Asante pia sandra japo nmechelewa kuiona hii episode ila n kwa sababu zisizo epukika ila nakupenda sana pamoja na team yko mungu awepe nguvu siku zote amena
Sandra ni bonge la series lkn pia napenda editing yake inaweza sana...hapa usituekee season 1 wala 2 yaani twende hivi hivi hatakama itaishia episode 200❤❤❤❤
Naomba scene inayofata sandra arudishwe tofaut na hapo hatutoelewana maana nitawaebukia hadi uko kambini kwenu nianzishe fujo. Nakupenda sana Sandra❤Mwaaaaaaaaah🥰. Pia dkk za series tunaomba zitulie kwenye 30 ndy max kutokana na utamu wa hii movie.😊
Nawatakia mwaka mpia nyinyi wachezaji wote wa hiyi movi ya sandra.nawatakia maisha mema popote muendapo. Kwamajina, naitua aniseti kutoka Burundi mukoani muyinga❤❤❤❤❤
Sandra episode 23
th-cam.com/video/tIQ0dLCJQSU/w-d-xo.htmlsi=SZWyb-dPUyfo83Hl
Sandra episode 22
th-cam.com/video/6MFBCY2hFsc/w-d-xo.htmlsi=cwtmkAYLjdiEqKNx
Sandra episode 21
th-cam.com/video/Kn0lBvP1ero/w-d-xo.htmlsi=f1pqvt7hzrz2E2Mr
Sandra episode 19
th-cam.com/video/XPIpFulzsrQ/w-d-xo.htmlsi=sw-pZTucuKTzGxSS
Sandra episode 18
th-cam.com/video/PyZHa3q1qPs/w-d-xo.htmlsi=FA8_wECsFeVqe9Ol
Sandra episode 17
th-cam.com/video/za66LGMABsI/w-d-xo.htmlsi=H7ic4rg5-2sK86O3
Sandra episode 16
th-cam.com/video/kXropyF54SY/w-d-xo.htmlsi=jUrVXcv7INQoI2cC
Sandra episode 15
th-cam.com/video/niohI4EhWyc/w-d-xo.htmlsi=ErafpqS8BJpo67kY
Sandra episode 14
th-cam.com/video/XaOv9kNypSM/w-d-xo.htmlsi=IgFcc1mu1JmNaP4W
Sandra episode 13
th-cam.com/video/OjpHZtlEqhQ/w-d-xo.htmlsi=PF5sWX0DzsuDsE5D
Sandra episode 12
th-cam.com/video/G-5HbFxMLK8/w-d-xo.htmlsi=cXQotZskToHPK-HN
Sandra episode 11
th-cam.com/video/PlFNMUAvqq4/w-d-xo.htmlsi=1ZeJc1Tpsc9hENzV
Sandra episode 10
th-cam.com/video/i1ednW2wyjk/w-d-xo.htmlsi=BbTgNypsWkJ_reRl
Sandra episode 9
th-cam.com/video/WHTUpPcfqLg/w-d-xo.htmlsi=BQkoYJAxeu5FU6iY
Sandra episode 8
th-cam.com/video/quZfZh9hxkM/w-d-xo.htmlsi=M1l7-glLZtCZrI3X
Sandra episode 7
th-cam.com/video/V119d-ku-Z4/w-d-xo.htmlsi=zV3SBOIbtnHrjzGl
Sandra episode 6
th-cam.com/video/EVFHWef1pfU/w-d-xo.htmlsi=Sml-MpMn4xJG_MXE
Sandra episode 5
th-cam.com/video/4etfPTUa6os/w-d-xo.html
Sandra episode 4
th-cam.com/video/bACm-XJtZyM/w-d-xo.htmlsi=EiXws9tSAnGKGiR2
Sandra episode 3
th-cam.com/video/Z1Emh1A9QCQ/w-d-xo.htmlsi=jaJh5HuXoxyPKzv6
Sandra episode 2
th-cam.com/video/gT1pxPbZwuY/w-d-xo.htmlsi=jsAMEJKXBYDT75di
Sandra episode 1
th-cam.com/video/imqzkqFrVT4/w-d-xo.htmlsi=oRFW5N_WWCSJrAsE
❤❤
Nakukbali sandra
Aisha habity ndo kwanza imenoga wallah we we na timu nzima mungu awape maisha malefu muendelee kutupa utamu
Nawapata nikiwa UAE
❤❤❤
Nakupenda sana Sandra na team yako yote maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉maua yako sandraa unajua sanaa mashallah
Kitu kizuri uwa akina thamani kwa mmiliki🙏 usisaau Kuni follow wapendwa naitwa Manyanya Niko katika Tamthilia ya Dunia
Tupo na wewe usijali
Tunakukubali sana
Mkono Kwa mkono na wewe ,🎉mwalimu wa ma shahuri mkuu wa plan ❤
Nimekwambia kaka chukua fomu ya uraisi kwa chama ukitakacho, tunakupa Kura zote mkuu
Follow NGONDE.....director sandra seris
Leo nimechelewa kidogo lakini naomba like 👍 from in Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🌹💐💔🍎
Mwiu Kaká
Mmozambiq mwenzaku ❤❤
Sandra niconect baci kwayule malkia mdogo nampenda❤ mwezio
😂😂😂😂😂😂
Asante pia sandra japo nmechelewa kuiona hii episode ila n kwa sababu zisizo epukika ila nakupenda sana pamoja na team yko mungu awepe nguvu siku zote amena
Nampenda sana Sandra awe make wangu
Khaaah Juma jamani sio kwa utambulisho huo😂😂😂😂eti nimezaliwa Tanga😂😂😂unajua Maalim🎉🎉🎉
Waooooh SANDRA,,
Kazi nzuri.
Hongera sana Madam ni kazi nzuri sana binafsi naipenda sana nimekuwa shabiki yako sasa nipo nawe kwa kila kazi zako 👏👏👏
From Congo, katika watu wa kali kalimu nawe Sandra umo umo,sote tu seme iweeee
Hata mm nakukubali sana Sandra
Yani nawakubli hta kaka juma jicho😂😂
Kaz nzur dada ake❤
Katika warembo wakalikalimo nae Suzie yupo yupo na sote tusema Maalim....love from 254......❤❤.
Wini ni nzuri Sana frow Mozambique 🇲🇿🇲🇿 💪
Katika zile movie kalikalimo, na hii imoimo, wote tuseme maalim
😂😂😂😂
maalim
Maalim
Maalim😂😂😂
Maalim
🎉🎉🎉🎉🎉twawapenda pia wapendwa ❤❤❤❤
Mungu akutangulie ufanikiwe🎉🎉❤❤❤
Sandra allah akulinde❤hii kazi yako nzur sana adi ukichelew kutoa inauma n bas tu sending love from burundi ❤❤❤
Habarizenujamani
tunawapenda wote ❤❤❤❤mpo vizuri
Sawa
Tunakupenda mway sandra wetu😊
uko vizur from Kenya naipenda Sana movie yenu
Sandra Wangu usiwawee nakupenda sana❤❤❤
Wote tusemee maalimuu❤️🔥👌🏿🙌🏿🙌🏿
Hongera sana Sandra Kwa kazi nzuri 🔥🔥🔥🔥🔥
Huu mwaka basi ndio unaanza na mambo Moto Moto mezani ,,keep it up Sandra na team yako ❤
Sandra naipenda saaana filamu mwaka mzuri kwako mama
Ni nzuri hamu fayi mbio mbio
Nenge furahi sana km kipara jaiva nae engejitambulisha kacheza km Nani katika move ya SANDRA
Jamaniiii namimi napenda kuigiza sana mnanisaodiaje
Na katiya watu ambapo wana fata sana sadra na tena kali kilimu nami nimu nimu
😂😂😂😂😂😂
Hii movie yn iko na warembo jaman ❤❤
Nasira mussa
Sautiyako ni mzuri Sana nimeipenda
Nakubali sanaa sema Sandra sijamuelewa mbn amecheza sehem tatu tofauti
Mwenye nguo nyekundu mkubwa mwenye nguo blue wakati mwenye nguo nyeupe mdogo na ndie mwenye loho mbaya kuliko wote
Nampenda juma jicho popote alipo 😂😂😂 aje kwangu
😅😂😂😂😂😂
Sandra nawapenda nyote kwa jumla kutoka Congo DRC 🇨🇩
Sandra ni bonge la series lkn pia napenda editing yake inaweza sana...hapa usituekee season 1 wala 2 yaani twende hivi hivi hatakama itaishia episode 200❤❤❤❤
kazi nzuri sana
Nilikuwa nimengoja kuona kipara akituwishia happy new year mbn hakuwepo but much love from me ❤
Msalimieni xn Sandra,Kipara,Na MR NARABUK weweeee😅😅😅😅 n hapa kutoka Kenya
Uyo jama jini mkuu anajua sna tena snaa
Asante sana mr NARABUKU 🎉🎉🎉
@mrnarabuku❤
Naomba scene inayofata sandra arudishwe tofaut na hapo hatutoelewana maana nitawaebukia hadi uko kambini kwenu nianzishe fujo. Nakupenda sana Sandra❤Mwaaaaaaaaah🥰. Pia dkk za series tunaomba zitulie kwenye 30 ndy max kutokana na utamu wa hii movie.😊
🎉🎉🎉😂😂😂😂
Utamuibukia
Nakubali shalaji
Bartazar zee la kushenyenta😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Tenaa mmemuona jini Sharaji kavaa Suti leo 😂😂maana sio kwa kile kikanzu chako😂🎉🎉🎉
Jamani mganga Punjabi sijui nani sio kwa kujing'ata huko😂 haya tumekuelewa👏👏🎉🎉🎉🎉
Dada SANDRA Alijituliza kwenye hii movie Wallah maan haichoshi❤❤❤🇧🇮
Sandra tunaomba na last born
hii inabamba sana...,ila juma ni moto zaidi
Iko vizuriiiii sanaa hii moveee
Mimi naomba kazi tu by star b kipepeo
Hongera saana Sandra nakufatiliya saana Malikia mdogo ananini amenikera saana alivyo futa kumbukumbu kwa Kipara 😢
Nimechelewa kidogo leo 🎉 HONGERENI SANA SANDRA NA TIMU YAKO
Mnaweza kabisa nakupenda sandrah
Chuma Pro max, nimekuelewa sana mwamba. Keep it up
Tupo kama kawa naipenda sana maua🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wow,vizuri sana Sandra,musi cheleweshe, tuna itaji muda wote
Ila sandra bhn rudiii we ndo sterling najua ujafa nakusubiria ety😢😢❤
Mbona movie imejawa wasaliti nilijua tuu uyo malkia wa kisautii n msaliti😂
😂😂😂😂kisha sana
wakwanaza ndi mm nawomba like jamani sijawayi kupata like
Natokea Kenya.. Tunawapenda 🎉. Happy New Year guys..
Nawa shukuru piya wana member yote, courage tena kwa mwaka ujao
Yaan kweli Sandra ipo kwenye movie Kali kalimo ntasema maalim tunaioenda sana huku kenya❤❤❤
#Shabyus
#Kipara
#Sandra
#Malkiaa
Tunakupenda sandra ❤ ila juma jicho unachekesha
Sija muona mpezi wangu kipara. Sandra umenibia
Yan ktk move na enjoy sn ni hiii ongera sn ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wooooow tunawapenda jamaniii 💕💕 mko vizuriii caana tuseme MALIMuuuuu😂😂😂😂
Hivi, wa Sandra wako wangapi !!!
Yaani naipenda sana hii filamu❤🎉
asante sandara umwaka tumeupokea salama pamoja na wewe sandra asante kwa muvi nzuri hii
Mmejitambulisha vizuri sana Nawapenda nyote 🎉🎉🎉🎉🎉
Sandra,nawenziye,msitukawizi shabiki zenu,bcz,tunawa like sana
Pamoja sana mtoto mzuri Sandra nakupenda kutoka Bujumbura Burundi 🇧🇮♥️🙏👑
Mim niliona tuuh tangu mwanzo kwamba hyu pacha wa sandra ana roho mbaya
Nilikuwa nasubiri hii comment 😅
😂😂😂
😂😂😂
Huyo jini mwenye nguo ya blue mbona anafanana na Sandra au wao mapacha wa 3
@@EstherJoseph-jy1os 3 ila huyo mwenye nyeupe muonja sumu
Wini nakupenda unasura nzur macho yako nayapenda
Naku kubali sana Sandra 🎉
❤❤❤❤👍👍👍Tunasubiri mwaka 2025 Good bye
marikia mdogo msaliti kumbe anataka sandra afe sijapenda anaekubariana na mim gonga apo
Mungu awafanyiye wepesi muzidi kutoa kazi mzri zaidi sandra
😂😂😂we marehm mzuri siwez ishi bila ww....like toka kenya ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Hiki kijuma siku kikiondoka katika hii movie nitaiacha kbs😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Na ww kipara hongera kwa maigizo yk
I am from Zambia I like your movie so much ,keep up the good work❤
Katika wale ma star kumi ambao hawana baya na mimi nimo nimo 🎉aya twende kazi
Leo nmwahi with 4min good job Sandra keep it up ❤❤🎉
Haki kweli leo nimechelewa kbs ila kazi zuri sana ❤
Muko vizuri sana muve safii sana Sandra unajua sana ❤❤❤
Nawatakia mwaka mpia nyinyi wachezaji wote wa hiyi movi ya sandra.nawatakia maisha mema popote muendapo. Kwamajina, naitua aniseti kutoka Burundi mukoani muyinga❤❤❤❤❤
Asante sana
Kazi nzul sana 😢😢🎉🎉🎉😂😂❤❤❤🎉🎉🎉
Hongera Sana Sandra❤❤🎉🎉🎉
DéIégation macho kuona roho kuIuma Yoooodiii
Marci Sandra 💪💪
Sandra ni mimi apa Congo/🇨🇩 kalemie tuko pamoja❤
Huyu malkia mdogo hana wema. Bora Sandra urudi uendeleze mapambano
Uyu mdogo wake na Sandra sio mtu mzuri 😢😢❤
Hiyo siyo mtu ni jin
@perfectfilm3656 hahaaaaa jamani
Dada angu piga kazi umeua sana humu❤
Kazi nzuri🎉🎉🎉
Asante sana watu wangu Sandra wee ni mpole sana hata movie yako iko vzry sana yaani inavutia❤❤❤❤❤❤
Sisi ndio hatuchoki sasa 😂😂😂illa kazi nzuri sana dada mimi naikubali sana🎉🎉🎉illa ukuje Kenya 🇰🇪 tukuone welcome to 254t❤❤❤
Kanzi zuri sandara mm kutoka kenya nafuatulia kazi yko na kipara sana