HIKI NDO KILICHOTOKEA IRAN SHAMBULIZI LA ISRAEL NA IRAN MWANZO MWISHO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 เม.ย. 2024
  • Afisa mkuu wa Iran ameliambia shirika la habari la Reuters "Iran haina mpango wa kulipiza kisasi mara moja dhidi ya Israel," saa chache baada ya shambulio dhidi ya mji wa Isfahan nchini Iran, ambalo linaripotiwa kufanywa na Israel.
    Maafisa wawili wa Marekani waliambia vyombo vya habari kwamba shambulio hilo lilitoka Israel, lakini Israel haijadai kuhusika hadi sasa.
    "Chanzo cha kigeni cha tukio hilo hakijathibitishwa. Hatujapokea shambulio lolote kutoka nje, na majadiliano yanaegemea zaidi katika kujipenyeza kuliko kushambuliwa," afisa huyo wa Iran alisema kwa sharti la kutotajwa jina.
    If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
    COPYRIGHT VIOLATION
    For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright.

ความคิดเห็น • 111

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt หลายเดือนก่อน +4

    Oooh allah jaaalia kila la kheri irani na la sharii waepusie

  • @aminiyohana2129
    @aminiyohana2129 2 หลายเดือนก่อน +5

    Walimuwuwa ghadafi wakaona powa acha Iran isimame kidede Kwa hao makafiri

    • @paulvimbamvula9508
      @paulvimbamvula9508 หลายเดือนก่อน

      Tusiwombe mabaya ....lakini Iran kuwa vitani na Israel,Iran itapata tabu sana....Israel ipo vizuri sana juu ya Irani

    • @festokivuyo7121
      @festokivuyo7121 หลายเดือนก่อน

      Makafiri wana washughuliki vizuri wenye dini unaita mtu kafiri unafikiri hilo ni kitu ya maana apa muhimu nikuagamiza magaidi wawe wenye dini au makafiri Israel 🇮🇱 itanyoosha kbs

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 6 วันที่ผ่านมา

      ​@@festokivuyo7121Israel mashoga makafiri

  • @IdrisaMganga-ef4is
    @IdrisaMganga-ef4is 2 หลายเดือนก่อน +7

    Haina haja ya kushangaa mwisho wa dunia ndo huu (Israel, marekani, uingereza,ufaransa, Olav shows,na NATO na nchi zote zenye kambi za kijeshi za hizo nchi) >>(Irani, Korea kaskazini, China,urusi, india , Pakistani, south Africa.) Hapa namanisha Kua hakuna atakaekua salama hata Tanzania. Baada ya hii vita hakuna Taifa litakalobaki na nguvu tena duniani watu wataishi mithiri ya wanyama pori na ukame mkubwa sana utaiandama dunia dunia itakua ni ya watu wachache Sana tena mmoja mmoja. Kiufupi Tu .

  • @user-eo6ou4zd4d
    @user-eo6ou4zd4d 2 หลายเดือนก่อน +1

    Israel ni kibaraka wa Marekani na Magharibi mwisho wao umefika.
    Mungu tunakuomba wajaalie ushindi Iran.

    • @love_579
      @love_579 2 หลายเดือนก่อน

      Mungu akipenda❤

  • @allykassim1120
    @allykassim1120 2 หลายเดือนก่อน +6

    hapo inajulikana kuwa mchokozi ni islael asubili Tena majibu ya pili

    • @floraflora5717
      @floraflora5717 2 หลายเดือนก่อน

      😅 Aki nimecheka kidogo

    • @emmanuelletema8385
      @emmanuelletema8385 หลายเดือนก่อน

      Kashaingia kwenye mfumo Iran ametafutwa amepatikana yale yale ya Iraq

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 6 วันที่ผ่านมา

      ​@@emmanuelletema8385Israel mashoga tu

  • @abdulhakhashim764
    @abdulhakhashim764 หลายเดือนก่อน

    Hakuna...kusimama....Israel... Watandikwe kwa kutosha... Wanaroho Mbaya...wanawatesa palestin... , /Allah Akbar atalipa Inshaaallah😭😭😭😭🙏

  • @iddyramathan4507
    @iddyramathan4507 หลายเดือนก่อน

    Iran mpigie huyo shetan

  • @AbdallahSalim-is3db
    @AbdallahSalim-is3db 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ushauri wangu kwa waarabu wote kua sasa ni wakati sahihi wakulifuta taifa la kigeni hapo ktk mataifa yenu ya majangwa.sababu A. Hawatambue uwepo wa Allah. B mashoga na ushoga hautambuliwi na dini zote. C wamewekwa hapo kwa ajili ya kifisidi kila kilicho cha waarabu.

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa หลายเดือนก่อน

      Allah ni Mungu wa waarabu wayahudi Mungu wao ni Yahweh

    • @zakariamalembela3974
      @zakariamalembela3974 หลายเดือนก่อน

      Africans jamn duuu, kwanini msiombee mazuri Nchi zenu za kiafrika mnakuwa kama mifugo yaani.
      Mm yakiuana haya meupe nafurahi sanaa, yameuaga, kunyanyasa, kudharirisha waafrika wengi sanaa, lkn utamkuta Mwafrika komwe lake Eti pray for Iran, mara pray for Israel yaani kama matahira hayajielewi, mnaowaombea hawawapendi hata kdg.

  • @user-zj2kh7ej1o
    @user-zj2kh7ej1o หลายเดือนก่อน +1

    11:51

  • @DaddySBuda-dp6nq
    @DaddySBuda-dp6nq 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dalili za mwisho ndio hizo

  • @MussaAdamu-pb3eb
    @MussaAdamu-pb3eb หลายเดือนก่อน +1

    Hii Vita sio nzuri izraeli wa ubabi

  • @kodakblack3836
    @kodakblack3836 หลายเดือนก่อน

    Hatari sana 🔥💀💀💀💀

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 2 หลายเดือนก่อน

    Waliodunguliwa ni Iran, sasa unaandikaje Israeli? Bogus!

  • @boniphace.mark.2033
    @boniphace.mark.2033 2 หลายเดือนก่อน +1

    KUWENI MAKINI KATIKA UANDISHI DW MSIWE WAONGO, HIVYO TU.

    • @MichaelMuhoja
      @MichaelMuhoja หลายเดือนก่อน

      sure, they lie
      dw

  • @MjumbeAgano
    @MjumbeAgano หลายเดือนก่อน

    Ni Mjumbe wa agano pekee ndiye ALIYEPEWA ELIMU ya ufalme wa Mungu duniani na kuondolewa kwa roho zote za uchafu zitoke kwa watu na waingie kwenye ufalme wa Mungu kwa Neno la wakati angalia TH-cam Mjumbe Agano upate semina ya mwisho wa Dunia na jinsi kanisa halisi linavyojengwa na kunyakuliwa barikiwa sana asante Malaki 3:1-3, 4:1-6. Kabla ya vita kuu ya dunia.

  • @abulaaliyah77amani91
    @abulaaliyah77amani91 หลายเดือนก่อน

    Allah akbar

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 2 หลายเดือนก่อน

    Hapa kuna wanafiki wana comment, wale wale walikua wakiponda EZRAEL ndio hao ao wako hapa wanaterea EZRAEL

  • @jeromejosia-zp7gr
    @jeromejosia-zp7gr หลายเดือนก่อน

    I wait Iran

  • @usaskauswege8023
    @usaskauswege8023 2 หลายเดือนก่อน

    Waandishi toeni taarifa kwa usahihi. Mnajishushia hadhi kwa taarifa zisizo na ukweli.

  • @user-zl3we4si9q
    @user-zl3we4si9q หลายเดือนก่อน

    Tabla hawajaanza kupigana vita tuambieni tufunge virago vyetu

  • @user-qw4jn8wu9w
    @user-qw4jn8wu9w 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa zimetumbuka kwaio nikama zinapigwa kilazima .wamenoa

  • @AbdalahMtambuka-rh1dp
    @AbdalahMtambuka-rh1dp หลายเดือนก่อน

    watufulani wanatuombea Dua sisi tuuwawe na ban islaile illa inshaallah Iran itam.bomoa uyo islaili akileta nwoko

  • @catherinecostantino2034
    @catherinecostantino2034 2 หลายเดือนก่อน

    Kwanin Israel ilishambulia ubaroz wa iran

  • @AW-vt9pw
    @AW-vt9pw 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu Natanyahu kapewa kibali cha kufanya vyovyote atakavyo na Marekani pamoja na jumuia yao wanayoiita UN ni kwa masilahi yao tu. Lakini hicho kibali kimeshindikana kuipiga Iran 🇮🇷. Kwa mawazo yake alifikiri Mu Irani atawaogopa kina Amerika, Britain na washirika wao 5. Mu Irani kajitoa muhanga liwalo na liwe atapambana nao hata kama atazidiwa.

    • @mombasa0076
      @mombasa0076 2 หลายเดือนก่อน +1

      ❤ NI KWELI UNACHOSEMA. UN NI AMERIKA NA ISRAELI . WALIOBAKI NI BENDERA TU.

  • @jeromejosia-zp7gr
    @jeromejosia-zp7gr หลายเดือนก่อน

    Israel mwisho wenu unaonekana ngoja mpigike

  • @aaricdeking8280
    @aaricdeking8280 หลายเดือนก่อน

    Vita havina mwenyewe lakini israel ipo palee anayedhani atafanikiwa kuwafuta ajitutumuee, , hahahahaa

  • @nzungushikombesekei
    @nzungushikombesekei 2 หลายเดือนก่อน +1

    Safi Sana Irani wako NGANGARI kinoma

    • @pastorzakariatv1786
      @pastorzakariatv1786 2 หลายเดือนก่อน

      Wako ngangali sabubu wametungua drones tatu?😂😂😂😂

    • @FeisalDoctor-wr8ws
      @FeisalDoctor-wr8ws 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@pastorzakariatv1786we mtumwa wa wayahudi fuatilia taarifa vizuri umeielew hii taarifa au unakurupuka

    • @user-ip7mp8mn5p
      @user-ip7mp8mn5p 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@pastorzakariatv1786Ulitaka wadungue ngapi wakati zilitumwa hizo hizo tatu 😂😂

    • @salumabdallah2990
      @salumabdallah2990 2 หลายเดือนก่อน

      Ndronse zilizotumwa ni tatu tu​@@pastorzakariatv1786

    • @gospalflavour7304
      @gospalflavour7304 หลายเดือนก่อน

      Wajaribu kujibu tena ndo tutajua wapi panapovuja😂😂😂😂😂

  • @user-cs8so4gu7c
    @user-cs8so4gu7c หลายเดือนก่อน

    Mungu bariki Israel kila atakayewagusa apigwe Amen!

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 2 หลายเดือนก่อน +5

    Wewe mtangazaji wa DW acha kutudanganya.
    JUMUIYA ZA KIMATAIFA NDIO KITU GANI ?
    NI AMERIKA NA ISRAELI AMBAZO DUNIA NZIMA WANAZIOGOPPA.
    MATAIFA MENGINE YANADANGANYWA TU.....❤

  • @user-xe1im9tt1z
    @user-xe1im9tt1z 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna umoja wa mataifa hapo

  • @MohammedPakia
    @MohammedPakia 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pande zotembili achani Vita kwa masilah yalahia wenu

  • @abdulbakari1220
    @abdulbakari1220 2 หลายเดือนก่อน +3

    Acheni uwongo

    • @user-fs7bs6gy4z
      @user-fs7bs6gy4z 2 หลายเดือนก่อน

      Uongo gani wanaosema hawa wachambuz wamebobea kwny kaz zao na wanachokichambua ndio uhalisia ulivyo ,,,Acha ufala na mihemuko ya kisenge

    • @ibrahimallyweunaijuahiyoco8608
      @ibrahimallyweunaijuahiyoco8608 2 หลายเดือนก่อน

      toa habari zako za ukweli choko kweli

  • @user-ze7fo5fh3n
    @user-ze7fo5fh3n 2 หลายเดือนก่อน

    Hii ni igizo

  • @florenceLema-ou4my
    @florenceLema-ou4my หลายเดือนก่อน

    naiombea amani lsrael

  • @user-wc3yh9ct3z
    @user-wc3yh9ct3z หลายเดือนก่อน

    Kumbe irani wanaongea kiswahili

  • @user-qw4jn8wu9w
    @user-qw4jn8wu9w 2 หลายเดือนก่อน +3

    Iran anujua vizuri njama za Hawa jamaa.iran anajua anchofanya.mm nauliza tuu.huyu sadam . Na gadafi kosa lao nn?

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 2 หลายเดือนก่อน +2

      Waliokataa kumtii huyu mungu mtu mmagaribi ndio kosa lao mmarekani ni ibilisi la dunia

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 2 หลายเดือนก่อน

    Iran wangekuwa na uwezo wange piga kilakitu

  • @KilimbikeHaji-iy2fm
    @KilimbikeHaji-iy2fm หลายเดือนก่อน

    Yaaahha yakuduss yaaahha yaajjabar tunakuomba tuangamiziee hao waiziraili na washilika waoo
    Popote walipo duniani nakila anayo muunga mkono izirali wanagamize amiiiiiiiiin yarrabana takabali duwaaa zetu

  • @user-lm5vs4nl2o
    @user-lm5vs4nl2o หลายเดือนก่อน

    Wakati huu ni mda wa kujiweka tayari maana mambo haya yanamchukiza MUNGU tujitoe kwa YESU na kunyenyekea katika mkono wa Mungu.❤

  • @rashidkitundu2550
    @rashidkitundu2550 หลายเดือนก่อน

    😅

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 2 หลายเดือนก่อน

    Tukopamoja iran

  • @binseif2216
    @binseif2216 2 หลายเดือนก่อน

    Piga hao masheitwan wa kiyahudi

  • @user-ju3jy7jy5e
    @user-ju3jy7jy5e หลายเดือนก่อน

    Israël kupigwa nihaki kabisa sababu najisi lazima iondolewe kandokando ya maeneo twahara.

  • @listerwami6825
    @listerwami6825 2 หลายเดือนก่อน

    Mara Miripuko mara tumedungua acheni umbea

    • @user-ip7mp8mn5p
      @user-ip7mp8mn5p 2 หลายเดือนก่อน

      Milipuko ilitokana na vile mifumo ya ulinzi ilivyo react baada ya kujua inashambuliwa, mbona walishasema?

  • @festokivuyo7121
    @festokivuyo7121 หลายเดือนก่อน

    Danganya mtoto wako

  • @NdebileMathias
    @NdebileMathias 2 หลายเดือนก่อน +3

    Islaeli mchokozi sana

    • @rev.asanterabi7440
      @rev.asanterabi7440 2 หลายเดือนก่อน

      Israel sio mchokozi bali Iran siku zote inasema itaifuta Israel kwenye ramani. Israeli inatambua kuwa inachukiwa na kwa hiyo mara nyingi lazima ilipize kisasi kuhakikisha kuwa maadui zake hawarudii kuwatishia. Iran na nchi za kiislamu zina chuki sana dhidi ya Israel. Huu mzozo sio wa kisiasa tu bali ni wa kiroho na tunakoelekea ni kutimizwa kwa maandiko Matakatifu kwamba siku za mwisho Iran ikishirikiana na Urusi na nchi nyingine nyingi wataivamia Israel na hapo ndipo Mungu atajitokeza na kuwaadhibu ikiwa ni ishara kwa ulimwengu kwamba Israel ni Taifa lake. Someni kitabu cha Ezekiel Sura ya 38 hadi 39.

    • @davidsaibu2930
      @davidsaibu2930 2 หลายเดือนก่อน

      saana

  • @bobdirector
    @bobdirector หลายเดือนก่อน

    Mungu isaidie Israeli Baba isipatikane na atia

    • @jeromejosia-zp7gr
      @jeromejosia-zp7gr หลายเดือนก่อน

      Unaombea magaidi wahovyo sana ww

    • @zakariamalembela3974
      @zakariamalembela3974 หลายเดือนก่อน

      Badala uombee Familia yako😂😂, Africans jamn duu 🙌🏻

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 6 วันที่ผ่านมา

      Israel mashoga

  • @allymangosongo5570
    @allymangosongo5570 2 หลายเดือนก่อน

    Izi media za magharibi propaganda

  • @gospalflavour7304
    @gospalflavour7304 หลายเดือนก่อน

    Kiko wapi kilichotokea,mmatuletea story za abunwasi!?

  • @usaskauswege8023
    @usaskauswege8023 2 หลายเดือนก่อน

    Toeni taarifa bila kulalia upande wowote. Kwa taarifa zenu mnaonekana kuibeba Iran.

    • @YassinRajabu
      @YassinRajabu 2 หลายเดือนก่อน

      izo dini zenu zakuletewa zita wasumbua sana

  • @pastorzakariatv1786
    @pastorzakariatv1786 2 หลายเดือนก่อน

    Hawaoni aibu makombola zaid ya mia tatu kujibiwa na droes tatu

    • @user-xi8cl2rx4f
      @user-xi8cl2rx4f 2 หลายเดือนก่อน

      Drone zimerushwa Ili wasionekane wajinga lakin lsrael wanaogopa moto was Iran

    • @yohanamwamkili4397
      @yohanamwamkili4397 2 หลายเดือนก่อน

      @@user-xi8cl2rx4fmi nnachowapendea nyie jamaa ni kitu kimoja, mkijifunguaga wenyewe na huko mnakosalia mnadanganyana weeee mnapeana vichwaa moto ukiwaka mnaanza kulia. Hv kwa akili yako jumlisha na za ukoo wako israel anaweza muogopa iran? Tangu lin myahudi akamuogopa mwarabu yyte yule? Shida ya nyie uwezo wa ku streach mind

    • @user-hr4bh4nf6w
      @user-hr4bh4nf6w 2 หลายเดือนก่อน

      Na weeee yona jinga kumbe

    • @umfahad2609
      @umfahad2609 2 หลายเดือนก่อน

      broo umesoma wapi ? Kakwambia nani km Iran ni mwarabu? Au chuki binafsi ndio zinakueleza hivyo…? Kuna tofayti kubwa kati ya muiran na mwarabu ht lugha ni tofauti kabisa.

    • @Abdoulyousouf
      @Abdoulyousouf 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@yohanamwamkili4397kama nyie mnavojifungia kanisani na kudanganyana ISRAEL ni taifa la MUNGU kumbe ni taifa la mashoga

  • @Fadhilimwamlima
    @Fadhilimwamlima 2 หลายเดือนก่อน

    Tupeni taarifa sahii hii midea tunaiamini sana jaman

  • @naomikrause1762
    @naomikrause1762 2 หลายเดือนก่อน

    ANAYE HILAHANI ESIRAELI
    MUNGU HAMULAHANI 🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🙏🙏🙏🙏

    • @ibrahimallyweunaijuahiyoco8608
      @ibrahimallyweunaijuahiyoco8608 2 หลายเดือนก่อน +1

      hao si wasenge wenzenu kuna mashoga na wasagaji wenu

    • @SADICKITHOMAS
      @SADICKITHOMAS 2 หลายเดือนก่อน

      Israel inayoua watoto na wanawake wasio na hatia na wazee Mungu hawez barik nchi yenye kutambua ushoga na usagaji

    • @ZailaiMlawa
      @ZailaiMlawa 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu amlaani anayeitetea Israel.

    • @umfahad2609
      @umfahad2609 2 หลายเดือนก่อน

      @@ZailaiMlawaameeen🤲💕

  • @boscomwangosi1042
    @boscomwangosi1042 หลายเดือนก่อน

    Wewe chukua shahada acha unafifiki

  • @Kagineemmanuel
    @Kagineemmanuel 2 หลายเดือนก่อน

    🇮🇱 ❤

  • @naomikrause1762
    @naomikrause1762 2 หลายเดือนก่อน

    🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱I WAESIRAELI NI
    TAIFA TEULE LA MWENYEEZI
    MUNGU MUNGU IBARIKI🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱

    • @user-xe1im9tt1z
      @user-xe1im9tt1z 2 หลายเดือนก่อน

      Taifa teule sio la kinyama ivyo nifigisu hakuna taifa teule hapo

    • @davidsaibu2930
      @davidsaibu2930 2 หลายเดือนก่อน

      usilo lijua nisawa na usku wagiza

    • @AbdallahSalim-is3db
      @AbdallahSalim-is3db 2 หลายเดือนก่อน

      Akili za bangi zinanuka moshi tuu

  • @ramadhanhassan5285
    @ramadhanhassan5285 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu nyeta nyau namuombea dua kwa mungu afe tena kwa kansa

    • @Ernestlaiza
      @Ernestlaiza 2 หลายเดือนก่อน

      Kwanza weww ndo utakufa kifo kibaya mno

    • @wilfredmlaki822
      @wilfredmlaki822 2 หลายเดือนก่อน

      Angalia utakufa wewe kwanza

  • @listerwami6825
    @listerwami6825 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo walilala wakaamuka kuwasha mitambo