ummulkheirmashjary1579 2 ปีที่แล้ว +3

    Umeongea vitu vya busara sana.UKOVIZURI DCT WA LOVE HONGERA#

    • @johanessjohn
      @johanessjohn  2 ปีที่แล้ว +1

      Aksante sana 🙏🙏🙏

  • @sarahnghabi4374
    @sarahnghabi4374 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana

  • @aishadulla7364
    @aishadulla7364 ปีที่แล้ว +3

    Jaman mm nlipata ex nukusi sana kwakweli ananifatilia ametrk sim yangi niganyeje mm nimechoka kweli

  • @SeliliaAlly
    @SeliliaAlly 7 หลายเดือนก่อน

    🎉❤Asante mutumishi wa mungu

  • @fadhagati9021
    @fadhagati9021 ปีที่แล้ว +1

    Namshukuru Mungu nimepona

  • @EdinaDelphinus
    @EdinaDelphinus 11 หลายเดือนก่อน

    Good sana brow❤

  • @FaithKhayanga-cm9ht
    @FaithKhayanga-cm9ht ปีที่แล้ว +2

    Ni kweli John lakini Mimi naomba ushauri wako,nilikuja nimeoleka kwa muda wa miaka Saba so nikamjengea na huwa namfanyia mambo mengi lkni nilicho niumiza zaidi ni nilipomaliza tu kumjengea akaniambia niache kazi nilipozusia kuacha kazi nikaona heri nimwache nikaonfoka na watoto wangu Sasa yye akaoa mwingine after two weeks Sasa ata alikataa kunisaidia kulea watoto na mshahara wangu si mwingi vile Sasa natamani nimsahahu kabisa kwa maisha yangu licha watoto wanamlilia nifanyeje tafadhali ni faith

    • @johanessjohn
      @johanessjohn  ปีที่แล้ว +1

      Pole kwa changamoto yako Nipigie rafiki yangu 0768275795

  • @MajidAbdullah-p9s
    @MajidAbdullah-p9s ปีที่แล้ว +1

    ni kwel lkn is so hard to forget

  • @jumafundi3133
    @jumafundi3133 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamani hem hizilink za huyu doctor tuwasambaazie watuwengizaid huyujamaa hanabaya siju mungu kampa taalumagani dah hongra sana mzee baba👍

    • @johanessjohn
      @johanessjohn  2 ปีที่แล้ว +1

      Aksante sana Bwana Juma FUNDI, mungu akubariki sana 🙏

  • @rahabukawogo7303
    @rahabukawogo7303 2 ปีที่แล้ว +2

    Nakufatilia Sana kaka

    • @johanessjohn
      @johanessjohn  2 ปีที่แล้ว

      Aksante sana 🙏🙏🙏

  • @scollaedward4631
    @scollaedward4631 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kaka unanipa sana moyo🙏🙏

    • @johanessjohn
      @johanessjohn  ปีที่แล้ว +1

      Aksante sana 🙏🙏🙏

  • @ViolethAdam-d3n
    @ViolethAdam-d3n ปีที่แล้ว +1

    Kweliii

  • @makongoronyerere1564
    @makongoronyerere1564 ปีที่แล้ว

    True my blood

  • @asiajafary2224
    @asiajafary2224 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe mdo mtumishi wa mungu

  • @damariswanza9195
    @damariswanza9195 ปีที่แล้ว +1

    Amena,

  • @JoyceJoel-hg8zm
    @JoyceJoel-hg8zm 11 หลายเดือนก่อน

    Asant kwa ujumbe mzur

  • @FaithFrans-p7p
    @FaithFrans-p7p ปีที่แล้ว

    ❤ u broo

  • @farzanananji251
    @farzanananji251 ปีที่แล้ว

    Safi

  • @greacembwnwilibati8197
    @greacembwnwilibati8197 ปีที่แล้ว +1

    Kaka yangu kuna mtu nampend lakini yy anapenda kulamika ata kama nikitu kidogo atimaye kanimbia kuwa anaimani na mm tena unaniuma sana nilipenda sana 😢😢

  • @رقيهالخصيبي
    @رقيهالخصيبي 2 ปีที่แล้ว +4

    Maneno Mazuri sana kikubwa kuwa jasiri shukran sana kwa ushauri tupo tumesha sahau kwa sasa tuna furaha unasikia yeye anahaha kutuma watu

  • @MajidAbdullah-p9s
    @MajidAbdullah-p9s ปีที่แล้ว

    True

  • @lilianamukoya7156
    @lilianamukoya7156 ปีที่แล้ว

    Ukweli nmeyafanya haya yote Hadi anatamani kuniongelesha lkn nsha move on

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante Sana Wewe ni Dawa kwangu na wengine wengi,Mungu Akukumbuke 🙏nimefaidika na wengi nimewaonyesha clik zako wapo wanaendelea kupona🙏BARIKIWA,

    • @johanessjohn
      @johanessjohn  2 ปีที่แล้ว

      Aksante sana mama kwa kushare kwa wengine MUNGU AZIDI KUKUINUA ZAIDI 🙏🙏🙏

  • @ModextaModexta-on7mi
    @ModextaModexta-on7mi ปีที่แล้ว

    🙏🙏👌👌👌👌👌

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 6 หลายเดือนก่อน

    Kabisa Wala usiwe na mawanzo nae jiweke vinzuri unamfikiria kwani ni yeye aliekuleta duniani jifanye una Raha na huna habari nae

  • @MajidAbdullah-p9s
    @MajidAbdullah-p9s ปีที่แล้ว +1

    acana naye kwa sasa

  • @fadhagati9021
    @fadhagati9021 ปีที่แล้ว +2

    Nishauri nimpokelee cmu au nimwache

    • @JacquilineNoah
      @JacquilineNoah 10 หลายเดือนก่อน +1

      Tupo weng jaman😂😂😂😂

  • @MwanaShesha
    @MwanaShesha 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nina mwanume huyo. Yey alijua kuweka mtoto tu lakini hataki moyoni kila nikijitaid kusahau nashindwa kabisa

    • @johanessjohn
      @johanessjohn  8 หลายเดือนก่อน

      +255768275795

  • @fadhagati9021
    @fadhagati9021 ปีที่แล้ว +1

    Nimefanya ivyo ex wangu anaanza kurudi anawambia marafiki zangu ananipenda eti yeye ndo amekosae anapiga cmu nimpokelee au

    • @johanessjohn
      @johanessjohn  ปีที่แล้ว +1

      +255768275795 nicheki WhatsApp

    • @JacquilineNoah
      @JacquilineNoah 10 หลายเดือนก่อน

      Hadi mm mpaka anatuma watu😂😂😂

  • @MwanaShesha
    @MwanaShesha 9 หลายเดือนก่อน

    Huu mwak wa nne sasa

    • @johanessjohn
      @johanessjohn  9 หลายเดือนก่อน

      +255768275795

  • @alidamuhorakeye6656
    @alidamuhorakeye6656 2 ปีที่แล้ว +2

    Hello , kwakweli nafata sanaa vidéo zako sana pia ni nzuri ila naitaji whatsapp yako kuna neno naitaji kuongea na ww inbox

    • @johanessjohn
      @johanessjohn  2 ปีที่แล้ว +1

      +255768275795 hiyo hapo, Alida

    • @AminaAmina-gs9zz
      @AminaAmina-gs9zz ปีที่แล้ว +1

      @@johanessjohn nimependa jinsi unatoa ushauri naku txt kwa hii no kaka Niko na magum napotia

    • @johanessjohn
      @johanessjohn  ปีที่แล้ว

      @@AminaAmina-gs9zz 0768275795