KINJE: "Kiukweli Hali ya Baba Mzee Kingunge Siyo Nzuri"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
  • Mtoto wa Mhe Kingunge Ngombale Mwiru anayejulikana kama Kinjekitile Ngombale Mwiru amefunguka juu ya namna Baba yake alivyojeruhiwa vibaya na Mbwa.
    Kinje amesema kuwa kwa kawaida Baba yake, swala la mazoezi amejiwekea kwa asilimia kubwa kama sehemu ya maisha yake, hivyo kila alfajiri Mzee Kingunge huamka na kufanya mazoezi ya mwili,.
    licha ya hivyo amesema kuwa hapo Nyumbani kwao Wanafuga Mbwa wakali watatu ambao wamemzoea na kumfahamu Mlinzi tu na kwa kawaida Mzee Kingunge kabla ya kutoka ni lazima amwite Mlinzi kwanza awafungie ndipo atoke.
    Ameongeza kuwa siku hiyo Baba yake alighafilika hivyo alitoka nje bila kumwambia Mlinzi awafungie , ndipo Mbwa wote watatu walipomuona wakamrukia na kuanza kumshambulia na kumjeruhi vibaya.
    Aidha Kinje amesema kuwa hali ya baba yake kwa sasa siyo nzuri na wanaangalia utaratibu wa kumpeleka nje ya nchi kwa ajili ya matibabu zaidi.
    Subscribe muda huu / uwazi1 Install #GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
    TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
    Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

ความคิดเห็น • 16

  • @kambiyusufu5217
    @kambiyusufu5217 7 ปีที่แล้ว +1

    Mungu amponye mzee wetu

  • @frankgeorge3632
    @frankgeorge3632 7 ปีที่แล้ว

    Mungu amsadie mzee wetu bado tunamuitaji

  • @nassamakaveli7363
    @nassamakaveli7363 7 ปีที่แล้ว

    Mungu afimamie afya yako mzee wetu

  • @salmasaid3943
    @salmasaid3943 7 ปีที่แล้ว

    Ni better ukifuga mbwa umtambulishe kwa family ajue ila mauti ya mtu hupagwa na Mungu ndivyo iliandikwa kifo chake

  • @nuurinkluge8239
    @nuurinkluge8239 7 ปีที่แล้ว

    Ohoo my God is Pain

  • @nafisamohamad3182
    @nafisamohamad3182 7 ปีที่แล้ว +1

    Dah kueni makini na hao mbwa majumbani yatakikana muwajulishe kila mtu anaeishi huko nyumbani, ile isiwe hatari kama hivyo.

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 7 ปีที่แล้ว

    Alipangiwa kifo chenye sababu,ila hakua na uhai aliopangiwa kwa siku hiyo

  • @rahmaa.naim.9391
    @rahmaa.naim.9391 7 ปีที่แล้ว

    Innalillah

  • @saidmussa3357
    @saidmussa3357 7 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana .....mbwa hatari sana especial German shepherd wako kama Simba

    • @garethmwakuluzo4318
      @garethmwakuluzo4318 5 ปีที่แล้ว

      said mussa mbwa ni mazoea gsd ni mbwa mzr sana kama ukimzoesha vzr rottweiler ni hatari kama usipo mpa mazoea mazur

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 11 หลายเดือนก่อน

    Mtoto wa wezi wa inchi hi

  • @jamesmbata8542
    @jamesmbata8542 7 ปีที่แล้ว +2

    hao mbwa inabidi kuwauwa wote hapo hapo pumbavu mtafugaje mbwa

  • @vicentmatius5342
    @vicentmatius5342 7 ปีที่แล้ว

    yani inakra sana haombwa hawamjui au ni wajilani??

  • @AzaAlhabsi
    @AzaAlhabsi 7 ปีที่แล้ว

    Dah inabid msfuge tena hao mbwa.mana ishamake story ambyo haitokwisha.ingawa ilkua kifo alshapangiwa

  • @AK-ho2lb
    @AK-ho2lb 7 ปีที่แล้ว +1

    Ndiyo maana nayachukiaga mambwa