JINSI YA KUTENGENEZA UNGA WA KITUNGUU MAJI/THOM/TANGAWIZI NYUMBANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2024
  • Aroma of Zanzibar social media
    / fathiya.ismail
    / aromaofzanzibar
    Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas www.youtube.co...
    Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
    www.instagram....
    Music courtesy / contemplative-middle-e...
    This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world
  • แนวปฏิบัติและการใช้ชีวิต

ความคิดเห็น • 56

  • @aromaofzanzibar
    @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว +3

    IF YOU WISH TO WATCH THIS VIDEO IN ENGLISH , PLEASE FOLLOW THIS LINK th-cam.com/video/wgmaJjn2smI/w-d-xo.html

  • @amounanyale9220
    @amounanyale9220 6 ปีที่แล้ว +2

    Waa nmeipenda hii nlikua cjui vyafanywaje kumbeeee thanks aroma of Zanzibar kutufungua akili tutatengeza twenyewe ndipo

  • @FarhatYummy
    @FarhatYummy 6 ปีที่แล้ว +1

    Beautiful hun Ma Sha Allah 😍😍😍

  • @angelmashauri6961
    @angelmashauri6961 4 ปีที่แล้ว

    Shukran dear! nazidi kujifunza toka kwako...Mungu azidi kukujalia kheri...🙏

  • @rukiahhdbdn4798
    @rukiahhdbdn4798 6 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allah nimejifunza habibty baaraka llah fiiki naitwa Rukia ni kiwa lebanon

  • @salmafaraj9293
    @salmafaraj9293 6 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah kazi nzr sana Allah akubarik

  • @reycakesjikoni9085
    @reycakesjikoni9085 6 ปีที่แล้ว

    shukran ukty .....nitafanya hii inshallah n Nmeipenda sana inasaidia pia kuhifadhi viungo vidumu kwa muda mrefu

  • @mayusahussein4721
    @mayusahussein4721 6 ปีที่แล้ว

    Masha allah habinty shukrani kwa mafundisho yako mazuri

  • @khadijaabdulqadir1662
    @khadijaabdulqadir1662 6 ปีที่แล้ว +1

    Assalamu aleikum. Mashaallah shukraaan habibty na ALLAH AKUHIFADHI 😍

  • @princessmtenga2932
    @princessmtenga2932 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana big sis kwa kunijuza mungu akuzidishie 😍😍😍

  • @dianaalexin2151
    @dianaalexin2151 6 ปีที่แล้ว +1

    Nice nimejifunza

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 6 ปีที่แล้ว

    Mashaallah shukran bi aroma

  • @khaykaw
    @khaykaw 4 ปีที่แล้ว

    Shukran sister unatuelimisha vzuri

  • @umamuri4004
    @umamuri4004 6 ปีที่แล้ว

    MashaAllah ... shukran habibty

  • @a.856
    @a.856 6 ปีที่แล้ว +1

    Shukran jazakallah ukhty

  • @Zahi8080
    @Zahi8080 6 ปีที่แล้ว

    Jazakallahu khairan wiiifii😍😍😍😍

  • @ramlahassan7656
    @ramlahassan7656 6 ปีที่แล้ว

    Maa shaaa Allah very nice

  • @umiy1971
    @umiy1971 6 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante sana kwa elimu ya kutia mchele sikuwa nikijua hayo, mie natumia non sctik aluminum foil hazigandi hata kidogo ,

  • @stellawawira4233
    @stellawawira4233 6 ปีที่แล้ว

    good work my sister I have to try this

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid5864 6 ปีที่แล้ว +2

    Sisi tulioko oman jua lipo kali itakua ni rahisi shukran usiku mwema

  • @khadram5463
    @khadram5463 6 ปีที่แล้ว

    MashaAllah thanks for the knowledge 😁

  • @mariamissaahmed7675
    @mariamissaahmed7675 6 ปีที่แล้ว

    Very innovative. Thank you.

  • @rayanassor5077
    @rayanassor5077 4 ปีที่แล้ว

    Maashaallaah

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 5 ปีที่แล้ว

    shukran sana

  • @ummuamira3885
    @ummuamira3885 6 ปีที่แล้ว

    Shukran habibty

  • @khadijambuta4360
    @khadijambuta4360 6 ปีที่แล้ว

    😍😍😍shukran dear

  • @husnahamisi320
    @husnahamisi320 6 ปีที่แล้ว

    mashaallah cc meipend

  • @leilamohamed7445
    @leilamohamed7445 6 ปีที่แล้ว

    Brains...MashaAllah

  • @Heavedavid
    @Heavedavid 6 ปีที่แล้ว

    Asante kwa ujuzi

  • @jarsjam8894
    @jarsjam8894 6 ปีที่แล้ว

    Jazaka Llah kheir. Tutaanika bora Oman juwa kali sana. Unao watu wako Oman?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      jars jam Alhamdulilah nnao wengi sana

  • @deflonrayama1091
    @deflonrayama1091 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllah

  • @sophyhamisi1086
    @sophyhamisi1086 6 ปีที่แล้ว

    Thanks sis

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 6 ปีที่แล้ว

    Mashllah

  • @zakiachangarawe261
    @zakiachangarawe261 6 ปีที่แล้ว

    Nice mamy

  • @Lifeisgoodkitty
    @Lifeisgoodkitty 6 ปีที่แล้ว

    Asante!

  • @abdallahhamad4113
    @abdallahhamad4113 6 ปีที่แล้ว

    mashaa Allah

  • @nasryathabit6863
    @nasryathabit6863 3 ปีที่แล้ว

    Habibty Mchele kiasi au

  • @vumiliahamisi7046
    @vumiliahamisi7046 4 ปีที่แล้ว +1

    Ukiifadhi kwenye chombo inakaakwa muda ganii,

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว

      Sio kitu cha mda mrefu ni kiasi mwezi hivi zinakua bado fresh

  • @uwimanaraoul6824
    @uwimanaraoul6824 6 ปีที่แล้ว

    Shukran

  • @salmagulam6619
    @salmagulam6619 4 ปีที่แล้ว

    Tunaomba na ya Tomato sun dried

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว

      Nimeshakausha , inshallah nitaleta baada ya Eid

  • @epifaniaminja7930
    @epifaniaminja7930 6 ปีที่แล้ว

    Hapo kwenye kuweka mchele umeniacha naomba ueleze tena please.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      Ukiweka mchele spice zinakua hazifanyi madonge zinakaa fresh

    • @epifaniaminja7930
      @epifaniaminja7930 6 ปีที่แล้ว +1

      Aroma of Zanzibar samahani kwa usumbuf..inamaana ninapoweka nafanya storage na weka na mchele au nasaga na mchele.
      Pia mchele ni kidogo tu au =na kiac cha viungo?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว +1

      Ukisha kusaga viungo kama nilivyoonyesha, tia kwenye chupa uweke na chembe kidogo za mchele kiasi 3/4 hivi , usisage na mchele

    • @kaijagekabaju2289
      @kaijagekabaju2289 3 ปีที่แล้ว

      @@aromaofzanzibar samahan dada je kwa viungo vya biashara naweka huo mchel au nafanyaj na je ni kwa viungo vyote mf garam masal nk?

  • @jumalihilwike9539
    @jumalihilwike9539 ปีที่แล้ว

    Vikikauka hivyo vinakuwa na ladha kwel

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  ปีที่แล้ว

      Hivi sio vyakula ni viung vya vyakulla kwa aina fulani ya mapishi

  • @reycakesjikoni9085
    @reycakesjikoni9085 6 ปีที่แล้ว

    sor ukt baad Ya kusaga viungo hivyo makali na ubora wake unabak vile vile kama ukitumia vikuwa havisagi

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      Sio sawa ni ladha tofauti kabisa dear, hivyo vimekaushwa

    • @reycakesjikoni9085
      @reycakesjikoni9085 6 ปีที่แล้ว

      shukran asante kwa elimu

  • @hamidurashida7834
    @hamidurashida7834 6 ปีที่แล้ว

    mchele unawekeja dada

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      Hamidu Rashida Ukisa saga viungo vyako weka kwenye chupa utie na mchele kiasi punje 3 au 4 inadaidia viungo visifanye madonge