Jinsi ya kurekebisha Short katika nyumba

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 24

  • @wakwenutv3101
    @wakwenutv3101 3 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizuri sana ndugu mi mwanafunzi wako nakufatilia sana tuko pamoja

  • @FloraJulius-mq5iy
    @FloraJulius-mq5iy 4 หลายเดือนก่อน

    Good

  • @katakemohammed8726
    @katakemohammed8726 11 หลายเดือนก่อน

    Mwenyez Mungu akuongoze vyema mwalimu tunapata eleimu nzuri Sana kutoka kwako

  • @abdallajuma1181
    @abdallajuma1181 2 ปีที่แล้ว +1

    Niko zanzibar

  • @abdallajuma1181
    @abdallajuma1181 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante xana, darasa ni zur xana

  • @mwimobatv6679
    @mwimobatv6679 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakufuatilia xan kaka we ni mwalimu zaid ya walimu

  • @yasirmauld4554
    @yasirmauld4554 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaka Asante saiv nimekuwa fundi wakisasa

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว +1

    Asante Mwalimu.

  • @expert5898
    @expert5898 ปีที่แล้ว

    Asante sana... mkuu

  • @user-fj8cp5mz9h
    @user-fj8cp5mz9h ปีที่แล้ว

    Darasa iko sawa

  • @nurujuma5959
    @nurujuma5959 2 ปีที่แล้ว +1

    I'm appreciate you 🙏

  • @jimmybarnaba2709
    @jimmybarnaba2709 ปีที่แล้ว

    Aisee kuna kitu umeelezea kitu ambacho nilikuwa sijui pakuanzia tatizo la taa kuzima zima nimekuelewa vyema sana.Asante

  • @leudkihanza898
    @leudkihanza898 2 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏

  • @dumaismail2052
    @dumaismail2052 ปีที่แล้ว

    Unakutaa taa inawaka mwang kidogo wakati umezima swichi hiy vp?

  • @juram5349
    @juram5349 2 ปีที่แล้ว +1

    Nilikuwa wap nimechelewa kukufutilia

  • @qaswidapambe8843
    @qaswidapambe8843 3 ปีที่แล้ว

    FUNDI naomba kuuliza ikiwa umewasha taa na ukacheki kwa testa kwenye holder ukakuta tester inawaka kwa muangaza mdogo yaani sio kawaida je hii ni sawa na iyo ya taa kuwaka na kupwesa pwesa

  • @muhitajihachoki2956
    @muhitajihachoki2956 3 ปีที่แล้ว +1

    Tuko pamoja fundi

  • @saburimajengo3277
    @saburimajengo3277 2 ปีที่แล้ว

    Nilikutana na shoti nayo haikuzima Msb Wala breks. , taa ikizimwa inawaka kwa nwanga mdogo sana !
    Nikakata waya wa laiv ikawa hivyohivyo. Nikakata wa eth ikawa hivyohivyo .Nikafungua swith ikawa hivyohivyo. Nini tatizo ?

  • @ramadhaniamanzi6636
    @ramadhaniamanzi6636 3 ปีที่แล้ว

    Pamoja sana mana ili darasa nilikua nalisubili kwa hamu sana

  • @mdarasarumbo3300
    @mdarasarumbo3300 3 ปีที่แล้ว

    Maelezo mazuri,ila kuna shoti inayo shusa break baada ya masaa 3 au zaid,je hiyo nayo unaitatuaje?

    • @josephdismas6930
      @josephdismas6930 2 ปีที่แล้ว

      Natamani namm niwe fundi umeme na ninapenda sana sema sija malizashule

    • @dumaismail2052
      @dumaismail2052 ปีที่แล้ว

      @@josephdismas6930 mcb imewekwa ndg inazidiwa

  • @ramadhanjuma7719
    @ramadhanjuma7719 3 ปีที่แล้ว

    mm apo nina swal mwalimu wangu

    • @ally2137
      @ally2137 2 ปีที่แล้ว

      Unafundisha vzur teacher