Kuhusu hiyo track ambayo Khalid alitoa bila kumhusisha mwenye aliimba, kama ni ukweli basi si sawa. Mimi pia ni msanii na nimekuja kugundua kwamba maproducer wengi wako na shida ndogondogo ambazo zinaashiria wivu. Ndio maana nilijiunza production mwenyewe, na sasa natengeza mziki wangu mwenyewe mwanzo mpaka mwisho. Pole Chikuzee, talanta unayo!

Love this
💯🔥💯
Mm napenda nyimbo zako..na weka mungu mbele utafanikiwa..
Dade sele good
Mariam wa jomvu hapa chiku aliekwa kinyumba maeneo ya jomvu miritini
Sistershaniz
Chikuzee mbona ume change kama unavuta ungaa
Music business ndo inamshinda Chiku, mziki sio kuimba tu
Jamani janaume limejichubua mbaya!
Chukuzee