IBADA YA JIONI na Mch. Kenani Mwasomola || MAKAMBI MTAA WA MZIZIMA 2023 || 13.07.2023 || SIKU YA 5
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2025
- Karibu na ungana nasi kufuatilia na kutazama mafundisho, nyimbo na vipindi mbalimbali kutoka katika Makambi Mtaa wa Mzizima SDA 2023, yanayofanyika kuanzia tarehe 9-15 Julai, 2023. Moto wa kambi: "NITAKWENDA KUJIHUSHISHA" Fungu kuu: ISAYA 6:8 Wimbo Mkuu : No. 107 Karibu tushiriki mibaraka hii pamoja.
Barikiwa pr,Mwasomola kwa ujumbe uliyonyooka usio wa kupinda kiukweli umenigusa ingawa wachungaji wenzio wengi hawakupendi kwa kusema ukweli Mungu aendelee kukutumia.
Amen
Pastor kama hawa kumi kazi inaisha mapema yaan tutaacha tabia zote, Mungu akubariki sana, tunangoja hyo channel yko Pastor.
✊