EXCLUSIVE! MENEJA WA KIBU DENIS AFUNGUKA UKWELI ALIPO KIBU / DILI LA ULAYA / HELA ALIYOLIPWA SIMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 36

  • @nadilhassan6414
    @nadilhassan6414 6 หลายเดือนก่อน +2

    safi san limewashika wazee wanyuma mwiko

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 6 หลายเดือนก่อน +16

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

    • @khadi-z4o
      @khadi-z4o 6 หลายเดือนก่อน

      Yesu Ninani Yako Sasa wewe Mungu ama Mwana wa Mungu???????

    • @yustomwaisomania2587
      @yustomwaisomania2587 6 หลายเดือนก่อน

      Hapa siyo sehem sahihi ya kuhubiri injili mpuuz wewe nyie ndo mnaifanya injili ionekane n uhun ushindwe kwa jina la YESU

    • @elishakayagwa9371
      @elishakayagwa9371 6 หลายเดือนก่อน

      Mahali sahihi pa kuhubiri injili ni wapi? Injili haina mipaka inahubiriwa chooni, baa na kila mahali kama walivyofanya mitume wa Yesu. Lengo ni kuwaokoa watu mliofungwa kama wewe

    • @ProsperSantos
      @ProsperSantos 6 หลายเดือนก่อน

      Acha ufala watu wanaongelea kuhusu kibu we unaanza kuleta vifungu apa kama mungu ndo umemzoea ivyo we bwabwa 🤫 Kaa kmy tuu shenz

    • @bonifacebochela4717
      @bonifacebochela4717 หลายเดือนก่อน

      Ameni, injili ihubiliwe mpaka vilindini

  • @Costantinejustine
    @Costantinejustine 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wamwache aende si kitu ,,wara alofanya chama hagusi kibu kikubwa aondoke ,,

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 6 หลายเดือนก่อน +2

    Wandishi wengi watz niwatu wakupotisha tu mara haa kibu anaidai Simba mambo mengi mnaichafua klabu yetu naviongoz mjitadhimini.

  • @franccoz94
    @franccoz94 6 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman kweli kibu ndoo wakuisumbua simba kwa kiwango ganii

  • @absm8084
    @absm8084 6 หลายเดือนก่อน

    Kwani hakuna wachezaji wengine duuuh

  • @khadi-z4o
    @khadi-z4o 6 หลายเดือนก่อน

    Mshikaji Kazama Maulaya😅Safi Saana

  • @JolotaErastoJuma
    @JolotaErastoJuma 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwamba anajihalibia yeye mwenyewe alikuwa anawashabiki wengi tu ila anapo elekea sijui

  • @MwaiBigambo
    @MwaiBigambo 6 หลายเดือนก่อน

    Ebu tufanye kamahatukua nae kibu maana anazingua sana kamaunakumbuka yangu kunamchezaji mmoja ambae hajatambulishwa mm najua kuahuyo niyanga tusisumbukenae

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 6 หลายเดือนก่อน

    Et kibu nae anajiona fei toto😂😂😂😂😂mchezaji mzur kwel lkn asipoangalia atapotea kwa kibur chake na dharau

  • @moizjohnston3841
    @moizjohnston3841 6 หลายเดือนก่อน

    Kibu nae jmn msimu mzima goli 1,hana ata assist et nae kaitunishia Simba,usipo heshim na kuipenda kazi yako hauwezi kufanikiwa...namuona Kibu akipoteza kipaji chake kwa upumbavu wake na kurubuniwa na wahuni ambao hawapendi mafanikio yake..sasa km alikua hataki kuiitumikia Simba si angeacha ku sign?

  • @ChristinamohamedMollel-b5p
    @ChristinamohamedMollel-b5p 6 หลายเดือนก่อน

    Afadhali asirudi kabsa labda msimu huu angetuvunjia kipa wetu mikono

  • @officialelkana3796
    @officialelkana3796 6 หลายเดือนก่อน +3

    Kibu nae atusumbue daah jmn 😂😂😂😂😂😂 kibu denis uyu uyu au

    • @muhamedjaffar5653
      @muhamedjaffar5653 6 หลายเดือนก่อน

      Ni mtoto mdogo asipokua makin bench atakalia

    • @shafiimdogwa1482
      @shafiimdogwa1482 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @mansoursiulapwa8624
    @mansoursiulapwa8624 6 หลายเดือนก่อน

    Kibu haidai Simba, ila Simba ndo wanamdai Kibu kuwapa huduma yake pale Msimbazi..

  • @Fidel-o2g
    @Fidel-o2g 6 หลายเดือนก่อน

    Mwache asepe2.

  • @SamweliMgimwa
    @SamweliMgimwa 6 หลายเดือนก่อน

    kwan wanamuongele wakati Simba ni timu kubwa

  • @kakozikbonga569
    @kakozikbonga569 6 หลายเดือนก่อน

    Msimamizi wa mchezaji yuko wazima amesema clabu ndo inamaamuzi yakuhongea kiwazi

    • @timothymbughuni1356
      @timothymbughuni1356 6 หลายเดือนก่อน

      Hapo Simba inaonesha kuna mtu anakula na Kibu, haiwezekani mchezaji wakaida kama huyo mnamsainisha hela zote hizo

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu 6 หลายเดือนก่อน

    Ameaza ngebeee mwache ameaza kutuhangaisha wanasimba

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe msimamizi wa Kiu D umemuuza huyo mchezaji wako.

  • @chandeemanuel6303
    @chandeemanuel6303 6 หลายเดือนก่อน

    Simba timukubwa

  • @AbuuAlly-fg5df
    @AbuuAlly-fg5df 6 หลายเดือนก่อน +5

    Safi san nimefurahi kusikia kua kibu haidai simba

    • @AllyHabib
      @AllyHabib 6 หลายเดือนก่อน

      Timu kubwaa ii broo

    • @FelicianSimon
      @FelicianSimon 6 หลายเดือนก่อน

      😂👍

  • @HacLand
    @HacLand 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu nae akianza ujinga atapotea...kiwango kidogo afu kashaanza kujitunisha...

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 6 หลายเดือนก่อน +1

    Muwe mna wajal wachezaji wenu nyie simba😢

  • @AR7-h4r
    @AR7-h4r 6 หลายเดือนก่อน