SIRUDI KATU SIRUDI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 25

  • @fathimalathifa8926
    @fathimalathifa8926 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akurehemu akuweko mahali Pema kaka angu mpendwa akuswamehe makosa yako ya siri na dhahiri Almarehemu haidar Allahumaa Amiin

  • @youngbob9761
    @youngbob9761 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana,,Zanzibar raha sana ....anaefika mapema ndio unae mrizisha...

  • @cholloriyamiy2249
    @cholloriyamiy2249 4 ปีที่แล้ว +4

    Chupa ikisha vunjika
    Vigae huhatarisha..
    Bure kutia viraka
    Kuyasumbua maisha..
    Jaraha lokitoeka
    Kovu litakukumusha..!
    ^^
    Siwezi kurudi nyuma
    Moyo nikautonesha..
    Wewe kiti cha sinema
    Ajae Unampisha...
    Anaefika mapema
    Ndio unomridhisha..!

  • @ShaibuAbedi-o5e
    @ShaibuAbedi-o5e ปีที่แล้ว

    Hizo ndio tarabu😂

  • @saadabdulrahman9041
    @saadabdulrahman9041 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akurehemu uko ulipo ndugu yangu akusamehe zambi zako

    • @sarahwillis9300
      @sarahwillis9300 3 ปีที่แล้ว

      Kwani huyu anaitwa nani kafariki huyu aloimba kwenye hii video

  • @mangofish9079
    @mangofish9079 8 ปีที่แล้ว +1

    sauti nzuri ya kuimba taarab iliotulia kabisa

  • @cholloriyamiy2249
    @cholloriyamiy2249 ปีที่แล้ว +1

    Kiti cha sinema
    Ajaye Humpisha
    Hahaaaah

  • @RioIpo
    @RioIpo 3 ปีที่แล้ว

    Ya zamani yamekwishaaaa

  • @saharasheekh5073
    @saharasheekh5073 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah nice song 🎵👌♥

  • @hasinahamza6752
    @hasinahamza6752 8 ปีที่แล้ว +2

    kiti cua sinema,,atae fika mapema ndii utomridhisha

  • @ahmedyoung7300
    @ahmedyoung7300 7 ปีที่แล้ว +3

    nice

  • @mrishohaji9558
    @mrishohaji9558 6 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @СалумвичСалумовна
    @СалумвичСалумовна 6 ปีที่แล้ว +1

    Naomba tuweke HIDAYA

  • @СалумвичСалумовна
    @СалумвичСалумовна 6 ปีที่แล้ว +1

    Raha sanaaaaaaaaa. NOSTALGIA

  • @micalmircho1719
    @micalmircho1719 4 ปีที่แล้ว +1

    Lete lete vitu

  • @nusaebahkeis6774
    @nusaebahkeis6774 4 ปีที่แล้ว

    Sirudiiiii

  • @kassimumussa8581
    @kassimumussa8581 ปีที่แล้ว

    Akun cha kunirejsh

  • @cholowao8123
    @cholowao8123 8 ปีที่แล้ว

    mazoea yana tabu tabia zikilingana

  • @sulaiman9113
    @sulaiman9113 11 ปีที่แล้ว

    Asante sana bro

  • @rashidimsangi3667
    @rashidimsangi3667 10 ปีที่แล้ว

    Faili

  • @bradychristoph4780
    @bradychristoph4780 10 ปีที่แล้ว

    Nzuri

    • @AishaAbeid
      @AishaAbeid 5 ปีที่แล้ว

      Brady Christoph safi sana sirudi tena moton