HOUSE GIRL EP 45 || love story💞💕

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 927

  • @busatitv
    @busatitv  3 หลายเดือนก่อน +245

    Habari naitwa Chiko kama wewe ni Shabiki yangu naomba join kwenye group langu la WhatsApp 👇👇
    chat.whatsapp.com/BxFQki9nhbc6DcWpro6OEs

    • @kinananyuni9732
      @kinananyuni9732 3 หลายเดือนก่อน +9

      Chiko uyu uyu mpa mkewe maneno machafu😂😂😂

    • @agnessezekiel
      @agnessezekiel 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@kinananyuni9732hahahaha jamanii

    • @B.M-ix4rz
      @B.M-ix4rz 3 หลายเดือนก่อน +1

      Chiko huyu asojua maana ya ndoa yake

    • @gracejoseph1664
      @gracejoseph1664 3 หลายเดือนก่อน +5

      Chiko uyuuyu ambae Hana kizazi

    • @RehemaKakulu
      @RehemaKakulu 3 หลายเดือนก่อน

      @@B.M-ix4rz😂😂

  • @CatherineKirugumiCathy
    @CatherineKirugumiCathy 3 หลายเดือนก่อน +119

    Nimefurahia sana vile kai wamekubatiana na zuu wapi like zao

  • @PreciousMsigwa
    @PreciousMsigwa 3 หลายเดือนก่อน +79

    Namba 1😅, Hebu Tujuane tuliotoka Kibox Media Kunolewa mpaka Kupata uhondo wa Full Episode yaani Ananogesha mpaka nimekopa songesha 😅😅

  • @MagunoMtanda
    @MagunoMtanda 3 หลายเดือนก่อน +34

    🎉🎉🎉nasubilia ndoa ya zuu na kai mie kendi hata kama kachukua hati ya nyumba itarudi tuu kwa kai nyumba haiyuzwi hiyo

  • @DidaAlly-iz1it
    @DidaAlly-iz1it 3 หลายเดือนก่อน +41

    Wanaoamini kuwa zuu na kai ni wapenz kweIi wanipe Iike 🎉🎉🎉

  • @peterphilipo5103
    @peterphilipo5103 3 หลายเดือนก่อน +36

    Daaa!! Candy mpaka namuonea huruma mana Kila siku yani Bora ya Jana ila tunajifunza mengi kupitia hii move mungu awabariki sana naombeni muendelee ivi ivi kutuelimisha hata na move nyengine mtakazo zitoa

    • @JaneChaula
      @JaneChaula 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli ety🎉🎉🎉

    • @riziki8406
      @riziki8406 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hapo umesema kweli

  • @FatimabibiBibi-p5w
    @FatimabibiBibi-p5w 3 หลายเดือนก่อน +44

    Pamoja Sana kendy ale jeur yake inaonekana hata wale walio chukua hat ya nyumba watamdhulum kendy ndio ajue kua maisha si ukorofi du

    • @SalamaFrancis-yg7sr
      @SalamaFrancis-yg7sr 3 หลายเดือนก่อน +5

      Kweli kabsa😂😂

    • @deboranamara9878
      @deboranamara9878 3 หลายเดือนก่อน

      Na hat watapeleka kwa huyo rafk ake kai​@@SalamaFrancis-yg7sr

    • @Fatuma-x7j
      @Fatuma-x7j 3 หลายเดือนก่อน +2

      Nata hao watafeli haiwezi kununuliwa mpaka saini ya Kai.

    • @vxp5228
      @vxp5228 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@Fatuma-x7jhapa umesema mpenzi hawaezi fanya lolote mpaka sign ya mwenye nyumba 😂😂

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 3 หลายเดือนก่อน +42

    Nani Anaisi Uyu Shemegi Wa Mchogo Anataka Kumtapele Cendi ,....Cendi Kitakuramba So Soon😂😂😂😂😂

    • @FaridaFocus
      @FaridaFocus 3 หลายเดือนก่อน +2

      Yan siyo shemeji yake tu Hadi huyu masozii watampg na kitu kizito

    • @MwanamkasiBakari-pb2gw
      @MwanamkasiBakari-pb2gw 3 หลายเดือนก่อน +3

      ​@@FaridaFocusnaomba iwe ni hati feki😂😂

    • @FaridaFocus
      @FaridaFocus 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂

    • @امنهالسناني-ث4س
      @امنهالسناني-ث4س 3 หลายเดือนก่อน

      Nishaona

    • @nurusaid4698
      @nurusaid4698 3 หลายเดือนก่อน

      @@FaridaFocus Umeona Kumbe

  • @LatifaMohammed-p4k
    @LatifaMohammed-p4k 3 หลายเดือนก่อน +17

    Sijapenda chiko maneno alomwambia mke wake hata kama ukweli lkn Kaah kazidi 😏

  • @abdallahassan6378
    @abdallahassan6378 3 หลายเดือนก่อน +22

    😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉mm dua yangu kend asifanikiwe kuuza nyumba ya kai,

    • @SALMAMuSSA-iz4dj
      @SALMAMuSSA-iz4dj 2 หลายเดือนก่อน

      Umeongeleleya point ya maana sana ❤

    • @NuraMunyasia
      @NuraMunyasia 20 วันที่ผ่านมา

      Hata mm naomba hivyo in Shaa Allah…huyo macho kubwa chisa ndio anamsukumiza kendy kuuza nyumba but in Shaa Allah wasifanikiwe

  • @PhilbertNdayisaba-b4o
    @PhilbertNdayisaba-b4o 3 หลายเดือนก่อน +181

    Wanawotamani Hiy movie indeleley pa ka épisode 200 gong like🎉hata 10

    • @sabrahnibuka1211
      @sabrahnibuka1211 3 หลายเดือนก่อน +2

      Episode 10000

    • @ElianaSengiyumva-fs1ei
      @ElianaSengiyumva-fs1ei 3 หลายเดือนก่อน +2

      Hakiyamungu hii movie ataifike épisode 500 mana hii movie inafundishasana

    • @sabrahnibuka1211
      @sabrahnibuka1211 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@ElianaSengiyumva-fs1ei sana na kuherimisha

    • @MR_RAMSATZ
      @MR_RAMSATZ 3 หลายเดือนก่อน

      @@PhilbertNdayisaba-b4o kwani laiki unazitumia sehemu gani acha hzo

    • @riziki8406
      @riziki8406 3 หลายเดือนก่อน

      Iendelee mpaka episode 1000❤❤

  • @erizabethchanga636
    @erizabethchanga636 3 หลายเดือนก่อน +9

    Chiko ni mpumbavuu sanaa maneno gani ya kumwambya mkeo hayoo vip ukiwa wew ndo mwenye tatizoo

    • @NuraMunyasia
      @NuraMunyasia 20 วันที่ผ่านมา

      Kwa kweli chiko ni mtu mbaya sana kwa hili amekosa sana na Nina hakika yy ndio gumba

  • @rahemh1234
    @rahemh1234 3 หลายเดือนก่อน +32

    Huyu chiko 😢😢anamrusha roho mkewake nahata mimba ya Candy sioyake 😅😅😅 🤷🤷 chunga isitokee wewe mdohuna mbegu za watoto naimeisha hiyooo 😂😂😂🙈🙈

  • @sawaAsd-cp3dr
    @sawaAsd-cp3dr 3 หลายเดือนก่อน +16

    Nicheke candy😂😂😂😂😂😂 weeeee nikweli nimeamini kwali marafiki wanaweza kuacha likin mama hataumdarau vip hawezi kusahau mwanawee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @busatitv
      @busatitv  3 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏

  • @MercySilvester
    @MercySilvester 3 หลายเดือนก่อน +81

    Wow Namba 2❤❤❤🎉 penda saana daa zuu na Kai wap mauwa yao wakenya msimsahau kunipa like

    • @sifamaureen2792
      @sifamaureen2792 3 หลายเดือนก่อน

      Pongezi kwenu, movie inamafuzdo saana, Candy hata kuoga zzz muzunguko tu, love you All 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

    • @MercySilvester
      @MercySilvester 3 หลายเดือนก่อน

      @@sifamaureen2792 😂😂🤸🤸🎉🎉

    • @RaymonTz746
      @RaymonTz746 3 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤

    • @LadyD-dy3sx
      @LadyD-dy3sx 3 หลายเดือนก่อน

      Na ww utapea waKenya nn😅😅

    • @KENNETH_SIMIYU123.
      @KENNETH_SIMIYU123. 3 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤

  • @JamirahevarsteIdd
    @JamirahevarsteIdd 3 หลายเดือนก่อน +3

    Aisee👌 nimependa bro, vile umemkwepa sania vile kakukmbatia💐💐💐

  • @LucyKhachiti
    @LucyKhachiti 3 หลายเดือนก่อน +10

    Nipeeni ata like am happy zuu na Kai

  • @MariamRiziki-o8x
    @MariamRiziki-o8x 3 หลายเดือนก่อน +242

    Kama unampenda zuuu gonna likes hapa tukisonga mbele from 🇰🇪 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @jamilamwarabu3890
      @jamilamwarabu3890 3 หลายเดือนก่อน +3

      Ningekuwa mm mke wa chiko ningeondoka mm

    • @MariamRiziki-o8x
      @MariamRiziki-o8x 3 หลายเดือนก่อน

      @@jamilamwarabu3890 kwa nini uondoke linda ndoa yako 😂 😂

    • @SiseraDonasiano
      @SiseraDonasiano 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

    • @JanethHaule-vk2us
      @JanethHaule-vk2us 3 หลายเดือนก่อน

      Nimependa zuuu alivyo kutana na kka kai​@@SiseraDonasiano

    • @JanethHaule-vk2us
      @JanethHaule-vk2us 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@jamilamwarabu3890kabsa hata nisinge subili

  • @ReginaAli-f3d
    @ReginaAli-f3d 3 หลายเดือนก่อน +432

    Wanao kubaliana na mimi kuwa chiko hana uzazi like hapa 🤣🤣🤣🤔

    • @rahemh1234
      @rahemh1234 3 หลายเดือนก่อน +5

      😂😂😂😂😂

    • @FatmaKhamis-lb6jj
      @FatmaKhamis-lb6jj 3 หลายเดือนก่อน +4

      Nikwel chiko Hana uzazi😂😂😂

    • @LilianOduori-l5l
      @LilianOduori-l5l 3 หลายเดือนก่อน +4

      Kweli kabisa hana😅😅

    • @RahimaMct-ik8mr
      @RahimaMct-ik8mr 3 หลายเดือนก่อน +3

      😂😂😂

    • @HidayaMbodze
      @HidayaMbodze 3 หลายเดือนก่อน +6

      Kabisa mimba niya jamaa wa sania😂😂

  • @JanetKahindi-h3q
    @JanetKahindi-h3q 3 หลายเดือนก่อน +10

    Zuu nakupenda Sana Dada wap Shem Kai Dada?mmmmmmmwa!!!!❤❤❤❤

    • @busatitv
      @busatitv  3 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤🥰🥰

  • @salmamwakabutama
    @salmamwakabutama 3 หลายเดือนก่อน +15

    😂😂king'ang'a sania yupo vizuri akikamata haachii

  • @neemamakupa5764
    @neemamakupa5764 3 หลายเดือนก่อน +7

    Jamani tumejifunza mengi Sana ktk move hii love you so much

  • @SaumuJumwa-u4v
    @SaumuJumwa-u4v 3 หลายเดือนก่อน +30

    Leo nimewahi Kutoka kenya 🇰🇪😂team strong 💪 team zuu harusi tunayo hatuna ❤️❤️

    • @safarimbawa-ri9lc
      @safarimbawa-ri9lc 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ninapenda like nyie

    • @Orenj-l8d
      @Orenj-l8d 3 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤

    • @Marim-sj7oi
      @Marim-sj7oi 3 หลายเดือนก่อน +1

      Tunaisubiri kwa hamu❤❤🎉🎉

    • @SaumuJumwa-u4v
      @SaumuJumwa-u4v 3 หลายเดือนก่อน

      @@Marim-sj7oi❤❤❤

    • @SaumuJumwa-u4v
      @SaumuJumwa-u4v 3 หลายเดือนก่อน

      @@Orenj-l8d🥰🥰

  • @ElizabethCostantine
    @ElizabethCostantine 3 หลายเดือนก่อน +10

    Good movie kwa sababu inafundisha like it❤

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 3 หลายเดือนก่อน +46

    Wa 50 jaman na sisitiza nipeni japo 1 bas ya zuu na kai kukutana plz from Oman 🇴🇲

  • @MwanamvuaNassoro
    @MwanamvuaNassoro 3 หลายเดือนก่อน +10

    Kweli njia ya muongo n fupi na mpanda ngazi hushuka maskin kandy amefanya kupiromoka😂😂😂

  • @AgnesDavidmtalemwa
    @AgnesDavidmtalemwa 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hii movie tam sana mambo ni moto🎉

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 3 หลายเดือนก่อน +4

    Aya Aya Tena asiyekua n macho abiwi tizama cendi dishi linazid kuyumba kazi ipo chiko unalolote we mzigo wa papa suziii mapenz ni 🔥🔥🔥🔥 n madefu mariooo

  • @SaumuRuwa-t3h
    @SaumuRuwa-t3h 3 หลายเดือนก่อน +12

    Kwa taarifa Yako chiko huna uwezo wa kumpa mwanamke ujauzito,mimba ya candy sio ya kwako 😂😂

    • @KhadijaRamadhan-f2b
      @KhadijaRamadhan-f2b 3 หลายเดือนก่อน

      Ndio mimba ya kendi niya papa nasio ya chiko

  • @uwasechim-assya658
    @uwasechim-assya658 3 หลายเดือนก่อน +11

    Dhuuuuu w mwisho jamani naomba like 1 tu hmmm tujuwane apa House girl ❤❤

  • @ashaiddi7880
    @ashaiddi7880 3 หลายเดือนก่อน +7

    Namimi bs jamani like hata moja

  • @abelymzumbwe
    @abelymzumbwe 3 หลายเดือนก่อน +18

    Nikama chiko jogoo hapandi mtungi vile 😮😮😮

    • @linnahmshama
      @linnahmshama 3 หลายเดือนก่อน

      Anapanda mtungi vizur anakula shoo bila shida ila mbegu zakuzalisha hana anazo zakuozesha 2😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@linnahmshamazakuozesha haswa! Khaaa 😂

  • @Lovekidoti32
    @Lovekidoti32 3 หลายเดือนก่อน +9

    Chiko ameyabananga, tatizo la kutopata mtoto ni la mke na mume lakin chiko kamuangushia lawama mkewe bila kujua yeye ndo mwenye tatizo, Sasa shida iko kwake uso wake atauweka wapi😂😂

  • @FailaQueen-qm4dt
    @FailaQueen-qm4dt 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mwenanao munatoa moja moja 😢😢munaboa jamani kazi yenu nzuri sana lakini muwe munatoa ata mbili kwasiku basi 🎉🎉

  • @MariahJuliuss
    @MariahJuliuss 3 หลายเดือนก่อน +3

    Duuuh Ahsantee sana jamani yani nakaa muda wote nikisubili 🎉❤🎉❤🎉❤🎉🎉❤

  • @foodcook3626
    @foodcook3626 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hapo kabla movie kufika mwisho nimekwisha kuonja utamu. Ongera!

  • @mary-lx3hr
    @mary-lx3hr 3 หลายเดือนก่อน +6

    Sijui nilie na candy ama nilie na mke wa chiko ama ni furahie na wakina kai na zuuu

  • @MarianeKibada
    @MarianeKibada 3 หลายเดือนก่อน +3

    Candy jaman watu walikua wananyanduana we unaingiza vilio nakupa pole ya kinafki gonga like hapa

  • @SophiaMfilinge-o8t
    @SophiaMfilinge-o8t 3 หลายเดือนก่อน +3

    Anae hisi chiko awezi kuzalisha tujuane😂

  • @REHEMANCHALIKA
    @REHEMANCHALIKA 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mm mdada wakenya najipata tuu napenda zatiti❤❤❤❤hata mavazi yake s yawaz sana🎉🎉🎉

  • @moodylenovo100
    @moodylenovo100 3 หลายเดือนก่อน +7

    Kendty anaitwa shida na shida zimemuandama natoka 🇰🇪 nipeeni likes wapendwa

  • @Shinyg3l
    @Shinyg3l 3 หลายเดือนก่อน +6

    Naamn nyumba haiuzwi mpaka sahihi ya mwenye jinaa🤣na mungu hawez mfanikishia candy hili kwa madhambi aliyofanya ni muda wa kai na zuu kujidai👌👌👌♥️

  • @NancyKadzo-zk3tp
    @NancyKadzo-zk3tp 3 หลายเดือนก่อน +19

    like kwa daa zuu na kai🎉🎉🎉🎉

  • @everlineaminakombe278
    @everlineaminakombe278 3 หลายเดือนก่อน +6

    Waaah nmewai kias Leo maana kila siku n WA 10k kuendelea

  • @Lydia-oy1cz
    @Lydia-oy1cz 3 หลายเดือนก่อน +4

    Anaye kubaliana na ilo hug apige like akipita😂😂😂

  • @daxpcomandomz3450
    @daxpcomandomz3450 3 หลายเดือนก่อน +15

    Leo namimi nimewai jamani naombeni like zangu angalau kumi ivi Dax P from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @PurityMwongeli-p9f
    @PurityMwongeli-p9f 3 หลายเดือนก่อน +11

    Candy bna ulie na ulijifanya mjuaji ukimlilisha zuu

  • @HillarySendeu-ht3lj
    @HillarySendeu-ht3lj 3 หลายเดือนก่อน +11

    Ndugu zangu achenj zenu unakuta mtu yupo serious kusoma comment yangu badala ya kuandika yake😅😅 unayeangalia embu like

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 3 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂Leo candy amelia kweli yamemfika

  • @janethkimath5275
    @janethkimath5275 3 หลายเดือนก่อน +3

    Chiko ni kizaz cha amdala kiuno😅😅

  • @elvinakalu6991
    @elvinakalu6991 3 หลายเดือนก่อน +4

    wamwisho leo ,nipeni like hata kumi basi,nawapenda sana❤❤❤❤

  • @FatumaAli-xm8di
    @FatumaAli-xm8di 3 หลายเดือนก่อน +6

    Kendy mama nibora kuliko kitu chochote duniani

  • @MR_RAMSATZ
    @MR_RAMSATZ 3 หลายเดือนก่อน +15

    Leo nimewahi jama tujuane team Khai hapa kwakoment

    • @BenardGava
      @BenardGava 3 หลายเดือนก่อน

      Ukosawa mtoto wakiume

  • @MemoryKamutandi
    @MemoryKamutandi 3 หลายเดือนก่อน +5

    Waoooo mungu ni mwema zuu a kay amekutana🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @kinananyuni9732
    @kinananyuni9732 3 หลายเดือนก่อน +9

    Ssa uyu shida kinacho mpa shida hapo nni kujizungukia tuu kuoaga aaah😂

  • @rachealmoniva1735
    @rachealmoniva1735 3 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda candy sana nafasi yake ameicheza vilivyo bila yy hi movie haingenoga kabisaaa

  • @ElizaKimario-q4i
    @ElizaKimario-q4i 3 หลายเดือนก่อน +5

    Wa pili Leo naomben like ❤❤

  • @SathyaSanchez-y1d
    @SathyaSanchez-y1d 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mapenzi yanauma Chiko ww huna uzazi 😢😢😢😢😢

  • @levinamruma5461
    @levinamruma5461 3 หลายเดือนก่อน +8

    Candy umekua mdg kama piriton 😂😂😂😂😂😂😂 Penzi la kichawi halidumu

  • @Mariam-ju4rq
    @Mariam-ju4rq 3 หลายเดือนก่อน +19

    Mke WA chiko anajua kulia😅,Alf chiko bana we ndio unamatatizo

    • @busatitv
      @busatitv  3 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣

    • @MemoryKamutandi
      @MemoryKamutandi 3 หลายเดือนก่อน

      Kwerichiko hazai😂😂😂

    • @CharmingAngel-wx2sk
      @CharmingAngel-wx2sk 3 หลายเดือนก่อน

      Chiko chiko chiko,nimekuita mara ngapi,kitakuramba,tu ,na utajutia mbona unanyanyaza huyu mkewo

  • @BrendaMogambi
    @BrendaMogambi 3 หลายเดือนก่อน +6

    Chiko kweli nawe mapenzi yatakuua brother 😂😂😂😂😂😂

  • @SalomengandiNzungu-it5ph
    @SalomengandiNzungu-it5ph หลายเดือนก่อน +2

    Kama ningekua bibi ya chino ningemcheat nikashika mimba ndio amaniheshim huyu chiko😂😂😂😂😂😊

  • @BatulZahana
    @BatulZahana 3 หลายเดือนก่อน +4

    Penda sana da zuu na kai ❤❤

  • @JustinNyadzi
    @JustinNyadzi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Chiko 😂😂😂😂😂😂 usiseme kuna mwanamke umempa ujauzito sema kuna mwanamke amekupa ujauzitooooo kula chuma ya bana congo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @has1039
    @has1039 3 หลายเดือนก่อน +28

    Number 2

  • @RashidAlly-u4p
    @RashidAlly-u4p 3 หลายเดือนก่อน +1

    Season hii ni nzuri ikipendeza zaid ingeonyeshwa kwenye sinema zetu

  • @Fatma-yf6qb
    @Fatma-yf6qb 3 หลายเดือนก่อน +22

    Waooo jaman sijawah omba coment Leo naomben mi ndo 1

  • @MunyirunguHonest
    @MunyirunguHonest 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ni mwema furaha ya kai pamoja na babake imepatikana sasa basi tufungeni ndoa tayari

  • @MICKEYBOYHB
    @MICKEYBOYHB 3 หลายเดือนก่อน +5

    We Chiko Neng'eneka tyuu😂

    • @Ellywangu
      @Ellywangu 3 หลายเดือนก่อน

      Mbona neng'eng'eka😅😅

  • @MwaliSuleih
    @MwaliSuleih 3 หลายเดือนก่อน +1

    Weeee mr tasha jamn ❤❤❤❤❤❤ kitoto kimekuganda icho keeee😂😂😂😂😂😂😂 hatari

  • @Tagy21
    @Tagy21 3 หลายเดือนก่อน +7

    Naomben likes jaman ata tano tyu

  • @LovenessMassawe-xr8dr
    @LovenessMassawe-xr8dr หลายเดือนก่อน +2

    Mm niliwaza hill siku nyingi😂😂😂😂😂

  • @GrentoStivin
    @GrentoStivin 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hakika mnastahili pongezi Kai,Mr Natasha,wahusika wote kwa ujumla welldone

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 3 หลายเดือนก่อน

      Ni Tasha Natasha ni mke

  • @12omochildren
    @12omochildren 3 หลายเดือนก่อน +1

    Chiko wewe ndo tatizo,so candy can be this humble

  • @zanishaikhonge7296
    @zanishaikhonge7296 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kidog nimewahi kazi nzur like kwa team zuu

  • @macrinafuraha-zg3mi
    @macrinafuraha-zg3mi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli huu ni mwaka wa kuforce, hug nayo nilazima niipate😂

  • @HadijaChondo
    @HadijaChondo 3 หลายเดือนก่อน +8

    ❤❤❤❤ wanaompendaa zuuu gongaa like hapaa

  • @FaidaFrank
    @FaidaFrank 3 หลายเดือนก่อน +2

    Chiko Hana kizazi kabisaaa😂😂Ila inahuzunisha😢

  • @AhmadiMuzamir-rn6tu
    @AhmadiMuzamir-rn6tu 3 หลายเดือนก่อน +9

    Sijajua mie wangapi ila naitaji like zeni jamani

  • @UmmyShabir
    @UmmyShabir 3 หลายเดือนก่อน +3

    Duh kumbe ndoa ndo zinachangamoto km izi 😢😢 chiko anamwambia mkewe maneno yale😢😢 duh wanaume wanapaswa wakae vzr na wake zao kwasbabu mwanamke anawez ata kukuekea sumu kwenye chakula ila anavumilia 😭😭😭

    • @agnessezekiel
      @agnessezekiel 3 หลายเดือนก่อน

      Umeona nawewe yaan anampa maneno makali kias ili mmh

  • @joycegodfrey4683
    @joycegodfrey4683 3 หลายเดือนก่อน +4

    Jamani wanaokerwa kuangalia vipande dk chache gonga like 😢

  • @Phoebenafula
    @Phoebenafula 3 หลายเดือนก่อน +31

    Likes hapa za watu wa kenya tukigojea harusi ya kai na zuu❤❤

  • @EsterWikama
    @EsterWikama 3 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu chiko vip mbona anamdhihaki sana huyo mdada. Kamkosea nn jmn mbona anamkosea hiv hata kma katembea nae ndo anamsibitishia kabisa dah imeniuma

    • @EstherMkono
      @EstherMkono 3 หลายเดือนก่อน

      Tena chiko angejua kuwa yeye ndie hana kizazi atajuta siku moja

    • @lutfiyahsaidi6666
      @lutfiyahsaidi6666 3 หลายเดือนก่อน

      Atajuta cku ambayo hatoweza kummiliki tena huyo mwanamke 😢😢

  • @macrinafuraha-zg3mi
    @macrinafuraha-zg3mi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Dunia inaenda vizuri wewe ndie ambae unaiendesha kombo candy umeyakanyaga

  • @kinananyuni9732
    @kinananyuni9732 3 หลายเดือนก่อน +6

    Chiko kujisifu tu kumpa mtu ujauzito aaaah 😂😂😂

  • @RazikeRara
    @RazikeRara 3 หลายเดือนก่อน +3

    Candy hapo ndo umejua ukwel asiesikia la mkuu huvujika muguu sai mama ako uliemchangua amekuruka

    • @busatitv
      @busatitv  3 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣

  • @KuruthumAmiri
    @KuruthumAmiri 3 หลายเดือนก่อน +10

    Sina mda wa kudai like ila busati munanitaidi kazi mzuri afu leo mumechelewesha kutoa

  • @SarahEriasi
    @SarahEriasi 3 หลายเดือนก่อน +2

    Namwonea hurum kendy saiv jmn

  • @MiriamHussein-ft7ts
    @MiriamHussein-ft7ts 3 หลายเดือนก่อน +32

    Wa pili leo naomben like

  • @MbiliziBubala
    @MbiliziBubala 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hili sehemu jamani inamafunzo mengi mtu yoyote anatatinzo na wazazi wake hasiione haibu hata kama uliuwa omba musamaa tuu utasameewa ongereni sana wachezaji wa movie iyi.🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰👌👌👌👌💪💪💪💪💪💪

    • @busatitv
      @busatitv  3 หลายเดือนก่อน

      🥰🥰🥰🥰🥰

  • @HappyCharles-vk8ds
    @HappyCharles-vk8ds 3 หลายเดือนก่อน +6

    Watu mko macho kama mnalala mtandaoni 😂

  • @barakamshefa6426
    @barakamshefa6426 3 หลายเดือนก่อน +2

    Zuu n mwenye nyumba sasa❤

  • @thedyjovine4211
    @thedyjovine4211 3 หลายเดือนก่อน +4

    Candy kimemkuta kitu adi kalia pole yak sana🤣🤣🤣

  • @ShAMIMURASHIDI
    @ShAMIMURASHIDI 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mko wap Wana Busat jmn

  • @RehemaNgumbao-f1s
    @RehemaNgumbao-f1s 3 หลายเดือนก่อน +4

    We chiko pia nikama jogoo hapandi mtungi😂😂😂

    • @fatumabakari2640
      @fatumabakari2640 3 หลายเดือนก่อน

      Anapanda lkn jongoo lake halina macho😂😂😂

    • @RehemaNgumbao-f1s
      @RehemaNgumbao-f1s 3 หลายเดือนก่อน

      @@fatumabakari2640 ooh🤣🤣🤣aww pole

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@fatumabakari2640 Yalahhhhh🤣🤣🤣

  • @emmykibona8629
    @emmykibona8629 3 หลายเดือนก่อน +6

    Leo namm nimewah duuuh

  • @WiltherArisa
    @WiltherArisa 50 นาทีที่ผ่านมา +1

    Chiko wewe machozi ya mwenzio yasingatie halafu hauna kizazi bro 🤣🤣Kwa movie yaani

  • @sharifabahar9905
    @sharifabahar9905 3 หลายเดือนก่อน +4

    Natamani kukutana na comment tumejifunza kitu ila nakutana na comment kila mtu analilia likes

    • @busatitv
      @busatitv  3 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏

    • @Orenj-l8d
      @Orenj-l8d 3 หลายเดือนก่อน

      Imagine

  • @MaryamPaul-w9s
    @MaryamPaul-w9s 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ndoa inatka uvumilivu lkn kwa ndoa ya Chiko 🙌 nwekewe wimbo wa harmonize-nishaxhachoka

  • @RozinahBhoke
    @RozinahBhoke 3 หลายเดือนก่อน +15

    Nmejaribu sana nipew maua kidogo na likes ata mbil🎉

    • @Violethsoory
      @Violethsoory 3 หลายเดือนก่อน

      🎉🎉🎉🎉🎉

    • @Marim-sj7oi
      @Marim-sj7oi 3 หลายเดือนก่อน

      ❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉

    • @Violethsoory
      @Violethsoory 3 หลายเดือนก่อน

      @@Marim-sj7oi ok